Kila lilopanga kwangu si aibu kunifika Hakika si kosa langu mola ameshaandika Atakalo liwe kwangu siwezi kuliepuka Yote alonipa mungu mimi nimesharidhika Katu si uwezo wangu kufanya ninalotaka Wivu wa nini wenzangu roho juu kujiweka Mashaallah💓💓❤️
Mashaallah hawa wa zamani mbona nyimbo zao zilikua naujumbe tosha yani ukiwa she waweza kusikiliza wala hamna matusi hawa watu mungu awahifadh kwa juhudi zao nzuri
Nakumbuka hiz nyimbo zikipigwa kwenye redio za antena tena znawekwa juu kwa kutegesha nyiee afu bi mkubwa yupo jikon. Unaskia kaarufu kizur cha samak wa nazi had choz linanitoka hapa
Mola aliponiweka Mola aliponiweka Mja haniteremshi Ngaro zenu mtachoka sifedheheke vileshi Yangu yazidi nyooka si vikwazo zenu chuki Na wala sitoumbuka stara hainivukiii Bure tope mwanipaka nilivo sibadiliki mradi bado nawaka nyota hainizimiki Mja akiandikiwa dhahiri halifutiki si kwa mzizi na dawa ni nguvu zake maliki
Huyu bibi anajua sana mno kama unasikiliza nyimbo zake 2020 bila ya chuki gonga like hapa tuizoe hali ya corona.
Hatupoi 2021
Yaani huwa cckilizi nyimbo nyingine mi ni hy mm tu ni balaa, nazipemba na hanaga nyimbo mbovu
Kila lilopanga kwangu si aibu kunifika
Hakika si kosa langu mola ameshaandika
Atakalo liwe kwangu siwezi kuliepuka
Yote alonipa mungu mimi nimesharidhika
Katu si uwezo wangu kufanya ninalotaka
Wivu wa nini wenzangu roho juu kujiweka
Mashaallah💓💓❤️
Asante
Imeeenda iyo
Bdo nipo 2024 naisklizaa❤Queen 👸 of TARAAB EAST AFRICA❤🎉
Mwenye apo hapa 2024 !nipeni like😊
Bi mkubwa nyimbo zako zote nzuri za heshima msg za nguvu nazipenda sana ALLAH akuhifadhi
Mashallah nampenda sana Mama angu Sabaha anajua hadi anaboa ❤😊
Mashaallah hawa wa zamani mbona nyimbo zao zilikua naujumbe tosha yani ukiwa she waweza kusikiliza wala hamna matusi hawa watu mungu awahifadh kwa juhudi zao nzuri
Kabisa,si wakwanza mm kupewa,wengi wamajilwa.mashallah this song ,😘❤️i like it
2.2.2020 kama na ww ni mmoja wapo gonga like twende sawa
Kwakua namcha Mungu nyinyi hamtonisumbua.... One of my favourite song ever....
