BIBLIA ORIGINAL INA VITABU 88 IPO ETHIOPIA WAZUNGU HAWAITAKI INAONYESHA YESU ALIKUWA MWAFRIKA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 янв 2025

Комментарии • 164

  • @charlesadolf1062
    @charlesadolf1062 3 дня назад +10

    Mwalimu wa neno la Mungu. Hakika Mungu akubariki mnoo. Hakika unajua kuchambua biblia vema

  • @bensonjohn9633
    @bensonjohn9633 2 дня назад +1

    Jamaa Upo Deep sana.

  • @antonyiyona5937
    @antonyiyona5937 3 дня назад +4

    Usikate tamaa mwalimu siku zote anaesema ukweli hapendwi.

  • @abdulrahmankafuku3449
    @abdulrahmankafuku3449 День назад +1

    Jamani tukiwambia Ndugu zetu wakristo Biblia tumepigwa mnakataaa baadhi ya mambo hayapo mnabisha😂😂😂 Mungu awaongozee

  • @sistifrancis8014
    @sistifrancis8014 3 дня назад +2

    Mwalimu unajua sana(ahimidiwe jah! 😅😅😅)

  • @MauroZaratte-r4r
    @MauroZaratte-r4r 2 дня назад +1

    Mm najuwa INJILI bible hiyo ni kma gazette

  • @nickolousrajabu5001
    @nickolousrajabu5001 2 дня назад

    Nakupa kongole mwalimu wachristono wengi atupend kufatilia mambo .

  • @hansondaniel-nb2jn
    @hansondaniel-nb2jn День назад

    Ndio maana mimi nimeoa Ethiopia kwa ajili ya dini

  • @jacksonmsendo3478
    @jacksonmsendo3478 3 дня назад +1

    Kweli kabisa mwalimu

  • @landelinusbyabato2512
    @landelinusbyabato2512 День назад

    Siyo kila kinachoitwa Biblia ni maneno ya Mungu

  • @MethodchijaYahaya
    @MethodchijaYahaya 2 дня назад +3

    Aisee watu wa Mungu. Uyu jamaa anaajenda zake. Mimi nimemfatilia sana na kumuamin sana. Lkn nilipokua naelekea sio kuzuri. Km unataka kukaa vzr na Mungu achana na mafundisho ya uongo ya uyu BENSON. Yan anajifanya yuko deep lkn Amna lolote, anapoteza roho nyingi za watu

    • @bezaleliwilson2267
      @bezaleliwilson2267 2 дня назад +3

      Ukijiona Unajua Kila Kitu Ujue Ubongo Wako Umechoka Kufikilia😂😂😂

    • @benedictbalelekalunde4140
      @benedictbalelekalunde4140 2 дня назад

      Wazi​@@bezaleliwilson2267

    • @stephanomaduhu5426
      @stephanomaduhu5426 День назад

      kajamaa haka ujuaji ni mwingi na ujuaji ukizidi shetani anakutumia

    • @ENOSLUCAS-v2v
      @ENOSLUCAS-v2v День назад +1

      Panua akili ujifunze. Dunia Ina Siri kubwa mno ambayo wew huijui na unakalilishwa vitu vya kijinga. Mtafute Mungu wa kweli na Ili uweze kufanya ivyo lazima uache uvivu wa kujifunza.

  • @jessieboaz4293
    @jessieboaz4293 День назад +1

    B-Basic-I-Instructions-B-before-L-leaving-E-Egypt..BIBLE.

  • @JomoKilawe
    @JomoKilawe 3 дня назад

    Mda Utaongea..✍️✍️

  • @jamalkishangu
    @jamalkishangu 3 дня назад +4

    Wazungu wamewazuga mambo mengi ndugu zetu Wakristo hasa wa Afrika. Mwalimu hata uwaambie nini Wakristo hawa hawawezi kukuekewa.

    • @OdiloMwemezi
      @OdiloMwemezi 3 дня назад +2

      Hata wewe ulizugwa na Muhamadi,mwarabu naye alichuma mali kwa kueneza dini.

    • @phakundigervas1360
      @phakundigervas1360 2 дня назад

      Hata ukiambiwa kina Aya za shetani hutaki unakamata panga eti una ujanja hujazugwa!

