Yani hii week yote hii nyimbo iko kinywani mwangu nikasema leo acha niipekue RUclips🥰❤ ila maneno yake ndio ninayopitia Alhamdulillah basi inanipa nguvu sanaa nilkua nikiiskiza nikipitia mama zangu wadogo nikiwa na umri wa miaka kama kumi ila hadi leo ni nyimbo number one kwa wale ambao wanapambana na hali ya umaskini ❤❤❤❤❤❤
Nyimbo nzuri sana ina manemo mazuri na sauti nzuri ya Bi Mwanahawa. Nimetoka kuangalia interview ya Bi Mwanahawa na Zamaradi TV nikakumbuka nyimbo zake
Mashallah, wimbo mzuri, mashairi mazuri ya kutia moyo, wallah ukiuckiza unapata nguvu ya kusonga mbele, unagusa hisia haswa. Mama asante kwa huu wimbo. Sauti tamu.
Mama mwenye heshima yake na nyimbo zake.Hy alikuwa anaelimisha kupitia nyimbo zake.Kwa kweli hy ndio alitakiwa kupewa cheo cha Malkia wa Taarab Tanzania
@2024, Japo Mimi MASIKINI Katu sijiweki nyuma Sababu naziamin Rehema zake Karina Ipo siku nitawini mtanyamaza kusema Tungo kama hizi hazikupatikana rahisi pasipo na waalimu kama mma. Shairi limeenda shule na limekoma.
Japo Mimi MASIKINI Katu sijiweki nyuma
Sababu naziamin Rehema zake Karina
Ipo siku nitawini mtanyamaza kusema
Wangap tupo August 2023
2025.. Nimekinai umaskini wangu ndio maana nanawiri mwili aangu.. Kweli kupata na kukosa in jaala lake mungu
Yani hii week yote hii nyimbo iko kinywani mwangu nikasema leo acha niipekue RUclips🥰❤ ila maneno yake ndio ninayopitia Alhamdulillah basi inanipa nguvu sanaa nilkua nikiiskiza nikipitia mama zangu wadogo nikiwa na umri wa miaka kama kumi ila hadi leo ni nyimbo number one kwa wale ambao wanapambana na hali ya umaskini ❤❤❤❤❤❤
Nyimbo Zuri Sana Wakutia Moyo Kimaisha. Shukrani Mamaa Mwenyewe Mungu Akujalie Kheri. ❤❤❤
My mum yuaitwa Wakesho🤲🏾😇
Wow Somo Yangu Sio 😊. MashaAllah...🥳🥳🥳💃💃💃
@@gladdyswakesho954 yesss ✨😚
@@bakaromarofficial 😢 it be ok 🎉tyytic goo uu uuiç in
Nyimbo nzuri sana ina manemo mazuri na sauti nzuri ya Bi Mwanahawa. Nimetoka kuangalia interview ya Bi Mwanahawa na Zamaradi TV nikakumbuka nyimbo zake
2024 hata Mimi mama sitachoka kusubiri mpaka riziki zangu zishuke na wala sitaenda ugangani ALLAHUAKBAR
❤❤❤❤2024 tupo pamoja
❤❤❤
❤❤❤
2025 InshaAllah yarraby
Wako wapi wale bado twaiskiza hii nyimbo mpaka leo hii Nov 2024
Tuko wengi wimbo mazuri
Sisi hapa tuko
Wacha 2024 mpaka 2025🎉👌💗💗💗🤩🤩
Its 2024 am still listening to this master piece😘❤🌹
Same here
2024 ❤ Bado nausikiliza nashukulu mungu nausikiliza Tena na nauona mpya huu wimboo❤❤❤❤🎉
Mashallah, wimbo mzuri, mashairi mazuri ya kutia moyo, wallah ukiuckiza unapata nguvu ya kusonga mbele, unagusa hisia haswa. Mama asante kwa huu wimbo. Sauti tamu.
Kiukweli uno wimbo ulimgusa mama yangu akanizaa na kuniita somo yangu Mungu akurahamu mama yangu 😢😢
Mama mwenye heshima yake na nyimbo zake.Hy alikuwa anaelimisha kupitia nyimbo zake.Kwa kweli hy ndio alitakiwa kupewa cheo cha Malkia wa Taarab Tanzania
Naungana na wewe %100
Nkweli huyu ndie snaefaa kabisa kwanza ametulia
@@RamadhanKhamisi-k9bjee khadija kopa
@@RamadhanKhamisi-k9bmwanahawa ally na Saba salum 2 peke wenye wanaimba nyimbo za kiheshima
@@ashurafarhan8335wa pili saba salum muchacho
2023 na bado nauskiza wimbo huuu.naupenda sanaa kweli hakuna mtimilifu sote viumbe wa Mungu na mimi ipo siku nitaganyiwa na mimi fungu langu
Tusikate tamaa ipo siku
@@hashunjauriah2776puifiu.
