BABA YANGU KIPOFU Full Episode /35/

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 дек 2024
  • Tunakaeibia kumaliza series YETU hii inayohusu MAISHA halisi ya binadamu ili kuikaribisha series MPYA tuendelee kusaport watu wangu wanguvu
    #love

Комментарии • 1 тыс.

  • @DeeDan-sj1mr
    @DeeDan-sj1mr 3 месяца назад +35

    Unatufunza mengi maana wapo wanawake wenye tabia kama izo so wenye akili watapunguza sio kuacha maana mjaasili haachi asili yake kamwe🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 ❤❤❤❤❤ thanks baba joan

  • @MaimunaLugua-tf7vh
    @MaimunaLugua-tf7vh 3 месяца назад +82

    Baba joan kazi nzuri Sana katika maishani mwangu najifunza kitu kutokana na uigizaji wenu Ewe Mwenyezi MUNGU bariki kazi za babajoan team wape nguvu wasishindwe daima nawapenda nyote salamu zangu ziwafikie nyote from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❣️🙏💪

  • @jaysonkingcrazy198
    @jaysonkingcrazy198 3 месяца назад +153

    Wa kwanza kutoka kenya 🇰🇪 wapi likes zangu tunakupenda sana baba joan💕mungu akubariki

  • @delickmarco3945
    @delickmarco3945 3 месяца назад +64

    Watu wa Mungu kwa movie hii itufunze kuwa saidia vipofu,vilema,wanapitia magumu Sana.

  • @Emmajose-t8t
    @Emmajose-t8t 3 месяца назад +29

    Karobo you deserve my flowers 🌺🌺🌺🌺 I pray for everyone who will read this text God bless you and protect you and your family

  • @tomstevesofficial
    @tomstevesofficial 3 месяца назад +37

    At least leo nimefika mapema kabla katambe😂....mnipe hata likes 10 nijue nimeweza❤❤❤❤ The best film premiering in Tanzania

  • @Kevin-y6i
    @Kevin-y6i 3 месяца назад +6

    Kazi Safi Baba Joan,Mungu akubariki mara ya Kwanza kufika Kenya🇰🇪wapi likes za Baba karobo

  • @nalundjamubalama9979
    @nalundjamubalama9979 3 месяца назад +45

    Filamu yenu ina pendwa sana ndani ya duka langu hongera sana

  • @susanmitchell5641
    @susanmitchell5641 3 месяца назад +5

    Nimesoma mengi sana tangia hapa tumefika, kudos Baba karobo na time yako yote 👏👏👏 more love from 🇰🇪 ila natazama nikiwa Qatar 🇶🇦 team strong 💪

  • @modex_0376
    @modex_0376 3 месяца назад +582

    YOYOTE AKISOMA HII SMS NA KULIKE IN SHAA ALLAH MUNGU AMJALIE UMRI MREFU N SIKU YA LEO JUMA PILI AMFUNGULIE MILANGO YA KHERI 🤲🤲🤲🤲

  • @vallesndayishimiye2396
    @vallesndayishimiye2396 3 месяца назад +60

    Baba Joan ❤❤❤❤ nakupenda Sana from Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @Lucywanjirukagonye
    @Lucywanjirukagonye 3 месяца назад +144

    WA kwanza kutoka Riyadh Saudi Arabia teem strong wapi like za Baba karombo🎉🎉❤❤

    • @Aisha-f2g
      @Aisha-f2g 3 месяца назад +3

      Tuko dear Sema kuchoka adi kope😂😂😂

    • @MWANAISHAMTENGO
      @MWANAISHAMTENGO 3 месяца назад +2

      Assalamualaikum

    • @ashamwanganzi6400
      @ashamwanganzi6400 3 месяца назад +2

      Pamoja saiz❤

    • @wamboiwamboh
      @wamboiwamboh 3 месяца назад

      tunafanya mjengo tukiwaza mabaya ya mama karobo😂😂😂😂imgn mama karobo as your madam😂😂😂😂😂😢😢😢

