PENIELA - 3 NA 4/10 season IV SIMULIZI ZA UPELELEZI NA MAPIGANO.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 фев 2025

Комментарии • 81

  • @ayubusalehehussenimrutu-ek2mh
    @ayubusalehehussenimrutu-ek2mh Год назад +1

    Joshi mwamba wetu mpya

  • @pililitamba3696
    @pililitamba3696 Год назад +1

    Jaji cha moto kinamsubiri na mwenyewe analitambua hilo

  • @Pretty22750
    @Pretty22750 Год назад +2

    😭😭😭😭 maskini anitha why all this oooh God protect this lady she is fighting for her country,,,bt all this ellybariki you will pay

  • @biambarak5298
    @biambarak5298 Год назад +3

    Shukran sana simulizi mix kazi nzuri sana nasikiliza hii simulizi ila nnahuzuni kwa usaliti wa jaji jamani binaadamu sie mtihani kwakweli kweli anaekuangamiza ni mtu wako wa karibu jaji utalipa kwa ulicho kifanya aisw

  • @zaytoona2215
    @zaytoona2215 Год назад +5

    Elibarkiiiiiiiiiiiiiiii pumbav kwel ww 😭😭😭😭😭😭 msalit mkubwa ww kwel ucmwamin Mt yyte katka maisha yako

  • @dinahwafula2538
    @dinahwafula2538 Год назад +1

    Yaani Elibariki amenikera kwa kweli asiombe matayo ajue usaliti ambao amefanya atajuta kumfahamu matayo pumbavu 😮

  • @fauziasultanikilewa7602
    @fauziasultanikilewa7602 Год назад +2

    Elibariq mshamba sana yan

  • @fallymetoo191
    @fallymetoo191 Год назад +5

    I'm no.1 thanks Smix pamoja sana PENIELA twende kz 👍🏻

  • @anuariteantoinettemanegabe8526
    @anuariteantoinettemanegabe8526 Год назад +2

    Eeh Mungu saindia Anita wangu

  • @mariamsalum640
    @mariamsalum640 Год назад +1

    Jugje Elbarik ni msaliti tena mshenzi

  • @anuariteantoinettemanegabe8526
    @anuariteantoinettemanegabe8526 Год назад +3

    Elibarki kweli wewe ni musaliti mukubwa sana

  • @theopisterjovent3483
    @theopisterjovent3483 Год назад +2

    Asante kwa mwendelezo simulizi mix mnatujari na kututhamini ila nina huzuni mkubwa mie😢😢 judge Kheribaliki umewasaliti wenzio yaan natani nikufate huko kwa dr kigomba nikuchinje shingo ona sasa parcage inauzwa kwa ujinga wako uloufanya pumba zako wewe hufai🥹😏😏😏😏

  • @rehemanifasha5524
    @rehemanifasha5524 Год назад +2

    Jaman hamu lali kweli yaan hata saa moja haijaisha kweli dhuu ila Asante sana kwa muendelezo nawapenda sana wana simulizi mix family wote🥰

  • @aimanmohamed5885
    @aimanmohamed5885 Год назад +1

    Wow kitu ichooo mbarikiwe sana simuliz mix

  • @nassirmagoss3802
    @nassirmagoss3802 Год назад +1

    Wakwanz from 🇴🇲🇴🇲🇴🇲

  • @mayaashassan3918
    @mayaashassan3918 Год назад +1

    Weeeeuweeeee mambo ni 🔥

  • @mariamrashid6880
    @mariamrashid6880 Год назад +1

    Shukran sana kwenu nyote Mtunzi, Msimuliaji na Crew nzima ya Simulizi Mix kwa kutufurahisha, kutuburudisha na kutuelimisha.

  • @hellenodhiambo4342
    @hellenodhiambo4342 Год назад +3

    I am so heartbroken with what Judge Elbarick did inauma sana😢

  • @RuqqaiyahDawood-hl2ic
    @RuqqaiyahDawood-hl2ic 25 дней назад

    Elibariki n mpuuzi w mwisho msaliti wa kiwango cha mwisho

  • @clinton4286
    @clinton4286 Год назад +1

    Asante simulizi mix huyu alibaki shetani mkubwa unauza inch

  • @YussufYussuf-g6t
    @YussufYussuf-g6t Год назад

    ❤🎉❤Asante

  • @milhamariam7105
    @milhamariam7105 Год назад

    Waoooooooo sijatoka wakwanza nawapendatuuuuuu🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @ashajuma4653
    @ashajuma4653 Год назад

    daah jaji ely we snch kuliko wote chini ya jua I can't believe!!