Http moo
@@hashunjauriah2776
P0
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mm zaidi
Wasanii kama huyu ilibidi wawe matajiri lakini bahati haikuwa yao ila vipaji wanavyo na sauti maa sha Allah
Mwanahawa maamaa wa busara nampenda sanaa na nyimbo zake zanikosha
Hizi ndio nyimbo sasa ♥️♥️
Umeumbwa! Nimeumbwa! Hakuna mtimilifu sote ni waja wa MUNGU 🙏🙏
Nimekinahi umasikini wangu........ipo sikuuuù nitapata langu funguuu🎶🎶🎶🥰🥰🔥🔥🔥
Ni 2024 na nasikiliza ♥️
Tupo soteee ❤
Japo mm maskini katu sijiweki nyuma sababu naziamini rehema zake karima ipo siku nitawin mutanyamaza kusema nitamegewa na mm zilizo njema rehema 2024
Nasikiliza 😊 nikiwa ndani ya 🇴🇲 Allah atujaalie tuage 2024 kwa salama 😊❤❤❤❤ nyimbo tamuu sn
Mama aliipenda sana huu wimbo 😢 fly high queen 🕊️❤️
Yake mola mitihani nitapasi naamini 2024
Alhmdulillah m.mungu muwezaaa habaguiiii😢😢
Naapa sintozalilika nikauza utu wangu natangaza hazarani nimekinai na umaskini japo mm maskini nimeumbwa umeumbwa hakuna mtimilifu😊❤
Bado 2024 nipo nausikilza huu wimbo naupnda sna @MWANAHAWA ALI❤❤Umaskini wangu haunipi tahayuri
Nakupenda sana Mamaetu Allah akujaalie afya na umri 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
2024 na still ndo nyimbo yangu pendwaa
nyimbo nzuri ya kutia moyo
R.I.P mama anga ,alikua anaupenda sana huu wimbo 😢
Naupenda sana huu wimbo❤❤❤❤san
Izi ndo nyimbo sasa sio tx mpenzi doctar wangu zamani ni matusi matupu ndani ya ujumbe
Best song ever in the taarabu MusiC
Hii nyimbo ndio kwanza toka tz kufika Kenya naishikia miaka hioo
Mshallha naipenda hii nyimbo
moja kati ya nyimbo bora za mwanahawa ali
@@sandukuladhahabutupe video clip please 🙏🙏🙏🙏😢😢
Nyimbo hii itaishi mileleee....nzuri sanaaaa
Whenever I listen to this song lazima nipate huzuni kwa nafsi. Such a unique. Ahsante Mwanahawa Ally.
"Wala hajamkosea yule mja akosae....."namimi nikisikia hii verse nazidi kuamini Mungu
huyu mama anasauti ya dhahabu maana akiwa anaimba anauwezo mkubwa wa kuchezea sauti yake
Mashallah❤yani Sina lakusema hapo myimbo inamafunzo❤❤❤ Sana
Huu wimbo unanipa hop kwenye ndowa yagu.kwellyy mtihani ❤❤❤❤ song
Kiukweli nyimbo hii naipenda sana na huwa inaniliza sana sijui ame waza nini mungu ambariki
Japo mimi masikini katu sijiweki nyuma sababu naziamini rehema zake karima
Huu wimbo naupenda sana t sana, tena unamashahiri mengi
❤❤❤walah mpk chozi lanitoka nimemkumbuka marehemu dada yangu alikuwa anaupenda
Pole wangu
Pole dear
pole SANA
Usinikumbushe na mm hivohivo😢
Umeonge kwel kuuza utu sio mafnikio bali mungu ndiye😂 mtoa riziki 🎉❤
❤🎉
Nimekinai umaskini wangu.... ipo siku nitapata langu fungu🥰❤🙏
Kiukweli mama taarabu zako hazichuji nazipenda mimi nazisikiliza na mke wangu mama mwana ndani ya kisalawe daaa
Napenda mpka kwenye dam ❤❤❤❤🎉
Hizi ni nyimbo ambazo hazizeeki kila wakat iko ktk chati
Nakubali mrembo
Yake mola mitihan nitapasi naamin siinyongi roho yng Inshaallah mola muenza atanipa lng fungu😊
Alhamdulilah nimekumbuka bali sana mama yangu kipenzi