  • @VincentPancras
    @VincentPancras День назад

    Wachumia tumbo kupitia ukristo!

  • @MeshackKabelege
    @MeshackKabelege День назад

    Good teachings. Ninaweza kupataje hiyo biblia yenye vitabu 88?

  • @Gwidohitila22
    @Gwidohitila22 2 дня назад

    Msimsikilize huyo, ni Wakala wa SHETANI, Chunga sana Imani yako ya kweli, usiruhusu masikio yako kusikiliza kila kitu, kwakuwa Imani huja kwa kusikia

  • @EddyNdossi
    @EddyNdossi 2 дня назад +1

    Ni kweli hakika walivitoa vitabu,, aswa vile vinavyoelezea ukweli: mfano Kitabu cha ENOCH,, kina mambo mengi ambayo uwezi kuyapata pengine ila uko,,, Kingine ni JUBILEES,, iki kinaonyesha hadi mipaka halali ya Shem, Ham, na Yapheti,,, Kingine ni JASHER hiki nacho kina mambo ukiyafuatilia utaona kabisa kwa nini wazungu awataki ukifahamu, vipo na vingine nakadhalika. Jee unajua kwa nini wamevitoaa? Waweze kukutawala ili usijue wewe ni nani aswa,, na usijue una thamani gani kwa Mungu wako,, na wanajua ukiufahamu ukweli tu watashindwa kukutawala, na unafikiri Wazungu awavifuatiliagi hivyo vitabu nilivyoorodhesha hapo? Wanavifuatilia na wana chukua knowledge huko,,,

  • @LaurntMinani-mg2bs
    @LaurntMinani-mg2bs 3 дня назад +3

    Nawezaje kuipata kwa kiswahili

  • @YudaNtemi
    @YudaNtemi 2 дня назад +1

    Vitabu 66 ni alipropose Marthine Ruther Vingine alivikataaa.

  • @DeonisBihopho
    @DeonisBihopho День назад

    Uislamu ni WA shetani wanaabudu majini na wanafukiza ubani misikitini chakula Cha majini poleni waislamu na majini yenu.jini ni pepo chafu ni maraika walioasi mbinguni.

  • @mrpeace7150
    @mrpeace7150 День назад

    Mambo,mwalimu, nezaje pata ethiopian bibilia

  • @ThabitBunga
    @ThabitBunga 3 дня назад +8

    Benson wakristo wenzio awakupendi kwakupenda kwako kuwaambia ukweli

  • @StephenKingwaa
    @StephenKingwaa 2 дня назад +1

    Hio bibilia inapatikana wpi

    • @EddyNdossi
      @EddyNdossi 2 дня назад +2

      Hiyo ipo Ukifuatilia utaipata Amazon,,, wanakutumia Kwa meli au ukitaka Softcopy unapata,,, na ukitaka kujua Aya anayokuambia ni kweli hiyo Bible ni very very Expensive,, jiulize Kwa nini kuipata ni shidaaa,,, Kwa sababu awataki uufahamu ukweli

    • @ntvtanzania6467
      @ntvtanzania6467 2 дня назад

      ​@@EddyNdossiplaystore ipo?

    • @EddyNdossi
      @EddyNdossi День назад

      @@ntvtanzania6467 Play store aipo,,, awatakuwekea uko Play store Kwa kuwa wanataka usifahamu ukweli,,, Amazon ndio wanayo hata ukitaka hardcopy wanakutumia

  • @ClaudiusNjagi
    @ClaudiusNjagi 3 дня назад +1

    Wazungu niwakulaumiwa kilaala nabsiku zote sababu wazungu hawajaacha kujaribu kuongoza Africa wakiwadanganya ati wanawasaidia pia kukopesha Africa madeni ya kila aina zose wakisema nimusaada

  • @Myahudiogw4d
    @Myahudiogw4d 2 дня назад

    Mambo mengine hatujiongezi tu! kwamba waZUNGU sio watu wema kama alikuja Afrika, akatufanya watumwa na kutuuza na kutulimisha na viboko, mijeredi lakini pia hawajatuvalisha vizuri hatukula vizuri huyu mtu bado useme ni mzuri kweli?? hatujiongezi tu!! MZUNGU sio mtu mzuri hata kidogo asee!!😢

  • @bensonjohn9633
    @bensonjohn9633 2 дня назад

    Naomba kujua,Mara Nyingi Mwalimu Benson anapenda kusema Baba kafundisha hivi au Baba kasema vile,Huyu Baba ni Nani? Au Mchungaji gani?

