Wew mama umenitia Sana moyo ntayafuatilia masomo yako kwa Sana tu japokuwa natamani kuanza Ila bado nipo chuoni mwakani ntaanza maana umenipa matumaini mkubwa sana
@@changamkiafursa sijajua bado lkn shida vifaranga vinakufa tu!! Vaccine nlikua natumia mwisho nikaona hasara sababu pamoja na vaccine pia havikui. Kutotoa wanatotoa vizuri tu lkn naishia kupata vifaranga viwili kwa kumi na mbili walio angaliwa. Chakula nawapa tu vizuri na ndo hasara yenyeww hio.
Unawalisha chakula gani??jee na jogoo wanakula chakula cha layers kwa kuwa wapo pamoja?? Au unatumia majogoo tu kupata mayai?? Hapa naomba utufafanulie.
Hongera sana kwa elimu nzuri ya ufugaji, naomba kuuliza je mkoa wa kigoma kuku wa kuloiler wanakubali
Merci beaucoup pour la vidéo.🎉
Wew mama umenitia Sana moyo ntayafuatilia masomo yako kwa Sana tu japokuwa natamani kuanza Ila bado nipo chuoni mwakani ntaanza maana umenipa matumaini mkubwa sana
hifathi pesa kwaajili yabadae
Hongera mama changamoto ndio mafanikio
Safiii. Kwa darasaa zurii tumemuelewaa.
Tuko pamoja
Asantee sanaa hakika hii ni happy new ticha
Yeah, tumerudi kwenye mapambano
Hongera pambana
Ongera Sana
Natamani sana ile ngumu nafuga sasa miaka mitatu hamna faida hata hayo ya kula nyumbani tu pia nakosa
Pole sana, kwani unakosea wapi?
@@changamkiafursa sijajua bado lkn shida vifaranga vinakufa tu!! Vaccine nlikua natumia mwisho nikaona hasara sababu pamoja na vaccine pia havikui. Kutotoa wanatotoa vizuri tu lkn naishia kupata vifaranga viwili kwa kumi na mbili walio angaliwa. Chakula nawapa tu vizuri na ndo hasara yenyeww hio.
Licha ya kuwapa chanjo, unatumia mbinu gani kulea vifaranga?
@@changamkiafursa hua wakitotolewa na waacha na mama zao kwa wiki 4 kisha nawakupokonya nawaeka kivyao
Wanazurura au unawafungia
Jaman hv chotara Wana soko maana Kila nikidodosa naambiwa soko baya chotara hawana soko nisaidie nataka nianxie kufuga
Hawana soko upande gani?
Mayai?
Vifaranga?
Au kuku wa nyama?
@@changamkiafursa upandee wa nyama
Yaan kuwafuga na kuwauza mfano me nataka nianxie kufuga wakifika miezi 5 niuze sasa nakatishwa tamaa wanasema soko linasumbua sana
Hiyo huwa ni nzuri kwa kutageti msimu wa sikukuu na sherehe za mwaka mpya
Pia hautakiwi kusubiri mpaka miezi mi5, wakifikisha miezi 3 wauze
Banda lako zuri sana unaweza ukanipa vipimo vyake?
Daah jaman nimependa ufugaji wako. Namm nataman kufuga
Mkoa Gan apo
Try and interpret in English, following from Nigeria
Your very sorry my dear, you lack good classes on how to make money, through station service.
Nahtaji vifaranga wa siku moja
Unawalisha chakula gani??jee na jogoo wanakula chakula cha layers kwa kuwa wapo pamoja?? Au unatumia majogoo tu kupata mayai?? Hapa naomba utufafanulie.
Mama naomba number ya fundi wa banda lako la kufugia
Nahitaji mbegu yaan kuku wazazi naweza kupata kwako??
Mimi napeda kufunga kuku je bada zulikabisa linaweza kungalimu xhingapi?
Inategemea na ukubwa wa banda na mahali ulipo
Nanataka kuanza kifuga lakini sinauzoefu wa kutosha naomba msaada wenu
Nenda kajifunze jinsi ya ufugaji wa kuku Iringa, Ihemi kwenye Kampuni ya Silverland
Vp unauza na vifaranga
Mpunguze na uongo kila mfugaji anatudanganya kuanza na kuku 5
Yupo sahihi kabisa ,, Mimi nimewahianza na kuku sita na nikafikia kuku 70 ndani ya mwaka.Walitaga mayai wajatotoa,,,Kisha nikawatunza hao hao
Nawahitaji Sana hao kuku kroiler
Tafadhali wasiliana naye upate kilichobora
@@changamkiafursa okay.
Nimeshawasiliana naye
Pamoja sana
@@changamkiafursa trey nikitaka anauz Tshngap