Mtu Mzima Ovyo - Nasma Khamis

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 фев 2025
  • Najua inakukumbusha mbali sana

Комментарии • 65

  • @johanassoro2378
    @johanassoro2378 Год назад +24

    2024....bado tunasikiliza R.I.P mama yetu 😢

  • @fatimanzota1440
    @fatimanzota1440 2 месяца назад +4

    Huu wimbo kwa mara ya kwanza nilisikia kwenye kipindi vha Africa bambataa kiliendeshwa na marehem Amina Chifupa .

  • @shafiichusi1897
    @shafiichusi1897 Год назад +6

    2023... bado tunasikiliza r I p mama yetu

  • @mwisheheselemani3339
    @mwisheheselemani3339 Год назад +5

    Mwenyezi mungu aiweke roho yake mahali pema peponi amina

  • @florentmwebesa3280
    @florentmwebesa3280 4 месяца назад +2

    Pumzika Kwa Amani, ulikuwa na Sauti Nzuri sana Nasma.

  • @dickikahese9681
    @dickikahese9681 Год назад +30

    Jamani wa kwanza mimi leo hembu acheni like zenu kama zote kwangu kama tupo pamoja kumkubali nasma h kidogo enzi zake za uhai R, I, P nasma hamisi kidogo kitambo sana bado tunakula ngoma zako siyo za kipolepole ❤️❤️❤️

  • @KhalfanKiko
    @KhalfanKiko Месяц назад +1

    Dah siku zmeenda marehemu baba ang mz mdoe alkua anaupenda sana wimbo huu nakumbuka enz za kaset miaka ya 96 97 Leo 2024 cku zimeenda

  • @shafiichusi1897
    @shafiichusi1897 9 месяцев назад +5

    2024... Tunasikiliza bado pumzika kwa Amani Mama

  • @mwishehenjomoke9676
    @mwishehenjomoke9676 8 месяцев назад +3

    Nilikua nautafuta wimbohuu yani huyu mama mm nampenda mpaka B's mungu amsamehe makosa yake

  • @zuhuraibrahim1433
    @zuhuraibrahim1433 Год назад +6

    OLD IS GOLD 😍👌🏾

  • @ankojuma1714
    @ankojuma1714 Год назад +8

    Kijembe hicho alipigwa Hadija kopa

  • @HawaSuleiman-fe8pf
    @HawaSuleiman-fe8pf Год назад +3

    Mahala pema peponi inshaalah

  • @sitnaamina6150
    @sitnaamina6150 11 месяцев назад +5

    Nani ana wimbo wake na khadija kopa wa sina haja na mumeo

  • @NaimaHamad-u9v
    @NaimaHamad-u9v 4 месяца назад +4

    Ameshatanguliambeleyahaki tangu 2009 huko dar mbagalakibondemaji (B)magengeni allah amrehemu mja wake.

    • @mbesherejoh4219
      @mbesherejoh4219 28 дней назад

      Hivi huyu Mama alikuwa ni kabila Gani??

  • @kivuyojraphael5357
    @kivuyojraphael5357 2 месяца назад +1

    Rip Nasma khamiss mungu akusamehe makosa yako yote

  • @salahhddindasuvic6447
    @salahhddindasuvic6447 Год назад +3

    Allah amrehemu

  • @isayakazimoto4826
    @isayakazimoto4826 7 месяцев назад

    Daah nmekumbuka .bal sana mpk choz limenitok, those old good days

  • @Msodok-u3l
    @Msodok-u3l 3 месяца назад +1

    Watoto wa elf 2000 wanashangaaaa tuuu😂😂

  • @MariamuSefu-s7m
    @MariamuSefu-s7m 6 месяцев назад +1

    Da pumzika bwana ameto na bwana ametwa jinalake limidiwe 2024 bado tunakukumbuka mama yetu

  • @fatumasalehe-ch9jf
    @fatumasalehe-ch9jf 10 месяцев назад +1

    Mungu akutangulie mama etu kipenzi

  • @mwajumakweli
    @mwajumakweli Месяц назад

    ALLAH akupe kauli thabiti

  • @damaHamiss
    @damaHamiss Год назад +1

    Unkumbuka wapo

  • @Faisal-t2e1o
    @Faisal-t2e1o 23 дня назад

    2025 still a hit

  • @MussaRamadhan-c8d
    @MussaRamadhan-c8d 7 месяцев назад

    Mmhh uyu mama alikua atari mungu amrehemu

  • @NicholausSimiti
    @NicholausSimiti 8 месяцев назад

    Nakumbuka mwaka 2000
    Mtangazaji wa redio one wakati huo charles Hillary kwa kipindi chake wimbo huo lilikuwa chaguo lake mungu akuweke mahali pema peponi

