PENIELA - 9 NA 10/10 season III SIMULIZI ZA UPELELEZI NA MAPIGANO.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 фев 2025

Комментарии • 88

  • @MonaDhmn
    @MonaDhmn Год назад

    Pole sana mahtayo

  • @Estersaimon-pp9ln
    @Estersaimon-pp9ln Год назад

    Katika hii simuliz niliumia mno Pn kumuuwa Anita nilijisikia vibaya km kweli yani❤

  • @dariyally1766
    @dariyally1766 8 месяцев назад

    Peniela anagawa utupu km chai jaji kala kidogo peniela anataka kufa 😂😂😂😂😂

  • @biambarak5298
    @biambarak5298 Год назад +1

    Kumekucha jamani shukran sana simulizi mix sukari ishaingia mchanga jajiii haya tusubiri mwamba achukue malaika wake matayo

  • @aimanmohamed5885
    @aimanmohamed5885 Год назад +1

    Awoooteee

  • @anthobarengeke3200
    @anthobarengeke3200 Год назад

    Uyu Elibaliki mshenzi sana , aliwaza akimwambiya president nisameh njo atamsameh kiraisi raisi tu. Pumbavu ya jaji

  • @ziyadamubark1612
    @ziyadamubark1612 Год назад

    Penielaaaa

  • @susan5150
    @susan5150 Год назад +1

    Jamani masaibu iliyo mkuta matayo na peniela najipata kuchoka lakini kazi sasa imeaja wacha tuombe munngu

  • @theopisterjovent3483
    @theopisterjovent3483 Год назад +7

    Dah😢😢😢 maumivu niliyonayo jamani Judge Khelibariki umeniumiza moyo wangu Team Mathayo mmeumia kama mimi😢😢😢😢

    • @chance0709
      @chance0709 Год назад +4

      Wanawake wajinga sana Peniela ! Ametoka fanya ujinga huko ana mkuta Judge 👨‍⚖️ Elibaliki anajisaidia! Sasa ana ka Sirika 🎉
      Ngoma free

    • @theopisterjovent3483
      @theopisterjovent3483 Год назад

      @@chance0709 weee kule anafanya kwa masrahi na Jude Khelibariki anampenda kweli toka ndani ya moyo lazima akasilike

  • @mwajumamany6402
    @mwajumamany6402 Год назад

    Matayo ataruka kweri sijui 😄😄😄

  • @peninamwailunda8813
    @peninamwailunda8813 Год назад

    Director umeanza!!! nn tena huyu Matayo na Peniella, haya mie nasikilizia kama hapa hakitaumana💃💃💃💃💃💃💃

  • @elishaedson5042
    @elishaedson5042 Год назад

    Jaji mshezi kweli ivi

  • @ziyadamubark1612
    @ziyadamubark1612 Год назад

    Huyu Jaji kayakoroga Mwehu kweli😢😢

  • @asiatenga710
    @asiatenga710 Год назад

    Hawa majaji ni matahira ila jamani 😢😢😢😢

  • @halimakihame1744
    @halimakihame1744 Год назад

    Shikamoo.mapenzi

  • @mayaashassan3918
    @mayaashassan3918 Год назад +1

    Mackin PENIELA heshima yake yuwaivua kwa ajili ya tarifa tuh🥹🥹🥹

    • @bintdoman7752
      @bintdoman7752 Год назад

      Ñdo maana ya upelelezi anatetea nchi yakee

  • @anthobarengeke3200
    @anthobarengeke3200 Год назад

    Them mathayo tunaumiya sana kwaili alilolifanya Elibaliki .ona sasa mikono yenye anaenda mdumbukiza emo Anita na Naomi, angeenda kule yeye mwenyewe kulipa usaliti wake.ningemuona nimpe ata makofi mawili.

  • @msimhassan
    @msimhassan Год назад

    🙏🙏👍

  • @monajafar4473
    @monajafar4473 Год назад

    Huyu peniela ataangukia kwa matayo naona

  • @hanifaomar7438
    @hanifaomar7438 Год назад

    Jamani elibaliki nikama amechanganyikiwa

  • @euniceumazi5143
    @euniceumazi5143 Год назад

    Poleni mathayo na peniela Mungu awatoe nguvu maana mmebaki pekeenu

  • @banajuliana758
    @banajuliana758 Год назад

    George huaga hamalize simulizi zake anatuacha kila mara njiani kwahio hatusikilizi

