Kwa wale wanao hitaji darasa la ufugaji wa kuku, darasa litaanza tarehe 8/3. Darasa linaendeshwa kwa njia ya group la what's app, Kujiunga tuma 5,000 tigo pesa 0656528455 kisha tuma meseji ya jina na namba yako ya what's app. Karibuni sana.
kwa mimi mfugaji mdogo km nataka kutptolesha mwenyewe nikipiga dawa ya kuzuia infection kwenye incubator ili wqkitotolewa niwape hiyo chanjo ya merekes kuna shida hapo ?
Mama limo hujambo? Nashukulu mungu ulinipa elimu bora yaufuguji nilikuwa sijui kitu ktk ufugaji wakuku nasasa namimi nafundisha wezangu ubarikiwe limo.
Kweli uko vizuri mpaka nimekutania nataman banda km hilo lakini unalifanyiaje usafi unalifagiaje hiyo mbolea alafunaomba msaada nina kuku aina ya saso wa miezi miwili nawapa kilo 30 kwa siku je nisawa
Nina maswali mawili 1 --Kuku hawa Wachotara huwa wanachukua wasatani ukubwa gani wa banda na kwa idadi kadha? Yan Chotara1 ukubwa Mita...? 2--Ili uweze tengeneza Faida inakupasa uanze kwa idadi ya kuku wangapi?
Hao kuroila amna kitu, kuna kuku wanaitwa mwendokasi. Jogoo wa miez 4 anakua na uzito wa 4.5kg . wafuatilieni mwendokasi. Mayai yao nikama ya kienyeji vile vile. Nyama yao ni yanjano.
Mimi Nina machine ya incubator yenye uwezo was kuyotoresha vifaranga5280 ila changomoto ninayo kutananoayo ni masoko ya kuuza vifaranga 😭😭😨 had I nimekata tamaa kabisa
Kwa wale wanao hitaji darasa la ufugaji wa kuku, darasa litaanza tarehe 8/3. Darasa linaendeshwa kwa njia ya group la what's app, Kujiunga tuma 5,000 tigo pesa 0656528455 kisha tuma meseji ya jina na namba yako ya what's app.
Karibuni sana.
NIKO kenya
Nipo kigoma kwa sasa....
Darasa ni njia ya group la what's app
Darasa ni kwa njia ya group la what's app
Wenye tuko kenya tunaweza pata vipi usaidizi
Sijawahi kufuga lakini unaeleweka sana madam hongera sana kwa elimu hii
Asante kwa elimu nzuri
Mkuu hongera sana kwa makala zako nzuri
Nimependa huu ufugaji safi sana....
Tuko pamoja
Asante xna me Nina swali je swala la usafi vp kweny Hilo Banda
Shukrani kwa somo zuri,nahitaji mayai ya kuroiler kwajili ya kutotoresha
Kwa sasa tunauza vifaranga tu
@@changamkiafursa mko wapi mm Niko MKATA HANDENI NAHITAJI VIFARANGA 100
Tuko Dar na tunatuma kokote Tanzania
@@changamkiafursa being inaendaji na usafiri Hadi Mkata
Chukua namba tuwadiliane, kifaranga ni 1,500
Honger mam nataman San kujujuw njis yakuwafug kuk
Santé kwa kazi, namuna ngani ya kumurisha vifarhanga sasso?
Mimi ni mkongomani kutoka DRC sasa nawezaje kufaidika mafundisho Na kupata madawa kuhusu hizi changa moto za magonjwa za kuku?
Hongera sana dada
Nawezaje kupata vifaranga?
Je? Iya starter..growers ni vyakula tofautitofauti?
Asante kwa elimu
Niko hapa kuelimika..asante
Tuko pamoja
Napenda hii kazi jamani
kwa mimi mfugaji mdogo km nataka kutptolesha mwenyewe nikipiga dawa ya kuzuia infection kwenye incubator ili wqkitotolewa niwape hiyo chanjo ya merekes kuna shida hapo ?
Ongera zako dada afu shukulani kwa dalasa
Mm nipo Arusha nitapataje vifaranga na nibei gan na umri gan
Can you help me with house design and requirements
Dada nimempenda sana jmn
Tafadhali madam Niko kwa wajir county nahitaji Sana hizo naipataje
Tumekuelewa!!!!
Ma sha Allah
Vizur San mam
Napenda kufatilia vipindi hivi sana
Kifaranga kimoja she ngapi?
