KUJICHUA HAKUPUNGUZI NGUVU ZA KIUME, DAKTARI AFUNGUKA SABABU YA NGUVU ZA KIUME KUPUNGUA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 янв 2025

Комментарии • 159

  • @jumatamimu6841
    @jumatamimu6841 Год назад +6

    Duh watangazaji msiwaharibu watu mtalaaniwa haya mungu yupo

  • @MRBBRANDONLINETV
    @MRBBRANDONLINETV Год назад +1

    It is me mzee wa nyundo na misumari ya moto 🔥 presenter from @SUVIVAL ONLINE TV KIKUBWA NI KWAMBA HUWO NI UTARATIBU MZURI WA KUMCARE MGENI NA KUFANYA KIOINDI KISIPOE SO MMEFANYA KAZI NJEMA MIMI NIMETAZAMA KIOINDI HADI MWISHO ❤❤❤❤

  • @ShabranAmiriMuhamedi
    @ShabranAmiriMuhamedi Год назад +2

    Nawapata vizuri sana nikiwa Africa kusin Kazi njema

  • @CedricCedoz-wz1er
    @CedricCedoz-wz1er Год назад +2

    Daktari Asante Sana Na Kazi Iendelee

  • @YeronimoPascal-ht5km
    @YeronimoPascal-ht5km 7 месяцев назад

    Doktaa asantee kwa ushaurii

  • @juliusdaudi6459
    @juliusdaudi6459 Год назад +12

    Watangazaji munaongea Sana mwacheni mtaramu afafanuwe mambo vizuri

  • @FredyNdimla-uv6dx
    @FredyNdimla-uv6dx Год назад +1

    Watangazaji acheni wenge kuwa siliasi na kaz doctor Asante kwa elimu nzuri nimekuelew.

  • @EdsonSamwel-o4e
    @EdsonSamwel-o4e 4 месяца назад

    Sawa doctor

  • @musamwapinga361
    @musamwapinga361 Год назад +10

    DADA ANASEMA HAJAAANZAA JOMON AKUJE TUANZE WOTEE MM MWENYEWE SIJAANZAA😂😂

  • @twiseghekisilu8845
    @twiseghekisilu8845 Год назад +7

    Mtaalam yupo vizuri lakini watangazaji mna vimaneno maneno Sana!!!

  • @jumangozi2720
    @jumangozi2720 Год назад +6

    Wangazaji wa siku hizi ni pumbavu sana baada kumsikiliza Dr unacheka Cheka tu kizembe

    • @emorutnicholas1893
      @emorutnicholas1893 Год назад

      😂😂😂

    • @vitalisjuma4451
      @vitalisjuma4451 Год назад

      Peleka uwongo mbalii nilianza ponyeto nikiwa namiaka 15 hadi saizi lakini niko viti kinoma nina miaka 38 lakini hakuna mwanamke anawesa fumilia hata shot 2 moja anakuwa ame choka kinomaa

  • @johnsmolle504
    @johnsmolle504 9 месяцев назад

    daàaaa docter ako visuri

  • @MNYARUALIM
    @MNYARUALIM 2 месяца назад +1

    Apo doctor yko wp mbn wote wanongea niacheni nipige nyeto mm😅😅😅

  • @leonardmathias9948
    @leonardmathias9948 Год назад +9

    Punyeto Ni mbaya vijanaa wenzangu haijawahi kuacha mtu salama, natoa sana matibabu kwa watu wenye shida ya nguvu za kiume .asilimia 99 ya wahanga Ni shida ya kujichua . Huyu Dr Katika maelezo yake mueleweni tafadhali vizuri ,amesema kujichua hakusababishi tatizo moja kwa moja ,ila siyo Kama haina madhara,

  • @RobertKatabana
    @RobertKatabana 2 месяца назад

    Nous sommes au nord Kivu,DRC,TUKUPATEJE.