  • @johnmwaimise2291
    @johnmwaimise2291 3 дня назад +1

    Nime download haya Mafundisho ili niendelee kusikiliza kwa kina zaidi, Asante sana Mwalimu Isaya Benson

  • @DeonisBihopho
    @DeonisBihopho День назад

    Shetani na majini ni waislamu kwani mtume Muhammad aliwasilimisha.Kristo tumaini letu na ndiye njia ya ukweli na uzima

    • @abdurahimabdulkadir3926
      @abdurahimabdulkadir3926 6 часов назад

      @DeonisBihopho wachana na uislamu ongelea mada ilioko mezani bibilia ya vitabu 66 ni feki au original

    • @Omrankasiga
      @Omrankasiga 4 часа назад

      kwanza huna akili, MUNGU hakushusha kitabu kinaitwa bibilia. Hukuna ndani y bbl inasema ukristo ni dini. na benson hajuwi kitu chochote hakuna bibilia ina vitabu 78

  • @TitoSinkonde
    @TitoSinkonde 3 дня назад +1

    Kwa watu wasio jua historia hawawezi kumuelewa huyu jamaa kwasababu wamemezwa na mifumo ya kimagharibi pamoja na propaganda za kiimani

  • @OmariShuli
    @OmariShuli 3 дня назад +1

    Lakini barua ya Vasco Dagama aliyo mwandikia Papa alisema anajisikia kuwa mtoto mtiifu wa kanisa anapowaua wafuasi wa Muhammad. Na lengo lake ni kufika Makka na kuivunja Kaaba. Na alifanya unyama ulovuka mipaka.

  • @EssauMahundi
    @EssauMahundi 2 дня назад +1

    Huyu jamaa analaana anapotosha binadamu neno la mungu limepimwa Mara saba mungu atakuhukumu usilolijua uliza kwanza acha upinga ukristo biblia inavitabu sitini na sita tu labda tumsaidie huyu mtu anajifanya kujua halafu hajui kitu vitabu vinavyohusu mungu vilikuwa vingi mfano makabayo bin sila nk lakini inaonyesha vingine vilikuwa na upotoshaji nk kwa hiyo ikachambuliwa upya1600AD vilichambuliwa vitabu muhimu tu 66 SS nwkushangaa unalazimisha waingize vitabu vya hovyo !!! Nwkushangaa badala ya kuhubiri injiri yesu anarudi hiyo nafasi ningeipata ningejenga kasri la mbinguni kwa kuhubiri injiri

    • @--------GEO_SPORT_EARTH_EA
      @--------GEO_SPORT_EARTH_EA 2 дня назад +1

      Ni muhimu wewe mwenyewe ukajihoji kutaffuta maarifa

    • @kilungahamis1270
      @kilungahamis1270 2 дня назад +1

      Kitabu cha Henock na chenyewe kilikua ni cha hovyo sio?

    • @sosbrayantbenjamin9701
      @sosbrayantbenjamin9701 2 дня назад +1

      😂😂😂kumbe hata hujui article ndefu hamna kitu kafanye research kwanza

    • @Myahudiogw4d
      @Myahudiogw4d 2 дня назад

      Ungenyamaza hata uandishi wenyewe hauzingatii. Mahali pakuweka L we unaweka R. Mfano Injiri ❌. Ni Injili.✅

    • @sammusic1580
      @sammusic1580 День назад +1

      Huyu hata Asili yake haijui analilia Wazungu Hahaha😂 chukua material Acha kuwa Mkristo mjinga Mjinga

  • @kafwimbimilambo8556
    @kafwimbimilambo8556 День назад

    Sasa mwakilembe hii biblia inawezekana mtu aipate?