  • @جميلهخميس-ط5ث
    @جميلهخميس-ط5ث Год назад +1

    Ninacho Shukru Mungu ni kuwa Jaji Elibarik unamjua vizur Mathayo, Subili malipo yako Sasa Mbwa wewe, 😏😏😏

  • @omarsaid4611
    @omarsaid4611 Год назад

    Simulizi hii umenimaliza. This is the best of the best

  • @bukuruasina427
    @bukuruasina427 Год назад

    Sin lakusem💔💔💔👌🙏💜🇧🇮

  • @lightnessmsangi3148
    @lightnessmsangi3148 Год назад

    Patrick CK unajua buana 👏👏👏
    Ila D'Oen wewe ni mtaalamu💪💪💪💪
    Simulizi mix ❤ hamna mpinzani
    .

  • @saraasatenisanasimlizimixc9232
    @saraasatenisanasimlizimixc9232 Год назад +1

    💃💃💃🙏🙏Wakwaza jamani😂😂

  • @maryamanalisi197
    @maryamanalisi197 Год назад

    ❤❤❤❤🎉thanks smlz mx

  • @alexissebuhura8040
    @alexissebuhura8040 Год назад

    Kweli nyinyi ni wakusifiwa Sana.

  • @nellydoor4930
    @nellydoor4930 Год назад

    Duuh elybarik elybarik elybarik nakwita maratatu nakuchukia sana japo ni historia mshenzi mkubwa wewe kweli kweli yani wewe ise nakuchukia kabisa

  • @judithmwaweza5486
    @judithmwaweza5486 Год назад

    Eribariki mjinga sana

  • @ziyadamubark1612
    @ziyadamubark1612 Год назад

    Asanteni kwa muendelozo

  • @MonaDhmn
    @MonaDhmn Год назад

    Asante sana

  • @zuhuraali861
    @zuhuraali861 Год назад

    Elinariki sheitaani rajim hafai nawaombea Matayo na Peni wapatw nguvu wawaangamize wote

  • @fatumamatano8216
    @fatumamatano8216 Год назад

    🔥🔥

  • @mariamsalum640
    @mariamsalum640 Год назад

    Namchukia

  • @marryemanuel5943
    @marryemanuel5943 Год назад

    🥰🥰🥰🥰

  • @RuqqaiyahDawood-hl2ic
    @RuqqaiyahDawood-hl2ic 25 дней назад

    Elibariki mbna umekuw msaliti hvyo wnzko wmejitoa kwa kla htar ww ulkuw umekaa ndan tu leo unamwaga mtama,hebu mniruhusu nimzabe hyu Elibariki

  • @emilyadhiambo4540
    @emilyadhiambo4540 Год назад

    Asanteni simulizi mix

  • @sellenasellena5475
    @sellenasellena5475 Год назад

    Asate sana nasubiri mwendelezo ili nijue mwisho wa huyu mpumbavu jaji ataishia wap

  • @liliansalama4963
    @liliansalama4963 Год назад

    Wow, thanks simulizi mix

  • @anthobarengeke3200
    @anthobarengeke3200 Год назад

    Sijuwi hata uyu Elibaliki nimpe jina gani kwa uyu usaliti wake.

  • @salmaedwin5641
    @salmaedwin5641 Год назад

    🙏🙏🙏🙏

  • @sabrakhamis4585
    @sabrakhamis4585 Год назад

    Shukran saaanaaaa😘😍

  • @zaytoona2215
    @zaytoona2215 Год назад

    Na was was kigomba anaweza kua upande wa kina mathayo bdae

  • @JuliusMalunde
    @JuliusMalunde Год назад

    pamoja sana

  • @lightnessmsangi3148
    @lightnessmsangi3148 Год назад +1

    Usaliti unaumizaaaaaa
    Better to stay alone, I need no friend in my life,,,,,,😭😢😥😰😨😧😦🥺