    • @Lucywanjirukagonye
      @Lucywanjirukagonye 3 месяца назад

      @@wamboiwamboh hehehe 😂😄🤣 kwisha

  • @EdigaNashon-g7b
    @EdigaNashon-g7b 3 месяца назад +22

    Na Mimi sijachelewa like zangu jaman 🎉🎉❤🎉 baba karobo🎉🎉❤

  • @JosephKibi
    @JosephKibi 3 месяца назад +4

    Maman karobo byaku jitakiya sawa akuna shida tuone mwisho wako 🇨🇩👍👍👍

  • @YusraSiyaleo-yk2fz
    @YusraSiyaleo-yk2fz 3 месяца назад +142

    Hatimae mmetuletea doko saf sana baba karobo umeweza kama.unamkubali doko gonga like hapa tujuane 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @OlivierMasambilo
    @OlivierMasambilo 3 месяца назад +3

    baba joan respect kweli anatiarisha kipindi vizuri kweli napenda vipindi vyenu from BURUNDI OK

  • @nurusaid4698
    @nurusaid4698 3 месяца назад +31

    Kuuliza 2 Ni Nguo Gani Zinazotaka Kufuliwa Maana Kila Cku Bakarobo Nguo Ni Izo Izooo Au😂😂😂😂

    • @Anjira960
      @Anjira960 3 месяца назад +1

      Alikuwa anawaza cjui anaota

    • @ImaeImae-p3v
      @ImaeImae-p3v 3 месяца назад +1

      Ndo ushangae😂😂

    • @janetngash2886
      @janetngash2886 3 месяца назад

      😂😂😂😂

    • @rosejohn8494
      @rosejohn8494 3 месяца назад

      swali lako kama langu

    • @SamwelAdundo
      @SamwelAdundo 3 месяца назад +1

      😂😂😂swali nzri sana

  • @MagdaleneKhatsika
    @MagdaleneKhatsika 3 месяца назад +3

    Wow!!yanina vipindi vyako karobo gai❤❤nazipenda...nakuombea mungu awezee kuulinda kipawa chako

  • @SifaMasamba-rq6ee
    @SifaMasamba-rq6ee 3 месяца назад +59

    Mimi leo nahoba lakizagu kutoka U s🇺🇲🇺🇲

    • @AssdfAssd-g3y
      @AssdfAssd-g3y 3 месяца назад +2

      Hii kiswahili ya wp😢😢😢

    • @maylucson001
      @maylucson001 3 месяца назад

      Nahoba😂😂​@@AssdfAssd-g3y

    • @Gift-kijiti
      @Gift-kijiti 3 месяца назад +2

      😂😂😂😂😂 etiee una what😂😂😂😂😂

    • @Gift-kijiti
      @Gift-kijiti 3 месяца назад +1

      ​@@AssdfAssd-g3yanahoba😮😮😮😮mwenzio🤭🤭😂😂😂😂

    • @AmenaMm-r5t
      @AmenaMm-r5t 3 месяца назад

      Hhhhhhh ety na hoba jamon ww pol san

  • @michelinechalouhi2189
    @michelinechalouhi2189 3 месяца назад +38

    Kutoka Kenya Nani anapenda baba karobo nipe likes

  • @JullianaEmmanuel-tm5xg
    @JullianaEmmanuel-tm5xg 3 месяца назад +19

    Doko kama Doko, kpala ingwe

    • @MbagalambagalaZakiem
      @MbagalambagalaZakiem 3 месяца назад

      ruclips.net/video/4BduxYtZxIk/видео.htmlsi=K0UiVaPDcl0wxkSH

  • @mustafahlokol7338
    @mustafahlokol7338 3 месяца назад +38

    Mimi Leo ni WA kwanza baba Joan nakubali kazi Yako nzuri sana

  • @PatrickPeter-ce9zn
    @PatrickPeter-ce9zn 3 месяца назад +60

    Wakwanza Leo team baba karobo gonga like hapa

  • @MalhasanSaid
    @MalhasanSaid 3 месяца назад +5

    Kumekuchaaaaa mlio lala amkeni.mambo ni fire🔥🔥🔥🔥🔥

  • @nshimiyimanaalex6467
    @nshimiyimanaalex6467 3 месяца назад +31

    Asanteni sana kutupatia ya wikend kbs arfu mbona mama karobo habadirike mwisho wake atajuta Kigali Rwanda 🇷🇼 ❤❤❤turabakunda cyaneeeee 🇷🇼