  • @Lewissi-GKM
    @Lewissi-GKM 3 дня назад +2

    Lewissi GKM

  • @Myahudiogw4d
    @Myahudiogw4d 2 дня назад

    Mwalimu afanye mchakato tuipate hiyo Bible ata akipata moja aipige copy

  • @mrafm7285
    @mrafm7285 2 дня назад

    Muasisi wa ukristo ni roman empire

  • @abdurahimabdulkadir3926
    @abdurahimabdulkadir3926 6 часов назад

    Wacha kusema wafuasi wake wameandika huo ni uwongo injili zote 4 hakuna akie muona yesu wanafunzi wa yesu ndio wenye haki ya kuandika bibilia sababu walikua na yesu iweje iandikwe na watu wengine ambao hata yesu hawaja muona haswaa

  • @valentinemtei3588
    @valentinemtei3588 3 дня назад

    Yoshua alisimamisha jua wa muda wa siku tatu,jamani

  • @DOABIGKAY
    @DOABIGKAY 3 дня назад

    Ubarikiwe wmalimu.
    Naipataje hiyo Ethiopian English bible?

  • @magnusmichael7052
    @magnusmichael7052 16 часов назад

    Hilo tango pori. Yaani Haile Sillasie alianzisha dini ya Rastafarian ? Halafu wareno walikuwa wanatafuta njia ya kwenda India kufanya biashara ya viungo (spices) na walikuwa tayari wanaujua ukristo.. kumbuka walipofika mombasa walijenga ngome ya Fort jesus, so walikuwa na ukristo tayari..

  • @aliabdallah8456
    @aliabdallah8456 3 дня назад +8

    Kwa maelezo yako mwalimu inaonyesha Biblia siyo kitabu cha Mungu ila ni kitabu cha utawala kwa Warumi

    • @PAULNYANDILE
      @PAULNYANDILE 3 дня назад +5

      yaani wahuni Wa muhuni muhamedi mnashida kweli

    • @azzaliy8109
      @azzaliy8109 3 дня назад +3

      ​@@PAULNYANDILE tatizo nyinyi wakristo ubinafsi unawatawala! Mungu ni mmoja tu na dini yake kwa ajili ya viumbe vyake vyote ni moja tu ni Uislamu! Na vitabu alivyoteremsha ni Vinne tu! Zaburi ya Daud,Taurati ya Mussa Injili ya YESSU na Quran ya MUHAMMAD (S.A.W)

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 3 дня назад

      Kama Allah anavitabu vinne TU JE kitabu Cha Hadith kimetokea wapi?​@@azzaliy8109

    • @ZayyanaBamuni
      @ZayyanaBamuni 3 дня назад

      ​@@PAULNYANDILEhuwezi kuandika utumbo wako mpaka utaje ilo jina

    • @Benny318m
      @Benny318m 3 дня назад

      ​@@azzaliy8109 kwa taarifa yako Zaburi iliandikwa na daudi na sio Mungu, torati iliandikwa na musa mwenyewe na sio Mungu injiri iliandikwa na wanafunzi wa YESU na sio Mungu wala YESU mwenyewe na hata hiyo kuruan haijaandikwa na Mungu ila Mhamad mwenyewe

  • @ufuduboy7278
    @ufuduboy7278 3 дня назад

    Mtatuelewa sisi wachokonozi tunaposema haya maswala ya dini ni matango pori waliolishwa watu😂😂😂

  • @DeonisBihopho
    @DeonisBihopho День назад

    Uislamu ndiyo dini ya shetani kwani mtume muhamad alinsilimisha shetani na majini na wanasali misikitini.Yesu ndiyo njia ya ukweli na uzima.shetani anamuogopa yesu.Bwana Yesu asifiwe.

  • @DennisAnthony-j5y
    @DennisAnthony-j5y 2 дня назад

    Naipata wapi biblia ya vitabu 88?