  • @saraasatenisanasimlizimixc9232

    Mshezi sana Jaji inibaliki ndah 😔😔😔😔kawasaliti wezie

  • @hidayaothumani7056
    @hidayaothumani7056 Год назад

    Daaah jaji kaunguza picha

  • @MchungajiNzelani
    @MchungajiNzelani 3 месяца назад

    Wengine hatutaki mambo ya uzinzi simulia mkasa unaendelea

  • @peninamwailunda8813
    @peninamwailunda8813 Год назад +2

    Nilijua kbs kuwa msimuliaji wa " NIHUKUMIWE TENA" lzm uwe wewe Director, Bigup sana bro👏👏👏👏👏👏👏

    • @fainesimathiasi179
      @fainesimathiasi179 Год назад

      Nipo Oman nataka Tishet langi ya pink nyuma mniandikiee mathayo mrumbi😘😘😘

  • @dinahwafula2538
    @dinahwafula2538 Год назад

    Huyu elibariki amenikera sana yaani anawasaliti wenzake pumbavu sana 😢

  • @sellenasellena5475
    @sellenasellena5475 Год назад

    Huyu Jaji amenikera mpaka nahisi kichefuchefu yani

  • @emilyadhiambo4540
    @emilyadhiambo4540 Год назад +1

    Elibariki mshenzi sana pumbafu sana

    • @salmazwallo5920
      @salmazwallo5920 Год назад

      Nilijuwa 2 atakujaa kuwasalit yaani kaniudhiii kwelii

  • @theopisterjovent3483
    @theopisterjovent3483 Год назад

    Mie ndo naja kusikiliza wadau nimechelewa ila nimefika sijari wala nini😢😅😅😅😅 asante d kwa mwendelezo❤ Peniela😜

  • @monajafar4473
    @monajafar4473 Год назад

    Peniela ataangukia kwa captain matayo kila nikiona alibariki Hana chake amevunja moyo wa peniela

  • @rehemanifasha5524
    @rehemanifasha5524 Год назад

    Pole sana mahtayo maskini😭😭😭

  • @ashakenia5776
    @ashakenia5776 Год назад

    Daah huyu ali bariki ameniboesha kwl

  • @pililitamba3696
    @pililitamba3696 Год назад

    Peniela awe na mathayo vyuma viumane vzr

  • @peninamwailunda8813
    @peninamwailunda8813 Год назад

    wee OEN weee!!! kha na kweli kimeumanaaa💃💃💃💃💃💃

  • @arafakatanga6502
    @arafakatanga6502 Год назад

    Nimeumia Peniela kumuacha Jaji Elibariki walai nimeumia sanaaaaaa😭😭😭😭

    • @ritaisaya1424
      @ritaisaya1424 Год назад

      ☺️pole dear

    • @arafakatanga6502
      @arafakatanga6502 Год назад

      @@ritaisaya1424 ahsante wng 😔

    • @ritaisaya1424
      @ritaisaya1424 Год назад

      @@arafakatanga6502 yaani Kuna mda naogopa Ila natamani kuendelea

    • @arafakatanga6502
      @arafakatanga6502 Год назад

      @@ritaisaya1424 usiogope sweetie twende tusonga nayo japokuwa tulipo ni maumivu tupu kwa sisi time Mathayo😔😔

    • @ritaisaya1424
      @ritaisaya1424 Год назад +1

      @@arafakatanga6502 Elibariki kaniuzi kweli japo yaani amenivunja moyo

  • @fallymetoo191
    @fallymetoo191 Год назад +2

    Woow! Nimekaribia thanks Smix kwa muendelezo pamoja sana 🤝

  • @mhabimina4023
    @mhabimina4023 Год назад

    Hummm Matayo aca ivo muteteye Edybariki 😂

  • @aminah9557
    @aminah9557 Год назад

    Pole sana peniela

  • @monajafar4473
    @monajafar4473 Год назад

    Huyu alibariki hamjui matayo vizuri

  • @asiatenga710
    @asiatenga710 Год назад

    Elibariki ulaaniwe

  • @beatriceshadrack9020
    @beatriceshadrack9020 Год назад

    Eli Eli Eli nakuita mala tatu utajuta kumjua mathayo😭kwa ulichokifanya

  • @maryamanalisi197
    @maryamanalisi197 Год назад +1

    Shukran smlz mx ❤❤❤🎉

  • @bintdoman7752
    @bintdoman7752 Год назад

    Hii kitu ni tamu Aseee Daah 🤪🤪ila oeni tunaomba Pc ya p ck bana alaa

  • @salmahaji5832
    @salmahaji5832 Год назад

    Hee simuliz imeishia vibaya

  • @SalimoMaulide
    @SalimoMaulide Год назад

    Mimi nipo maputo Mozambique nitaipataje?