  • @EmanuelMkoi
    @EmanuelMkoi 10 месяцев назад +1

    dr. nimekuelewa sana ila sisi vijana tunachagamoto sana tunaitaji ushauri sana 🙏😭😭

  • @matokeojuma-gm2bm
    @matokeojuma-gm2bm Год назад +4

    Wanao sema nyeto inamaliza nguvu ni wale wanao tafuta eka kutotia dawa😂😂😂😂😂

  • @mody-guyngido2792
    @mody-guyngido2792 Год назад +2

    Daktari Umeuaaaa

  • @sadockmhinza699
    @sadockmhinza699 Год назад +9

    Piga puchu baba 😄😄😄 imechelewa sana kuja hii taarifa

  • @hamzamsafiri3418
    @hamzamsafiri3418 Год назад +9

    😂😂😂😂😂 duh! Dr umewapa uhuru wapiga puchuu duh!

  • @moviesreview101
    @moviesreview101 Год назад +3

    Ohoo hii sio kwa vijana wa hovyo

  • @ErickKombe-l4l
    @ErickKombe-l4l Год назад +11

    Watangazaji ushauri wakati mtaalamu yeyote mpeni nafasi ya kuongea ,pale anapotoa mambo ya kitaalamu,muwe makini

  • @ShafiiShabani-sd9ju
    @ShafiiShabani-sd9ju Год назад

    Nomasana

  • @Ambwene
    @Ambwene Год назад +5

    Hata kibegi kilifika kileleni 😄

  • @ElizabethSaningo-zi3cx
    @ElizabethSaningo-zi3cx Год назад +1

    Aaaa kweli jamaaa wakutangaza Anaonekana kabisa alikuwa mzee wamablangshot

  • @HabibuThabiti
    @HabibuThabiti 10 месяцев назад

    Saw wamekuelewa awato ludia Tena

  • @stentatv
    @stentatv Год назад +10

    Twendeleeni na kaz vijana 😂

  • @hamzamakame-fy6yp
    @hamzamakame-fy6yp 11 месяцев назад

    Hahahaah dunia kweli inafika mwisho hatari

  • @nassorismail
    @nassorismail 10 месяцев назад +1

    Dokta mbona mifano mingi kwa mwajuma kunani hp

  • @AliceKarisa-jw6cl
    @AliceKarisa-jw6cl 8 месяцев назад

    Watanzania mtaniuaa😂😂😂😂😂😂😂

  • @Anord31Cosmas
    @Anord31Cosmas Год назад +2

    apo bado akuna tatzo la nguvu zakiume manav mm tangu nibareh napga lakn moto napeleka mpaka nanenewa kwa lugha 😢

  • @vitrahbongz9420
    @vitrahbongz9420 Год назад +5

    Nilikua nimeach kwa wiki
    Ngoj nijiung upya 😂😅

  • @collinsstanley6126
    @collinsstanley6126 Год назад

    Huyu mtangazaji wa kiuume ndo kawa doctor tena 😂😂😂huyu wakupigwa redundacy😎

  • @BUCHUMIONLINETV-lu5jk
    @BUCHUMIONLINETV-lu5jk Год назад +4

    sasa hiyooo switch( button) inayofungwa KWENYE korodani ikitokea ikapotea je weeeee naijua hiyooooo

    • @sabinibra3513
      @sabinibra3513 Год назад

      Inapoteaje wakati inawekwa ndani ya ngozi

  • @selestinokazumba
    @selestinokazumba Год назад +6

    CHAPUTA LET'S GO 😂😂😂😂😂

  • @benarddickson1326
    @benarddickson1326 8 месяцев назад

    HAKUNA MWANAUME ASIYE NA NGUVU ZA KIUME DUNIANI, TATIZO NI KWAMBA TUMEGEUZA TENDO LA NDOA KUWA STAREHE.
    MOLA AMEMUUMBA MWANAUME ROUND MOJA KUDUMU KWA DAKIKA 3 .
    MMEENDEKEZA MNO UZINZI!!!!!

