SNAKE BOY | ep 37 | SEASON TWO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 янв 2025

Комментарии • 3,1 тыс.

  • @maryamsylivester8662
    @maryamsylivester8662 4 месяца назад +255

    Kama tu Umefanikiwa kuiyona episode hii ya 37 basi jua Mungu anakupenda sana usisahau kumshukuru na kufanya ibada kuwaombea wasiojiweza taabani na hata walioondokea na wapendwa wao waliowapenda sana
    Tambua Mungu anakupenda sana na yote aliyokupangia yatatimia kwa wakati sahihi
    All the best team SNAKE BOY 💪💪💪❤️🔥

  • @AgostinhocosmeNambanga
    @AgostinhocosmeNambanga 4 месяца назад +499

    Toka niaze kuangalia snake boy sijawahi pata like but today japo 20 from Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @alhimnamussasaid3619
    @alhimnamussasaid3619 4 месяца назад +20

    Walio furahia kumuona mfaume nguvu zimeisha piga makofi gonga 👍 ❤

  • @qaseemayoub6758
    @qaseemayoub6758 4 месяца назад +258

    Tusisahau kuswal na kutii maagizo ya mungu

  • @shabanimkongo2555
    @shabanimkongo2555 4 месяца назад +144

    Sema huyu tanu ameupiga Mwingi Sana Maana kwa namna moja au nyingine naweza sema yeye ndo kamrudisha snakeboy, Likes zenu km na nyie mmeliona hili

  • @mrjazy-karim1012
    @mrjazy-karim1012 4 месяца назад +31

    Nani ambae amechekeshwa na kipande cha kubadilishwa bubu wambea wetu wa himaya ya nzoya😂🤣😂😅😆😃😃😂😂

  • @salumualoyce5620
    @salumualoyce5620 4 месяца назад +175

    Hii adhabu aliyopewa Kipara na mwenzake Sengo ni nzuri sana na walipaswa kuipata toka kitambo. Wanaume gan wanakuwa wambea kama watoto wakike mamae. Halafu Kipara akiulizwa eti anasema alishindwa kuvumilia.

    • @ArafatAbdallah-f3b
      @ArafatAbdallah-f3b 4 месяца назад +2

      Kweli kabisa 😂😂

    • @anniesylivester4100
      @anniesylivester4100 4 месяца назад +3

      😂😂😂😂😂

    • @Amidaqueen-p9l
      @Amidaqueen-p9l 4 месяца назад +3

      Leo kime walamba na bado hawaja koma tu 😂😂😂😂😂

    • @HudhaimaYussuf
      @HudhaimaYussuf 4 месяца назад +4

      Mmbea hashindwi atasema kwa ishara 😂😂😂😂😂

    • @cristaezekiel1036
      @cristaezekiel1036 4 месяца назад +2

      😂😂😂😂😂😂Alishindwa kuvumilia 😂😂😂😂😂

  • @mmm-pe3lr
    @mmm-pe3lr 4 месяца назад +85

    Na iwe funzo kwa wambeya wote😂😂

    • @denicerobert9626
      @denicerobert9626 4 месяца назад

      Nimefrai mpaka bc akuna kupeleka umbea Kwa malikia Wala Kwa faume😂😂😂

    • @Samzedy
      @Samzedy 4 месяца назад

      😂😂😂😂😂

    • @Superstartv111
      @Superstartv111 4 месяца назад

      ruclips.net/video/NNV3W8-nVgI/видео.html

  • @Elizakilisipinilikolika1996
    @Elizakilisipinilikolika1996 4 месяца назад +25

    Jaman nimefuraha sana leo kua mfaume kutokua nanguvu tena mana alikua ana linga sana mana kidogo tu ana geuka nyoka na kumeza wezie sasa leo kime mlamba jaman pia nimefurahi pia kua wana kipara kua bubu na mweziye pia nakupenda sana vira na bira kusaau tanu nakupenda sana umeupiga mungi sana mana una jua adi una Kela nakupenda sana 💋💕💕💕💕💕💕💕💕💕

    • @Superstartv111
      @Superstartv111 4 месяца назад

      ruclips.net/video/NNV3W8-nVgI/видео.html

  • @robertokibingo
    @robertokibingo 4 месяца назад +36

    I always say, you are the best movie in Tanzania (number 1) whoever doesn't accept it looks for his Tanzania

  • @ahmedngolenga
    @ahmedngolenga 4 месяца назад +34

    Leo nime wayi ki ukwili ila acha ni wa pongez kwa kazi kubwa munayo ifanya. Big up team clam vevo. Mungu mbele sisi nyuma

  • @SÙAREZMAHANGOBYAOMBE
    @SÙAREZMAHANGOBYAOMBE 4 месяца назад +14

    Bwana yesu asifiwe ,napendelea kutoa pongezi zangu kwa team mzima ya Clam vevo ,hio nikazi ambayo tunatarajiya kuhona kutoka kwa Clam maana ndiye msanii mkubwa sasa Tanzania katika filam. ila Tanu Tanu Tanu wewe kiukweli umecheza huusika wako❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @ramazan1628
    @ramazan1628 4 месяца назад +83