    • @qwerqasd8597
      @qwerqasd8597 3 месяца назад

      Natwe turabakunda

    • @MbonyonshutiEric
      @MbonyonshutiEric 3 месяца назад

      Nabapenda zujat karono nyinyi nbapenda Niko kigali

    • @horakibondo6667
      @horakibondo6667 3 месяца назад

      Abanyarwanda burya duhari turi benshi.
      Enyanya enyanya

  • @AishaNibizi
    @AishaNibizi 3 месяца назад +12

    Baba Joan na time yako nawapenda saaan kutoka burundi

  • @AssdfAssd-g3y
    @AssdfAssd-g3y 3 месяца назад +5

    Mapenzi ya fasheni na mama kalobo feki bwna mtaniuwa duuuh ila ndio nimewahi mauwa ya baba kalobo🎉🎉🎉🎉🎉

  • @aminahkahindi2676
    @aminahkahindi2676 3 месяца назад +3

    Naipenda sana hii movie 🎬 baba karobo mungu akubariki unaelimisha jamii songa songa mbele never give up 🎉🎉🎉❤❤❤❤ hii ikiisha utuleetee nzuru zaidi ya hiii🎉

  • @niyogushimadorine6086
    @niyogushimadorine6086 3 месяца назад +19

    Leo niko wakalibu sana 56 seconds nimesha fika batu kumi basi munipe izo link ninawapend sana❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @danielmutisya784
    @danielmutisya784 3 месяца назад +7

    Kenya tuned wapi like zake baba karobo❤

  • @FaustineMganyizi
    @FaustineMganyizi 3 месяца назад +28

    Baba Joan movie ikiwa ndefu sana itaisha utam fanya mmalize bhana muandae nyingne

  • @JoylineJeptoo-q3p
    @JoylineJeptoo-q3p 3 месяца назад +38

    Kutoka kenya🇰🇪mnipee likes ya baba karobo kuimba iyo wimbo imenikumbusha mbali❤❤❤

  • @RahemaOman
    @RahemaOman 3 месяца назад +5

    mashallah wazima wote naombeni like zangu

  • @CharityNyaboke-gv7lg
    @CharityNyaboke-gv7lg 3 месяца назад +11

    😢sasa huyu baba ataona kweli nimechoka kufutilia hii movie 😢😢nataka kuona mama karobo akiteseka ndio ikue funzo kwa wengine.sasa hapa tunajifuza Nini na baba karobo anaendelea kuteseka

  • @WwddffDdssaa-rq3xu
    @WwddffDdssaa-rq3xu 3 месяца назад +3

    Maman karobo. Kubadirika. Siorewo warakesho😂😂😂 anazidi. Kuyakanyaga. Tu. Mungu. Wabipufu simaman n'a baba karobo

  • @bonheurNimbeshaho-qy7sy
    @bonheurNimbeshaho-qy7sy 3 месяца назад +18

    Nyieeee mbona mapema na mmeshakua wengi😎😎😎mimi kutoka 🇧🇮🇧🇮🇧🇮hapa

    • @MbagalambagalaZakiem
      @MbagalambagalaZakiem 3 месяца назад

      ruclips.net/video/4BduxYtZxIk/видео.htmlsi=K0UiVaPDcl0wxkSH

  • @ZilfaNdayikunda
    @ZilfaNdayikunda 3 месяца назад +13

    Naomba Like kutoka SAUDIA🇸🇦TEAM Baba Karobo ❤

  • @VictorineKavira
    @VictorineKavira Месяц назад

    Kiboko sana maman karobo kazi nziri sana kutoka congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩👍

  • @MrUhakikaTz
    @MrUhakikaTz 3 месяца назад +14

    Mr uhakika 🇹🇿 wa kwanza from tz nipen like zangu jmn 😢

  • @kingustarboe
    @kingustarboe 3 месяца назад +13

    kingine nilichotaka kushangaa ni kwamba mama karobo anakupa nguo zako ufue wakati me sijawai kukuona ukibadilisha nguo daaah sema ndo ivo ilikua ndoto 2 naomben like zangu ❤😂😂😂😂

