Poleni sana kwa maafa na Mungu aendelee kuwatetea. Ushauri wangu, Wazazi tujitahidi kulinda watoto kwa kufanya maamuzi sahihi na tujali afya zao kuliko kujali hiyo elimu. Tunapoona mvua ni nyingi na hali za barabara haziko vizuri,tusiwaachie watoto kutoka kwenda shuleni.bora mtoto akose masomo hata kama ni wiki nzima lakini awe salama. Na mashule pia waalimu wawe makini,wakiona hali ya hewa au mvua zimenyesha sana ,ikiwa watoto walikua shuleni tayari,wasiwaruhusu kutoka shuleni mpaka hali itengamae,na pia kama hali ikionekana sio nzuri wawaruhusu watoto watoke mapema kuliko kiwashikilia shuleni na kuwaachia wakati mvua zinanyesha au ndo zimekatika.
Hakika umeongea mawazo yangu hiki ndio kinatakiwa kifanyike hii nchi bhana inasubiri watu wakishakufa ndio miundo mbinu itengenezwe ninapoishi tu Mimi barabara hazina mtaro mvua zikinyesha tu hivi maji yanazagaa barabarani sio Nini maana ya kuchangua viongozi kwanzia ngazi ya juu mpaka chini
Innalillah wa innaillahi rajiuun polen saba wafiwa Serikali chukueni ushauri huuu maaana naona kama bado hamna wa kuwashauri! Kila kipindi cha mvua kali kama hivi! Ebu mtoe kauli kuwa shule zote zifungweeee kupisha hali ya mvua na maji! simpo tu mbona nchi za wezetu barafu likizidiiu shule vyuo inafungwa mpka barafu lilipite!!!
Inauma sana isitoshe watoto wamefarik Kwa uzembe tu naupuuz wa watu wachache. Nawanafahamika. Akiwemo dereva. Nabado atakua Hulu muuaji huyu.kama angekua anajua. Kua ipo Sheria kari. Sana. Ukisababisha vifo au unatiwa kitanza asinge fanya mazoea na uhai wawatoto hao., Da!! inaumiza sana ,
😢😢😢inauma sana kupoteza ndugu zetu wakiwa bado tunawaitaji,poleni sana.ktk hiki kipindi chá mvua ni vizuri vyombo vyetu mbalimbali vya habari pamoja na wataalamu wa hali ya hewa wakishirikiana na tanroad kuimarisha miundo mbinu.vilevile wenyeviti wa vijiji wajitaidi kuchangiza madaraja makubwa yejengwee
Polen sn mungu awatie nguvu Ila madereva baadhi hawasikii ushauri wakipewa kwanza wanakimbiza sn ukimwambia apunguze mwendo ndio anaongeza kwa hiyo Sheria ichukue mkondo wake
RIP, WOTE , MAJERUHI WAPONE NA WAZAZI WA WANAFUNZI POLENI, NA HIZ MVUA KWELI ZIMELETA SHIDA SANA TOKA ZIANZE, SI HAHANG, SI ARUSHA SI KILIMANJARO NK. TUOMBE MUNGU ATUSAIDIE ATUOKOE NA HILI.
Tatizo arusha mko wabishi sana! Kwani mnakuaga hamwoni maji! Mnalazimisha hata kwenye hamna! Kila dereva ni wajibu wake kuwa na uhakika wa mbele anakoelekea! Ukitia shaka unaacha!
Poleni wafiwa.Ushauri wangu hizi shule zinazobeba watoto ziwe na matron/mwalimu kuhakikisha usalama wa watoto.Si dhani kama kungekuwa na matron angekubaliana na dereva kupita na ku-risk maisha ya watoto hao
Madereva mnaowabeba watoto kuweni makini jamani. Shule zetu binafsi tuangalie madereva tunaowaajiri. Tutunze uhai wa watoto. Very sad. RIP our dear childre.
Mbunge anasema katika maafa haya "ni vizuri Tanesco waone.....! Jamani inauma, inauma sana uhai wa watoto wadogo unatoweka hivi hivi kizembe! Hapana, hii haikubaliki! Poleni wazazi katika kipindi hiki kigunu sana!