    Asante mungu atimaaye kipala kawa bubu gonga laikkiiii kwa tulio fullai 😂😂😂❤❤

  • @nahimanabella2478
    @nahimanabella2478 4 месяца назад +32

    Clam clam kazi nzuri hivi nisawa maana haukawizi tena
    Ila fanya sasa umalize hiii tunaitaji ingine mouvie after snack boy. Love you froom belgium❤❤❤❤❤❤

  • @gracekiwelu9123
    @gracekiwelu9123 4 месяца назад +8

    Tuliofurahi mfaume kupigwa tujuaneeeee😂😂😂😂

  • @MkasyswallehsaidSwalleh
    @MkasyswallehsaidSwalleh 4 месяца назад +26

    Wambea waili wmepatana ktka safari yao ya ububuni sivyo wnafurahisha htr😂😂😂😂ntanzi alhamdhulillah kwa kurejea uwaokoe wna himaya ...ngoma nzr na mmependeza mnavyoicheza hongereni 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤

  • @SarahCharls
    @SarahCharls 4 месяца назад +31

    😂😂😂😂vila nakupenda saaana me naomba nguv zako zirud mala dufu kakoso pia Mungu akubariki sana

  • @tabithamutisya6664
    @tabithamutisya6664 4 месяца назад +10

    Wow! Ama kweli nimemkubali Tanu kwa usaliti wake big up broo.....fahume kwishaa hatimaye kijiji chafurahi....hongereni sana

  • @EswatinNizzy
    @EswatinNizzy 4 месяца назад +63

    😂oiii tanu we mwanet unaua balaaa 😂

    • @beatriceMbanzi
      @beatriceMbanzi 4 месяца назад

      aisee anaupiga mwing maua yake kwakwel

  • @frankvianey2438
    @frankvianey2438 4 месяца назад +206

    Waliofurahi kumuona bhailam akijiunga na team ya snake Boy wagonge like hapa

  • @OthumankibabiKocho
    @OthumankibabiKocho 4 месяца назад +5

    Direct kakoso auna kazi mbovu🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @mustafaseif3586
    @mustafaseif3586 4 месяца назад +31

    Kaz nzur sana mpo vizur sana clam mungu akupe afya njema

  • @MsomaliBeka
    @MsomaliBeka 4 месяца назад +61

    Hivi tanu ataupata uongozi anao upambania kweli..? Acha tungoje ep38 ❤ hongera clam vevo kwa movie nzuri 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

    • @omarijuma9022
      @omarijuma9022 3 месяца назад +1

      Nimeiona thelathini na nane

    • @omarijuma9022
      @omarijuma9022 3 месяца назад +1

      Jamani clam vevo amekuwa snake boy tupige makofi natueke like hapo

    • @CatherineKihaka
      @CatherineKihaka 3 месяца назад

      Naomba likes zenu jmn

  • @Prince_Jr-Tz
    @Prince_Jr-Tz 4 месяца назад +7

    Faume umejua kunichekesha Sanaa leo

  • @mlongomlongo6680
    @mlongomlongo6680 4 месяца назад +109

    Hatimaye wambea leo wamekomeshwa team hamamu let's gather here watching from Iraq 😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @RizikiDjuma-j4c
    @RizikiDjuma-j4c 4 месяца назад +76

    Nimechelewa sana ata liké moja vevo kutoka Congo RDC 🇨🇩
    Kamituga ✍️

  • @gogoloveofficial5666
    @gogoloveofficial5666 3 месяца назад +2

    Nawapenda sana wa tanzania njinsi munashirikiana.ongela sana VEVO

  • @TuyajengeYaishe-q8v
    @TuyajengeYaishe-q8v 4 месяца назад +26

    Bhailam nakutafta kila kona jamaa uko vzr sana najifunza mengi kwako

  • @elvinhodasultan7976
    @elvinhodasultan7976 4 месяца назад +25

    Tanu the master planner aki napenda kazi yako sana maana umempiga tatu bila Faume😂😂😂

  • @TreasureMagumba
    @TreasureMagumba 4 месяца назад +2

    Uwiiiii naisubiri 38 kwa hamu Sana sio kwa utamu huu🎉🎉🎉🎉🎉 king vevo king snake na team yooote chukueni maua yenu

  • @andylubega1537
    @andylubega1537 4 месяца назад +31

    Lakini tano (5) amefanya kazi kubwa sana kuludisha nguvu zantanzi me nmefulai sana 💪💪 am in ugandan