    • @Elizakilisipinilikolika1996
      @Elizakilisipinilikolika1996 3 месяца назад

      Sindo apa sasa mana atuja wai kumuona ana badili nguo ata siku moja❤❤❤❤😅😅😅😅😅😅😅😅

    • @sharonshaz957
      @sharonshaz957 3 месяца назад

      😂😂😂😂😂 umefanya nicheke sana 🤣

  • @Andjelanisuzzy
    @Andjelanisuzzy 3 месяца назад +16

    Wa kwanza leooo naombeni like 😂❤

  • @ConsessaNiBiZi
    @ConsessaNiBiZi 3 месяца назад +22

    Wakwanza toka Burundi naomba like zangu

  • @nassoraly5296
    @nassoraly5296 3 месяца назад +24

    Wa Kwanzaa naomben like

  • @OmaryOscar-o9d
    @OmaryOscar-o9d 3 месяца назад +3

    Kweri ni haki yako baba karobo kwa mwezi ulio pitaa kuongozaa kwa kuw na watazamaji wengiii milion 10 hakika unapambnaa wanao mkubali gonga like hapa🎉🎉🎉

  • @janethmshahara4048
    @janethmshahara4048 3 месяца назад +10

    Wakwanza Leo nmekukimbilia wewe bwana mungu nipe uvumilivu

  • @sharobarowcb5251
    @sharobarowcb5251 3 месяца назад +3

    Jamani nimemmic patronize kitambo sana, kama nawe umemmic dogo Gonga like apo tujuane, by Sharo nikiwa Lusaka zambia 🇿🇲

  • @Aziza..Shaban
    @Aziza..Shaban 3 месяца назад +1

    Jamani hongera sana baba karobo na wenzako. Kazi njema. Mungu awazidishie umaarufu❤❤

  • @Bonh2herbert45
    @Bonh2herbert45 3 месяца назад +5

    Wakwanza kutoka drc 🎉🎉❤❤ baba Joan 🙏🙏

  • @nalundjamubalama9979
    @nalundjamubalama9979 3 месяца назад +9

    Naomba like zangu, Congo was kwanza

  • @kinanaissango3492
    @kinanaissango3492 3 месяца назад +5

    Kibanio unaleta uhalisia na unapendeza zaidi ukitoa wigi ,, na ukiendelea na kuacha kichwa Kwa style ya kunyoa utajitambulisha vema ww binafsi ktk tathnia ya uigizaji ,,

    • @MbagalambagalaZakiem
      @MbagalambagalaZakiem 3 месяца назад

      ruclips.net/video/4BduxYtZxIk/видео.htmlsi=K0UiVaPDcl0wxkSH

  • @DgfdgfDgff
    @DgfdgfDgff 3 месяца назад

    Ety yule kipofu hajakuona😢😢mama karobo mungu anakuona!!!!!

  • @PatrickNdayongeje
    @PatrickNdayongeje 3 месяца назад +19

    Nipo baba kalobo

  • @muulwacarlos
    @muulwacarlos 3 месяца назад +1

    wakwanza kutoka Congo DRC 🇨🇩 kazi nzuri sana baba karobo hizi movie ninzuri sanaa

  • @raphaelnambombi3709
    @raphaelnambombi3709 3 месяца назад +6

    Hii sehemu ya mama karobo na fasheni kwenda kwa mganga mmeirefusha sana bila sababu

  • @saudianew2045
    @saudianew2045 3 месяца назад +3

    Doko yupo 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉nmefurahi kukuona twende nalo mpaka mwisho movie yazidi kipendeza❤❤❤❤

