Hicho kitu sibure usizue makhuruku shida wee mita ya luku Fanya ndimi za unyama tia ulimi puani kama bado unaxikiliza hili coma 2020 unamxikia sabaha salum kipenz cha watu gonga like hapo chini jamani
Like fishermen of octopus will meet in rocky ocean . Meaning ( u will know u are empty tin that make loudest noise) this song is dip kiswahili and bantu
Sabah Salum. Kiukweli Tangu nione live band. Na mzee muchacho maeneo ya tandika pale. 89 au 90 mwanzoni adi hii leo. Mimi huwa natazama au kusikiliza sana sana nyimbo zako na mzee muchacho pia. Saafiiii sana sana sana
Wangap tunaskilza hii tarab jaman ndani ya 2023😍
May 2023 🥰🥰
June 2023
🎉🎉🎉
Tuko hapa😁
@@kibusuprofessional5465 heee 🤔 🤔 watu Bado wapo may we ushafika June 😮
Utakufa na shauku nice voice ❤
Wangapi wanasikiliza hii 2024 piga like ❤
😂😂😂😂
😂😂😂
❤
If you're still watching this till now you're the really legend 🇹🇿
My brothaaaa🤝🤝🤝🤝🤝
2024 Taarab bado yatamba, iko kitu si bure
Nani yupo 2024🙌🙌💪
Bado tunaisikiliza 2023 taarabu Kali sana imenibamba sana
Wangapi tunasikiliza hii taarabu IPO kitu si bure ndani ya 2024 ❤
2024 button here
Kama unasikiliza 2024gonga like apo
Mimi toka Congo 2024❤
Km unaskiliza hii taarab hadi mwa 2020 weka like yako hapa
Wangapi tunasikiliza hii taarabu nzuri jmn ndani ya 2021 🥰🥰
Leo tu🥰
Tuko apa wotee😂
Bado tupo
Pambee tu!
🔥🔥🔥🔥
Tune wewe, tutakusiiza hadi mwisho. Hongera kubwa sana. DRC ❤
Mama Sabaha pongezi kwako. Mungu akupe afya njema na umri mrefu. Kazi zako zinatupunguzia stress hasa hao wa mita ya Luku. Tunakukubali sanaa zako.
Haki taarab inaniburudisha sana, uhondo usio na kifani
Amakweli enzihizo Hadi Leo Bado imo jmn
Nipo hapa 2024❤
Wangapi tuko 2023 the best song ever wueeeh 😋🥰🥰🥰🥰
Wangapi wanasikiza hadi sahi 2020 nikiwa mmoja wao... 💖
Mimi naskiza
@@faizamahfudh8076 nice 😉
@@faizamahfudh8076 can we chart through whatsapp please beautiful
Me
Mimi
Ndani ya jiji Nairobi 2024, like wapi
❤❤❤June 2023 listening every morning 😂❤❤Naikubali sna toka Mombasa ❤📍📍📍🔒🔒
Hicho kitu sibure usizue makhuruku shida wee mita ya luku Fanya ndimi za unyama tia ulimi puani kama bado unaxikiliza hili coma 2020 unamxikia sabaha salum kipenz cha watu gonga like hapo chini jamani
Iko kitu si bure
Fanya ninakutazama unachelewesha nini, fanya timiza unyama tia ulimi puani
2019 nani bado upon nikwa Qatar much love
Fatma qatar kama zenji ukiskiza hizi
Fatuma tuko pamoja
Much love Jeddah baibe 😍
Mimi sis nice song 💯👌
Sina Mambo
Kama unasikiliza na mim adi 2019 gonga like yako hapaaa😍😍..weraa kanichagua mim bibieee.👌😍
Tuko pamoja Jojo +971
Waooo
Nunu mambo
Nani mwezangu
Asantaaa 😘 representing, 254 .
Sijawai ona wimbo mrefu kama huu salut kipenzi yani ao kina aisha mashauzi wote wakasome kwako
Ata nenda ukaliwe pesa pia mrefu, Top in town Khadija kopa pia mrefu
weeeeuuuuweee bado jimbo la kosha moyo wang aiseee hakun nymbo kam izii jmn uwiii.tunawamiss wagenga🥰🥰🥰22/2/2020 bado naupendaa saanaaaaa
Mimi uyu hapa tamu sana
Favourite song nikiwa primary 2009.hadi leo 2021 about kuzama 22 likes zangu na comment ziwe kibao
Taaaam hizi ndo nyimbo bahna sio mijimbo yakisasa makelele matupu huu ndo wimbo maneno yametulia.
