Holy Trinity Studio - Mahangaiko ( Official Music Video )

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 ноя 2024

Комментарии • 200

  • @csato9415
    @csato9415 6 лет назад +11

    Mahangaiko yakizidi unanifariji, moyo wangu ukielemewa wanifurahisha.... pongezi 👏👏 mtunzi Bernard Mukasa, pia wanakwaya Mt. Theresia wa Avila, Uyole - Mbeya, na wote walioshiriki kwa namna mbali mbali kufanikisha kutuletea ujumbe huu mubarikiwe sana. Wimbo unanitafakarisha kuujua upendo wa Mungu.

  • @ValentinoEdward
    @ValentinoEdward 5 месяцев назад +4

    Mbarikiw sana kwa uimbaji mzuri ❤ moyo wangu

  • @timdovecool7202
    @timdovecool7202 5 лет назад +7

    Kweli hongera sana kwa Bernard Mukasa . Hiki ni kipawa, Mungu akulinde uzidi kuandika nyimbo nyingi. Tunabarikiwa Nazo,tunainuliwa, tunafurahishwa, na tunaelekezwa na nyimbo zako. Hongera kwa kwaya hii, mmeimba kwa mpango na na hisia kamili zinazoandamana na wimbo huu....vyombo pia zimepangika sawasawa....Keep it up.

  • @fatmakizimba744
    @fatmakizimba744 4 года назад +7

    Hongereni sana.wimbo mzuri,mziki nao umetulia.maneno yanasikika vizuri.Mwenyezi Mungu awabariki sana

  • @ZawadiKahimba
    @ZawadiKahimba Месяц назад +1

    Huu wimbo nimependa maneno yalivyosikika vizuri, hongereni sana waimbaji 🎉🎉🎉❤

  • @samsawidi5648
    @samsawidi5648 6 лет назад +4

    Mukasa naomba ututembelee kenya,, hasa kwa parokia ya Mt Mathias mulumba matunda,, u r more than choir master,, big choir,,, c choki kusmizaaa

  • @mungholomakalanga8958
    @mungholomakalanga8958 5 лет назад +3

    Hakika Bwana nakuhitaji Kila Wakati.Amina

  • @giterongabajuta1381
    @giterongabajuta1381 5 лет назад +8

    Wimbo ulio Bora RC church

  • @juliennemutambala1149
    @juliennemutambala1149 6 лет назад +6

    Asante jehovah kwa kutufariji kila wakati nice

  • @ClistineWaikipi
    @ClistineWaikipi 17 дней назад

    Kwa kweli nimefarijika wimbo mzuri sana Mungu azidi kuwabariki na kuwapa sauti nzuri

  • @Jumaurbanus
    @Jumaurbanus 20 дней назад +1

    😭😭😭😭😭😭😭AMINA 🙏

  • @EfrosinaDemestus
    @EfrosinaDemestus 10 дней назад

    Mungu awazidishie neema kwa wimbo huu mzriiiiiii❤❤

  • @alesiakayoka1203
    @alesiakayoka1203 5 лет назад +3

    Ni kweli kabisa Mungu ni mwema kila wakati yatupasa tumwitaji kila siku

  • @emmaafrican8292
    @emmaafrican8292 6 лет назад +11

    "Pale ninapoteleza wewe Mwenyezi Mungu hautanitelekeza wala hauniachi......... "
    Nice song, God bless u forever

  • @farajadanda1827
    @farajadanda1827 6 лет назад +6

    nimefarijika sana na wimbo sichoki kuusikiliza mungu awaendelee kuwa nanyi daima

  • @AsteriaBoay
    @AsteriaBoay Месяц назад

    Nabarikiwa na wimbo sana na nimeuwaza siku nzima 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @franciscohatari9365
    @franciscohatari9365 4 года назад +1

    Good song nikiusikiliz huu wimbo nikiwa na mawazo yanapotea yote

  • @FrancisMartin
    @FrancisMartin 5 лет назад +3

    Benard ubarikiwe na kwaya yoe

  • @euniceakinyi3188
    @euniceakinyi3188 Год назад +2

    Lord we thank you for your servant Benard Mukasa and his family. May you keep blessing them. Kenya loves you!

  • @pascal.cassianmwonga4782
    @pascal.cassianmwonga4782 4 года назад +1

    Kwa kweli Kila mda natamani kusikiliza huu wimbo....umekua faraja kwangu

  • @ayubmyonga2883
    @ayubmyonga2883 6 лет назад +5

    Duh! Safi sana

  • @bentaroseonyango334
    @bentaroseonyango334 2 месяца назад

    Mahangaiko yamezidi, naomba unifariji

  • @monicahcherop
    @monicahcherop 3 года назад +1

    Sichoki kuimbisha wimbo huu. Asanteni sana Mbarikiwe.