uwezo wa mungu katu hauzuiliki ... atari sabaha unajua mpk unakeraaaaa
Kwelu
Yaani, napendaga sn hii nyimbo mpk bac.. Yani kwa ujumla nyimbo zako zote zankosha mie💞🥰
yaani mb zangu zote znaisha kwa nyimbo za huyu mzeee duuuh hatotokea tena mwenye kipaji km chako bibie sabah
Eka nyengine daman
Swabah welcome again kwa rahma yummy
Halooo point
Umeona ee,, hawez tikea km sabah kbs
sio mzee ni mama
Manenooooo Ndio hayooo ngoma imeeeleweka bila matusi, melody Imetulia, 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
Nampenda dada hu mi mtaramu
Mashallah nampenda wimbo hyuuuu wa Dada yangu Sabaha mwarabu mwenzangu ❤️❤️❤️😘😘😘
Taalabu nzuli. Inanifanya natoka machozi
Karibu. Saana Oman tutakupokeya my sweet Sistar ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
Masha allah iyo sauti na maneno yanaendana aya mahasid kwenu kazi
Nani amekuja kama mimi juu ya darling queen na mke nwenza nipe like 2020
Tupo weng kumbe
Mimi mmoja wao
😂 😂
Udaku is real
@@agathfrank7872 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤝🤝
Hii nyimbo inanikumbusha mbali sn 2005 siku ya kitchen party yng ndani ya temeke kata 14
Kwa Bonga
Swabaha Salum love u Sana from Mombasa
Nice
Si magen mnazid kujiumbua.. bwajeka bwabwajeka mwazili 👌🔥🔥
Pambeeeee mseme nini watu wasichokijuaaa👌👌👌
Yaani mama sabaha anajua kuimba na sauti yake kinanda mpka ananikeraaa...mungu akuekee
Anasema .. Mola aliponiweka Mja Haniteremshi
❤❤❤❤❤❤❤
Mze yusuf
uwezo wa mungu katu hauzuiliki wee sabaha wewe unajua
Big up f isa
So sweet songs yahani nyimbi za huyu mama kiboko
Si wa kwanza mm kupewa wengi wamejaliwaaaaaaa
Hata mniroge mie sishuki hadhi yangu mie
Na nidobolewe mie sasa niko radhi mie
Mashaallah, mama huna baya mungu akueke
Naipenda nyimbo hii
nzuri mashallah😘😘😘😘😘
2022 still so sweet
2023
2024
My Favorite Song Of All The Time...
Tuache urongo nyimbo za ktmbo zina maneno ya muelekeo sio izi tantarira za kisasa
Si wa kwanza mimi kupewa weng wamejaariwa mashallah bi sabaha
Hapa ndipo taarab ilianzia... If only i culd turn back the hands of time
Huyo Ni Mimi Kabisa Shifa hiyo Iko Kwangu
Nimekuja utafuta huu wimbo baada ya kuusikiza kwa tiktok ya Modal-gongwe..Ujumbe mtamu.
Mie mwenye so kwa hili bitt
Maneno mazito music mzuri na kiswahili safi!!
Sio wa Kwanza mm kupewa wengi wamejaliwa👌
Lakini kweli
2024 Bado naskiza Mara kwa Mara….Taarab ya heshima
aàaaaaaaaaaaaaaaaaaiiiiiiii semaaa semaa yes kwl nani awezaa zimaaa nyotaaa kujitesaa!!!!
Unaweza saaana 2020 ww tuu ndio bora
Asaramu areykumu hongera kwa wimbo wako mzuri sana mimi amiri nasoro ninge kupigia nika kupongeza yangu 0652281471 wasapu
Nampenda sanaa Sabah salum nyimbo zako konki
Anaesikiliza hii ngoma mpaka leo hii 2024 gonga like hapa ❤
Hii nyimbo inanikumbusha kipindi changu cha balehe nilikua nampenda huyu shangazi mashallah ujumbe mzuri...
Hiyo nguo Khadija Yusuf kachezea ngoma NYINGI
😁😁😁😁
2023 ... Bado nko ndani. Utamu usioisha hamu
Hongera sana bi mkubwa👍👍
Sabah nakukubali saana❤❤❤❤🎉
Umetisha mama
Huyo Ni Mimi Kabisa
Yote alonipa Mungu mimi nisharidhika!!!Sabah...umenena
Love this song from turkey
nmekuerewa mama huna baya
kama umefika hapa baada ya kumskia bi mkubwa wa isihaka mke mwenzie queen darling tujuane
Kumbe Sabah ndo mamake isihaka.