  • @denisrukangula2227
    @denisrukangula2227 Год назад +4

    Nguvu za kiume kupungua ni kama zinasababishwa na mazoea... Vile unaanza kumzoea mwenzio lazima hili tatizo likupate

  • @EvalineNdelekwa-d7n
    @EvalineNdelekwa-d7n Год назад

    Mnapatikanaje

  • @omarypetro3207
    @omarypetro3207 Год назад +4

    Doctor upewe 🌹🥀 yako 😂😂😂

  • @CalosBatista
    @CalosBatista Год назад +2

    Puchu ziache tu huo upotofu wa ubongo kiakiri

  • @geofkabo7843
    @geofkabo7843 Год назад

    Watangazaji kuweni watulovu unapompa nafas mtaalam aeleze mnamtoa kwenye njia

  • @dennismongi8970
    @dennismongi8970 Год назад +4

    Watangazaji mnatuchosha,acheni mapepe

    • @alexmgusi2534
      @alexmgusi2534 Год назад

      Yaani wanamapepe had kero watulie wapigwe shule 😂😂

  • @HassanHassan-si2rt
    @HassanHassan-si2rt Год назад +3

    Wekeni namba za huyo doctor hapo.

  • @NaseebMahondero-wy8gg
    @NaseebMahondero-wy8gg Год назад +1

    hao watangazaji nao wote wanapgwa mti hao mbn hizo sio sehem zao au Wana shut

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY Год назад +6

    Munawalaumu watangazaji
    Nyinyi mulio dondosha coment
    Zenu za ovyo futen watangazaj
    Wapo saw hachen kufuata mikumbo ya kuwakosoa watu
    Wakati wanafanya vizul kwenye
    Kupresent kipindi kwan Uwa
    Amsikilizi kipind cha masham sham na vipind vya xxl Mizunguko
    Ya voice ya host na guest
    So ni hihi jaman ACHENI UJINGA
    jaman vijana wamepresent vizuri
    Kabisa

    • @officialmpbaraka2999
      @officialmpbaraka2999 Год назад

      Watu hawaelewi,,maneno ya presenter yanamfanya mgeni kutoa maelezo zaidi hata ambayo angeyasahau

    • @YustoMaganga
      @YustoMaganga Год назад

      Utakua na fangasi kwenye ubongo

  • @lilianurio9781
    @lilianurio9781 Год назад +2

    Mtangazaji wa kiume yeye hana subira yeye ndo amekuwa tena doctor hasikilizwi tena

  • @musokedios8162
    @musokedios8162 Год назад +28

    Ila huyo mtagazaji wa kiume anaonekana ana digree ya puchu😂

  • @lessomwinyimkuu1268
    @lessomwinyimkuu1268 Год назад +2

    Mwamba mwamba....😀😀

  • @iddimngazija1957
    @iddimngazija1957 Год назад +4

    CHAPUTA Kazi iendelee😂

  • @pascalsafari3476
    @pascalsafari3476 10 месяцев назад

    Anatakiwa dactari wa kike wa kiume hata yeye nimpiga punyeto ko anajitetea

  • @benarddickson1326
    @benarddickson1326 8 месяцев назад

    Tatizo jingine kubwa ni USAFI , mada lazima ujisafi vizuri sana kabla ya shoo kwani kama siyo msafi na kuna kale ka- harudi kabaya husababisha mwanaume alegee na kushindwa kusimama "" attention ""

  • @HAJIKhatib-r6p
    @HAJIKhatib-r6p Год назад

    Dr umeonge ukeweli tatizo mapenzi tu

  • @vitalisadungo3129
    @vitalisadungo3129 5 месяцев назад

    Daktari, nawashwa na sehemu ya siri na pia wakati mwengine natokwa na uzaa, shida inaweza kuwa ni nn

  • @JstarBoy-ld8me
    @JstarBoy-ld8me Год назад

    Mtangazaji kama anaguswa sana kwenye kujichua apo

  • @martedimohamed6327
    @martedimohamed6327 Год назад +1

    Tatizo wengine hawana udambwi dambwi yaan mpk unajuta unaona bora nimalize niende

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme Год назад +1

    hiyo kitu yakubonyenza aisee wala si salama siwezi kuamini kitu hicho hiyo ni kujitafutia matatizo

  • @ahamadimbaraka7140
    @ahamadimbaraka7140 Год назад +3

    Eti mabinti sugu

  • @zynabalreadyi8357
    @zynabalreadyi8357 8 месяцев назад

    Je kwa mwanamk kutumia kidol na ni bikra inatoka doctor?

