Kama omary kopa angekuwa hai TAARAB isingekuwa imekufa kama ilivyokufa. Huyo ndiye hasa angeshindana na mzee yusuph. Kama unakubaliana na mimi gonga like
Nyimbo imepangika vizuri sana. Mtunzi, aliyetia muziki na aliye imba ni yeye mwenye, kwa hiyo ladha imekoleya. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi
Daa wakati anaimba wimbo huu ndo alikua anaumwa masikini nakumbuka siku hiyoo mama yake aliimba wimbo wake omari akiwa hospital magala zakhem enzi hizo aliimba huku analia pole sanaa mama sisi sote wapitaji
October 2024 King of taarab no one like you ever 😢 ndio mimi ndio mimi anipate hupoaaaa na animkataee hujutiiaaaa aiyeeeeeeee aaaaaaaaahaaaaaaaaa hapo kwenye kughan uwiiiiiiiii I love you omary wanguuu
May his soul r ip...i used to love him..i loves his songs till today..his voice was good anaghani sijasikia saut yake labda kwa ahmed Mgeni may his soul rip too for now hakuna...wanaimba no kughani na mahadhi...
Kifo chake nililia sana. Nikiwa na mimba 2007. Nilitaka kwenda Tanga lkn jamaa nyumbani walinigombanisha sana. Nitoke Mombasa keenda kumzika mtu hata sio jamaa ya gu. Nyinmbo zake zilinijaza mapenzi sana. Mpk leo huwa naskiza
Nimerudi hapa 28 December 2024 baada ya zuchu kuimba hii song na mamake Khadija kopa kwenye usiku wa hinna jana.gonga like kama uliona
Mm pia shost 😂😂
Omary alijua kuimba sana hii taarabu ❤❤
2024 nipo hapa natafuta nyimbo ya harusi na sijapata bwana harusi 😂😂💔 inshallah ipo siku ntakuja kueka hii nyimbo nikiwa na mume wangu 🙏❤️
Mimi nipo apa kma utojali bibie
😂😂😂😂
Kama omary kopa angekuwa hai TAARAB isingekuwa imekufa kama ilivyokufa. Huyo ndiye hasa angeshindana na mzee yusuph. Kama unakubaliana na mimi gonga like
KWA MOTO WA MAREHEMU OMARI HATA MZEE YUSUPH HAINGII KABISA.
Kwanza mzee yusufu alikua amfikii omary kopa kabisaa
Xana mungu ampunguzie adhabu ya kaburi
@@PatrickHebron-ge3xe Ameen😭😭😭
Mzee yusuph huyu angelimuonea kwa mbali sanaa....MashaaAllah alikua anaimba si haba..Allah amfanyie wepesi kwenye adhabu za kabri ,,,ameen yarraby😢
Allah akupe kauli thabiti huko uliko
Kama upo 2020 na umeiplay hii gonga like twende sawa
I a
Ampekauli thabiti kwa lipi sasa
Kaka anasautiii inasisimuaaaa❤❤❤ hii sasa ndo TAARAB 2024 Still inagusaaa
Nyimbo imepangika vizuri sana. Mtunzi, aliyetia muziki na aliye imba ni yeye mwenye, kwa hiyo ladha imekoleya. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi
Jamani naipenda hiii song love it💯💯💯💯
Kila nikisikiliza hi nyimbo inanikumbusha mbali sana adi sasa naipenda sana2024
2023 still loving this song💕💕💕💛💚
🎉❤😮😢😅😊
Daa wakati anaimba wimbo huu ndo alikua anaumwa masikini nakumbuka siku hiyoo mama yake aliimba wimbo wake omari akiwa hospital magala zakhem enzi hizo aliimba huku analia pole sanaa mama sisi sote wapitaji
Alikuwa anaumwaaa nini
Omari kopa na mzee yusufu
Dar Aise Kweli Uyu Bwana mkubwa Ndio alikua mfarume wa Taharabu R.I.p .2019 Bado iko good zaid
2019 love you forever omary sijamuona anajua kughan Kama ww
October 2024 King of taarab no one like you ever 😢 ndio mimi ndio mimi anipate hupoaaaa na animkataee hujutiiaaaa aiyeeeeeeee aaaaaaaaahaaaaaaaaa hapo kwenye kughan uwiiiiiiiii I love you omary wanguuu
05/09/2022 12:55 nasikiliza this song😭😭 Allah amrehem Omar kopa
Kama bado uko hapa 2020 leta likes ya marehemu❤⚘
ok
2021, Nan tupo pamoja🔥🔥🔥🔥🔥
Hii nyimbo kama kaimba jana wakati Dec 2024, MUNGU amlaze mahali pema inshallah amsamehe madhambi yake
Leo 2021 bado unaishi moyoni mwetu Mungu akuweke sehemu salama omary 😭🙏🙏
tugombane asubui jion tunaongea kama naimbiwa mm omari mungu akulaze pema pepon
R.I.P OMARI
12/02/2022 still is one of my best of the best songs
Hi ni bahat yngu kanichaguwa yy
Same here
2020, nani tupo pamoja?
