PENIELA - 9 NA 10/10 season IV SIMULIZI ZA UPELELEZI NA MAPIGANO.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 фев 2025

Комментарии • 61

  • @beatriceshadrack9020
    @beatriceshadrack9020 Год назад +30

    Msinitanie wakwaza naombe like 🤣🤣👍

  • @anuariteantoinettemanegabe8526
    @anuariteantoinettemanegabe8526 Год назад +10

    Kama umependa simulizi ya peniela gonga like

  • @msafirimwenetombwe8819
    @msafirimwenetombwe8819 Месяц назад +1

    Yaani Nimejifunza Kitu Kuusu Uaminifu

  • @jamaaamina296
    @jamaaamina296 Год назад +4

    Asante Patrick CK na ndugu yetu oen

  • @emilyadhiambo4540
    @emilyadhiambo4540 Год назад +6

    Wa mwisho naomba like zenu thanks simulizi mix

  • @ummusulaish5586
    @ummusulaish5586 Год назад +5

    Shukran sana Mr Director Oen pamoja na Patrick ck kwa simulizi

  • @khadija.kkhadija.k7885
    @khadija.kkhadija.k7885 Год назад +1

    Niwakalisana awa watatu nimewapanda sana tim matayo mungu awapenguvu

  • @saragh1243
    @saragh1243 Год назад +3

    Kwa kweli simulizi mix mnanipasua mbavu jamani peniela afai kabisa

  • @mariamrashid6880
    @mariamrashid6880 Год назад +4

    Shukran sana nyote kwa mwendelezo waandaji wasimuliaji na Simulizi Mix

  • @evalineedwardsuzanne9862
    @evalineedwardsuzanne9862 Год назад +1

    Shukurani sana simulizi mix

  • @milhamariam7105
    @milhamariam7105 Год назад

    Uuuuuuiiiiiiìiiii cezea Peniela weweeeèeeeeeeee nasikia nafuhi Erbari kwisha ngoja nisikirize sehemu 10👍🏽👍🏽👍🏽👍🏽👍🏽👍🏽👍🏽👍🏽👍🏽👍🏽👍🏽👍🏽👍🏽

  • @saragh1243
    @saragh1243 Год назад +1

    D oen nimecheka sana peniela nibalaa

  • @ROSEROBERTROBART
    @ROSEROBERTROBART Год назад

    Namuonea huruma sana elibariki,yani ameingia cha kijeshi,baada ya kusaliti wenzake,sasa atajuta

  • @zawadikhalidi-ii4th
    @zawadikhalidi-ii4th Год назад

    Shukran San simulizi mix

  • @milhamariam7105
    @milhamariam7105 Год назад +1

    Shukran kwakutumarizia prniela s,mx commentai badae mubrudike na mutuwetu Edgar Mbogo🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻💞💞💞💞💞💞💞💞💞

  • @biambarak5298
    @biambarak5298 Год назад

    Shukran sana simulizi mix ila peniela kiboko jamani khaa

  • @lillykuiname69
    @lillykuiname69 Год назад

    Please naweza Pata vitabu alivyo viandika Patrick CK I want to buy them and keep them for my future generations

  • @fatumajumanne5961
    @fatumajumanne5961 Год назад +4

    ❤️❤️❤️👌

  • @sabrakhamis4585
    @sabrakhamis4585 Год назад +1

    Shukraan saanaa😍😘😍

  • @salmaedwin5641
    @salmaedwin5641 Год назад

    Asante pia

  • @babusimon753
    @babusimon753 Год назад +3

    Wa kwanza leo

  • @Pretty22750
    @Pretty22750 Год назад

    Kweli peniela ni professional lier wa chaukweli🤣🤣🤣🤣🤭🤭🤭 pumbavu sana Dr Joshua umeingia kingi

  • @monajafar4473
    @monajafar4473 Год назад +1

    Bbke Peter mazinge alikua kwa impindeselo

  • @monajafar4473
    @monajafar4473 Год назад

    Kwisha doctor joshua wa cheza na peniela

  • @dinahwafula2538
    @dinahwafula2538 Год назад

    Huyu Dr. Joshua ni mjinga sana mbona anapangiwa tu mipango na anakubali tuu pumbavu 😊

  • @halimashaib9102
    @halimashaib9102 Год назад +1

    Mm hata nikiwa wa mwisho bora nisikose hii simulizi

  • @maryamanalisi197
    @maryamanalisi197 Год назад +1

    Shukran smlz mx ❤❤🎉

  • @sikukuuathmansikukuu
    @sikukuuathmansikukuu Год назад

    😘😘😘😘❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @monajafar4473
    @monajafar4473 Год назад

