Habar agalus samahan napenda kujua bei ya chakula Cha vifaranga Niaj stater ulizo zungumzia Samahan lakini...pia napenda kufaham bei ya vifaranga aina ya kroiler soko la Sasa na makampun ya uhakika yanayo uza vifaranga wazur
Kuhusu chakula hutegemea na eneo na kampuni lakini kwa WASTANI mfuko w kg 50 ni Kati ya 70 hadi 100 elfu. Vifaranga pia hutegemea hivyo hivyo ila vingi kwa sasa ni Kati ya 1500 hadi 2500 Tsh.
Hakuna kitakachobadilika zaidi ya kuku Tia Hasara tu. Maana kuku wa kienyeji hakui kwa chakula Ata ukimpa chakula cha kiasasa Gene yake ipo vile na Atakua vile vile japo Atakua na afya bora lakini si kukua kwa haraka🙏🙏
Kuku wanaotaga somo lake ni hili👇 ruclips.net/video/-4ho30cWUFM/видео.html Kuku wanaokua 👇 ruclips.net/video/gLuGGw8LdVM/видео.html Kwa Vifaranga somo lake 👇 ruclips.net/video/aKAMWiFviRo/видео.html
Apo hutegemea na u kubwa kwa feeder na drinkers zako lakini ratios ni angalau 4:100kuku ila unazo wa feeders zako ziwe kuanzia KG 2 + na drinkers liter 5+ hii ni kwa kuku wakubwa. Kwa wadogo itapungua
Agalus nina swali nataman kama utaandaa somo ni vizuri zaidi sababu nataka kujua kiundani tofauti ya Kuku Chotara na Kienyeji nazungumzia sifa za kimwonekano labda kwa kutazama Macho au Upanga vitu kama hizo
@@AGALUSTV Naomba mnisaidie hesabu hapo kilo wanazotakiwa kula hao kuku 100 . Pia naomba kujua pilet stater kama inafaa kwa vifaranga wa ck 1 hadi 7 maana stater zinatuchanga kuna ile kama vumbi na hiyo ya vibonge ipi ni nzuri kwa vifaranga? Msaada Tafadhali
Mkuu habari za huko. Nimefurahia maelekezo yako. Nauliza swali. Je badala ya hiyo super super starter naweza tumia broiler kwenye kipindi hicho cha kuanzia wiki 1 hadi 8?
Ni kweli ila kabla ya dawa Anza na mazigira yako ya Banda yaani hewa nzuri, kusiwe na mgandamizo w hewa. Kisha chagua dawa zenye nguvu zaidi za mafua. Yaani nenda dukani mwambie tu nahitaji dawa nzur ya mafua na kikohoz
Nimeelewa mwishoni.... Nashukuru....
Tupo pamoja ndugu
Shukrani dkt
Pa1" sana ndugu 🤝
Sorry nauliza jinsi ya kuandaa mifupa Iwe chakula cha kuku
Unachukua mifupa unaichoma moto kiaha unaivunja vunja
Chati ya ulishaji day one mpaka kuuza kuku wa nyama pia chanjo
Chek this video
ruclips.net/video/eEdCdGU_53o/видео.html
Nashukru kwa maelezo maziri
Tupo PA 1
Naomba chart ya ulishaji Toka day one mpaka kuku aanze kutaga
Chat ya ulishaji kuku ni
ruclips.net/video/eEdCdGU_53o/видео.html
Swali zuri sana
,🙏✍️🤝
Habari jamani mwenzenu naomba kuelekezwa juu ya chanjo ya vifaranga wa siku1 mpaka miez miwili
Apo ni ratiba nzima ya CHANJO na IPO kwenye video hii
ruclips.net/video/uakD0dx61Rg/видео.html
Samahani, sasso unaweza wapa vitamin kwa muda gani? Na jinsi ya kuwapa
Apo atujakupata yaani KWA muda Gani unamaana ipi
Asante
Barikiwa
Habar agalus samahan napenda kujua bei ya chakula Cha vifaranga
Niaj stater ulizo zungumzia
Samahan lakini...pia napenda kufaham bei ya vifaranga aina ya kroiler soko la Sasa na makampun ya uhakika yanayo uza vifaranga wazur
Kuhusu chakula hutegemea na eneo na kampuni lakini kwa WASTANI mfuko w kg 50 ni Kati ya 70 hadi 100 elfu. Vifaranga pia hutegemea hivyo hivyo ila vingi kwa sasa ni Kati ya 1500 hadi 2500 Tsh.