  • @damarisabdueli3604
    @damarisabdueli3604 Год назад

    Jamani leo mbona hakuna maelekezo tafadhali tunaomba muendelezo

  • @ashajuma4653
    @ashajuma4653 Год назад

    elibarik hafai kua rais wa nchi coz frg lake haligandishi hana kifua

  • @zaytoona2215
    @zaytoona2215 Год назад

    Thank you so much baby d 😘😘😘

  • @bintimrope
    @bintimrope Год назад

    ❤️❤️❤️❤️❤️💯

  • @fridahkembi400
    @fridahkembi400 Год назад

    Jaji Elbariki uliwaza nn bbangu hata ukaamua kuwasaliti wenzio

  • @mwanyemimohamed2191
    @mwanyemimohamed2191 Год назад

    ❤️❤️❤️❤️

  • @milhamariam7105
    @milhamariam7105 Год назад

    Minaomba sehemu4 nisikie habarimbaya imemutokea musarti kama shetani avunja sirizote nasikia rohombauya macozi😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @biambarak5298
    @biambarak5298 Год назад

    Maika amegeuka kua ibilisi

  • @kamugisharweyenderamulimi6629
    @kamugisharweyenderamulimi6629 Год назад

    Kwa mara ya kwanza nimejutia MB zangu

  • @theopisterjovent3483
    @theopisterjovent3483 Год назад

  • @saraasatenisanasimlizimixc9232

    Asate sana simlizi mix d oen

  • @biambarak5298
    @biambarak5298 Год назад

    Jaji jaji jaji utalipa kwa hili

  • @peninamwailunda8813
    @peninamwailunda8813 Год назад

    Nimemwonea Matayo na Peniella huruma

  • @biambarak5298
    @biambarak5298 Год назад

    Kwa matayo walishindwa mosad miaka mitatu hakusema kitu kwailo msahau tu

  • @hazilaumaysa6958
    @hazilaumaysa6958 Год назад

    Jaji so mtu haki dah

  • @salmahaji5832
    @salmahaji5832 Год назад

    Tunasonga mbele

  • @aishabakari7362
    @aishabakari7362 Год назад

    Inanitia asira ila nitamu sana nashidwa kuacha ebu nisikilize tu

  • @nassirmagoss3802
    @nassirmagoss3802 Год назад

    Kila siku nitachukuw nafas ya kwanz mpk mtajut 😅😅😅😅😅😅😅😅🇹🇿🇴🇲

  • @monajafar4473
    @monajafar4473 Год назад

    Jaji jaji jaji na kuita Mara Tatu utakuta kwa hili

  • @zamzamyusuphukagemulo
    @zamzamyusuphukagemulo Год назад

    Jaji nataka matayo akunywe dam

  • @omanal373
    @omanal373 Год назад

    Awee nakosaje kwa mfano

  • @shazyqull2547
    @shazyqull2547 Год назад

    Am so heart broken with Eli is this how judges think? Aki hana akili

  • @peninamwailunda8813
    @peninamwailunda8813 Год назад

    Judge Elibariki weweee!!!!!!!!!!!!!!!!, wacha nikuone utaishia wapi na usaliti wako

  • @harunmanura7900
    @harunmanura7900 Год назад

    Kwakweli bamba 2bamba

  • @lightnessmsangi3148
    @lightnessmsangi3148 Год назад

    Source ya usaliti mwingi mapenzi 😭

  • @sixo_four
    @sixo_four Год назад

    Elbarik ni snitch

  • @lilianeerica3318
    @lilianeerica3318 Год назад +1

    Elibariki umbwa wewe pumbavu zako🤕🤕🤕🤕🤕🤕🤕

  • @nassirmagoss3802
    @nassirmagoss3802 Год назад

    Ndan ya sekund 4 ni nimewahi

  • @atuganilemwakasangam2018
    @atuganilemwakasangam2018 Год назад

    Pumbavu sana ellybariki . Mjinga mkubwa usie na akili wewe . Unafaa kufanya maana hauna msimamomo . Yaani kunamijitu iko tayari kujua watuna kwa kuangalia uhai wake wa Leo. Nilale kujua uhai wao wa kesho hajui hicho kirusi kitamua.

  • @hidayaothumani7056
    @hidayaothumani7056 Год назад

    🔥🔥🔥