  • @sidikassim6759
    @sidikassim6759 Год назад +2

    Mshkji c mtuliee muache dokta aongee mnaongea nyinyi tuuu

  • @celestinermantenga2463
    @celestinermantenga2463 4 месяца назад

    Ishu ni aina gani ya vyakula anavyokula mwanaume, vitamfanya a perform vipi.

  • @WordsonFred
    @WordsonFred 3 месяца назад

    Wapga puchu mmefikiwa sasa kaz iendelee

  • @Chettymlambalipsi-lb9km
    @Chettymlambalipsi-lb9km Год назад +2

    Nasoma comment nacheka too

  • @almakiuscharles5797
    @almakiuscharles5797 Год назад +1

    Asee sanaa ya habari saiv kaavile commed asa ao watangazaji gani ikiwa doctor yuko timamu kuelezea wao wacheka tyuu kama makumaa

    • @KazolaLazaro
      @KazolaLazaro Год назад

      Wanacheka2 ulipaswa kuishia hapo, sio ku2kana.

  • @emmanuelthobias9634
    @emmanuelthobias9634 Год назад

    Mmhhm mbona kama vile sielewi sasa

  • @TheBassGuy7
    @TheBassGuy7 Год назад +2

    Huyu jomba mtangazaji mmemtoa wapi 🤦🏽‍♂️

  • @DigonzaKeimbe-uq1bx
    @DigonzaKeimbe-uq1bx Год назад

    😁😁😁 Puchu Kwa Kwenda Mbele..

  • @erickgreyson2057
    @erickgreyson2057 Год назад

    Je hayo matibabu yanapatikana hosipitali ya Benjamin Mkapa Dodoma TU.

  • @JustinMubakibagosi-ev9gm
    @JustinMubakibagosi-ev9gm 9 месяцев назад

    Kweli kujichua kuna mazara kweli?

  • @erickkagisa833
    @erickkagisa833 Год назад +8

    Watangazaji wanaongea sana harafu pumba tu

    • @sadikiasmani9231
      @sadikiasmani9231 Год назад +1

      Hao ni wale watangazaji wanao pewa nafasi za kazi za utangazaji bila ya kusomea journalism, watangazaji wa mchongo hao.

  • @barazasule9582
    @barazasule9582 7 месяцев назад

    Radio presenters ovyo sana,mada muhimu wao ovyo tu

  • @YustoMaganga
    @YustoMaganga Год назад

    Doctor alitakiwa kupewa nafasi. Azungumze. Kisha. Ndio mlete mzaha

  • @danielandrew9892
    @danielandrew9892 6 месяцев назад

    Nguvu za kiume haziwezi kuisha mchawi chakula tu

  • @dariuskasitu4083
    @dariuskasitu4083 Год назад

    Me napiga puchu toka kitambo sana lkn shoo napiga vizuri kesi za mimba mtaani haziishi kwaiyo nyeto hazimalizi nguvu za kiume

  • @AbasirashidyKindenge-kx2ky
    @AbasirashidyKindenge-kx2ky 4 месяца назад

    Doctor ni kweli punyeto haipunguze nyeto wakt, ki uwalisia tu ina athari sn😊😊

  • @wilbadiantony3314
    @wilbadiantony3314 Год назад +1

    Jinsi ya kutoa hiyo imagnaton kichwan unatoaje

  • @KassimuDoshoSuleiman
    @KassimuDoshoSuleiman 8 месяцев назад

    Daktar,niko na swali, mume ajichue kwa mda kama wa wiki mbili alfu ajpate anashida ya uume kusimama mara lakin akifanya tendo uume unasimama ila anatoa mbegu kwa mda kdogo na kusimama tena ni inachukua mda je pia huyu huwa ameatrika