Huo ni uzembe wa hali ya juu na msimuite ni dereva sababu dereva hawezi kuwa mpumbavu kiasi hicho. Tanzania wamejaa watu ( madereva) wa namna hiyo. Serikali na polisi waejee kwenye watu wanaopewa leseni za kuendesha magari. Poleni ndugu zetu
Hii shule ni ya ovyo sana wazaz kuwen makin sana kwani mwezi wa pili Babat mjin manyara mwalimu aliekuwa akiendesha gar ya ghat alisabanisha kifo cha dada yangu kwaajili ya uzembe serikal hii shule ina shida na aliyekuwa akiendesha ni mwalimu na sio dereva
Nafunga roho za ajali na mauti kwa jina la YESU: mareho ya Vigo nayafunga yote:
Inalillahi wainailahi rajuun. ...poleni sana Allah awape subra kwa mtihani mzito. Poleniwafiwa
Polen San jmn alla awatie nguv
Mungu awape subraaa
Poleni sana kwa maafa na Mungu aendelee kuwatetea.
Ushauri wangu, Wazazi tujitahidi kulinda watoto kwa kufanya maamuzi sahihi na tujali afya zao kuliko kujali hiyo elimu. Tunapoona mvua ni nyingi na hali za barabara haziko vizuri,tusiwaachie watoto kutoka kwenda shuleni.bora mtoto akose masomo hata kama ni wiki nzima lakini awe salama. Na mashule pia waalimu wawe makini,wakiona hali ya hewa au mvua zimenyesha sana ,ikiwa watoto walikua shuleni tayari,wasiwaruhusu kutoka shuleni mpaka hali itengamae,na pia kama hali ikionekana sio nzuri wawaruhusu watoto watoke mapema kuliko kiwashikilia shuleni na kuwaachia wakati mvua zinanyesha au ndo zimekatika.
Hata Mimi niliwaza kama ww🙏
Hakika umeongea mawazo yangu hiki ndio kinatakiwa kifanyike hii nchi bhana inasubiri watu wakishakufa ndio miundo mbinu itengenezwe ninapoishi tu Mimi barabara hazina mtaro mvua zikinyesha tu hivi maji yanazagaa barabarani sio Nini maana ya kuchangua viongozi kwanzia ngazi ya juu mpaka chini
Ushauri mzuri sana
Well said
Poleni sana wazazi mungu awape nguvu na ujasiri ktk kipind hich kigumu
Ee Bwana Yesu
Innalillah wa innaillahi rajiuun
polen saba wafiwa
Serikali
chukueni ushauri huuu
maaana naona kama bado hamna wa kuwashauri!
Kila kipindi cha mvua kali kama hivi!
Ebu mtoe kauli kuwa shule zote zifungweeee kupisha hali ya mvua na maji!
simpo tu mbona nchi za wezetu barafu likizidiiu shule vyuo inafungwa mpka barafu lilipite!!!
Innalillah wainnailayhirajjiuun
Mola awape subra wafiwa na awafariji nafsi zao
Poleni sana wafiwa,, 😢😢😢 tuweni makini sana kipindi hiki cha mvua..... wapatikane jaman tu
Poleni San ndugu na jamaaa 😭😭😭
❤
Inauma sana isitoshe watoto wamefarik Kwa uzembe tu naupuuz wa watu wachache. Nawanafahamika. Akiwemo dereva. Nabado atakua Hulu muuaji huyu.kama angekua anajua. Kua ipo Sheria kari. Sana. Ukisababisha vifo au unatiwa kitanza asinge fanya mazoea na uhai wawatoto hao., Da!! inaumiza sana ,
Polen sana mungu asaidie wapatkane
Mungu awafanyie wepes polen sana😮😮
Mungu wa uweza akawe faraja kwenye familia poleni saana watu wa Arusha
Mungu baba wafunge mkanda watu wako
😢😢😢inauma sana kupoteza ndugu zetu wakiwa bado tunawaitaji,poleni sana.ktk hiki kipindi chá mvua ni vizuri vyombo vyetu mbalimbali vya habari pamoja na wataalamu wa hali ya hewa wakishirikiana na tanroad kuimarisha miundo mbinu.vilevile wenyeviti wa vijiji wajitaidi kuchangiza madaraja makubwa yejengwee
Nimesikia uchuku sana jamani,daa,poleni sana ndugu zetu,mungu awape subra
Poleni Sana wafiwa wote madereva wanaoendesha magari ya shule wote mnasitaili mjitambue mkiwa barabarani
TANESCO ,TANESCO,TANESCO . Wao ni kina nani hasa? Mungu tusaidie .