  • @SaidAmourAdeyoum
    @SaidAmourAdeyoum 3 месяца назад +4

    Hii muvi nzuri sana lkini hii kuamini mambo ya nguvu za kiza ni hatari

  • @AminaahJj
    @AminaahJj 3 месяца назад +2

    Mnachelewa kupost😢😢 mpka nkakata tamaa za kuona Baba karobo akipoana

  • @Mercyblessingsopo
    @Mercyblessingsopo 3 месяца назад +6

    Hii minimkenya napeda sana muvi zenyu mwendele ivo kutu changamsha

  • @DelvinChepkorir-t1d
    @DelvinChepkorir-t1d 3 месяца назад +3

    Hope next Sasa baba Karobo ataona🎉🎉❤❤kazi nzuri wapambanaji wa baba Karobo

  • @Gracenelima254
    @Gracenelima254 3 месяца назад +12

    Mimi wa kwansa kutoka Jordan 🇯🇴 wapi love ya baba karobo 🎉❤❤❤❤

  • @djothaniel254.
    @djothaniel254. 3 месяца назад +11

    Wakwanza from Kenya wapi likes zangu

  • @MichouChalome
    @MichouChalome 3 месяца назад +5

    Mama kalobo na beby wake wana kazi yagu shahu liana ujinga tu kalobo na gupenda bule from BURUNDI

  • @ElietBeatus
    @ElietBeatus 3 месяца назад +6

    Baba kalobo Toka anze muv ata kubadilisha nguo jamani kweli atakama kipofu kama unakubali iro gonga like

    • @HarunaHaule
      @HarunaHaule 3 месяца назад

      Alibadili siku moja alipewa tisheti na dada ake

    • @ElietBeatus
      @ElietBeatus 3 месяца назад

      @@HarunaHaule mi sijawai ata muona

    • @adelinaomani9012
      @adelinaomani9012 3 месяца назад

      Naakanyanganywa ​@@HarunaHaule

    • @amelinamwaduga9724
      @amelinamwaduga9724 2 месяца назад

      Me niliuliza humu nguo haibadiliki

  • @sadcome3213mapenzi
    @sadcome3213mapenzi 3 месяца назад +11

    Bwakwanza ku like wa kwanza ku comment ❤❤❤ like zangu hapa wa kenya

  • @MaduaDeusi-d9u
    @MaduaDeusi-d9u 3 месяца назад +6

    Na mimi sijachelewa baba kalobo naombeni like 😂😂🎉🎉❤🎉😂

  • @ChristineMaloba-hk9je
    @ChristineMaloba-hk9je 3 месяца назад +3

    Kazi nzuri sana baba joan hongera much love from Kenya 🇰🇪 😊🎉

  • @rehemambingi7180
    @rehemambingi7180 3 месяца назад +2

    Mimi 3 timu baba kalobo❤

  • @JustineSilukala-io3nd
    @JustineSilukala-io3nd 3 месяца назад +13

    Bigapu sana baba joan
    Tumpe like zake na komenti zake baba joan

  • @JosephMtukufu-h1b
    @JosephMtukufu-h1b 3 месяца назад +5

    Mnazingua mizunguko ming move hata haiishi Dah!😂😂

  • @NoorynMody
    @NoorynMody 3 месяца назад +17

    Yeyote atakae soma msg na ku like Mwenyez Mungu amlinde zidi ma maadui wanao muandama na amtimizie majambo yke anayo muomba kirasiku Ameen ❤

    • @moreenfelluzy3243
      @moreenfelluzy3243 3 месяца назад

      Amina mung akubalik pia pia baby 🙏🙏🙏🙏🙏😒💗❤️🌹

    • @KachaMan-s9s
      @KachaMan-s9s 3 месяца назад

      😂❤😂❤

    • @emmanueljohnthankslord1411
      @emmanueljohnthankslord1411 3 месяца назад

      Amini katika kristo kwamba alikufa kwa dhambi zako ndipo roho wa Mungu atakuwa ndani yako hivyo hakuna baraka zozote utazipata kwa mtu kukwambia ugonge like acheni ufala