Tupo
Ya mola
pole Malkia Khadija Kopaaa kwakupotezaaa hiki kifaaaaaa Daaaah huuuu Wimbooo unaniumizaaaa Pumzikaaaa kwaaa Amani Omari Yusuph Kopaaa
Amigo
Jahaz
Duuuuuuuh!...nyimbo inanikumbusha marehemu Amina chifupa alikuwa anaipenda sana kwenye kipindi chake..
Alikua karithi sauti kwa mamake Huyu mashallah...Mungu amrehemu aliko...
pumzika Kwa amani kaka yetu kipenzi
Ioyuiuppppl my
Yes sauti kama ya mamaake . He was good kwa kweli. Mungu amrehemu
KOPAAAAA!!!!!!!alikuwa hatariiiiiiiiii..na Wala hatotokea mwengineeeee
May his soul r ip...i used to love him..i loves his songs till today..his voice was good anaghani sijasikia saut yake labda kwa ahmed Mgeni may his soul rip too for now hakuna...wanaimba no kughani na mahadhi...
minnah minnah hammer q ana ghani Sana pia
Me too I loved him soo much may his soul rest in peace 😥😥😥😥
Anacheza mechi zangu number zote hucover yeye 👌 Omar hakuna mwengine wallah
Mungu akurehemu, akuswamehe madhambi yako, akueke palipo na wema amin.
2023👌👌👌 October
Pambeeeee mahaba kama yoteee miaka mia na ntakupenda omary pumzika kwa amani baba Allah akuepushe na adhabu za kabri
Pambeeee naipenda sana hii daaaaah
Omari mi shabiki yako mpaka 2021 japo nnapoisikia napata machungu mashaallah Allah akupe kitabu chako kwa mkono wa kulia.
Eeeeh ,uliye danganyishwa na dunia ,ukafanya mambo mengi una nguvu una jeur hakika ya umauti unakuja ghafla na karibu ni saduku la matendo yk
2021 still🔥🔥🔥 endelea kupumzika kwa amani
Daah umeenda na utamu wako😭😭😭 hakika huu ni msumari na uliwachoma kotekote
Saut nzur nimeeanza kumsiliza tangu utoto wang..mpka leo2023 pumzika kwa aman
Ushambenga n ware watu wanapenda kufuatilia mambo ya watu na kugombanisha
Nakupenda milele Amina....Mungu akulaze mahala pema peponi Omary Kopa.
Yani mpaka 2023 tunasikiliza mziki mzuri
Wallah nyimbo zake pambe 2022 yni haziishi utamuuu
Swadakta
daaah kam yupo vile MWENYEZ MUNGU akupunguzie adhabu kaka angu.
Nani yupo hapa 2020 kama mimi
2021
Mungu akurehemu inshaallah
Daaaah nashukulu Mume Wangu kwa wimbo mzuli nimeupenda sana Mungu tujarie tuzidi kudumu
Naipenda sana hii nyimbo
@omary copa
Athumani Idd mohammed kamota,, kiukwel Omary Kopa alikua ni mtunz wa mashair na huimba taratiiiib hakua na papara R, p,, Omary Kopa.
