Taarab: Kinyago cha mpapure

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 фев 2025
  • Taarab music of Zanzibar

Комментарии • 278

  • @frankvianey2438
    @frankvianey2438 Год назад +11

    Oooooh sure the days are passing very fast,it is like yesterday when I was a kid,this song really brings a lot of old memory to me

  • @asiazuberi9722
    @asiazuberi9722 6 лет назад +79

    Taarabu imenikumbusha mbali sana mpka machozi maneno ya huku ni konki wangpi wko apa kama mimi 2019

  • @marijanimurshid8039
    @marijanimurshid8039 2 года назад +7

    Mwanahawa Ally the true East African melody icon

  • @nellymwangilwa4288
    @nellymwangilwa4288 4 года назад +9

    Mwambie mwambie huyo mpasulie huyo😘mpee mpee mpee vidonge vyake akimeza akitema nishauri yake 😘😘😘😘

  • @carolyneogutu6489
    @carolyneogutu6489 11 месяцев назад +3

    🎉It reminds me of kbc during presenter khadija Ali. Following from Kenya 😘

  • @emmanuelmkumbo1792
    @emmanuelmkumbo1792 3 года назад +8

    Mapenzi yako dhaifu, kachumbari upungufu, bwana yameshamkifu, kakutoroka mpofu 🔥🔥🔥

  • @maryhenjewele5884
    @maryhenjewele5884 4 года назад +10

    Wangapi tumekuja baada ya interview ya shamsa wasafi kumpa ii dedix aunt tujua gonga like twende sawa

  • @mwanahawanyambi9440
    @mwanahawanyambi9440 2 месяца назад +1

    Allah akuridhie Amina Chifupa(AC) kipindi hicho clouds moto Africa bambataa naiomba hiyo huku ukinirusha hewani.

  • @jafaripaje5366
    @jafaripaje5366 3 года назад +6

    Reminds me of my hard time in college in early 2000. It was like National Anthem

  • @mozamirmohamed4842
    @mozamirmohamed4842 9 месяцев назад +1

    nmekumbuka mbali kwel 😭😭😭😭pumzika kwa aman bibi yang mzaa baba ....ommy meja Amina pengo tulikuwa tunamtania b Zena

    • @Nashoora8
      @Nashoora8 7 месяцев назад

      Kwani mwanahawa amefaliki😳🤔

  • @getrudewawi2252
    @getrudewawi2252 Год назад +1

    Imebidi nije kusikiliza 😅❤ asante dada Shamsa...🎉eti kinyago cha mpapule 🙌😃 aiii

  • @youngbob9761
    @youngbob9761 4 года назад +6

    Kinyago cha mpapure enzii zile saaa 8 mchana radio Zanzibar kila kona unaskia huu wimbo na kijuzuu chako unakula kona chuoni.....

  • @emmanuelmkumbo1792
    @emmanuelmkumbo1792 Год назад +1

    My best taarab song of all times, Mwanahawa Ally 🫡🫡

  • @therealTanzanian
    @therealTanzanian 2 года назад +2

    Yaani WATANZANIA kiboko mtu anachambwa ,we unarelaxxx 🤣🤣🤣🤣Shikamo nyumbani 👑👑

  • @naimasaid7763
    @naimasaid7763 5 лет назад +4

    Midomo mirefu kama chupa kazi umbea tu 🙌🙌🙌

  • @annawanjiku7215
    @annawanjiku7215 6 лет назад +12

    Namkumbuka sana mamangu. Huu wimbo aliupenda sana

  • @mwanahamisopwoko575
    @mwanahamisopwoko575 9 лет назад +6

    kinyago cha mpapure, midomo mirefu kama chupa, kazi ni umbea tu, yako unayo kibao.... dole juu Mwanah

  • @saloumdunia3581
    @saloumdunia3581 8 лет назад +12

    kinyago cha mpapure; sanamu la Michelin... duu nomaa sanaa

  • @kimutaiboit8516
    @kimutaiboit8516 4 года назад +5

    2020. logging in. This is when music was music. Ni wako akiwa kwako.
    Wewe maji kwako sumu
    Sabuni kwako bomu
    Mswaki risasi
    Colgate super glue.
    Dead.

  • @herie16m
    @herie16m 8 лет назад +3

    Daah noma xana enzo hizooooo
    nakumbka mvali xaana

  • @sulamanmuhammad6337
    @sulamanmuhammad6337 Год назад +1

    Mashallah 👍 very nicely songs sing song Mashallah Mashallah your voice from paradise mashallah 👌

  • @sulaiman9113
    @sulaiman9113 10 лет назад +6

    Asante sana mpenzi katika nyimbo nnazozipenda.