Naomba mchanganyo wa kuku wa nyama wa wiki 3_8
OK ndugu lakini pia waweza tafuta kwa kuandika jinsi ya kuchanganya chakula cha kuku wanaokua by agakus agalus tv
Habari agalus ! Mimi nafuga chotara jogoo tupu wapo 25 Wana mwezi Sasa bado na wapa stasta ya. Chenga chenga tuu je nikosawa
Sawa TU hadi mwez na nusu ila Anza kuchanganya na growers
Tusaidie namba tunaitaji kujifunza
Sawa ndugu tutawaletea namba
na baada ya super stata hicho kingine kinaitwaje?
Grower mash
Habari naonba unitumie hiyo video ya jinsi ya kuwalisha hao machotara 100
Video ya kiasi kw kila wiki
ruclips.net/video/eEdCdGU_53o/видео.html
Mimi nauliza kuku mkubwa anaetaga anatakiwa ale gramu ngapi za chakula kwa siku?
130gms
Axant can kwa xom Len
Barikiwa sana
Natafuta vifaranga wa kuanzia mwezi na nusu wapi nitapata Niko dar esalam kinondoni na nitapata kwa bei gani kila moja.
Tuzid wasiliana ndugu ikiwa tayar
Kweli utalipa gharama hizo?
Ndyo
Gharama za chakula mpaka kuku kuuzwa broiler
Sawa sawa ndugu
Nikitaka kufuga kuku wa kienyeji kwa kuwasilisha chakula cha kisasa matokeo yake yanakuwa sawa na kuku wa kisasa? By john malila
Hakuna kitakachobadilika zaidi ya kuku Tia Hasara tu. Maana kuku wa kienyeji hakui kwa chakula Ata ukimpa chakula cha kiasasa Gene yake ipo vile na Atakua vile vile japo Atakua na afya bora lakini si kukua kwa haraka🙏🙏
Chakula cha wiki ya 3 mpaka 8 wanakula chakula gani
Starter Hadi wiki 6 kisha grower taratibu Hadi 8 full grower
Kuku 200 chakura Chao kinagarim shilingi ngapi
Wakubwa au wadogo
Chakula cha vifaranga kinachanganyweje?
Jinsi ya kuandaa chakula Cha vifaranga
ruclips.net/video/aKAMWiFviRo/видео.html
Kuku wangu walichelewa kuanza kutaga baada kuwabost kwa egg walitaga nitaendelea kutumia kutumia egg boost maisha yao yote?
Yes fanya ivyo kwa kila mlo
Unazungumzia kuku gani kwanza
Chotara slow growth maturity
Mimi naitwa Jonathan Lubunga.wa Kamachumu. Has a nataka kujua chakula cha kuku kimchanganyiko,kuanzia umri wa kifaranga hadi kuku kutaga.
Kuku wanaotaga somo lake ni hili👇
ruclips.net/video/-4ho30cWUFM/видео.html
Kuku wanaokua 👇
ruclips.net/video/gLuGGw8LdVM/видео.html
Kwa Vifaranga somo lake 👇
ruclips.net/video/aKAMWiFviRo/видео.html
Habari naomba kujua jinsi ya kuchanganya chakula cha kuku chotara kuanzia wiki Ya tatu
OK ndugu video yake inapatikana apa👇 kuchanganya chakula cha kuku wanaokua
ruclips.net/video/gLuGGw8LdVM/видео.html
Je kuku wa kiswahili anaweza kuchukua miez mingap mpaka kuingia sokon
Miezi 6 ++
Kuku wngu wanamwezimjona nawwza kuchanganya chakula
Ndio zingatia vitu vyote muhimu
Nashukuru kwa mafunzo mazuri ila swali langu unatakiwa uwape chakula mara ngapi kwa siku na ni mda gani?
Asbh na JIONI. Ni nzuri zaidi
Kuku wangu Wana wiki 3 nawapa chakula gan
Endelea kuwapa STARTER
Yaani broiler stater?
Yes ipo sawa🙏🤝
Kwahiyo baadaya yasiku hizo 40 unawapa chakula Gani
Growers
Napenda kujua ration ya vyombo vya chakula na maji kwa kuku.naitwa Luckiness
Apo hutegemea na u kubwa kwa feeder na drinkers zako lakini ratios ni angalau 4:100kuku ila unazo wa feeders zako ziwe kuanzia KG 2 + na drinkers liter 5+ hii ni kwa kuku wakubwa. Kwa wadogo itapungua
@@AGALUSTV Kwajina naitwa Maliki nikozanziba na0mbabajet .yakukuwanya ya chakula
Bajet ndugu ni Kaz kdogo maana hutofautiana bei Kulingana na eneo
Samahan kaka mimi nauliza dawa ya kuku akiwa anavimba macho na kuharisha
Matatzo yote ya macho kwa kuku na tiba zake video ni hii
ruclips.net/video/V_OsGbOnjgA/видео.html
Agalus nina swali nataman kama utaandaa somo ni vizuri zaidi sababu nataka kujua kiundani tofauti ya Kuku Chotara na Kienyeji nazungumzia sifa za kimwonekano labda kwa kutazama Macho au Upanga vitu kama hizo
Okay tumekupata tutajitahidi kwa hilo🤝👌🙏
VIPI KUHUSU KUKU ANAYEANZA KITAGA ANAKULA KIASI GANI KWA KUKU 100?
