Poleni sana majeruhi na wafiwa inauma sana sana umemuandaa mtoto aende shule baada ya mda mfupi unaambiwa hayupo tena duniani.😭😭 Mungu awatie nguvu waliokutwa na huu msiba jamani😭😭 Mimi nashauri kwa serikali kama mvua zitaendelea hv shule zifungwe hadi mwezi watano mwishoni mda huu wa masika alafu mwezi wa sita wafungue na hakutakuwa na likizo ndefu tena ile ya katikati ya mwaka ili wafidie Nasema hv kwasababu watoto wanateseka sana asubuhi na jioni kunapokuwa na mvua hasa wanaosoma shule za kawaida wasio na magari ya shule wananyeshewa sana hii inawezasababisha hata magonjwa kwa watoto. Nahata hawa wenye magari wanakwama hovyo hata magari hayawezi kuwafuata nyumbani tena inabidi kutembea umbali mrefu hadi palipo na lami sasa mateso yote haya kwa watoto wetu yanini. Mfano mzuri ona hiki kilichotokea leo.Chonde chonde serikali yetu sikivu tunaomba ile likizo ndevu ya katikati ya mwaka iwe kipindi hiki cha masika watafungua mwezi wa sita alafu waunge hakuna likizo tena labda ile ya wiki ya mwezi wa 9 tu. Mbona kipindi ya korona walikaa nyumbani namambo yalipokuwa shwari wakaendelea vizuri tu? Tunaogopa sasa hadi kuruhusu watoto waende shule wengi watakuwa tu watoro kwakweli kuliko aende usikie haya acha abaki tu nyumbani apitwe na masomo😭😭 Ushauri wangu wa pili uwaendee wenyeshule wawe makini na madereva wanaowakabidhi magari kuwaendesha watoto haiingii akilini mtu anaona maji ni mengi alafu anapita hii inadhihirisha hayuko sawa kabisa tumeshaona ajali nyingi mashuleni kutokana na uzembe wa madereva chondechonde shule zetu muwe makini na hao mnaowapa dhamana kutubebea wanetu jamani😭😭😭😭
Shida nadereva wengi awafati utaratibu na maelekezo ya usalama pindi mvua inyeshapo. Utaratibu unaeleza nikosa kuingiza gari sehemu ambayo maji ni mengi au Kuna daraja afu maji yapita juu ya daraja mda mwengine daraja laweza kuwa limekatika au majii yameongeza kina Cha mto au mfereji. Dada umeongea Kwa hisia Sana ila ushaur wako ni mzur
Pole kwa shule wazazi dereva n muhudumu wa gari ...kingine wazazi wawe waelewa pia mukiambiwa gari alifiki sehemu husika wazazi mukubli kusogeza watoto sehemu husika
Hata wenye magari ya shule wasiwape vijana vijana kuendesha magari sababu angekuwa anaendesha mzee asingepita na wanfunzi hapo huo ni uzembe na ubishi wa dereva.
