😂😂😂😂 I remember my kungwi when I got married I 2004, they put this song on my kitchen party and Swahili teachings.... May you keep resting In peace mammy... Jannah tul firdaus😢
siyo tu kwa wanawake hâta kwa wanaume usafi unaitajika asante sana kwa wimbo huo iliyo bora kutoka DRC 🇨🇩 Kivu kusini Tarafani fizi jijini baraka tuko pamoja 🤝 Saba
Mwenyezi Mungu hakupi Kila kitu ,aso like ana hili,ukweli ni kwmba hadija kajajaaliwa nyota,ndo maana kafunika Kila mwimbaji wa nyakati hizo na WA Sasa,huyu Nasma alikua anasafiria nyota ya hadija .
You rest in 2009 but you still allive. 2023 bado tunakusikiza. Rabana mrehemu bi nasma.
like will ever happening again...
imagine not loving taarab flavor music..
am still listening a beautiful song 2023
😂😂😂😂 I remember my kungwi when I got married I 2004, they put this song on my kitchen party and Swahili teachings.... May you keep resting In peace mammy... Jannah tul firdaus😢
Dah😢mekumbuka zamani sana mpaka sahiv 2/9/2023
Hapana malkia atabaki kuwa ivo malkia sijaona cha kumtisha hadija kopa hapo nyie acheni ubwege ❤❤❤hdj kp
Kopa hapo alitokota kama hujui.
Nasma ni moto wa kuotea mbali enzi zake. Usilete ubishi huyo ndio kiboko ya sanamu la michelline
ALLAH yarham .Bi nasma nikama alikua na asili ya kinyarwanda she was very beautiful mashallah 💯
Beautiful. Pumzika kwa amani, alama ulizoacha kwenye taarab hazitafutika!
Nikweli kabisa
Wazungu kweli hamnazo oooh ngoma niushetani
Mwenyezi Mungu akurehemu Dada pia akupunguzie azabu ya kaburi
Wangapi nimemuona mwanaidi shaban
One of the the funniest fact song ever 😂
Eti; “Mwanamke mazingira bibi siyo kunuka kikwapa 🤣🤣
Usizani kata mti, panda mti, usafi waitajika”😅
Ujumbe mzuri kabisa
😢😢Allah akulaze mahali pma Shangazi angu
Manshallah huo ndo wimbo
Unanikumbusha mbali sana!
Nimeshaitafuta,🥺 thanks legend,
Wa jina rest well dear😥😍😍😍
2024 Bado mpooo?
Huu wimno nakikumbusha mbali sana
Pumzika kwa amani Dada yangu kipenzi
Very nice.
Eeeeee mama wa.kilwa kivinje alla ailaze roho yako peponi
Wimbo wa nyakati na vizazi vyote
Lait ungelijua unavyotia kichefuchefu😊😊😊😊
siyo tu kwa wanawake hâta kwa wanaume usafi unaitajika
asante sana kwa wimbo huo iliyo bora
kutoka DRC 🇨🇩 Kivu kusini Tarafani fizi jijini baraka tuko pamoja 🤝 Saba
Huyu alikuwa kiboko yao,,,kopa alikuwa anafunikwa kila kitu kwanza mwenzie mzur Na alikuwa Na bonge la shep
Mwenyezi Mungu hakupi Kila kitu ,aso like ana hili,ukweli ni kwmba hadija kajajaaliwa nyota,ndo maana kafunika Kila mwimbaji wa nyakati hizo na WA Sasa,huyu Nasma alikua anasafiria nyota ya hadija .
@@alihamisi8440 wee huy alkua kiboko ha khadija kopa, alkua ana madongo balaa,
Thank you dood bress
Kiboko ya hadija kopa
Nakukumbuka sana mamy 3023
Asubutuuu
Khadija Kopa huyo ndio kabali yake haswa.
Allah amlaze mahala pema peponi.
Chuma Khadija kopa ajua shuuri yke
PUMZIKA KWA AMANI NASMA HAMIS KADOGO
Bass haya
Kun mti aniambie mwak gn pls walikuw wanashindan n hadij kop walikuw wanabifu yy alimuimb wadudu wadog wadog wanabyevua nyevu
😢😢😢😢
Taarabu Ni nyimbo flani hivi hazi wezi mchosha msikilzaji Miaka 10000....
Nim uta futa hii nyimbo ambay nilkuw naiskia wakat nina miaka 7 ,8 😂😂
Hivi unamiaka ngapi
Una kama miaka 24 kitu kama icho au nimepoteza kumbukumbu 🤔🤔🤔🤔