Lala kwa amani mwamba wewe ndio mfalme wa Taarabu 2022 tuzo zilikuwa zako
Huyu jamaa hatotokea mwengine kama yeye nlitokea kukupenda sn toka utoton till now 2024 😢 RIP
Alla amrehemu jamani huyu mtoto alikua anaimba jamani karithi kweli namrithi huzidi jamani pole mama diiii
Ulazwe pema ln shaa Allah,
Ameen in shaa Allah
Tugombane asubuhi jioni tunaongea👌👌👌
mambo hayo raha tupu pambeeeee
Huyu jamaa tishio kwa tarabu mzee yusufu akasome engekua hai
21/1/2021 naipata kwa uzur kabisa
2021 tupo pamojaa
I love 💝 this song nice voice mshllh
Jamaaa anajua
Mungu akuraze mahari pema amin
Kwake khadija kopa.
Pokea salamu kutoka kwa famili yangu kwaujumla.
Ala pia tuna sema pole sana kwa msiba wanguvu ulo kugusa.
regendar Wa taarab rest and piece for ever
Naku kubali
Mke wangu
Allah amlaze pahala pema ampe janna 🤲🌹
Kaa bila kurukaruka baada ya kumchagua mpenziye. Nani amekushurutisha?? Zoea mapema, Kaka wee! Dr. Ogeto International
ameapa hatoki kwangu, mnokerwa mjiueee
Lo hatatutoka mioyoni mwetu. Huyu ndiye alikuwa anakuja kuwa kumrithi mama fani yake
Lakini Mungu hakupenda RIP Omary
R.I.P omary kopa.. kamanda wa kughan mashairi.. njia ni moja umetangulia na sisi tunafata.
Napenda sana huu wimbo
January 2022 tutaona baadae mfalume wa kughani💕👌👌
Aisee huu wimbo unanikumbusha mbali saana
2021 nipo nasikiliza tena
Nice song love it
kugombana si twabia yetu, kupatana kawaida yetu
Vitu kulishana ndio raha kwetu, Kushikana shikana haina shobo kwetu
Mungu akulaze mahali pema peponi
❤Haishi ladha...🥰Allah Arehem🤲
Mm sikuvunja zizi kila mtu anajua, nimechagua mpnz nikimwambia anasikia ... atar na nusu huyu jamaa alikua shida
Mpaka Dunia itaisha atotokea kma Omar ktk taarab kwa waimbaji wanaume
Yaitwa timeless music. 2023 tupo kujinafas
2021hapa kwa mfalme wa kughan rest in peace omary
Old is gold listening in 2020 rip kopa
10 Dec 2023 Still listening 🎧❤
Ulikuaga hatari mungu akuweke mahali pema
Inakumbusha mbali sn hii na machozi hutiririKa nikisikia hii R I P Kopa
Love ❤❤so much this song
Naomba kujua maana ya neno ushambenga.
Jaman napenda hizi melody 2021 wimbo bado mkali
❤❤❤
Nimesema sitak ushambenga
10/01/2024 🙏🏽
Kweli kabisaaaaa
2021 still listening
❤❤❤❤❤❤❤
Pumzika kwa amani Omar kopa😭😭😭😭😭
Dah kitambo xn asee mshikaj alkuw fundi mno km mama ake
Rip omary
Nyimbo yakuingilia ukumbini nishapata bado mume
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😢😢😢😢😢😢
9/2023 Nasikiliza song rip omary kopa
Kichuna nineye mie,2020
Ndio mm ndio mm nani asiyenijua anipatae hupo na anikosae hujutia
2024 nackiliza wimbo huu
Tupo sote mwanaisha salimu ❤
Nauskiliza nikiwa middle east, yani nakumbuka nyumbani tu
20/10/20023 bado kwangu nyimbo nzulii
2023🎉🎉🎉🎉
2021.... Rest easy Omary
bonge la ujumbe aiseee
Kifo chake nililia sana. Nikiwa na mimba 2007. Nilitaka kwenda Tanga lkn jamaa nyumbani walinigombanisha sana. Nitoke Mombasa keenda kumzika mtu hata sio jamaa ya gu. Nyinmbo zake zilinijaza mapenzi sana. Mpk leo huwa naskiza
Same story 😂😂
Hivi Omary kopa ndio mume wa Khadija Kopa? Kama ni hivyo basi walichaguana maashallah
Cyo mume alikuwa mwanae
Alikuwa n Mwanawe w kmzaa sio Mumewe😂😂
Mwanae