  • @AkinyiGeorge
    @AkinyiGeorge Год назад

    Sasa mimi doctor 5yrs na sijui kama niadhirika

  • @westcijosh
    @westcijosh Год назад +1

    Madaktari watawapoteza

  • @Mgmaka
    @Mgmaka Год назад

    😢😢😮😢

  • @SylivesterMpiga
    @SylivesterMpiga Год назад

    watangazaji wanaleta mambo yakitoto hawamsikiliz mtaalam wanachekacheka tu

  • @danielmkama24
    @danielmkama24 Год назад

    Kwa ambae amewah pata madhara ya nyeto ikiwepo kushndwa kuzalisha na akapona Reply tafadhali 2jadiliane

  • @japharymagesa735
    @japharymagesa735 Год назад

    🙄🙄🙄

  • @YustoMaganga
    @YustoMaganga Год назад

    Gharama yake ni tshngap

  • @ALLYJUMA-yv7fs
    @ALLYJUMA-yv7fs 9 месяцев назад

    Aise huyo doctor nimpiga punyeto mzuri sana doctor punyeto huyo

  • @heritier5119
    @heritier5119 Год назад +3

    Acha uongo wakala wa shetani wewe sio kila daktari ni daktari

  • @jasminedamian6032
    @jasminedamian6032 Год назад +4

    Muongo puchu co pw

  • @HakerMsuya
    @HakerMsuya Год назад

    Watangazaji watu wazima lkn mnamaswali yakitoto kwamba uy Dada ajui kufik kilelen nn wajinga wote wasenge nyie

  • @erickkagisa833
    @erickkagisa833 Год назад +4

    Kwahyo hicho kimashine kilichopandikizwa ili usimamishe ukiamua kukiwasha Hadi kesho mashine inaendelea na kazi? Si utauwa mtoto wa watu

  • @kilonzokallage6159
    @kilonzokallage6159 Год назад +2

    Watangazaji mna vihere herere hamna maswali ya maana mko kama vile ni wageni wa mada kama hizi kwenye kipindi chenu
    Mmeichukua mada kama vile tatizo ni nyie mnalo

  • @mdl6463
    @mdl6463 Год назад +7

    Mimi nimeanza nyeto ntangia 2009 mpka leo 2023 na nikiingia kwenye game kama kawida lazima uombe pooòo uongo tu wanaosema etti inamaliza

    • @faustinebahenobi3412
      @faustinebahenobi3412 Год назад +2

      Mm naichapa nyeto mbn nkopow kabisa inaleta njaa na uchovu pindi upigapo

    • @eminenceboy8386
      @eminenceboy8386 Год назад +2

      ​@@faustinebahenobi3412😂😂😂😂

    • @monixkarim-st4qm
      @monixkarim-st4qm Год назад

      @@faustinebahenobi3412 hahahahahaa da we ni nguli

    • @dariuskasitu4083
      @dariuskasitu4083 Год назад

      Me napiga nyeto na nimeenza mda mrefu lkn shoo niko vizuri na kesi za mimba mtaani haziishi 😂nyeto haina madhara bana

    • @danielmkama24
      @danielmkama24 Год назад

      Bro nawashaur muache kubisha na mtuulize sisi 2lionza 2007 mpk 2022 2na hali gan kwa sasa

  • @abdultsanga1413
    @abdultsanga1413 Год назад

    Watangazaji wa mchongo wana ushenzi balaa. Kuna mtaalam badala kua serious kunufaisha watu munafanya kama ni comedy bladifuckin.

  • @musamowino3674
    @musamowino3674 Год назад

    Watangazaji wako unprofessional

  • @GeorgeEbake
    @GeorgeEbake Год назад

    😂🎉😢😮😅😊

  • @mody-guyngido2792
    @mody-guyngido2792 Год назад +5

    Daktari Umeuaaaa

  • @Mgmaka
    @Mgmaka Год назад

    😢😢😮😢