PENIELA - 7 NA 8/10 season IV SIMULIZI ZA UPELELEZI NA MAPIGANO.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 фев 2025

Комментарии • 68

  • @milhamariam7105
    @milhamariam7105 Год назад +1

    Shukran Musmuliji ongera kutupa brdan biragusahau mutunzi Patrc nakukubarikabisa we nimujuzi wadau tunapata mupambanaji mwengine kwahiyo Erbarik
    😭😭😭😭😭😭

  • @biambarak5298
    @biambarak5298 Год назад +2

    Ila matayo kweli jasiri karim Anatoka kula mzigo ww unaenda kumuangalia peni kama yupo salama

  • @euniceumazi5143
    @euniceumazi5143 Год назад +5

    Team mathayo hoyeeee

    • @asiatenga710
      @asiatenga710 Год назад +1

      Hoyeeeee na Anita ❤❤❤❤ + Peniela

  • @zuhuraali861
    @zuhuraali861 Год назад +2

    Hongera shujaa wetu Anita kurudi kwa mtaalam Matayo

  • @milhamariam7105
    @milhamariam7105 Год назад +2

    Waoooooooo Anita mutafute Matayo naona Erbarik anaripa usarti wake mufurahie Peniela uuuuuiiiiiiiiiii📢📢📢📢📢📢📢📢

  • @mariamrashid6880
    @mariamrashid6880 Год назад +6

    Nashkuru vile Anita aliponyoka kwa Rosemary na yule mlinzi wake Nashkuru pia vile alimpata Matayo na Peni natumai simu, laptop na gari zile alitumia za yule mlinzi wa kutesa wa Rosemary hazina vitu vya kuwafuata kina Anita na wenzake, shukran kwenu nyote Mwandishi, msimuliaji D'Oen na Simulizi Mix yote kwa ujumla shukran sana kwa kutufikishia hii Simulizi ya kusisimua na zingine nyingi

  • @monajafar4473
    @monajafar4473 Год назад +4

    Anita pole sana kwa maswahibu yalokukuta lkn kwa yote kazi lazima iendelee team matayo hatuyumbishwi na mtu wala kiti

  • @peninamwailunda8813
    @peninamwailunda8813 Год назад +2

    Thx God, hatimae Anita amekutana na Matayo.

  • @emymabakari6514
    @emymabakari6514 Год назад +1

    Elbaliki ananikela San yani msalit mkubwa uyo

  • @khadija.kkhadija.k7885
    @khadija.kkhadija.k7885 Год назад +3

    Sasa nimepoa nilikua sinaamani ata kwaajili ya Anita alihamdullh mungu walinde awa jeshi la mtu 3.❤❤🫂

  • @biambarak5298
    @biambarak5298 Год назад +1

    Watu hawalali jamani khaa ila sio mbaya shukran sana simulizi mix my favorite director oen

  • @fallymetoo191
    @fallymetoo191 Год назад +3

    Woow ! Twende kz thanks Smix kwa muendelezo 🙏🏻

  • @theopisterjovent3483
    @theopisterjovent3483 Год назад +3

    Nimewahi afadhali😂 asante d kwa mwendelezo🔥

  • @janethmagema8062
    @janethmagema8062 Год назад +2

    Hatimae matayo amekutana na Anita👏👏

  • @shamsaalrahbi7593
    @shamsaalrahbi7593 Год назад +2

    D oen siku mmoj two sikuskia sauti yko hp bas nimekuw mgonjwa dah hongera we baba Ubarikiwe Allah akulinde ww na fimiliya yko

    • @zaytoona2215
      @zaytoona2215 Год назад +2

      🤣🤣🤣🤣🤣😂🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️ yaan wagonjwa wa sauty ya d tuko wengi kumbe

    • @shamsaalrahbi7593
      @shamsaalrahbi7593 Год назад +1

      @@zaytoona2215 😂😂😂😂yn huyu ni kipenz cha watu hd rha

    • @peninamwailunda8813
      @peninamwailunda8813 Год назад +1

      Uwiii wagonjwa tupo wengi, jamani OEN amebarikiwa Sauti Hadi Raha,nilimfaidi Sana IMPINDISILO

    • @ayubusalehehussenimrutu-ek2mh
      @ayubusalehehussenimrutu-ek2mh Год назад

      @@peninamwailunda8813 mh

  • @hadija1135
    @hadija1135 Год назад +2

    Namb 1 leo asante simulizi mix🥰🥰🥰🥰

  • @yusrakhamis5873
    @yusrakhamis5873 Год назад +1

    Peniela atupe siri😝

  • @babukundya8450
    @babukundya8450 Год назад +1

    Mwamba mwenyewe Judge Elibariki namkubali sana kajiongeza mapema sana

  • @chantalmavandu4950
    @chantalmavandu4950 Год назад +2

    Nimechelewa ila si mbaya nimefika peniel wangu Mathayo na ruby pole sana

  • @saragh1243
    @saragh1243 Год назад +2

    Peniela ni balaa jamani

  • @mayaashassan3918
    @mayaashassan3918 Год назад +2

    Shukran sna simulizi mix 🙏 yaaan hii PENIELA ni nzuri wallah nahic itaisha na utamu wake🔥🔥🔥🔥🔥