Poleni sana mliokumbwa namkasa huu Mungu watie nguvu.
poleni wote mliopatwa na msiba huu mzito kiukwel inaumiza sana tena sana na Mungu awatie nguvu
Polen sn mungu awatie nguvu Ila madereva baadhi hawasikii ushauri wakipewa kwanza wanakimbiza sn ukimwambia apunguze mwendo ndio anaongeza kwa hiyo Sheria ichukue mkondo wake
Polen Sana familia mliopatwa na janga hilo,Bwana awatie nguvu ktk kipind hiki kigumu 😂😂😂😂
Poleni sana MUNGU awatie moyo na nguvu wakati huu mgumu.
😭😭😭😭😭😭😭inauma sana jamani watt wetu.
Poleni sana wazazi wenzetu Mungu awatie nguvu jamani
Mungu awatie nguvu wazazi wa watto hawa
Arusha Arusha Arusha mwombeni Sana Mungu huku mkitubu. Acheni mzaha
Poleni sana wafiwa ila mungu mpokee kijana na apumzike kwa amani
Daaah jamn jamn Mungu wangu jamn daah madereva Hawa hawaelew wanabeba roho za watu jamn na kaonywaa na watu usipitwe jamn
poleni wapendwa mungu azilaze roho zao mahali pema peponi
Dereva kwa kweli awajibishwe
Aise hao Tanesco wao dola mpaka wakatae daraja lisijengwe vpi aise achen kufanya maigizo
Polen san mung awape moyo wa ubira wafiw katk kipind hik kigum inalillah wainalulah rajiun
Arusha uchunguzi ufanyike haraka sana jamani wao na majanga tu kwa wanafunzi naile ajali nyingine iliua wanafunzi
Polen sana wapendwa .Mungu awape subra n Faraja
Poleni sana Ghati memorial na wote waliopatwa na msiba huo Kwa kuwapoteza wadogo zetu😢
RIP, WOTE , MAJERUHI WAPONE NA WAZAZI WA WANAFUNZI POLENI, NA HIZ MVUA KWELI ZIMELETA SHIDA SANA TOKA ZIANZE, SI HAHANG, SI ARUSHA SI KILIMANJARO NK. TUOMBE MUNGU ATUSAIDIE ATUOKOE NA HILI.
Poleni sana jamani MUNGU awatie nguvu wazazi wote mliopoteza watoto jamani
Poleni sana wenzetu! Mungu awatie nguvu.
Inna lillaahi wainna ilayhi raajiuun ... sababu ya msingi TANESCO kuzuia daraja lisijengwr ni nini?? angalia sasa mpk maafa yametokea dah!
Arusha mbna wanafunzi wanapataga sana ajari kuna nn arusha
Aiseee
Mungu watiye nguvu wafiwa waliyo poteza wa tto wao
Tatizo arusha mko wabishi sana! Kwani mnakuaga hamwoni maji! Mnalazimisha hata kwenye hamna! Kila dereva ni wajibu wake kuwa na uhakika wa mbele anakoelekea! Ukitia shaka unaacha!
Poleni sana
Poleni sana ndugu zetu wazazi wezangu Mungu awatie nguvu
Mwenyezi mungu awarehemu marehemu wote waliofariki,na awaponye haraka majeruhi. Amina
Mungu azilaze roho za marehemu mahari pema peponi Amin,watie nguvu mungu hawa hawa waliowapoteza ndugu zao
Poleni sana wafiwa mungu awatie nguvu
Solution n kujenga Daraja kubwa sio kumlaum tuu Dereva, na walimu kwa wazazi km mvua n kubwa sio lazima tuwaruhusu watoto waende shule, kwa usalama😢
Duuh! Mungu azilaze Roho za marehemu mahali pema peponi. 🙏🙏Poleni sana ndugu na jamaa
Dereva huyu hivi kweli hajataka kuwa muelewa kabisa jamani
Daaaah poleni sana memorial society na wazazi mliopoteza wapendwa wenu mungu awape uimara na subira zaidi katika hilo jambo
😭😭😭 inauma sana mungu akawe faraja na kuwatangulia kwa kila hatua
Poleni wafiwa.Ushauri wangu hizi shule zinazobeba watoto ziwe na matron/mwalimu kuhakikisha usalama wa watoto.Si dhani kama kungekuwa na matron angekubaliana na dereva kupita na ku-risk maisha ya watoto hao
Matron alkuwepo humo humo
@@DainessOlange Duh!kama amenusurika anastahili kuwajibika awe fundisho kwa matron/patron wengine kuwa serious na safety ya watoto
Kwan matron si alikuepo au ujasikia apo
matroni alikuwepo inategemea na akili ya matroni ikoje
Matron alikuwepo na alimwambia dereva ila inaonesha dereva alimpuuza
Yaan lile lile la lack Vicente limejirudia
Madereva mnaowabeba watoto kuweni makini jamani. Shule zetu binafsi tuangalie madereva tunaowaajiri. Tutunze uhai wa watoto. Very sad. RIP our dear childre.
