EXCLUSIVE na SUGU afunguka sekeseke la uchaguzi ataja mikakati yake akichaguliwa

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 май 2024
  • Mgombea uenyekiti wa Kanda ya Nyasa, kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amesema hatua inayofuata ni kusaka kura baada ya kamati kuu iliyoketi kati ya Mei 11 hadi 14 kupitisha jina lake.
    Sugu ambaye ni mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini ameeleza hayo katika mahojiano yake na Mwananchi Digital yaliyofanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam.
    Sugu atakabiliana na Mchungaji Peter Msigwa anayetetea kiti chake katika uchaguzi wa Kanda ya Nyasa utakaofanyika Mei 29,2024.
    “Uchaguzi huu wapigakura wake sio wale wa umma, bali wapo ndani ya chama. Katika kanda yetu wapigakura hawazidi 120, nimeshaanda njia za kuwafikia kama sehemu ya kuanza rasmi kampeni,” amesema Sugu.
    Imeandaliwa na Elizabeth Joachim, Bakari Kiango

Комментарии • 15

  • @JOSEPHATMwesigwa-vi7he
    @JOSEPHATMwesigwa-vi7he 15 дней назад +4

    Hongera ukifanikiwa au usipofanikiwa mbakie wamoja

    • @illomowerner7690
      @illomowerner7690 7 дней назад

      Wazo zuri sana Mwesiga, hakika umekomaa kifikra.
      🌷

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 14 дней назад +3

    Hufai hata tone, sugu

  • @AllyMandunda-tj9jc
    @AllyMandunda-tj9jc 15 дней назад +3

    Tafadhali sugu mwachie msigwa. Wewe ni maarifu lakini ka nafasi hii mwachie mwenzie 2:32

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 14 дней назад +2

    Mmh, msigwa abebe,

  • @johnmichaellukindo21
    @johnmichaellukindo21 14 дней назад +1

    Raise mno kuwanunua

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 14 дней назад +1

    Kuhongwa mnoo sugu

  • @The1979bornagain
    @The1979bornagain 14 дней назад

    Fundi mitambo check sauti, haisikiki vizuri especially ya anayehoji.

  • @jimmyjohnson1133
    @jimmyjohnson1133 13 дней назад

    Nina kukubalisa saña kaka, ili kwa sasa tuangalie ni nani anae ngusa mioyo ya wana mbeya atakaye simama na kuwapigania na kuwatetea katika changa moto wa lizo nazo.

  • @JacostarGang
    @JacostarGang 14 дней назад +1

    Wanaomsema vibaya mh.sugu wametumwa na msg aliewakataa wamasai hadharani kua siyo wazawa, kumchafua mh.Sugu lakini SUGU bila wewe sisi tutafukuzwa uanachama 😂 Fanya Kila mbinu usinde chama kiwe salaama kuliko akipita msg twafa😢😢😢

  • @JacostarGang
    @JacostarGang 14 дней назад +1

    Lakini pia waambie hata kufukuza watu sio powa ukipita wewe tunaimani hiyo tabia itakufa ya kunyanyasa wanachama Kama kufukuza madiwani bila sababu za msingi. Wananyasa tunaimani na SUGU

  • @user-xe8xv6so6s
    @user-xe8xv6so6s 14 дней назад +1

    Tunakutegema sugu. Kuliko unayo fikiri

  • @prochesytesha8040
    @prochesytesha8040 14 дней назад

    Kumbe na uko kunamadudu tena

  • @JacostarGang
    @JacostarGang 14 дней назад

    SUGU ndiye kiongozi ambaye wananyasa tunamuhitaji msigwa tumempima Kwa MIAKA saba tumeona hawezi kuongoza nyasa ila analeta tu migogoro Bora amuachie sugu aje aweke usawa na kurekebisha Kila alipoharibu msigwa.

  • @AbnerKennedy
    @AbnerKennedy 14 дней назад

    Kila la heri nakutakia.