    • @babukundya8450
      @babukundya8450 Год назад

      Ili hiwe tamu sasa inabidi mathayo amuue peniela halafu uraisi achukue mwamba mwenyewe judge Eribariki na waziri mkuu rose Mary mkozuma picha liendelee

    • @mayaashassan3918
      @mayaashassan3918 Год назад

      @@babukundya8450 🤣🤣🤣🤣🙌umetisha ndugu

    • @babukundya8450
      @babukundya8450 Год назад

      Sijaona bado unyama wa Dr Joshua ndio maana nataka tuone kwa judge eribarick , mpaka sasa simulizi ya Mlango wa nyuma wa yule dogo alieenda mpaka congo iinabaki kuwa namba moja

    • @babukundya8450
      @babukundya8450 Год назад

      Na ile yakina mathayo na papii gosi gosi inabaki namba mbili ile yakina gosi gosi mpaka wanakimbia nchi na mathayo anakubari kufungwa baada ya kuua watu kanisani

    • @ayubusalehehussenimrutu-ek2mh
      @ayubusalehehussenimrutu-ek2mh Год назад

      @@babukundya8450 Kuna chuma kinaitwa kiapo Cha damu

  • @mwasitisaadi7560
    @mwasitisaadi7560 Год назад +1

    Ahsante saana

  • @YussufYussuf-g6t
    @YussufYussuf-g6t Год назад

    Asante ❤️ ❤️ ❤️ ❤️ ❤️ ❤️ 🎉🎉🎉🎉

  • @JuliusMalunde
    @JuliusMalunde Год назад +1

    Asante simulizi mix

  • @vero756
    @vero756 Год назад +2

    Penieee good lady with bad attitude 🤭🤭keep it up D

  • @dinahwafula2538
    @dinahwafula2538 Год назад +2

    Good job Anita ❤

  • @peninamwailunda8813
    @peninamwailunda8813 Год назад +1

    Dah Leo nilibanwa na mambo ya uinjilist, ndio napata nafasi shz, hakuna chezea Sabato!!!!

  • @alexissebuhura8040
    @alexissebuhura8040 Год назад +1

    Good job guys

  • @Pretty22750
    @Pretty22750 Год назад +2

    Allhamdulilahi this 🫂🫂 goes to my favourite Annitah💞💞💞

  • @damarisabdueli3604
    @damarisabdueli3604 Год назад

    Asante sana

  • @lotiakelyon7198
    @lotiakelyon7198 Год назад +1

    Thnx d

  • @clinton4286
    @clinton4286 Год назад +1

    DR 'OEN KUNA ZILE HATUKUZIKIZA MBA KA MWISHO

  • @sellenasellena5475
    @sellenasellena5475 Год назад +1

    🔥🔥🔥🔥

  • @Pretty22750
    @Pretty22750 Год назад +2

    Anna utashangaa bd maana ata hapo ulipo peniela yuko ndani anajilia vyake na mlinzi wa Rai's 🤣🤣🤣🤣🤣hizo again zako zitakuwa mingi hadi uchokeeee

  • @Pretty22750
    @Pretty22750 Год назад +3

    Anna binti wa Rai's aliuliza who is the next jibu tunalipata kwa hii sehemu ya 7 doctor Joshua tunampeleka ahera mwamba amesema 😄😄😄😄so be attention tuki feli na hii process we're coming for you

  • @sabrakhamis4585
    @sabrakhamis4585 Год назад

    Shukran saanaa😍😘

  • @jamaaamina296
    @jamaaamina296 Год назад +1

    Thanks

  • @maryamanalisi197
    @maryamanalisi197 Год назад +1

    Mashaallah ❤❤

  • @saraasatenisanasimlizimixc9232
    @saraasatenisanasimlizimixc9232 Год назад +1

    Asate sana simlizi mix d oen

  • @mwanahawayunus3653
    @mwanahawayunus3653 Год назад +3

    Mabinty 6 mulituacha stage...tukiwangoja...hadi leo hatujui walipanda ..gari gani😅

  • @fatumajumanne5961
    @fatumajumanne5961 Год назад +1

    ❤️❤️❤️👌

  • @monajafar4473
    @monajafar4473 Год назад +1

    Wala kitu

  • @salmaedwin5641
    @salmaedwin5641 Год назад +1

    Watu wanawai jamani

  • @msimhassan
    @msimhassan Год назад

    🔥🔥

  • @hazilaumaysa6958
    @hazilaumaysa6958 Год назад +1

    💏

  • @salhakristina9434
    @salhakristina9434 Год назад

    ✌❤❤❤❤❤

  • @mwanyemimohamed2191
    @mwanyemimohamed2191 Год назад

    ❤️❤️❤️❤️

  • @kashidimaope559
    @kashidimaope559 Год назад

    Matayo Matayo Matayo 😂😂 he want to kill the president 😂

  • @hidayaothumani7056
    @hidayaothumani7056 Год назад

    🔥🔥