Poleni sana majeruhi na wafiwa inauma sana sana umemuandaa mtoto aende shule baada ya mda mfupi unaambiwa hayupo tena duniani.😭😭 Mungu awatie nguvu waliokutwa na huu msiba jamani😭😭
Mimi nashauri kwa serikali kama mvua zitaendelea hv shule zifungwe hadi mwezi watano mwishoni mda huu wa masika alafu mwezi wa sita wafungue na hakutakuwa na likizo ndefu tena ile ya katikati ya mwaka ili wafidie Nasema hv kwasababu watoto wanateseka sana asubuhi na jioni kunapokuwa na mvua hasa wanaosoma shule za kawaida wasio na magari ya shule wananyeshewa sana hii inawezasababisha hata magonjwa kwa watoto. Nahata hawa wenye magari wanakwama hovyo hata magari hayawezi kuwafuata nyumbani tena inabidi kutembea umbali mrefu hadi palipo na lami sasa mateso yote haya kwa watoto wetu yanini. Mfano mzuri ona hiki kilichotokea leo.Chonde chonde serikali yetu sikivu tunaomba ile likizo ndevu ya katikati ya mwaka iwe kipindi hiki cha masika watafungua mwezi wa sita alafu waunge hakuna likizo tena labda ile ya wiki ya mwezi wa 9 tu. Mbona kipindi ya korona walikaa nyumbani namambo yalipokuwa shwari wakaendelea vizuri tu? Tunaogopa sasa hadi kuruhusu watoto waende shule wengi watakuwa tu watoro kwakweli kuliko aende usikie haya acha abaki tu nyumbani apitwe na masomo😭😭
Ushauri wangu wa pili uwaendee wenyeshule wawe makini na madereva wanaowakabidhi magari kuwaendesha watoto haiingii akilini mtu anaona maji ni mengi alafu anapita hii inadhihirisha hayuko sawa kabisa tumeshaona ajali nyingi mashuleni kutokana na uzembe wa madereva chondechonde shule zetu muwe makini na hao mnaowapa dhamana kutubebea wanetu jamani😭😭😭😭
Shida nadereva wengi awafati utaratibu na maelekezo ya usalama pindi mvua inyeshapo. Utaratibu unaeleza nikosa kuingiza gari sehemu ambayo maji ni mengi au Kuna daraja afu maji yapita juu ya daraja mda mwengine daraja laweza kuwa limekatika au majii yameongeza kina Cha mto au mfereji. Dada umeongea Kwa hisia Sana ila ushaur wako ni mzur
Pole kwa shule wazazi dereva n muhudumu wa gari ...kingine wazazi wawe waelewa pia mukiambiwa gari alifiki sehemu husika wazazi mukubli kusogeza watoto sehemu husika
.
Poleni Mungu awafunge mikanda
Mungu wasaidiee watoto hao
kweli wazazi tuwe nahuruma mvua kubwa vile lazma tuchukue tahadhari usimuandae mtoto kwenda shule wakati unaon hali sio nzurii
Unaumwa sana jamani! Poleleni sana wazaz
polen sana inauma
Arusha mna asila gani na watoto wa shule ajali ni watoto washule tu
Polen sana mlioathirika lakin uzembe wa dereva unatokana na alilokadiria mwenyezimungu
Maji ni kidogo lakin mijiza gani ten arusha kila mvua ikinyesha inaleta maafa polen wafiwa pamoja na waliokolewa
Lawama zisiwe nyingi kwa deleva, shule inge fungwa wakati kama huu wanvua, yasinge tokea haya, 📌📌📌
kabla ya kumlaumu dereva,lawama kwanza kwa wazi,hivi li-mvua lote lile asubuhi unaruhusu watoto waende shule alfajiri!?tena bado hakujambazuka??
WANAFUNZI WAPEWE MAPUMZIKO MAFUPI, IKITOKEA HALI YA NVUA KUA NYING,
📌📌📌
Poleni Sana jamani
Poleni sana,
Huyu dereva ahukumiwe kunyogwa ili iwe fundisho kwa madereva wengine
HALI YA HEWA IKIWA MBAYA HIVYOO KWANINI MUNARUHUSU WATOTO KWENDA SHULE?????
Trafki wanaopiga touching barabarn wasisahau miundombinu
Poleni Dana mungu awatie nguvu😢😢😢😢😢
Mm
Hata wenye magari ya shule wasiwape vijana vijana kuendesha magari sababu angekuwa anaendesha mzee asingepita na wanfunzi hapo huo ni uzembe na ubishi wa dereva.
Huwezii jua ndugu Mzee au kijana ajali inatokea tuu
Kiukweli misimu kama hii watoto wapumzishwe tu nyumbani arusha miundo mbinu ya barabara ni mibovu sana
🤔🤔🤔🤔🙏🙏🙏🙏
😭😭😭😭😭😭😭
POLENI SANA
pole sana
ruclips.net/video/7uIz68s0CrE/видео.html