  • @paulkibit8652
    @paulkibit8652 2 года назад +1

    High school memories...hadi national na hii taraabu wacha tu...

  • @MafkenMoses
    @MafkenMoses 5 месяцев назад

    Big up sana mamaaa wape wape hao kinyago Cha mpapure

  • @joellengine4348
    @joellengine4348 2 года назад +1

    Naipenda taarabu sna respect mam taarabu

  • @mwanaidijuma1407
    @mwanaidijuma1407 5 лет назад +6

    Daaaah mbaka nimetoa choziiiiii😢 nimekumbuka mbaliiii Saaana😔

  • @dianaelinam
    @dianaelinam 2 года назад +1

    Reminds me of when i was just a baby and my aunty a pure mswahili knew this by heart....LOL watching in 2022....LOL

  • @razansalim532
    @razansalim532 6 лет назад +4

    Jamani hii nikiboko saaaaana

  • @muhadiba3708
    @muhadiba3708 4 месяца назад +1

    Kinyago cha mpapure ndio utambulisho wa kiwango cha juu kwa Modern Taarab

  • @mariamsalim2220
    @mariamsalim2220 3 года назад +3

    Inanikumbusha 2000nikiwa Arusha Tz mererani kwa my brothers

  • @sabihasaid3138
    @sabihasaid3138 4 года назад +32

    Kama umekuja kusikiliz huu wimbo wa kinyago cha mpapure baada ya shemsh kump dongo anty Ezekiel nipe like tujuane😃😃😃

    • @petro.safari5480
      @petro.safari5480 4 года назад +2

      Haha mi sikuujua kabisa ikabid nije leo

    • @neemamazoya3365
      @neemamazoya3365 4 года назад +2

      Ha ha haaaa ,kumbe tupo wengi

    • @sabihasaid3138
      @sabihasaid3138 4 года назад

      😂😂

    • @mariamatieno5802
      @mariamatieno5802 Год назад +3

      This song reminds me of my late auntu lily at rahmisi she died very painful death and loved this song soo much ..may her soul rest in peace 😢

    • @dojabia2918
      @dojabia2918 Год назад +1

      @@mariamatieno5802may her soul rest in peace🙏 sorry 😢

  • @mwanaishasultani3282
    @mwanaishasultani3282 7 лет назад +6

    kwa hakika huyu mama ananyimbo nzuri

    • @agnesmashauzi4445
      @agnesmashauzi4445 5 лет назад +1

      Nipeni..namba.za..huyu..mama..yani..nyimbo.zake..ni.kiboko..nataman.nimzawadi..tu..jamani..mwambieni.naomba.tuchati..nae.kwa.whas.pp.nimtumie.tu.zawani..naumwa..Aisha.kutoka.254

    • @agnesmashauzi4445
      @agnesmashauzi4445 5 лет назад

      Plz..naomba..namba.za..ko

    • @hawangunge8104
      @hawangunge8104 10 месяцев назад

      Angalia interview yake zamaradi tv kataja namba zake. Msaidie mwaya ana hali mbaya

  • @habibakhlifa8534
    @habibakhlifa8534 7 лет назад +3

    Inanikumbusha mbali sana Mombasa Kenya

  • @lynnemuhonja2743
    @lynnemuhonja2743 3 года назад +2

    Wow nimekumbushwa mbali

  • @mrtezura9753
    @mrtezura9753 5 лет назад +2

    Huaga nakumbuka moro chamwinoo sambaba, aisee mhh kipindi bado sura mpya

  • @rahimaally9838
    @rahimaally9838 6 лет назад +6

    Si mimi katu si mimi si mimi nnokuibia mi simtaaki wako nnae mpenzi wangu rahaa tupu

  • @azzaalmaamry76
    @azzaalmaamry76 6 лет назад +2

    Imenikumbusha mbali saana miss saana dar

  • @popularloner1043
    @popularloner1043 6 лет назад +3

    Malkia wa uchafu,,usichunguze ya wa2 yko ww yanakushinda,,...2019,,first week,who z there...😍

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 5 лет назад +5

    Zilizopendwa oyeeeeeeeeeeee

  • @youngbob9761
    @youngbob9761 4 года назад +1

    Wazanzibari Kwa maneno duh hatar sana hahaaah

  • @ibnhalalmedia1822
    @ibnhalalmedia1822 3 года назад +5

    31/5/2021 and still counting down ❤️

  • @mwanaherimohamed7135
    @mwanaherimohamed7135 5 лет назад +6

    29/09/2019 tujuane hapa,🔥🔥🔥🔥

  • @sofiasofia8886
    @sofiasofia8886 5 лет назад +2

    2019 mpe vidonge vyake akimeza akitema hyo nishauri yake kazowea huyo kuyasema yawenziwe aaaaa ujumbe huo