  • @bintimrope
    @bintimrope Год назад

    Kumekucha salama. Alhamdulillah 🙏🙏❤️❤️❤️💯

  • @fatumamatano8216
    @fatumamatano8216 Год назад

    Bampa tu bampa mambo ni fire

  • @omanal373
    @omanal373 Год назад +1

    🔥 🔥 🔥

  • @zaytoona2215
    @zaytoona2215 Год назад

    Twende nalo thank baby d 🥰❤️❤️

  • @monajafar4473
    @monajafar4473 Год назад

    D, oen sauti hiyo inatuumiza na manjonjo yako

  • @biambarak5298
    @biambarak5298 Год назад

    Doe usicheke jamani

  • @judithmwaweza5486
    @judithmwaweza5486 Год назад

    Eribariki kweli Hana akili

  • @khadija.kkhadija.k7885
    @khadija.kkhadija.k7885 Год назад

    Nimemchukia uyo naomi kwa kuaribu furaa ya alibarik

    • @lilianeerica3318
      @lilianeerica3318 Год назад +1

      Hata peniela hakana msimamo yani mala moja kasha muacha hajiulizi yeye anasambaza uchi wake kwa wanaume wangapi

  • @emilyadhiambo4540
    @emilyadhiambo4540 Год назад

    Asanteni kwa mwendelezo

  • @jamaaamina296
    @jamaaamina296 Год назад

    Asante

  • @salmaedwin5641
    @salmaedwin5641 Год назад +1

    Nimewahi nimewahi leo wa nne

  • @saraasatenisanasimlizimixc9232

    😂😂😂😂Ila matayo chizi sana yani ameacha kumwambia ukweli ndaha

  • @ritaisaya1424
    @ritaisaya1424 Год назад

    Jamani Nina msiba 😭 Mathayo wangu kashaondoka,Penila, Peniela,Peniela umenichukulia Mathayo wangu

  • @athaum05
    @athaum05 Год назад

    Tatizo lenu:
    Maneno haya;
    'KUWEZA', 'MAELEKEZO', 'KABBISA'
    Yamekuwa ni mengi kwenye sentences zenu mpaka inakuwa kero!

  • @aminakassim7486
    @aminakassim7486 Год назад

    Ila Peniela bwana😂😂😂

  • @peninamwailunda8813
    @peninamwailunda8813 Год назад

    Masikini Matayo, ndio unatumbukia ktk mapenzi!!!!!

    • @ritaisaya1424
      @ritaisaya1424 Год назад

      😂😂

    • @ibrahimmtiga
      @ibrahimmtiga Год назад

      Matayo mzee wa akili nyingi lakini Peniela kamuelewa Matayo subiri tuone

  • @halimashaib9102
    @halimashaib9102 Год назад +3

    Was eagerly waiting. Thanks a lot. Always de last

  • @peninamwailunda8813
    @peninamwailunda8813 Год назад

    Nikiomba kuandikiwa DIRECTOR itakubarika??

  • @beatriceshadrack9020
    @beatriceshadrack9020 Год назад

    Nilikuwa nimejisahau jaman 🙄🤔🤣🤣🤣🤣

  • @salmazwallo5920
    @salmazwallo5920 Год назад

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣naoteaa 2 kweny nihukumiwe tena kutakuwa na wajukuu wa wakilii msomi Tomas kiwato kama c watoto wa walee mapcha cjui ilaa naisubr aisee maana ipindselo hamjatumalixia et

  • @peninamwailunda8813
    @peninamwailunda8813 Год назад

    kha!!! utamu wa simulizi, najikuta nasikiliza bila hata kulike dah!!!!!

  • @arafakatanga6502
    @arafakatanga6502 Год назад

    At mpatie anachokitaka nyie akiii Peniela pole mrembo wetu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @Pretty22750
      @Pretty22750 Год назад +1

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mie mbavu sina Alf oen ni kama kitu kizuri anaelezea mie hawa wasimuliaji especially hizi za sahii ya peniela,, Boss wangu na queen monicah duh apana wataniuwa mie

    • @zamzamyusuphukagemulo
      @zamzamyusuphukagemulo Год назад

      Akuna tisheti za mikono milefu

  • @monajafar4473
    @monajafar4473 Год назад

    Namuonea huruma jaji