Jogoo unauza?na kama unauza sh ngapi? Nipo kisarawe pwani
Kila Post unasem kuna group unawek namba ya malipo then upatikan na nimengali kila post unawek namba mpya
Tu nashukuru kwa ishauri wako, layer ndo kiungo kipi.
Mama limo hujambo? Nashukulu mungu ulinipa elimu bora yaufuguji nilikuwa sijui kitu ktk ufugaji wakuku nasasa namimi nafundisha wezangu ubarikiwe limo.
Niko nairobi kenya tunaeza asilianaje
Plse naomba 2wasliane mamy
Tete Mona sh ngapi?
Hizo ndoo zinapatikana wa pi
Dah mtaji jaman
Anza kidogo kidogo
Kifaranga sh ngapi
Mimi wa kagera wanawapataje sasa?
Mnasafirisha vifaranga kwenda mikoani??
I need those chicken breeds I'm in Namibia
Mama napataje namba zako
Pongezi
Wewe ni shujaa kweli kweli
Niko Kenya nitapata VP?
Niko DRC, Nifanyaje nipate vifaranga vya kuku kama ivyo?
I need this portly
Ina maana wanataga TU na hawaatamii?
Naomba kujua hao kroila wanatamia na kufanikisha kutotoa?
Hapana
Mm nahitaji vifaranga nipo chato
Je umeme tuwawekea masaa ngapi kuku wa layer na chotara wana taga
Jogoo bei gan
Ni ni mwjitqji ya kufuga kuku?ni kwa muda gani kuku utaga,ningependa kupatw mwelezo ya kazi hii,asantecH
Kuku hao unauza wapi
Hello, good evening, I'm requesting if you can boost anyone intrested in the chicken keeping....how much does one chick cost?
1 500 Tsh per chick
Vifarang Kias gn
Nawapataje kuloiler
Mimi ninao kroila lkn wana sumbuliwa na mafua nifanyaje mama
Naeza pata vifaranga nikiwa sirare au tarime?
Tarime unapata, tuwasiliane
Kifaranga mnauza kuanzia umri gan na bei gan
Soko la hao kuku wa kroila likoje.?
Lipo kubwa tu na la uhakika
@@changamkiafursa hongereni kwa kutu saidia wa tanzania wenzenu
Naomba namba ya mawasiliano
Good
Mm npo Arusha napata je vifaranga jamani
Ukiwasiliana nasi tutakutumia mpaka Arusha
Nomba yako
Kama sio wa mayai,starter anatakiwa ale mpaka wiki ngap
Mhh miezi minne utamu hamnaa apo
Je nikiwa tanga nitapata vifaranga vya hao kuku
Ndio, tunatuma mikoa yote
Kwa kifaranga Cha wiki mbil bei gan au moja
Tunauza vifaranga wa siku 1, shilingi 1,500
Jaman nipe no yenu nataka hao kuku
Wanapatikana mkoa gani
Mimi nipo Zanzibar nahitaji vifaranga navipqtqje
Tuwasiliane kwenye namba hiyo
Video haifunguki so twacoment nn basi?
Itakuwa hewani saa 2 asubuhi
Mawasiliano jmn ni muhimu
Na kuku wakiwa na chawa ni dawa gni itasaidia iyo wdudu wdogowdogo wanakula kuku
Wapulize dawa inaitwa ultravin
Mlandi mazuli sana
Vifaranga bei gani?
1,500
@@changamkiafursa Niko chalinze nikiitaj uwezekano wakunitumia upo?
Tuwasiliane
0620 440 863
@@changamkiafursa mayai bei gani nahitaji?
Tunaanza vifaranga tu
Ni umri gani natakiwa nianze kuwapimia chakula??
Wiki 3-4
@@changamkiafursa anatakiwa kula kiasi gani?? Mfano Nina kuku 10 Ni kilo ngapi cha kuwapa kwa siku???
Wanaumri gani
@@changamkiafursa kuna wa wiki 3 na wa miezi miwili
Njoo what's app 0752209073
Nitapataje vifaraga hawa niko kenya
Niko Kenya Nairobi nahitaji vifaranga miatano
Kweli uko vizuri mpaka nimekutania nataman banda km hilo lakini unalifanyiaje usafi unalifagiaje hiyo mbolea alafunaomba msaada nina kuku aina ya saso wa miezi miwili nawapa kilo 30 kwa siku je nisawa
Hao kuku ni wangapi?
