MARIAM MAMA MTAKATIFU WA MUNGU ALIKUFA AU ALIPAA KWENDA MBINGUNI?

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 янв 2025

Комментарии • 69

  • @Brunoh90Tv
    @Brunoh90Tv 15 дней назад +2

    Asantee sana mwalimu hili ni moja ya swali niliwah kuuliza, barikiwa sana mtumishi👏👏🙏

  • @PhilbertSayi
    @PhilbertSayi 15 дней назад +2

    Mwalimu MUNGU akubaliki sana nakufuatilia kwa mafundisho Yako uko vizuri maana Kuna mengi umenifumbua mno

  • @HerbertVicent
    @HerbertVicent 14 дней назад +1

    Pamoja sana mwalim Isaya.

  • @ogdosho93
    @ogdosho93 14 дней назад +1

    Ukristo unajichanganya changanya kila mtu anasema lake mara Jesus Mungu mara katumwa mara cjui nn

  • @EmmanuelMsigwa-y6z
    @EmmanuelMsigwa-y6z 11 дней назад +1

    Naona kitu furani katika kitabu Cha ufunuo 12 naona ukweli furani katika mafundisho ya wakatolik

  • @CivilEngineeringWorks-d7b
    @CivilEngineeringWorks-d7b 8 дней назад

    Ufunuo unasema
    Mariam alipaa mbinguni
    Hapa hauko sawa

  • @CharlesMisungwi-f8t
    @CharlesMisungwi-f8t 15 дней назад +2

    Mariam hakupaa na walahakuna unabiiwowote unao mutabilikuwa Naye angepalishwa mbinguni. yeye namemumewake walifariki kifo.chakawaida tu akibaki nasifa take yakuolewa akiwabikira hivyocheo chabikira Maria nikweli Mungu asingepitishia nafisi yake kwa binti mwenye ukwasiwazinaa hapomwalimu ukosawa.wakatoliki huenda waliwamba ngoma wakavutia ngozikwao wakifanya kufulu kwaMungu.

    • @JohnEugeni-f8m
      @JohnEugeni-f8m 14 дней назад

      Kama hakupaa toa uthitisho ALIKUFA na kuzikwa usitoe maoni na fikra

  • @mutiembingi-le6kz
    @mutiembingi-le6kz 7 дней назад

    Hacha hakuna mama wa mungu

  • @Issa-ud6sy
    @Issa-ud6sy 12 дней назад

    Usidanganye watu,kipindi hicho hapakua na kanisa

  • @PhilbertSayi
    @PhilbertSayi 15 дней назад +4

    Mariamu alipata watoto wengine baada ya kumzaa yesu

  • @PhilbertSayi
    @PhilbertSayi 15 дней назад +3

    Naomba unijibu au utoe video inayo fundisha maombi ambayo yanamfikia MUNGU haraka, naomba unisaidie sana mtumishi nasumbuka sana🙏🙏

    • @ShafyMtupil
      @ShafyMtupil 15 дней назад +2

      Msujudie bwana mungu wako umuabudu yeye pekeyake

    • @PhilbertSayi
      @PhilbertSayi 15 дней назад +1

      @ShafyMtupil sawa

    • @innocentmathias8668
      @innocentmathias8668 15 дней назад +1

      Mwalimu alishafundisha kuwa maomb yako yaendane na sadaka na zaka halafu pia kuwa na imani ukiwa na haraka ya majibu yako utajikuta unahamia upande mwingine ili usaidiwe kwa haraka shida zko

    • @PhilbertSayi
      @PhilbertSayi 15 дней назад

      @@innocentmathias8668 hiyo video 📷 sijaiona

    • @zaidiissa3714
      @zaidiissa3714 14 дней назад

      Ukristo niungiungitu hakuna ukweli wowote wala uhakisia wowote nikupelekana pelekanatu kama ngombe au kondii au nyumbu😂😂kila mchungaji anafundisha anavyo waza kichwani mwake😂😂

  • @numohammed926
    @numohammed926 13 дней назад

    Acha kudanganya watu hamueleweki mnajichanganya uongo mwingi

  • @amaindikumana
    @amaindikumana 15 дней назад +1

    Mutuaakiwowawekewawili

  • @leonardmabula9472
    @leonardmabula9472 8 дней назад

    Mariam kama alibaki kwa Yohana ,Yusufu alielekea wapi?