  • @jacksule7557
    @jacksule7557 2 дня назад

    Mwalim benson umewah soma maudhui ya hypocripher au unalisha watu matango poli kama manabii wa kilokole wao wakijua kuomba tu na kuhubil wanafungua kanisa wanadai nionyeshwa

    • @Myahudiogw4d
      @Myahudiogw4d 2 дня назад +1

      We unaonaje

    • @Myahudiogw4d
      @Myahudiogw4d 2 дня назад +1

      Unaweje kuongea kitu ambacho huna uhakika nacho tena social media, jiongeze mzee..😎

  • @HABIBHASSAN-wf5mr
    @HABIBHASSAN-wf5mr 2 дня назад

    MWL ISAYA HAKUNA MTU YEYOTE AJUAYE BIBLIA ILITOKA NCHI GANI AU MJI
    ....ILA HII BIBLIA ILITOKANA NA UHALIBIFU WA VITABU VYA MUNGU YAANI TAURAT ZABURI NA INJIRI (ORIGINAL) NA

  • @phakundigervas1360
    @phakundigervas1360 2 дня назад

    Hiyo original ni Nani aliiandika? He hiyo biblia ni kazi ya mtu mmoja? Je ilikuwaje ikapotea? Je wewe unaipimaje kuona ni original? Nani aliyeishilia hadi Leo ambapo we ndo unaiamini eti ni original? Je Yupo mwenye mamlaka ya kuona hii ndiyo na hii ni feki?

  • @zaidiissa3714
    @zaidiissa3714 3 дня назад

    Benson hapa umetafuta ugovi na umetafuta matusi na kejeli kutoka kwa wahuni ambao hataki kuambiwa ukweli haswa wakristo maana hawataki ukweli wamezoea kudanganywa na bila uongo na kwadanganya ukristo hautakamilika asili ya Dini ya ukristo niuongo hakuna kitabu cha mungu kinachoitwa bibilia au bible vitabu vya mungu ni taurati ya nabii musa zaburi ya nabii Daud ingiri ya nabii issa au yesu na Quran ya nabii Muhammad Basi hizo nyingine bible au bibilia niporojotu za shetani na mwanadumu lakini kiukweli hakuna kitabu kinachoitwa bibilia ambacho mungu anakijua

    • @isayamwasile3103
      @isayamwasile3103 3 дня назад

      Haina shida kila mtu apambane na hali yake

    • @DennisAnthony-j5y
      @DennisAnthony-j5y 2 дня назад

      ​@@isayamwasile3103 naomba unisaidie kukipata chenye vitabu 88 kwa gharama yoyote

  • @mwamrasahamaro8473
    @mwamrasahamaro8473 3 дня назад

    Mi nasema kitu kimoja kuhusu yooote unayofundisha wasiojua, ktk Biblia kuna mstari mmoja unasema,nanukuu siku za mwisho watakuwepo waalimu wa uongo, mwisho, kwa mstari huu na mingine yenye kufanana na huo,nakuhakikishia hakuna atakayefanikiwa kufuta au kubatilisha ukweli wa Neno la MUNGU,

    • @fedinandnjeleka4102
      @fedinandnjeleka4102 2 дня назад +1

      Aaaa ama!kweli ukweli unapingwa sana na ukiujua unatiiisha sana.na njia ya Mungu wanaoiona ni wachache sana nawataitwa waongo mpaka watakapoondolewa na BWANA mwenyewe.wenzio tunaopekua maandiko tuna mwelewa sana

    • @fedinandnjeleka4102
      @fedinandnjeleka4102 2 дня назад

      @@mwamrasahamaro8473 sasa kama wewe una uchungu kweli na Mungu kwanini usi msikilize umwelewe?utakuja kupinga hata ujumbe wa hatari

  • @ogdosho93
    @ogdosho93 3 дня назад +1

    Mwalimu..Vipi wenzetu wale Quran yao imebadilishwa au iko vile vile? Na kwanini ya bible yetu ibadilishwe badilishwe kuna nini njama gani apo?

    • @sallo27.70
      @sallo27.70 3 дня назад

      Pia inamatoleo mengi sanaa..

    • @IsmailKhamis-c3t
      @IsmailKhamis-c3t 3 дня назад +2

      Quran haibadilishiki na mwenyezimungu amesema atailinda Quran

    • @ogdosho93
      @ogdosho93 3 дня назад

      Nataka anijibu mwalimu

    • @mussaabobakar7537
      @mussaabobakar7537 3 дня назад

      ​@@sallo27.70Quruan haijawah kubadilika ipo vile vile

    • @AdamHaonga-cp4lf
      @AdamHaonga-cp4lf 3 дня назад

      Imebadilishwa sana,hebu jaribu kuwauliza masheikh wengi watakuambia

  • @MtatuziTz
    @MtatuziTz День назад

    Una akili sana lakini unaongea mambo ulio yaota

  • @elijahmaragia1213
    @elijahmaragia1213 2 дня назад

    vitabu ni 73 na sio 78. hicho ndicho kigezo kinacho onyesha kutojua kwa msimulizi.