  • @newmanh
    @newmanh 6 лет назад +17

    God Bless Benard Mukasa. I almost love all his songs. Thank you to this beautiful choir. Mbarikiwe sana.

  • @StAugustineHarmonyChoir
    @StAugustineHarmonyChoir 3 года назад +1

    Nice one thanks

  • @raymondmarco9463
    @raymondmarco9463 6 лет назад +4

    nimebarikiwa Jmn adi natamani nipae niwaone life

  • @revocatusmboro5086
    @revocatusmboro5086 4 года назад

    Wimbo usio isha hamu ya kuusikiliza mtunzi katenda haki kama wimbo wa yesu ni mwema Bernard Mungu akubariki na ukujaalie uwezo zaidi wa kuendelea kuwa mtunzi wa sala kwa njia ya nyimbo

  • @maryjoseph376
    @maryjoseph376 5 лет назад +5

    Mahangaiko yakizidi unanifariji ,moyo wangu ukielemewa wanifurahisha hata ninapoteleza wewe Mwenyezi Mungu hautanitelekeza wala hauniachi ndio mana nakuhitaji kila wakati........EE MUNGU tuliza moyo wangu....BARIKIWA sana kwa wimbo MUNGU azidi kuwatia nguvu katika utume wenu

  • @benardlupibenard8615
    @benardlupibenard8615 5 лет назад +3

    Hongereni kwa kazi nzuri,,mkasa kazi zako zinazidi kuuteka urimwengu ubarikiwe piah

  • @daudikasonso3673
    @daudikasonso3673 6 лет назад +15

    Hongera Sana Kwaya Ya Avila Uyole Mbeya Wimbo Mzuri Umeibwa Kwa Uzuri, Vyombo Vimepangwa Na Kupangika Vimepigwa Kwa Utamu Woteeee
    HT Mmenitekaaaaaa Mutongole Agiza Pepsi Kokote Nnakuja Kulipa

  • @julianthadeus6296
    @julianthadeus6296 6 лет назад +4

    Kazi nzuri

  • @gervasvitus1925
    @gervasvitus1925 6 лет назад +10

    Mda mwingine maisha huwa yanachangamoto mno lakini ninaposkia huu wimbo najihisi kama mshindi,mbalikiwe sana@

  • @felisterligwa
    @felisterligwa 5 лет назад +3

    Hongereni sana waimbaji,ujumbe mzuri hakika umeniinua kiroho.Utume mwema

  • @NeemaMaulino-b7h
    @NeemaMaulino-b7h Месяц назад

    Amina nasikia nguvu ndani yangu

  • @rastagal4888
    @rastagal4888 3 года назад +1

    Wimbo huu wapendeza mno

  • @zolekamakeleni7767
    @zolekamakeleni7767 5 лет назад +4

    Good song I like it thanks sisters and brothers

  • @dominicnyabuto8218
    @dominicnyabuto8218 4 года назад +4

    My lovely song song God bless the entire choir😍😍

  • @EfrosinaDemestus
    @EfrosinaDemestus 10 дней назад

    Hongeren kwa wimbo mzur

  • @samorahbanderas8767
    @samorahbanderas8767 3 года назад

    Naweza iskiza siku Nzima bila kuchoka mpaka Niambiwe nibadilishe niweke Nyimbo Nyengine barikiweni sanaaa

  • @georgemgalega2388
    @georgemgalega2388 6 лет назад +4

    Be blessed kwaya ya Mt Avila uyole, mtukuzeni Mungu namna hiyo

  • @innocentgeorge6095
    @innocentgeorge6095 3 года назад +1

    Mungu nimwema kila wakati

  • @josephjila957
    @josephjila957 5 лет назад +2

    Kwa kweli mmeitendea haki talanta zenu ya kumwimbia Mungu hongera zenu

  • @silvjm4508
    @silvjm4508 6 лет назад +5

    Wimbo mzuri, mbarikiwe.