Poĺeni sana na Mungu watie nguvu
poleni sana
Sio zuri daraja viongoz wanakazi ya kura pesa tu na sio kubadrisha miundombinu ya barabara na madaraja toka mikoron wajenge mbaka reo
Mungu awatetee wafiwa kipindi hiki kigumu poleni sana
Arush mna nini jaman Derev unaambiw akufai kupit unachek kweli jaman unatuulia wadog zetu waliyekuf wamekuf wakiwa wanaon jaman daah
Changa moto tu ya mkuu wa mkoa mpya poleni sana Wana arusha
Tanesco wanahusikaje na ujenzi wa daraja
Poleni sana wana Arusha pamoja na wazazi walioondokewa na wtto wao mwenyezi mungu awatie nguvu
Vimeanzia Hanang vimekuja Arusha. Something is to be done in the spiritual realm
Arusha siku za hivi karibu matukio ya Ajali yamekuwa mengi zaidi yakijitokeza Kuna nn Arusha😢
Mbunge anasema katika maafa haya "ni vizuri Tanesco waone.....! Jamani inauma, inauma sana uhai wa watoto wadogo unatoweka hivi hivi kizembe! Hapana, hii haikubaliki! Poleni wazazi katika kipindi hiki kigunu sana!
Mungu wape wazazi amani siyo mwanadamu
Poleni sana wafiwa
Arusha imekuwa ya ajari za wanafunzi poleni wana arusha poleni wazazi mlio poteza watoto
Innah lillah wainna ilayhi rajiun Allah amrehemu poleni sana.
R.I.P
Uyu kaka alishindwa kupiga kelele kuita watu waokoxi
Kuna agano lipo juu ya wanafunzi maan aiwezekanai kila mwaka ni wao tu 😭😭😭
Inallilah wainailaih Tamaa mbaya lazima dereva achunguzwe
Serikal hawana akiri hv kweli.mvua kubwanhivo lazima.kusoma
Kwahiyo serikali ndio imepeleka wanafunzi shule??? Au mvua ndio changamoto?
Wee utakua huna utimamu serikali ndio imeleta mvua? Mwenye makosa ni dereva husika.
Mtoto asippoenda shule wikimoja tu kupisha mvua kwanikinatokea nini
Alllah awape subira wale wote waliofikwa na mitihani huu
Poleni sana ila huu ujinga wa kuwageuza watoto wetu msukule kwa niaba za wamiliki wa mashule achaneni na ushirikina,
Huo ni uzembe wa hali ya juu na msimuite ni dereva sababu dereva hawezi kuwa mpumbavu kiasi hicho. Tanzania wamejaa watu ( madereva) wa namna hiyo. Serikali na polisi waejee kwenye watu wanaopewa leseni za kuendesha magari. Poleni ndugu zetu
Poleni sana jaman
Hii shule ni ya ovyo sana wazaz kuwen makin sana kwani mwezi wa pili Babat mjin manyara mwalimu aliekuwa akiendesha gar ya ghat alisabanisha kifo cha dada yangu kwaajili ya uzembe serikal hii shule ina shida na aliyekuwa akiendesha ni mwalimu na sio dereva
Poleni jamani wafiwa mungu aingilie kati jamani napata maumivu makali sana
Mmmh, jamani poleni
Mungu tuteteee
kuna watu wanaohusika kweny uzembe huu wa ukosefu wa daraja poul makonda,aanze nao tyu😎😎
Poleni sana wazazi ,poleni wafiwa wote .
Poleeni sanaaa mungu awape wepesii
poleni sana 2:10
Sasa mimi najiuza Tanesco wana mamlaka gani juu ya Serikali na kupiga Daraja lisijengwe
Inauma inauma sana
Navunja kila roho za sjar
Mungu watie wazaz wote nguvu na ujasiri katika kipind hiki
Jamani Mungu awatetee watoto uwiii
Msimlaum dereva kila kitu ni Qadarllah
Pole sana wamama wa Arusha
Poleni sana wote ambao wamefikwa na matatizo hayo. MUNGU awafanyie wepesi katika hili
Tanesko nani kuziia kujengwa dalaja acheni ujinga nyinyi Wana ccm mmefulaiya sasa maafa yaliotokea acheni kuwatesa Wana nchi
Ewe Mwenyezi Mungu. Tunaomba utuepushe dhahama hii.