    • @laddyfaida
      @laddyfaida 3 месяца назад

      🙏🙏🙏🙏

  • @RahmaRashidi-ih9tk
    @RahmaRashidi-ih9tk 3 месяца назад +1

    Karobo.uko.vizuri.mtoto.unajua.sana

  • @YusraSiyaleo-yk2fz
    @YusraSiyaleo-yk2fz 3 месяца назад +13

    Na mm nimewah ndio kwanza dakika ya 8 kama unaamin baba karobo soon anapona gonga like hapa tujuane na tunaoamin mama karobo anakuwa.kipofu gonga like hapa 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @thomasyuda4010
    @thomasyuda4010 3 месяца назад +2

    Baba Joan tamthilia ni nzur ila mapungufu ni munawek safari ndefu ya watu mfano fashoni anaend kwa mganga mnachukua muda mwingi kuonyesha safari,jaribu kubuni njia ya kufupisha hayo watu wasiborrke

  • @MrEdu47-yj2vs
    @MrEdu47-yj2vs 3 месяца назад +5

    Kenya 🇰🇪 wapi likes 👍 zangu tunakupenda sana baba Joan 🙏 ❤❤❤ mungu akubariki 🎉🎉🎉❤

  • @Gsh-ov2ut
    @Gsh-ov2ut 3 месяца назад +1

    Weeee nimeruhi Sana kumuona Doko kwenye baba karobo love you ❤❤❤❤from Kenya

  • @GideonKidege
    @GideonKidege 3 месяца назад +2

    Moyo WA baba karobo umenisika sana,,,kuwa mvumilivu Kwa maisha ndio Salio kamili

  • @situmaiseremani-t1c
    @situmaiseremani-t1c 3 месяца назад +1

    Safiiiii sana Baba kaloboo lete vituuu kaka

  • @kingustarboe
    @kingustarboe 3 месяца назад +4

    baba karobo huo wimbo umenigusa aisee Mungu nipe uvumilivu 🙏🙏🙏

    • @MbagalambagalaZakiem
      @MbagalambagalaZakiem 3 месяца назад

      ruclips.net/video/4BduxYtZxIk/видео.htmlsi=K0UiVaPDcl0wxkSH

  • @shammahkanyamahoro2747
    @shammahkanyamahoro2747 3 месяца назад +1

    Daah wanao wacht tukiwa Johannesburg basi tujuwane ila doko kama dokoo😂😂

  • @JohariHasham
    @JohariHasham 3 месяца назад +3

    Kwa kweri nukti ni msaliti hata hafurahie Na mawazo yenu jamani sijapenda 😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @furahakalyfurahakaly4901
    @furahakalyfurahakaly4901 3 месяца назад +1

    Hofwii hadi roho yaenda mbio mama karobo Kula chuma ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🇰🇪🇰🇪

  • @jonasamos555
    @jonasamos555 3 месяца назад +6

    Nipo serous sana, nataka kuoa zugyat au kibanio
    Posa ni like zenu

    • @ALICIAEMILLY-b8j
      @ALICIAEMILLY-b8j 3 месяца назад

      Oa mama karobo

    • @SaleheMwambiki
      @SaleheMwambiki 3 месяца назад

      ​@@ALICIAEMILLY-b8jkwakweli aoe mama karobo

    • @jonasamos555
      @jonasamos555 3 месяца назад

      @@ALICIAEMILLY-b8j alkhuuuuuu sisithubutu huyu mbali na kuigiza ana mdomo sana

  • @JosephKatana-xi3fk
    @JosephKatana-xi3fk 3 месяца назад +1

    Team Kenya mupo, nipee likes tukisonga jamani, Kongole Baba Joan kwa ubunifu wako

  • @Keziaingabire
    @Keziaingabire 3 месяца назад +4

    haiwezi kuwa kirahisi hivyo na kwa sababu kati yao kuna msaliti mmoja anaweza kupiga yoyo na mama karobo akawaangalia nyuma na akakimbia❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉😊😊😊😊😅😅😅😅

  • @PatientKilunga-vv7lm
    @PatientKilunga-vv7lm 3 месяца назад +2

    Kwa Nini munarefusha ivi sana mutoshe filamu ingine izi tuna choka sana munakawiya sana na zaidi baba yangu kipofu