@@nyesamgeta7522 hapana ni mke mwenza wa queen darling alipost anauimba Instagram
Oyeeee👌
Tupo wng😆😆😆
Kama wooteee
2024 tujuane
2023
NI bureeeeeee mkisema kwangu Uwezo wa Mungu Auzuiliki Si wakwanza mie kupewa wengi wamejaaliwa 😉👌
She is so cute ♥️, & her songs all their fine, nothing like her to me,❤️❤️❤️
Sabah Salum muchacho 👑🌹
Asant nakupnda sana sabaha
SPECIAL REQUEST YAKE ZAM ZAM MAHAMOUD
Daah,hizi ndo zilikua taarab 😍😍
Mashaallah ujumbe mujarabu kabisa
Wimbo mzuri sana japo wa zamani
Zaman ndio kulikuwa na nyimbo mzur sio sahiv fujo tupu
Jumapili Tulivu 😇😇😇😇
Nakumbuka hiz nyimbo zikipigwa kwenye redio za antena tena znawekwa juu kwa kutegesha nyiee afu bi mkubwa yupo jikon. Unaskia kaarufu kizur cha samak wa nazi had choz linanitoka hapa
2021 still rocking
Mashallah mashallah mmungu amu hifadhi
Saf sana mamaaa ❤❤❤❤❤❤
Taarabu nzriiiii na maneno mazuri ya kufundisha mashaallah
Uko bomba
Naipenda sana hii nyimbo
Uwezo wa mungu katu hauzuiliki Mimi kujaaliwa msiniwekee chuuki
15..6..2021naomba tujuwane wapendwa 💕💕💕💕💕💋💋💋💋
wangapi tumefika hapa baadaya kumsiki mkewa isihaka
This song makes me think of my late cousin Lily at the boarder of south kenya lunganga and horohoro
May her soul rest in peace
Nakupenda saana sabah
Si wa kwanza mimi kupewa wengi wame waaliwa
Aweeee
Dada ♥️🙏🙏🙏😇.♥️💌from Norway ♥️🙏.
New 2022 💕 💕 😁😘😘😍
Love ♥️♥️♥️♥️♥️♥️.,From Norway.
Kwel bure maana mungu hana mshirka
2023 💞❤️
I like this song
Nani askiza 2020
Wacha misifa kwa uongo ww
Mimi apaaaaaa...coz mwaka unaisha tena tunayo
@@hamzaomar9731 nikweli bna
@@rashidsaid7362 😂
@@aliichbeka8741 vip ww. Naona umeamka na swabah salumhhhh
Mashaallah Dah Kitambo Sana
Songi tamu
Mengi mkisema kwangu ni bure hayo ni bure enyi walimwengu hamna hila amna njia💋🌹💃💃
Subiri utapata 🏖️😷 hatakama kuna Corona
Huuu wimbo had raha yaan😘😘😘😘
Mashaallah you,ve a wonderfully voices
Mashaallah mashaallah nice song👌
2024 like
2005-2009 😭💜
Dahl!😢😢😢😢
Kila lilopangwa kwangu si aibu kunifika
Umeona eee
2024
Affan alayk. Maneno kuntu mama
Tuliomuona mke wa isihaka akiimba tukaitafuta nyimbo hku tujuane
Mmmh itakuwa mgeni na mambo ya mwambao nyimbo iyo imetoka 2003 nipo standard 7 naikumbuka sana
Tupoo
Mashallaah❤❤❤❤
Mola aliponiweka Mola aliponiweka
Mja haniteremshi
Ngaro zenu mtachoka sifedheheke vileshi
Yangu yazidi nyooka si vikwazo zenu chuki
Na wala sitoumbuka stara hainivukiii
Bure tope mwanipaka nilivo sibadiliki mradi bado nawaka nyota hainizimiki
Mja akiandikiwa dhahiri halifutiki si kwa mzizi na dawa ni nguvu zake maliki
Wacha weehh!!
@@abdulhamidkificho5768 Hahaha karibu
@@RioIpo
Ahsante kaka naona wadondosha mashairi tu
Tuandikia Iyrics jmn
@@vanessaenock1337 Karibu