Kbs
Old is Gold🤩👌
Ndani ya Jiji Nairobi
Wapi likes za 2020
"Kama mvuvi wa pweza tutakutana mwambani" Santhaa swabaha😘
Deeeeebeee tuuu weeeewee ACHA ZAKO KELELE 👌👌👌2020
2024 songi tamu Sana hii
5/4/2019 gonga like kama bado upo naunaikubali ngoma hii
2019 weraaaaaa👌👌....mtaosikiliza 2019 tujuane kwa likes ama comments...
Nmby muu
Hapo sawa
Uko peke yako sabah salum huna mpinzani.. those words lol 😍 old is gold
Zuhura Shaaban vipi? Ligi kubwa ile
Taarabu kali sana24 mpo
Tupoooo
tumbo joto limempata shoga apelekwe mpelampelaaaa hihihiiiiyyaaa ahsantee mumy sabaha hukwel nazipenda sana nyimbo zako mashaallah
Mko wapiii jmn tunao skiliza taarabu safiii jioni hiii 2020...16/2/2022🤣🤣gonga like zako hapaaa rahaaaaaa
Mad love 4 taarab frm Somalia 🤗🤗🤗✊🏿✊🏿🇸🇴🇸🇴🇸🇴 we Somalis nd waswahili share lots in common
mind elaborating what's common btn somalis and swahilis?
@@mariambintsaid3814 Anaaba yaapan pee 😂😂😂 Somali sujuu iga dheh
@@mariambintsaid3814 qqqy
@@mariambintsaid3814
Wezaaaa
@@mariambintsaid3814 Indian Ocean 😂
Iko kitu si bure 2019 anyone???
Nairobi well represented ❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kama mvuvi wa pweza tutakutana mwambani,Debe tupu wewe acha zako kelele .....asantaaa Sabah Salum.💚💛❤
Like fishermen of octopus will meet in rocky ocean . Meaning ( u will know u are empty tin that make loudest noise) this song is dip kiswahili and bantu
Am still listening even now.. Beautiful indeed
Tupo tele mbona hiii tarabu big song
Tupo hapaaaa
Who still listen 25/12/2018 happy New year 2019 InshaAllah Nipeni like jamani za end off year plz ..👌❤..nawapendeni sanaaa
Ndani yakenya
Yngu nimekupa somu wangu
Am here in 2020 as well
2020 quarantine 😪
2020 who's with me
AAA Akkkkk
Me
Me
mimi apa
Meh ✌
Iko kitu si bureee.. 2019 fanya tena fanya himaaa... kinichagua Mimi chumaaa kaniweka ndaniiiiii
Napenda sana hii taarabu
Bora ujengewe boma simtu wehayawani! ujumbe xfii mama swabah!!
Mlingoti chuma.....
Pia kamba chuma.....
Na bendera chuuuuuuma....
Iko kitu si bure iko kitu 🎼🎸🎹🎺🪘
2020 na Bado tuko hapa tieni ndimu puani.nairobi Kenya.
Niulimi puani😂😂
😂😂😂kama mvuvi wa pweza tutakutana mwambani 😅😅 maneno mazito kabisa Asante sabaha mungu akuweke
sauti nyororo ya sabaha salum na uwezo wake wa kukaa kwenye njia ndio vitu vinavyonikosha saana
2025 Wangapi Tupo na bibi yetu mungu akuhifadhi na kukulinda bibi yetu
2024 sibure kabisa
2023. Na bado ikisawa. Best taarab song singer ever. Simply composed and the message, wacha tu
Michael Dzombo a.k.a mwalimu Habwe.
Mashallah ,umegonga ndipo dada.zidi kuzidi unawakera wambea kweli kweli !! ..