  • @josephmahundi4931
    @josephmahundi4931 6 лет назад +3

    Nlkuw nausubr kwa ham huu wimbo, a very good and blessing song

  • @felisterapornary2612
    @felisterapornary2612 4 года назад +1

    Mungu awabaliki

  • @vicentmshedede2484
    @vicentmshedede2484 6 лет назад +2

    Na mungu hawabariki kwa huinjilishaji kwanyimbo nzuli musikate tamaa nduguzangu

    • @galoskimata8923
      @galoskimata8923 5 лет назад

      Huu ndio uzuri wa karama mbarikiwe Sana watumishi wa mungu

  • @mrmago4870
    @mrmago4870 4 года назад +5

    Benard Mukasa.... The Almighty GOD bless you and the choir in general for this Godly uplifting song!!!

  • @masanjasusu1280
    @masanjasusu1280 5 лет назад +2

    Wimbo mzuri sana unanibariki

  • @abelmlandali3155
    @abelmlandali3155 6 лет назад +5

    Safi, Mungu Atukuzwe

  • @wuodakinyicalvince8950
    @wuodakinyicalvince8950 4 года назад +3

    My love for the songs made me to love Catholic , hong era

  • @mwendabryton8943
    @mwendabryton8943 4 года назад +1

    Bernard mukasa my all time fav

  • @judithmakau4366
    @judithmakau4366 6 лет назад +7

    Never been so much blessed by a song before... ...kongole wanakwaya na mtunzi pia.

  • @raymondkaranja7402
    @raymondkaranja7402 2 года назад +1

    beauty of the Catholic church

  • @staphielkathawa8626
    @staphielkathawa8626 3 года назад +1

    All song is good keep it up

  • @simonthomas7969
    @simonthomas7969 6 лет назад +3

    Mbarikiwe sana waimbaji kwa sauti nzuri

  • @lizbonmwapinga575
    @lizbonmwapinga575 3 года назад

    Nyimb nzur sana tunaomba muweke alubam yote

  • @agripinamgema3656
    @agripinamgema3656 3 года назад

    Asante uyole, mwenyezi MUNGU awabariki. Mwenyezi MUNGU namuhitaji kila wakati, AMINA

  • @magemwaseng581
    @magemwaseng581 Год назад

    Mungu awasimamie katka utume wenu

  • @mauramichael1076
    @mauramichael1076 6 лет назад +4

    wimbo mtamu hongereni

  • @eliasboniface1594
    @eliasboniface1594 6 лет назад +3

    Nimewaelewa sana ....kazi nzuri

  • @eliasjosephmshani4387
    @eliasjosephmshani4387 6 лет назад +2

    Hakika mungu yu mwema nawapongeza kwa kutuinjilisha mungu awabaliki Sana!!!!!!

  • @petroreonad3603
    @petroreonad3603 3 года назад

    Hakika ninajiona kuinuliwa pale nisikilizapo huu wimbo
    Hongereni kwa uinjilishaji wenu mwema
    Mungu awazidishie maarifa

  • @maryamgalgalo1414
    @maryamgalgalo1414 5 лет назад +2

    Wow love it sanas jamani

  • @nemangowi1418
    @nemangowi1418 6 лет назад +2

    Waoo!! Very nice

  • @kipngenokirui3756
    @kipngenokirui3756 6 лет назад +4

    Hongera sana. Hii ni kazi nzuri.

  • @annastaciaKyalo-c5s
    @annastaciaKyalo-c5s Месяц назад

    Hongereni sana. Huu wimbo naupenda kwani niusikilizapo huwa nafarijika.

  • @maryreginasechali5625
    @maryreginasechali5625 6 лет назад +4

    Duuuh. Ni shida. Mmetisha. Mahangaiko yakizid unanifariji.

  • @nuryatbisaki6327
    @nuryatbisaki6327 4 года назад +1

    Baraka ya Mungu iwe nanyi,mnatubariki sana kwa nyimbo zenu nzuri ahsanteni sana na sanaaa

  • @deogratiussanga3959
    @deogratiussanga3959 5 лет назад +1

    Naomba nota za wimbo huu

  • @hildaqorro2225
    @hildaqorro2225 6 лет назад +2

    Utunzi mzuri... Nimependa wanavyocheza .... Bila nguvu.... Vocals👍

    • @yusufhajj8671
      @yusufhajj8671 4 года назад

      Say awesome... This song is a blessing. God bless you people ... Am blessed too. You people are relaxed

  • @wilkisterakinyi7791
    @wilkisterakinyi7791 3 года назад +3

    What a blessed family. I love it

  • @ElizaLimbo
    @ElizaLimbo 3 месяца назад

    MUNGU awabariki waimbaji huu wimbo kweli unafariji

  • @francismuteka2449
    @francismuteka2449 3 месяца назад

    Hitimisho iko mwaah

  • @mohameddilunga1853
    @mohameddilunga1853 4 года назад

    Asante Mungu kwa kuwatumia waimbaji kutangaza neno lako

  • @richardchaula1860
    @richardchaula1860 5 лет назад +3

    Hongereni Sana Wapendwa Waimbaji.

