SIRI NZITO ZANZIBAR: OTHMAN MASOUD AFUNGUKA/ ALICHOKIACHA MAALIM SEIF/ UCHAGUZI 2025

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 июн 2022
  • MAKAMO WA KWANZA WA RAIS WA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR OTHMAN MASOUD AMEFANYA MAHOJIANO MAALUM NA DAR24 MEDIA, NA KUELEZA MENGI YANAYOHUSU UHUSIANO ULIOPO KATI YAKE YA RAIS HUSSEIN ALLY MWINYI, ACT WAZALENDO NA CCM PAMOJA NA UTULIVU ULIOKITHIRI VISIWANI HUMO.
    --
    Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbalimbali.
    JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
    ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
    ⚫️ Website: www.dar24.com
    ⚫️ Instagram: @Dar24news
    ⚫️ Facebook: @dar24
    ⚫️ Twitter: @Dar24News
    #ZANZIBAR #MAKAMOWARAIS #OTHMANMASOUD

Комментарии • 18

  • @oscarezekiel1826
    @oscarezekiel1826 2 года назад +3

    Bright leader, well said.

  • @ridhwanfaki9738
    @ridhwanfaki9738 2 года назад +4

    Zanzibar bila tanganyika inawezekana watanganyika waache ukoloni mamboleo muache kuinyanyasa zanzibar tuwacheni tupumuwe

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 2 года назад +3

    ZANZIBAR NI LAZIMA IWE HURU ILI IPATE MAENDELEO, MAMLAKA KAMILI YA ZANZIBAR BILA YA MUUNGANO NA TANGANYIKA.

  • @user-et3de6kk3z
    @user-et3de6kk3z 9 месяцев назад

    Hapo sawa Brother nakuelewa vizuri tuu

  • @hasbunakhamis487
    @hasbunakhamis487 Месяц назад

    Good

  • @saidkhamis9125
    @saidkhamis9125 2 года назад

    Uchumi wa Tanzania hauwezi kukuwa kwa sababu hao wakusanyaji wote wezi kila sehemu inavuja na wao hawawezi kchukuliana hatua kwa na mfumo wizi ambao uliasisiwa kiwizi wizi kws kuwa wazalendo na wengi waliotawala nchi si wenye uvhungu na nchi kwa kuwa si kwao

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 2 года назад

    MAPAMBANO YA DAWA ZA KULEVYA DAWA YAKE NI DEATH SENTENCE( HUKUMU YAKE NI KIFO).

  • @SalehRashid-zz7dc
    @SalehRashid-zz7dc Месяц назад

    MUUNGANO HATUUTAKI

  • @SalehRashid-zz7dc
    @SalehRashid-zz7dc Месяц назад

    Ah muungano gani huu ww?

  • @omolomaxfitnessbodylifetim8252
    @omolomaxfitnessbodylifetim8252 2 года назад

    Rwanda Land area is 26,338 square kilometers and 2021-2022 budget was 4.441b$ sawa na 10,356,412,000,000.00 Tanzanian Shillings na 75% inatoka ndani 25% ni misaada ya kimataifa inayopitia kwenye budget kuu mimi nipo Kigali Mimi ni Mhandisi hapa

  • @barakashamte3273
    @barakashamte3273 2 года назад +1

    Othuman achana na tabia ya NDUMILA KUWILI na UNAFIKI rudi ACT tupambane majukwaani

    • @jumamohamed3168
      @jumamohamed3168 Год назад +1

      Wacha unafiki wewe huyu jamaa anaonekana wazi hana hiyo tabia ya ndumila kuwili .

    • @AliAbdullah-oy6yo
      @AliAbdullah-oy6yo Год назад

      Wewe ndio mnafiq mkubwa nyinyi ndio mnaotukwamisha Zanzibar mabunju mijitu kama ww Baraka Shamte hamna faida.

    • @user-ki4sg8yz9j
      @user-ki4sg8yz9j 9 месяцев назад

      Mnafiki ni wewe ulomktaa Dr. Mwinyi lakini kwenye majukwaa unajidai kumsifu. Mwanakharamu wa kipemba huna radhi za wazee wako.

    • @user-ki4sg8yz9j
      @user-ki4sg8yz9j 9 месяцев назад

      Wee baraka shamte una laana. Mshenzi mkubwa

    • @ibrahimame9805
      @ibrahimame9805 3 месяца назад

      Mwanakharam ni babako na mamako mnyamwezi we