    Joshua joshua ww ucjaribu kumdhuru peniela matayo yuko nje na yy hajali kitu lkn namuamini peniela atakufanyia mambo ukiingia kwa room mpk muone jaji bariki muongo

  • @omanal373
    @omanal373 Год назад +1

    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @rosenanyaro319
    @rosenanyaro319 Год назад +1

    Ila hii simulizi Ina ukweli ndani yake kbc jmn ukisikiliza Kwa makini Kuna mmbo yanatoke hapa hapa nchini kwetu mungu tusaidie jmn 🙏🙏

    • @lilianeerica3318
      @lilianeerica3318 Год назад +1

      Yani siku zote mtu mwenye tamaa hafai kbx huu Rais mjinga sana

  • @salmahaji5832
    @salmahaji5832 Год назад

    ❤️❤️

  • @vero756
    @vero756 Год назад +1

    Heeeee karibu niseme D ameniweka Blacklist kwa You tube nataka kucomment ila inangimaa🥲😅

  • @saraasatenisanasimlizimixc9232
    @saraasatenisanasimlizimixc9232 Год назад +5

    😂😂😂😂😂😂Ndah peniela ww nikiboko yani Jaji jiandae asateni sana simlizi mix d oen ila nimekukubali sana peniela

  • @lightnessmsangi3148
    @lightnessmsangi3148 Год назад +1

    Waoooooo

  • @asiatenga710
    @asiatenga710 Год назад

    😂😂😂😂😂😂 mathayo na Anitha ❤❤❤ kama namuona Hawa alivyomshawishi Adam 😂😂😂😂😂😂😂

  • @theopisterjovent3483
    @theopisterjovent3483 Год назад

    😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣 na ulivyo mmbea😂😂😂😂 we d’oen wewe😅 basi we sio mbea tumekusamehe💪💪💪

  • @judithmwaweza5486
    @judithmwaweza5486 Год назад +1

    Safii

  • @theopisterjovent3483
    @theopisterjovent3483 Год назад +4

    ❤ no 2 like. No 1 comment

  • @shamsaalrahbi7593
    @shamsaalrahbi7593 Год назад

    😂😂😂😂😂Atakuwa ni shoga huyo km hakumfany kitu

  • @bintimrope
    @bintimrope Год назад +1

    ❤️❤️❤️💯🤝

  • @fatumamatano8216
    @fatumamatano8216 Год назад +1

    🔥🔥🔥

  • @sipemfoi6593
    @sipemfoi6593 Год назад

    Yupo pamoja mkuu

  • @aimanmohamed5885
    @aimanmohamed5885 Год назад +1

    Tunasonga nayo nautraam wakee

  • @theopisterjovent3483
    @theopisterjovent3483 Год назад +1

    Huyu dr Joshua ni nguruwe kweli akili zake zinawaza hela tu anauza maslahi ya watu kwa kutofikiria mbali na huyo mtoto wa Rais mstaafu anaamua kumuua babaye kwa ajiri ya madaraka😏🤔🤔🤔🤔 ole wenu nawaapia😂😂😂😂

  • @monajafar4473
    @monajafar4473 Год назад

    Wadau hamjambo ndio ss nawacli twende nalo

  • @muhinanjowa7229
    @muhinanjowa7229 Год назад

    Penny ur in both side professional have salut🫡🫡🫡🫡🫡

  • @christineimbwana9212
    @christineimbwana9212 Год назад +1

    Doctor Joshua hafai uongoxi maanake yuko na tamaa ya mali mpaka anaua watu wake wa karibu maskini 😭😅 🙆🙆

  • @makomohammed9802
    @makomohammed9802 Год назад

    😀😀😀

  • @kashidimaope559
    @kashidimaope559 Год назад +2

    Peniela peniela😂😂

  • @ziyadamubark1612
    @ziyadamubark1612 Год назад

    Dah peniela hataru😂😂😂

  • @zaytoona2215
    @zaytoona2215 Год назад

    🤣🤣🤣😂😂😂🤣🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️

  • @euniceumazi5143
    @euniceumazi5143 Год назад

    😄😄😄😄😄😄

  • @motive1man47
    @motive1man47 Год назад +1

    Kkk

  • @mwanyemimohamed2191
    @mwanyemimohamed2191 Год назад +1

    🙈

  • @msimhassan
    @msimhassan Год назад +1

    🔥🔥

  • @sellenasellena5475
    @sellenasellena5475 Год назад

    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @hidayaothumani7056
    @hidayaothumani7056 Год назад

    🔥🔥🔥