    • @KasimuAsili
      @KasimuAsili 5 месяцев назад

      Old is gold

    • @KasimuAsili
      @KasimuAsili 3 месяца назад

      Awa watunzi was zamani akili nyingi

  • @Msodok-u3l
    @Msodok-u3l 3 месяца назад

    Mtu mzima ovyo😂😂 2024

  • @Bintimrembo-y1v
    @Bintimrembo-y1v 2 месяца назад +1

    Malegend tujuane pliiiz 😂😂😂

  • @fatumasalehe-ch9jf
    @fatumasalehe-ch9jf 4 месяца назад

    Mungu akupekauli sabiti kipenzi

  • @AshaMngindo
    @AshaMngindo 8 месяцев назад +1

    2024 naisikilizia jamani

  • @RamaWest-dw9rn
    @RamaWest-dw9rn 8 месяцев назад

    Jamani nlikuwa nauliza Nasma Khamis Yupo Nipeni Jibu Jaman

  • @meddytoto93
    @meddytoto93 Год назад +2

    Zamani sanaaaa

  • @PazijnrPazi
    @PazijnrPazi Год назад +2

    Akuna wakujibu ilo fumbu r.i.p mam

  • @vickysatman4796
    @vickysatman4796 9 месяцев назад +1

    Hapo sasa......

  • @sangomamourice3539
    @sangomamourice3539 2 месяца назад

    Music wa kwetu mwambao pumzika nasma

  • @gallousgosbert4993
    @gallousgosbert4993 Год назад +3

    JAMANI KWENYE ALBUM HII KUNA NYIMBO INAITWA SI MZIZI SI HIRIZI JAMANI UTUMENI NA WENYEWE

  • @MajidiMwalimu
    @MajidiMwalimu Год назад +6

    Kitambo

  • @gracenabuno6565
    @gracenabuno6565 Год назад +1

    Namkubali sana

  • @monicajohn7654
    @monicajohn7654 Месяц назад

    R.l.P bado tunakukumbuka

  • @hasaniulamaa-6256
    @hasaniulamaa-6256 Год назад +1

    Daaa

  • @idrisasanton
    @idrisasanton Год назад +6

    Taarabu ipo naona mambo yako huku 😂😂

  • @timothyandrewhoja8951
    @timothyandrewhoja8951 10 месяцев назад +1

    ❤mambo yako huku

  • @doricesanga1035
    @doricesanga1035 Год назад +2

    Pumzika kwa Amani

  • @MariamuSefu-s7m
    @MariamuSefu-s7m 5 месяцев назад

    Uyu jamaa alieye chezea kibod anatisha jamsn

  • @MsevenSaudisaidi
    @MsevenSaudisaidi 6 месяцев назад

    Kitambo sana mwaka 20000 tunaingia taoni

  • @barnabawana1058
    @barnabawana1058 Год назад +4

    ❤❤❤❤

  • @sephlee1424
    @sephlee1424 Месяц назад

    2024/12/25 am here

  • @MohammedNatunga
    @MohammedNatunga 6 месяцев назад

    kivinje Moja

  • @MwajumaYunusu
    @MwajumaYunusu 5 месяцев назад

    Ananikumbusha mbali

  • @angelacharles4365
    @angelacharles4365 5 месяцев назад

    2024 tupo

  • @MusaShembilu
    @MusaShembilu 7 месяцев назад

    R.i.p mama

  • @hinsymoussa9666
    @hinsymoussa9666 Год назад +1

    Rip mama

  • @MohammedNatunga
    @MohammedNatunga 6 месяцев назад

    kutoka kilwa kivinje tunajivunia

  • @RajabuMakuna-fe5co
    @RajabuMakuna-fe5co Год назад +1

    We be

  • @NicholausSimiti
    @NicholausSimiti 8 месяцев назад +1

    Naomba tu nipate back ground
    Yake nyota huyu

  • @DaniuskDiocles
    @DaniuskDiocles 9 месяцев назад

    😂

  • @isayakazimoto4826
    @isayakazimoto4826 7 месяцев назад

    Daah nmekumbuka .bal sana mpk choz limenitok, those old good days

  • @lukiakalumba2184
    @lukiakalumba2184 8 месяцев назад +1

    Pumzika kwa amani