  • @nassoryahya6536
    @nassoryahya6536 6 лет назад +1

    Huyu mm napenda sana nyimbo zake wape mama

  • @fradnicodem943
    @fradnicodem943 9 лет назад +7

    Yani hii nyimbo inanikumbusha mbali sana nikiwa sekondari moshi technical enzi ya uhai wangu safi sana

  • @umiaboud-bd4ht
    @umiaboud-bd4ht Год назад +1

    Nyimbo tamu sana❤

  • @fettyslim7511
    @fettyslim7511 8 лет назад +5

    tbt waooo very good song

  • @jamalmwinyi9250
    @jamalmwinyi9250 7 лет назад +1

    Nice song kinyago champapureeeeee!

  • @salyali7807
    @salyali7807 8 месяцев назад +1

    Tuletee nyimbo yake ya ... naililia bahati masikini sikupewa

  • @theresiajerome1332
    @theresiajerome1332 5 лет назад +1

    Ahsante mwanahawa ally

  • @romeearberto452
    @romeearberto452 6 лет назад +6

    huwa najisikia kulia nikisikiza hii nyimbo maana nakumbuka mengi mno ya nyuma

  • @madiziarts
    @madiziarts Год назад +1

    🎉kafata magoma taff ya mastaa wazoefu😂😂😂

  • @stellamwanjala3642
    @stellamwanjala3642 8 лет назад +12

    yaani hadi raha zinakumbusha mbali

  • @sekundisiri3618
    @sekundisiri3618 2 месяца назад

    Dah miaka ya 2000's huku Kuna nasma kidogo kule mwanahawa ally na hapa mama kopa 😂😂😂 radio one mida ya mchana kuanzia sa sita

  • @azzaalmaamry76
    @azzaalmaamry76 6 лет назад +10

    MaashaaAllah enzi hizo whatsaap hakuna hutukumbusha mbali miss saana znz

    • @ladyrose5356
      @ladyrose5356 6 лет назад

      Aaah champapuree yote kma yooteeeee

  • @johnkisengi1208
    @johnkisengi1208 6 лет назад +11

    1999 to 2005 nyimbo zilizovuma.

  • @rachelkidenda2253
    @rachelkidenda2253 9 лет назад +3

    one of my favorite taarabu

  • @SolomonNganga-f1v
    @SolomonNganga-f1v 6 месяцев назад

    ❤❤❤❤❤ NYAMAZA NIKU STIRI

  • @mjunicharles1198
    @mjunicharles1198 Год назад +3

    Unamstiri nn usimfiche chochote mwambie mwambie huyo mpasulie huyo🤏

  • @chikuthabity771
    @chikuthabity771 5 лет назад +2

    Imenikumbusha bari sana

  • @ahmedwar.f.f5517
    @ahmedwar.f.f5517 5 лет назад +4

    R.F.F DISCO TECK. magomeni zanzibar dj mimi ,dj rama,djmda,dj Rai mwenyewe,dj Hafidhi palikuwa hapatoshi enzi zetu R.F.F mlangoni yupo Ali Hamdu na Pandu Halidi hahaha

  • @FarajaSamwel-o9c
    @FarajaSamwel-o9c 16 дней назад

    Huyo unaesema wako sio wako ni wako akiwa kwako akiwa nje si wako hehehe kinyago Cha mpapure

  • @tmtmslm2697
    @tmtmslm2697 5 лет назад +2

    Santhaaa old is gold

  • @abdullkilawi5504
    @abdullkilawi5504 8 лет назад +9

    message delivered

  • @supumoto6819
    @supumoto6819 6 лет назад +3

    WANAWAKE NIUKWELi HAYO ! EBU thibitisheni nyinyi

  • @wilsonastiba8919
    @wilsonastiba8919 3 месяца назад

    Shairi lenye Uzi to

  • @nagibtimimi6027
    @nagibtimimi6027 8 лет назад +2

    kiboko yao bi mwanahawa ally daima upo juu kwa nyimbo zako

    • @mariamk1488
      @mariamk1488 8 лет назад +1

      unamsitiri Nini ? usimfiche chochote mpe vidoge vyake hakimeza hakitema iyo niushauriyake hamezowea uyo kuyasema ya wenziwe......mdomo mrefu kama Chupa....