  • @carollaswai4853
    @carollaswai4853 4 года назад +1

    Hongereni kwa kazi nzuri. Mbarikiwe sana

  • @sweryderas3909
    @sweryderas3909 4 года назад +2

    Be blessed father and mama and guys all

  • @philipokomba9217
    @philipokomba9217 6 лет назад +3

    Mtamu sana mbalikiwe

  • @newmanh
    @newmanh 6 лет назад +6

    I wanna listen to this everyday.

  • @yusterkapinga7102
    @yusterkapinga7102 3 года назад

    Nice one MUNGU awabariki

  • @nyandisifred9560
    @nyandisifred9560 3 года назад

    Kazi Nzuri, barikiwa

  • @audifadmosha1130
    @audifadmosha1130 6 лет назад +5

    Dah kazi nzur sana

  • @justinakalekana6344
    @justinakalekana6344 3 года назад

    Hongereni Sana wanakwaya kwa wimbo mzuri

  • @davidnjomo3955
    @davidnjomo3955 6 лет назад +1

    Ustadi kweli kweli. Hongereni wanakwaya, Hongera Bwana Mukasa kwa utunzi mwingine mzuri

  • @josephgeorge3757
    @josephgeorge3757 5 лет назад +1

    ongere sana na mungua wabariki

  • @aganomwanuke6696
    @aganomwanuke6696 6 лет назад +2

    Hongereni sana kwa kazi njema

    • @sabinachristopher9782
      @sabinachristopher9782 6 лет назад

      hongera sana mwl Bernad Mukasa kwa utunzi na uimbaji mzuri
      ninaposikiliza sichoki kusikiliza
      Mungu akubariki sana uendelee kuinjirisha kwa nyimbo

  • @dorotheajoseph6196
    @dorotheajoseph6196 Год назад +1

    i love this song ❤

  • @ezradastan4167
    @ezradastan4167 6 лет назад +5

    Binafsi napenda niseme ukweli, ninaposiliza ubarikio huu, matatizo, mawazo and of course mahangahiko yangu as the song says, maisha yangu hubadirika kabisa. Sauti, vinanda, na kila kitu ndani ya huu wimbo hudhihirisha kabisa imani ya kanisa takatifu katoliki. You always know -- and say -- exactly what I need to hear when I need to hear it

  • @benardkwemboi
    @benardkwemboi 4 года назад +1

    Very nice

  • @dorothyxavery6178
    @dorothyxavery6178 4 года назад +1

    Mungu awabariki...

  • @dorothyxavery6178
    @dorothyxavery6178 5 лет назад +3

    Be blessed our singers

  • @luciaanthony8492
    @luciaanthony8492 4 года назад

    Nabarikiwa sana na huu wambi

  • @hildahenry5455
    @hildahenry5455 3 года назад

    Baraka ziwe juu yenu nimebarikiwa sana na wimbo huu

  • @audifadmosha1130
    @audifadmosha1130 6 лет назад +3

    Kuna ili shairi lina sema. " Hata ninapo jisahau wanigusa" naomba aliye lielewa lote aniandikie plZ kuna neno linasemwa baada ya wanigusa sijaliewa aliyelielewa plz

    • @ivoobed535
      @ivoobed535 5 лет назад

      Hata Ninapo Jisahau wanigusa, Wanigutua Nirejee Kwenye Mstari...
      Tunawashukuru Sana Kwakutupa Moyo Mbarikiwe Karibun Uyole Mbeya

  • @annedavienyamhanga4738
    @annedavienyamhanga4738 6 лет назад +5

    So lovely.

  • @benjaminjoseph6210
    @benjaminjoseph6210 4 года назад

    wimbo mzuri sana hongera kwenu

  • @VelejilyoMhongole
    @VelejilyoMhongole 3 месяца назад

    Kazi nzuri wapenewa wa mwenyezi MUNGU

  • @herrykifikilo7821
    @herrykifikilo7821 Год назад

    ukiwa makini nendaa kwenye ujumbeee utapendaa

  • @annaabed1436
    @annaabed1436 5 лет назад +1

    Wimbo unaingia moyoni mwangu unanigusa

  • @zakayojoseph1499
    @zakayojoseph1499 3 года назад

    Mungu awabariki amina