  • @emanueluroki6160
    @emanueluroki6160 3 дня назад

    Siria na roma hazifai hizo waroma sio wakristo hapo ni dini ya Rumi

  • @macaveliMula
    @macaveliMula 2 дня назад

    kama ethiopia ni center of worship kwa nini yule mkushi alikua anaenda yerusalem kuabudu

    • @EddyNdossi
      @EddyNdossi 2 дня назад

      Kwanza Unatakiwa kujua Jerusalem ya kweli ipo wapi... Siyo hiyo ya Wazungu ya Kutunga na kudanganya

  • @ponsianohongoli8567
    @ponsianohongoli8567 3 дня назад

    Sasa urus kama anaongoza kwa rasilimal kuzidi afrika mbona naye kaja afrika

  • @dandy_unique
    @dandy_unique 3 дня назад

    mwalim bado Nina swali hapo inanichanga ya ilikuwaje mwingereza alipo tawala et ikaja biblia ya vitabu 66...wakat kabisa lenye nguv Tanzania ni Romani catholic nalo liliazishwa na wazungu wakoloni na biblia inayotumia mpka sasa inavitatbu 72...ikiwa walokole wanaotumia biblia yenyevitabu 66 wamekuja juzikati ...

    • @zaidiissa3714
      @zaidiissa3714 3 дня назад +1

      Ndugu yangu usipoteze time hakuna kitabu kinachoitwa bibilia au bible kitabu ambacho alipewa nabii yesu au Issa nikitabu kimojatu kinachoitwa ingiri nabii Musa alipewa torati nabii Daudi alipewa zaburi nabii Muhammad Alipewa Quran huo ndio ukweli

  • @agustinoshechambo8122
    @agustinoshechambo8122 3 дня назад

    Hujafafanua biblia vizuriwewe ni mwanahistoria ya siasa

  • @wanguwangu34
    @wanguwangu34 3 дня назад

    Yesu hata kama angekuwa wa njano siyo issue hapo.

  • @wanguwangu34
    @wanguwangu34 3 дня назад +2

    Masomo ya Rafiki yangu siku hizi ni kulaumu wazungu tu wakati wameondoka over 60 years, pia issue ya vitabu kuwa 88 au 66 kwa imani ya mkristo haina maana yeyote, yako mambo muhimu sana ya kuhubili na kueleza kila mara lkn rafiki yetu asilimia kubwa yeye hulaumu tu wazungu sijui walikuja kuiba mali, sijui walileta dini nk, rudi kwenye hoja yako mambo mazuri sana huwa unahubili lkn accusations and complaint haziwezi kusaidia bara la africa maana ni ujinga wa waafrica kutobadilika wewe unakuta kiongozi akishika madaraka anataka familia nzima iwe madarakani na hataki kuondoka mpaka afie akiwa kwenya madaraka.

    • @PAULNYANDILE
      @PAULNYANDILE 3 дня назад +1

      wewe nilijinga la mwisho

    • @Jumamaduka240
      @Jumamaduka240 3 дня назад +1

      Anaongea na watu wengi sana wenye mtazamo tofauti.
      Wapo wanaofuatilia na kumwelewa maada kama hizi.
      Kipindi kile wewe unamwelewa na kutamani kusikia uchambuzi wake kila siku, naamini kuna wengine walikuwa hawamwelewi vilevile.
      Tuvumiliane tu watu wana mitazamo inayotofautiana.

    • @zaidiissa3714
      @zaidiissa3714 3 дня назад +1

      Wakristo hawataki kusikia ukweli haswa kwamba utawaambia kwamba Dini ya kweli ni muisilamutu watakushambulia na matusi

    • @Alex-n8w4d
      @Alex-n8w4d 3 дня назад

      Choko kweli wewe wazungu wameondoka mbona mimi nakutananao kila siku rod wana zurulura tu kama mende

    • @JomoKilawe
      @JomoKilawe 3 дня назад

      ​@@Alex-n8w4d😂😂😂😂