    • @petermarwa5406
      @petermarwa5406 5 лет назад

      Good

  • @JustineIshebakaki-ns7fd
    @JustineIshebakaki-ns7fd Год назад +1

    Mamboooo ayooooooooooo 😅😅😅😅😅😅😅

  • @mamapekupekupilipilimuwash9016
    @mamapekupekupilipilimuwash9016 8 лет назад +3

    kinyago cha mpapure woyooooooooo🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎧✔✔✔✔✔✔✔ 👌👌👌👌👌👌👌

  • @liberatepeter4713
    @liberatepeter4713 7 лет назад +1

    Kweli huu wimbo Unanikumbusha mengi sana

  • @mjney2021
    @mjney2021 7 лет назад +30

    siku hizi hamna taarabu. kuna makelele tu

  • @kalundemussa6512
    @kalundemussa6512 5 лет назад +3

    Duu enzi hizo baba yang kaoa mke wa pili bas wakawa wanachuana hatareee

  • @misterferuzi3873
    @misterferuzi3873 4 года назад +5

    2021 tujuane

  • @Ahexinc
    @Ahexinc 3 года назад +2

    Amazingly relaxing
    Keep it up and thanks for the message.

  • @chynabongoo3563
    @chynabongoo3563 5 лет назад +5

    Niko hapa 2020 March

  • @suzanewilliams1453
    @suzanewilliams1453 6 лет назад +6

    taarabu hii bado inautamu wake

  • @Mellah440
    @Mellah440 28 дней назад

    Nimekumbusha Bali Sana dada

  • @mumbihack
    @mumbihack 4 года назад +3

    Nyimbo safsana

  • @mohammedearly2575
    @mohammedearly2575 5 лет назад +1

    am listening dis song here in Dubai n it's reminds me home land east Africa

  • @nellymwangilwa4288
    @nellymwangilwa4288 4 года назад +2

    Mpaka wa leo bado inavuma 2020

  • @leechristz1053
    @leechristz1053 6 лет назад +3

    Nimetoa machoz hii kinyago cha mpapure... Video pliiZ!!! Kafata mambo matamu ya mastaa wazoefu💞💝💋😍💪💪

  • @mussamjai1523
    @mussamjai1523 4 года назад

    Namkubali Sana mama huyo ananikuna sana

  • @mohamadkombo9644
    @mohamadkombo9644 8 лет назад +4

    hapo sisahau kabisa

    • @sitibora4942
      @sitibora4942 8 лет назад

      mohamad kombo kinyago champa pure😂😂😂😂😂

  • @salmamasoud6055
    @salmamasoud6055 8 лет назад +9

    ww kwako maji sumu na sabuni Kwako bomu mswaki risasi Colgate super groru

  • @ojeemaliah4550
    @ojeemaliah4550 6 лет назад +6

    This song reminds me of my young age

  • @alawiali6758
    @alawiali6758 5 лет назад +1

    Enzo zake East african melody bado hawajapanguka

  • @karimwanga53
    @karimwanga53 8 лет назад +3

    Swadakta Bi Mwanahawa

  • @jumachitupha6312
    @jumachitupha6312 2 года назад +2

    That's nice

  • @manuelykimaro9995
    @manuelykimaro9995 2 года назад +2

    Enzi hzo watu walipigana maharusi kwa ajili ya wimbo huu😆

  • @shaddadiali8767
    @shaddadiali8767 2 года назад +1

    Nyimbo za kitambo namukumbuka bibi angu maskini toka Omani jamani mpe mpe mpe vidonge akitema akimeza shauri yao

  • @theresiamushi7093
    @theresiamushi7093 7 лет назад +2

    one of the best!

  • @botulahmedrajab6405
    @botulahmedrajab6405 5 лет назад

    Ohh!!yes one of my best songs.

  • @rannyismail4094
    @rannyismail4094 9 лет назад +5

    MY FAVORITE

  • @AbdulRahman-dt7qq
    @AbdulRahman-dt7qq 6 месяцев назад

    Nikweli sikuizi balaa tu amna taarabu bana

  • @sixville_tv
    @sixville_tv 3 года назад +3

    Who is here with me April 2021

  • @ummyyahya1386
    @ummyyahya1386 3 года назад +1

    Jamani nani aliimba nyimbo ya kelele za chura

  • @rukiahamis4888
    @rukiahamis4888 6 лет назад +2

    Sana mwanahawa

  • @rashidngwawile9062
    @rashidngwawile9062 2 года назад +1

    Nyamaza nikustiri 2022 tujuane hapa wana mizengo

  • @shahrazadnassir1830
    @shahrazadnassir1830 7 лет назад +2

    Mwanahawa kiboko

  • @kybtzearthmoney9984
    @kybtzearthmoney9984 3 года назад +1

    2021 still listening