    • @MbagalambagalaZakiem
      @MbagalambagalaZakiem 3 месяца назад

      ruclips.net/video/4BduxYtZxIk/видео.htmlsi=K0UiVaPDcl0wxkSH

    • @nurafedrick378
      @nurafedrick378 3 месяца назад

      Jamani mm nataka isishee kanbisa ifike hata mia mbona sawa

  • @NeemaMzur
    @NeemaMzur 3 месяца назад +10

    Mungu atujaalie baraka na uzima wote tunafatilia muvi hiiiii❤❤

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 месяца назад +1

    Karobo nimekupenda buree umemuambia babayako uchafuu wamamayako..
    Nahawa niwachawi kweli kotee huku mnaenda kuroga namnachokiroga mlikiroga lkn bado mnataka kumtoa rohoo

  • @Emilymama2boys
    @Emilymama2boys 3 месяца назад +13

    Waaah alafu uyu Nukti uyu nimemchukia sana mkiumona mwambieni

  • @loreenmwambinguloreen7373
    @loreenmwambinguloreen7373 3 месяца назад +1

    😭😭😭😭sijapenda juu nyie wote mwaenda kwa waganga

  • @rizikishukuru7490
    @rizikishukuru7490 3 месяца назад +4

    Noma San nipeni like zangu sijachelewa Sana kazi nzuri San 🔥🔥🔥💯

  • @Irenemwesa-k7y
    @Irenemwesa-k7y 3 месяца назад +2

    Jamani jitaidini kuzitowaa nimezipenda sana movie yenu

    • @Irenemwesa-k7y
      @Irenemwesa-k7y 3 месяца назад +1

      Mwisho ngapi ya bab yang kipofu daar baba, na mtot wana uvumilivu sana

  • @EshaomarmfaumeMfaume
    @EshaomarmfaumeMfaume 3 месяца назад +9

    Nipeni likes zangu kwa mnaemkubali baba karobo kutoka Taif team strong mnaemkubali

  • @glorialumonya
    @glorialumonya 3 месяца назад +1

    Hogera baba karobo tunakupenda wakenyaaa

  • @nadhiruomar699
    @nadhiruomar699 3 месяца назад +3

    Kaka nakusikia ukitaja shule wala hatujawahi kuona shule na Leo umetuonesha nguwo ufuwe wakati tunakuona unavaa nguwo moja Kila kipindi kaka lakin kazi yako nzuri na unatupa kwa wakati shukran brother ❤

  • @BrendaKenzie
    @BrendaKenzie 3 месяца назад +2

    Wow ni nzuri sana❤❤🎉🎉

  • @CruzMelody
    @CruzMelody 3 месяца назад +21

    Wakwanza from kenya mnipe like zangu plz

    • @SifaMasamba-rq6ee
      @SifaMasamba-rq6ee 3 месяца назад

      Unadaganya wewe Mimi donabamoja

    • @MaimunaLugua-tf7vh
      @MaimunaLugua-tf7vh 3 месяца назад +1

      Baba joan kazi zako nzuri Sana katika maishani mwangu najifunza kitu kutokana na uigizaji wenu Ewe Mwenyezi MUNGU bariki kazi za babajoan team wape nguvu wasishindwe daima nawapenda nyote salamu zangu ziwafikie nyote from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @IrenePeter-o7h
      @IrenePeter-o7h 3 месяца назад +1

      🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @RobinsonMuthomi-w6b
    @RobinsonMuthomi-w6b Месяц назад +1

    Kipindi cha ridhisha na kina mafunzo kweli kweli baba Joan twakuunga mkono

  • @OmaryOscar-o9d
    @OmaryOscar-o9d 3 месяца назад +106

    Kweri ni haki yako baba karobo kwa mwezi ulio pitaa kuongozaa kwa kuw na watazamaji wengiii milion 10 hakika unapambnaa wanao mkubali gonga like hapa🎉🎉🎉

  • @mohamedlopa8410
    @mohamedlopa8410 3 месяца назад +2

    REHMA NA AMAN ZIMFIKIE YEYOTE ATAKAYESOMA HII COMENT UWE NA SIKU NJEMA INSHALAAAA🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲

  • @NeemaGairo
    @NeemaGairo 3 месяца назад

    Hongela baba kalobo❤❤❤