2024 tulioskiliza ote mkuje
Tupooooh kwaujazo mwingii tyu
Shairi nzuri Pia ni funzo kwa waja
2024 na bado inavutia masikioni
Maua Yako maaa, nimeipenda sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mashaallh nime penda ni ukweli mtupu
Nsha allah Mola muweza atanipa langu fungu
Allah azidi kukupa umri mrefu mama etu mwana hela
Kwa masaibu ninayo pitia nikisikiza hizo nyimbo hunifariji
2023 Tupo 🔥
Tupo tena kwa Sanaa 👍🏿👍🏿👍🏿❤️❤️❤️🇰🇪
🇹🇿
Mwana Ali napenda nyimbo zake kwaza huu wa nimekinai umaskini wangu❤ from 🇰🇪
2023 where are you guys
Tuko apa 2023
Naipenda hii nyimbo mpaka Leo❤️♥️❤️
Haushi hamu huu wimbo, ya Allah tuzidishie subra, tuweze kuivuka mitihani yarabby🤲
Naupenda wimbo wa umaskini sausikiliza mbaka leo umepangwa ukapangika maneno na sauti ilopowa
Mashallah yani sina lakusema hap nyimbo inamafunzo sana
Achana tu na hii nyimbo ata kama nimelala nikisikia nagutuka Asante sana mwanahawa
Maneno ya busara kabisaaaaa
Kweli umasiki wng kinai kupata au kosa yyt 😊
Da nihatar sana yan unapata maudhui saf kabsa Wimbo mtamu sana ❤❤❤
@2024, Japo Mimi MASIKINI Katu sijiweki nyuma
Sababu naziamin Rehema zake Karina
Ipo siku nitawini mtanyamaza kusema
Tungo kama hizi hazikupatikana rahisi pasipo na waalimu kama mma. Shairi limeenda shule na limekoma.
Rehema zake karima ipo siku nitawin mutanyamaza kusema nitamegewa na mm zilizo njema rehema ❤❤❤
Jaman kuna nyimbo ya zamani ilikua inaitwa shoga nilikuamin imeimbwa sijui na bend gan sijui yemen stars
Nyieee wimbo haushi utamu aiseeeey❤❤❤
Santaaa kwa kuujua utamu wee Mombasa ndio mwanzo nyimbo hii haitwishi hamu
Yake mola mtihani nita pasi namimi ❤😊
the song that taught me kiswahili
Nasikiliza nikiwa Kisiwa cha Ayo yaani Kismaayo Somalia 2025 ❤
Hum wimbo wanikumbusha mengi ❤
Me too
Kama yap?❤
Imetulia ww wanazipiga tukumbukie nakumbuka ikweta mtoni kwazizi ari
AN ALL-TIME MASTERPIECE:. ART AT ITS BEST
Wimbo huu unanikumbusha mbali sana tujuane 2023
Hizi ndio nyimbo❤❤❤❤ kwanza zinamafunzo
Kwakweli mashahallah ❤❤❤❤makiniii 🎉🎉🎉🎉
Hata mimi unanikuna sana naipenda sana hii nyimbo
Dahh zamani nakumbuka enzi hizo wengine tuliokuwa pamoja sasaivi hawapo 😂😂😂😂
Hauishi utamu huu wimbo 😍
Kabisaaa ❤
Ukiiskiliza kwa makini machoz lazima yatoke🥹🥹❤️🙏🏽
MaashaAllah nyimbo zako nzuri Wala sio za mafumbo
Vya kale dhahabu hizi ndo zilikua taarabu
Mwimbaji wangu bora wa muda wote wa taarabu
Kweli
Wow ni nzur kwa kweli ❤️😘
Nyimbo yangu pendwaaa
Hata mimi sitachoka unanilumbusha mbali sana maisha yangu na mama yangu maisha yetu
Wimbo bando naupenda sana
2024 𝒃𝒂𝒅𝒐 𝒘𝒊𝒎𝒃𝒐 𝒖𝒏𝒂𝒕𝒂𝒎𝒃𝒂 𝒔𝒂𝒇𝒊 𝒌𝒂𝒃𝒊𝒔𝒂
It's rey nice this song ,it has truetness no matter how old it is.
❤
Naamin kupata na kukusa ni jalaa yake mungu 🙏🙏
Nyimbo ndio kama hizi hata,ukiwa nastres,inaisha
2024 nipo nausikiliza
Allah atupe na sisi furaha
Yaani mistari inatukumbusha kuwa Rizki anatoa Mungu. Usilazimishe kwa nguvu mwisho wake kwa P.didi😅😅
2024 bado nasikiliza 🔥🔥🔥old is Gold
Old is gold neema