Wakerekao Shauri yao - Mwanahawa Ali with zanzibar stars

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 янв 2025

Комментарии • 20

  • @NeemadanielyMmbaga
    @NeemadanielyMmbaga 3 месяца назад +3

    ❤mama anajuwa anajuwa tena wakerekao shauri zao siye paambe kubwa kufuru zao laana huwapa waoooo

  • @baggiomoud5289
    @baggiomoud5289 3 месяца назад +2

    Nakupenda sana bi Hawa mungu akulinde mama

  • @asiyaamoury8556
    @asiyaamoury8556 11 месяцев назад +4

    Mama ❤ww nyimbo zako zinaujumbe bambam❤yani utanyanyuka tu popote ulipo kaa❤

  • @sidosaidi3938
    @sidosaidi3938 11 месяцев назад +2

    I see no one can compete with queen of taarab Bi Mwanahawa Alli ..to be honest she is 100% the best ever..

  • @habarileoleo
    @habarileoleo 10 дней назад

    Hakuna kama Mwanahawa

  • @BashiraAbdani
    @BashiraAbdani 2 месяца назад

    penda sana mama ang kipenz allah akulinde in shaallah

  • @dallatode8295
    @dallatode8295 3 месяца назад

    ❤❤ Mama's love

  • @mwanaishajohari9393
    @mwanaishajohari9393 Год назад +1

    Hongera Sana mama kipenzi 😘😘 mungu akupe miaka mingi

    • @jaymwinyi6957
      @jaymwinyi6957 Год назад

      ❤Ameen yaarabbi hzi zama hazirudi jmni

  • @AbdallahSeiph-s5b
    @AbdallahSeiph-s5b Год назад

    Mama fundi xan kweny nyimbo hi za pwan

  • @UwezoLuondo
    @UwezoLuondo 11 месяцев назад +1

    Piga kazi mama huna mpinzani sauti yako niyako

  • @KassimGomez
    @KassimGomez 3 месяца назад +1

    ❤❤❤

  • @shekhaali3492
    @shekhaali3492 Год назад

    Hongera mama

  • @AkiduMahmud
    @AkiduMahmud 10 месяцев назад

    Mama jamani tarabu zako mie zinanikoshajee

  • @ABDALLAHARUNABWIJO
    @ABDALLAHARUNABWIJO 3 месяца назад

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @EricMakokha-op7im
    @EricMakokha-op7im Год назад

    Good song

  • @husseinkitwana5669
    @husseinkitwana5669 Год назад

    Safi

  • @KhadijaHamiss-eb1tt
    @KhadijaHamiss-eb1tt 6 месяцев назад

    🔥❤

  • @carolyneogutu6489
    @carolyneogutu6489 2 года назад

    🎼🎸🔥🔥