  • @PhilbertSayi
    @PhilbertSayi 15 дней назад +1

    Ninaswali..ulisema Kuna mbingu 12 je wakati tunaomba mahitaji yetu kwa MUNGU je Huwa anayapokea yeye au ni wale malaika zake, maana mm Kila nikimuomba hanijibu au Mungu hanisikii maombi yangu?

  • @AsnatDeodatus
    @AsnatDeodatus 15 дней назад +1

    Je yesu alikuwa wapi miaka13 na 29 mwalimu tusaidie kujua

  • @Bahati47
    @Bahati47 15 дней назад +1

    Caption imeniwacha mdomo wazi eti MARYAM MAMA MTAKATIFU wa MUNGU 🤔🙊 ivi kumbe MUNGU ana mama? Jamani hii ni kufuru iliyo dhahiri

  • @SevenKarafuli
    @SevenKarafuli 14 дней назад

    Uwongo huwo kwangu Mariam hana neema kuliko mamangu

  • @MidoMidomore
    @MidoMidomore 14 дней назад +1

    kumbe Yesu alizaliwa na mtu?

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 14 дней назад

    Kwenye upande wa dini huwa sikuelewi kabisa labda Kwenye siasa upo vizuri? Ila Kwenye dini muachia Daniel mwankemwa na ndacha.

  • @JohnEugeni-f8m
    @JohnEugeni-f8m 14 дней назад

    Uthinitisho alikufa usitoe maoni maana huna uthitisho unatuletea maoni
    Maoni sio ukweli tunataka "fact"

    • @furahachuma9039
      @furahachuma9039 14 дней назад

      @@JohnEugeni-f8m Asante sana mtumishi. Maana naona hapa waumini wake wanayapokea hata bila kuchuja. Yaani anatumia nadhalia kuhalalisha hoja yake.

    • @JohnEugeni-f8m
      @JohnEugeni-f8m 14 дней назад

      @furahachuma9039 yaan anajibu mambo magumu Kwa maoni tu na watu wanakubali maoni kama ukweli halisi hahahaaaa!!!

    • @furahachuma9039
      @furahachuma9039 14 дней назад

      @JohnEugeni-f8m Wamiishashikiwa akili hao. Ngoja aendelee kuwaburuza ha haaaaa

  • @leonardmabula9472
    @leonardmabula9472 8 дней назад

    Mataifa kama LIBYA,aIrani,Syria,Lebanoni,Urusi,Ulaya,Africa,India yanaitwaje kibiblia?

  • @furahachuma9039
    @furahachuma9039 15 дней назад +7

    Kwa Mariamu umetudanganya. Kama unafundisha kupitia biblia, tupe kifungu kinachoonyesha Mariam alikufa.

    • @PhilbertSayi
      @PhilbertSayi 15 дней назад +5

      @@furahachuma9039 ww utakuwa hujui tu yule Mariam alikuwa binadamu kama sisi tu

    • @furahachuma9039
      @furahachuma9039 15 дней назад +2

      @PhilbertSayi Wala sijapinga, shida ni maelezo ya huyo mchungaji. Ametoa nadhalia za kuhisi bila kuwa na uhakika.

    • @PhilbertSayi
      @PhilbertSayi 15 дней назад

      @@furahachuma9039 sawa hapo nimekuelewa kabisa 🤝 je kama pengine unaweza kujua tuelimishe maana hayo ndiyo maswali mengi tunayo uliza

    • @hassanisaidi5422
      @hassanisaidi5422 15 дней назад +2

      Bc tuambie wewe unachojua maana unasema kadanganya

    • @furahachuma9039
      @furahachuma9039 15 дней назад +1

      @hassanisaidi5422 Sina muda na mafundisho yenu ya usabato na uislamu

  • @MuganwaPatrick-jy3fx
    @MuganwaPatrick-jy3fx 15 дней назад +2

    Mbona na wewe huwaga unaweka picha za wazungu yesu mzungu maria mzungu na wewe ni miongoni ya watu ambao wanatupotosha

    • @MchungajiNzelani
      @MchungajiNzelani 14 дней назад

      Mbona hupendi wazungu walikufanyaje ndugu yangu

    • @MuganwaPatrick-jy3fx
      @MuganwaPatrick-jy3fx 14 дней назад +1

      @MchungajiNzelani kwani hujui walichokifanya Kwa mababu zako kwani hujui wanachokifanya nchini congo

  • @MtumishiWaMungu-c6m
    @MtumishiWaMungu-c6m 15 дней назад

    Weweee!.ucpotoshe.Go to the ETHIOPIAN BIBLE