Wow still tupo 2020/3/29 nipe like kama mpo 2020 hellow there my brothers and sisters
Nakupenda Sana Hon Abdirashid Mwaura from Lamu Kenya
Wewe ni Kiongozi wangu
Jameni taarab naipenda toka zama hizo nkiwa shule ya msingi mpaka wa leo.kongole kwenu waimbaji wa taarab m,mola awazidishie kudura zake
Whenever I listen to these taarabs I remember my sisters those days life was good
best melodies. I still remember my childhood
kama mvuvi wapweza tutakutana mwambani luv this taarab song thanx sabah salum
awadh tevez really good song
Hapo chacha shida we mita ya luku
Naipendaje hii ngoma yaani najiskia km namchamba mtu flani ivi
We mshari ee😛😁
Mlingoti chuma, kamba chuma, bendera nayo chuma!!! Asante sana, zamani raha jamani.
2020 mko wapi mashabiki
2024 Anyone?
Kama kawa kama dawaa tukoo
Tupooo
Hii inatisha nampenda sana huyu nyimbo zake konk laid
2020 tukutane hapa na like nyingii
Hiiko kiitu sibuuureee👌👌
nampenda sana sabaha gonga like km unckilikiliza 20/10/2019
Kama unapenda kama mm gonga like
Wangapi wako hapa 2021. Mlingoti chuma, bendera chuma pia kamba chuma.
Machungu uliopika umejizoza mwenyewe.... The Swahili folks have got a special way of creating a scene.
Sabah Salum. Kiukweli Tangu nione live band. Na mzee muchacho maeneo ya tandika pale. 89 au 90 mwanzoni adi hii leo. Mimi huwa natazama au kusikiliza sana sana nyimbo zako na mzee muchacho pia. Saafiiii sana sana sana
Huu wimbo hauzeeki ni kama asali, mwaaaa mwaaaaaa!!
Still listening to this beautiful song 2022
2024 Bado naisikiliza😂😂😂😂😂
Old is gold ningependa iwe kwa download list
sasa unababaika waendeshwa mbio wewe, kama njiwa kaniweka wewe umekua mwewe, tena unafadhaika wataka unikosoe, miti mimi nimeshika wataka tule tugawe 😗😍😍
uko vizur
hatari sana uhu wimbo yani umenikumbusha enzi bimkubwa wangu ameachwa na mzee
Mashallah .. karudi?
I am ok😣😁😁
Hahahha
🤣🤣🤣🤣
Hatar
Who is here 2023 ?😊
Me
Me
Me
Am here 2024
😂2024 Haswaa
Wale wa 2023 Kujeni hapa tuungane kisikiloza nyimbo yetu pambe ❤❤👌👌
Who's listening 2021 and still loves it ❤️🎶mashallah.
Oct 2022 hapa
All the way +971 nakupemda sana Sabah nyimbo zako za ustaarabu😍
Debe tupu 2024.....mko?
Hadi sasa me naskiliza huu wimbo ata nikiwa ofisin wallah tena , tamu tamu ❤❤❤❤ mwaah ❤❤❤
2024 debe kujaa😂
Shepu kma kombawiko looh santaa maaa lv so much.
Big up sabah salum...malkia wa vina...swadaktaa
Jmni ni yangu miaka ytee naipenda sanaa
Mamangu swabaha hii nyimbo hukubahatisha haishi utamu🎉
Duuuuh,Niko nae mshikaji ukitaka uctake🤳patamu apo..so sweet mum,hii haizeeki Kati nkiwa Saudi Arabia,naburudika tu
Kwa nguvu zake rabuuka hazitingishi nie ,,, debe tupu acha zako kelele , sabah salum ,,, sauti hiyo,
2019 mko wapi please..never gets old
A great song that has a message that is beyond expiry.
😊😊😊😊
😊😊😊😊@@mutumatema4566
I head this song first time travelling from meru back to Nairobi after meru show 2013 in sunbird bus it took me 4 years to trace in RUclips
❤wangapi wana sikizi hii tarabu 2024
Nipooo ndugu
Hii tarabu inanikumbushaga mbali sanaa
Depe tupu acha zko kelele uwii wallah song tamu sna
Haha ni shidahh pole my
Mwezi wa 7 2020 kma bado upo na hii melody gonga like
23/8/2023
Tunaomba utuwekee chonge ya mwana hela asante kwa kutuwekea mziki mzuri wa tarabu
Hujalishi hasilanii 😋😋 2019 shida we mita ya luku
Poa
inanini hiomta ya luku unatia umeme japo buku
I like that
I'm somali Amirican i like this music Mombasa nice
Abnash Abnash what is somali American? Be somali or American.
keep up
Its Tanzanian tarab
good
Say u r niggah
Who's listen 2024?
Tupoo