Nimekuelewa Ila unapatikana wp
Mnazingua na haya makuku ya kisasa hatuja yazoea tulinde vyakwetu
Linda tu hakuna shida
Vingapi unatumia sio vyakwenu acha ujinga au hiyo smart 4n ni ya kwenu shenz wewe
Dada lyimo wewe unatumia chakula cha aina gani na kampuni ipi
Mimi nafuga kuku wa kienyeji na kuroiller Niko mwanza, nahitaji vifaranga vyenu.
Na kwa hawa wan@ojitengenea chakula inakaaje hapo
Hakikisha unaifanyia majarabio hiyo formula kabla haujaanza kutumia
Naeza pata kuku kuroiler kutoka kwako na ni vipi naeza pata
Kwema
Naweza pata kuku wakubwa wanaotaga?
Hapana
Unaishi wapi? naomba msaada wa namba yako mpendwa
Heloow
soko ya kuroiler dio uliza nitapata wapi .niko nazo ready za kuuza
Uko wap nichek 0766051706
KUKU wangu wanasumbuliwa na mafia mara kwa mara niwape dawa gani.?
Umewahi kutumia dawa zipi.
Pia nakushauri utumie chanjo ya tatu moja. Inakinga na mafua
KUKU wangu wanataga hiyo chanjo ya tatu moja itawezekana kwa kuku wakubwa.?
Ndio inawezekana
Asante hiyo chanjo inapatikana wapi.?
Farmer center
Nina maswali mawili
1 --Kuku hawa Wachotara huwa wanachukua wasatani ukubwa gani wa banda na kwa idadi kadha? Yan Chotara1 ukubwa Mita...?
2--Ili uweze tengeneza Faida inakupasa uanze kwa idadi ya kuku wangapi?
1. Kwenye 1m² wanakaa kuku 4-5
2. Ukiwa na matetea 150 unapata faida nzuri.
Shukran Kiongozi
Pamoja
@@changamkiafursa mko Mkoa gani
Ndio kazi yetu
Unanunua wapi vifaranga wako,namaanisha kuku wazazi ni wa kampuni gani
Hao kuku wanataga kwa jogoo au bila jogoo
Umri gani wa kuanzia kuwapimia chakula
Nahitaji wa mwezi 2
Sinqeli kiku kushinwo
SASA KUKU anaanza kupimiwa akiwa na umri gani
Kuku wa mayai anaanza kutaga miezi 5 hadi sita sasa hawa cloiler miezi 4 kweli
Kuroiler akisha maliza wiki nne anatakiwa ale chakula kiasi gani kwa siku kwa wastani wa kuku mmoja
Video ya kesho itajibu swali lako
@@changamkiafursa 🙏🙏
Mapema tu, saa 2 asubuhi
Mama limo nikiwa na milioni mbili itanitosha kulea vifaranga wangapi mpaka wafikie kuwa wazazi
Mama limo nipe mwongozo basi
Vifaranga 200
Hao kuroila amna kitu, kuna kuku wanaitwa mwendokasi. Jogoo wa miez 4 anakua na uzito wa 4.5kg . wafuatilieni mwendokasi. Mayai yao nikama ya kienyeji vile vile. Nyama yao ni yanjano.
Utagaji wao ukoje?
Wanazalisha na kampuni gani na asili yao ni nchigani?
Wako WAP hao
Huyu Dada yupo wapi?
Yupo dar na usisite kabisa kutoa mzigo kwake kama unahitaji kuanza mradi wako, mimi nimechukua kwake nipo na siku 45, na wapo vizuli sana
@@alexkabeho5609 naomba namba ya huyo dada nataka nimtembelee
@@alexkabeho5609 naomba na namba yako pia alex
Nahitaji kupata fundi wa kujenga hilo banda
Uko wp
Kwa kuku50 chotara wanatakiwa kula kilo ngapi kwa kipimo sahihi wakiwa wadogo Na hata wakiwa wakubwa
Mimi Nina machine ya incubator yenye uwezo was kuyotoresha vifaranga5280 ila changomoto ninayo kutananoayo ni masoko ya kuuza vifaranga 😭😭😨 had I nimekata tamaa kabisa
Biashara ni matangazo mkuu.
Karibu tukutangazie
What's app 0752209073.
Usikate tamaa kirahisi
@@changamkiafursa sawa
Unahitaji kuuza hiyo incubator? Unapatikana wapi?
Nicheki kama unahitaji incubator kutoka China 0752209073
Kwa hiyo Chakula mnatengeneza wenyewe au mnanunua madukani?
Swali langu ni kama unatakiwa uwe na tetea 150 hapo majogoo yanatakiwa kuwa mangapi asante
Swali zuri tetea 6-7 kwa jigoo mmoja. Hivyo tetea 150 kwa jogoo 25