Kwa siku ni gram 130 kwa kuku mmoja .unaweza piga hesbu apo ukishindwa tujuze
@@AGALUSTV
Naomba mnisaidie hesabu hapo kilo wanazotakiwa kula hao kuku 100 .
Pia naomba kujua pilet stater kama inafaa kwa vifaranga wa ck 1 hadi 7 maana stater zinatuchanga kuna ile kama vumbi na hiyo ya vibonge ipi ni nzuri kwa vifaranga?
Msaada Tafadhali
Stater yeyote tu ni bora ndugu
Wanakula muda gani je n massa 24
Hutegemea Ratna yako na umri w kuku mfano kuku wadogo vifaranga wanakula masaa 24
Mkuu habari za huko. Nimefurahia maelekezo yako.
Nauliza swali. Je badala ya hiyo super super starter naweza tumia broiler kwenye kipindi hicho cha kuanzia wiki 1 hadi 8?
Kama ni Broiler stater upo sahihi wape. Ila isiwe grower wala finisher. Cha mcngi kiwe ni stater🤝🤝Ubarikiwe pia tupo pa1 ndugu🙏
@@AGALUSTV ml
🤝
Safi sana mafunzo ni mazuri changamoto ni mafua, mbona hayasikii dawa tatizo ni nn?
Ni kweli ila kabla ya dawa Anza na mazigira yako ya Banda yaani hewa nzuri, kusiwe na mgandamizo w hewa. Kisha chagua dawa zenye nguvu zaidi za mafua. Yaani nenda dukani mwambie tu nahitaji dawa nzur ya mafua na kikohoz
Angetumia kwenye madebe cha kutengeneza wenyewe ingekuwa poa zaid
OK Asante kwa ushaurj
Kuku mkubwa anayetaga atakula kiasi gani kwa cku?
Gram 130
Acha kurudia rudia maneno unatupotezea mb na muda mfyuuu
Okay ✍️🙏
Nataka kujua broiler 100wanakula mifuko mingap
Wa umri gani apo
Samahani kaka agalus hesabu uliyotoa ni ya chakula cha madukani kama unatengeneza mwenyewe utatumia chakula kiasi gani
OK naomba tulichukue tuandae bajet yake ndugu✍️🙏🏿🤝
Iwapo upo eneo ambalo hakuna super starter watapata madhara kwa kula chick starter kwa kipindi chote
Hapana ipo poa tu🙏🙏🤝
Habari za leo naomba kupewa chart ya kulisha kg ngapi kwa siku kuanzia miezi miwili kuku chotara 100
Video yake ni hii👇
ruclips.net/video/eEdCdGU_53o/видео.html
Kuku wangu anahara damu
Ni coccidiosis wape dawa ya coccidiosis zip o duka LA mifugo
Wastani wa miezi 2 wa chakula tumeelewa. Je! Wakifikisha miez 3 na 4 nini makadirio ya chakula kilo ngap watakula Kuku 100
Kwa ufupi kuku 1 atakula gram 120/130 kwa cku sasa apo tusaidiane hesabu utapata jibu
Vifaranga wanakula starter kwa muda gani ili wahamie grower
Miezi 02
@@AGALUSTV naunganisha swali hapa ina maana starter walioanza nayo hadi miezi 2? Samahani kwa swali
Kuku 100 wa mayai inaitaji mifugo ngapi kufika wakati wa mayai
Yaaani tangu kifaranga hadi kutaga au
Yaaani tangu kifaranga hadi kutaga au
38
Unapo sema stater ya kuku nisaidie ni chakula kipi
Ni chakula cha Dukani cha vifaranga ndugu🙏🙏
Nina million moja inatosha kufuga kuku wa mayai mia moja???mtaalam msaada
Inaweza tu
Malizia Hadi mwezi wa tatu
Sawa sawa ndugu
Bajeti ya chakula kama unatengeneza chakula chako mwenyewe
OK ngoja tulichukue tutaandalia bajet yake ndugu✍️🙏🏿🤝