    • @ShamsiMbago-n2q
      @ShamsiMbago-n2q 4 месяца назад +1

      Anaitwa Tanu 😅Au Tanu yuda msalit 😂😂

  • @SelinaDorcas
    @SelinaDorcas 4 месяца назад +16

    Mashalla mungu akuzidishie clam vevo na akupanulie zaid

  • @JustinKjs-z5x
    @JustinKjs-z5x 4 месяца назад +8

    Aaaaweee...
    Mamaweeeee.....😂😂😂
    Kama na ww umefurahishwa iyo fasi gonga like apa from 🇨🇩🇨🇩

    • @khadijaseif7052
      @khadijaseif7052 4 месяца назад +1

      Nimecheka sana leo na mfaume 😂😂😂😂

  • @emmykadenyi7977
    @emmykadenyi7977 4 месяца назад +41

    Kuanzia snake boy ianze hakuna siku niliyofurahia kama Leo kumuona mtanzi amebadilika nyoka na kmmeza malkia na chief wa nyoka kutobadilika nyoka tena 👏👏 8🎉🎉🎉❤

  • @Ammary-
    @Ammary- 4 месяца назад +44

    Tunapita nayo inshallah mungu akubaliki kaka clam na wenzio wote nasi mola awe nasi

  • @winfrida-kx9bj
    @winfrida-kx9bj 4 месяца назад +5

    😂😂😂😂😂 chifu umejua kunichekesha awe mama we

  • @BannieTheJewell
    @BannieTheJewell 4 месяца назад +69

    Ila kama Kuna Mtu namkubali Sana ni Tanu... Mzee Ana mipango 😂😂😂😂

  • @HafswaKhalfan
    @HafswaKhalfan 4 месяца назад +41

    Nimefurah sana kuona ntanzi kurudi kua mkombozi😂😂😂

  • @RashidOmary-c4g
    @RashidOmary-c4g 4 месяца назад +3

    Asanteni,sana ndugu zangu ote mlio wahi na mliyo cherewa hongereni san.mungu awajalie ote tuzidi kuombeana mema

  • @rahmaissa1941
    @rahmaissa1941 4 месяца назад +17

    🎉🎉🎉❤ congratulations team clam vevoo Leo part ya Leo ni moto 🔥🔥na inafurahisha sana

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 4 месяца назад +34

    Huyo Tanu kaigiza vizuri sana

  • @OsmanSharif-n3o
    @OsmanSharif-n3o 4 месяца назад +21

    Daah yaani kipara amewacha kupeleka umbea kwa malkia ame enda makao makuu kwa chifu kupeleka umbea 😂

    • @Neykids
      @Neykids 3 месяца назад

      Kishamlambaaa tayr

  • @ByronRond
    @ByronRond 4 месяца назад +84

    Muvi nzuri sana hii kama unaikubali gonga like apa😂😂😂

  • @AindremeShena
    @AindremeShena 4 месяца назад +44

    Kwakumufanya kipara kuwa bubu' apo napenda sana 😂😂😂,alikuwa nazinguwa sana naumbeya ❤❤😂😂🎉🎉

    • @Superstartv111
      @Superstartv111 4 месяца назад

      ruclips.net/video/NNV3W8-nVgI/видео.html

  • @sarahjidiku
    @sarahjidiku 4 месяца назад +3

    Mi, mi, mi mwenyewe sijui😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @abaismailhatibu
    @abaismailhatibu 4 месяца назад +55

    Asslm alykum tokea nianz leo tu naomben like maan tokea nianz kuifatilia hii snake boy inshallah pia Namuomba allah atupe mwish mwema ameeeeeeeen

  • @NeemajacobMilanzi
    @NeemajacobMilanzi 4 месяца назад +24

    waooooh hatimae mtanzi amelud kua nyokaaaa penda sana snake boy

  • @shafiilauka-uj3dn
    @shafiilauka-uj3dn 4 месяца назад +1

    #.zengo anatia huruma sana mara ya pili kawa bubu.#😮😮

  • @BimoIbraimo
    @BimoIbraimo 4 месяца назад +17

    Asante sana clam vevo Yani ni kazi juu ya kazi

  • @MiryamSleiman
    @MiryamSleiman 4 месяца назад +63

    Jaman naomben na Mimi like bs ata sku moja hamjawah kunipa from dubai 😢

    • @ghismelodie
      @ghismelodie 4 месяца назад +1

      Pokea tupo wote hapo hapo

  • @fatuma-fg9en
    @fatuma-fg9en 4 месяца назад +5

    Move tamu jamani siku zote si comment lkn leo imenibidi bwana ntanzi hongera Ila faume umeyakanyaga

  • @AngelBreezy-n3b
    @AngelBreezy-n3b 4 месяца назад +12

    Kazi nzuri sana Kila nikiiangalia hii movie Kuna kitu najifunza kimaisha big up San kaka clam🎉🎉

  • @sivaboycm6633
    @sivaboycm6633 4 месяца назад +20

    Mbona kama iyo kali san makoko 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀

  • @hawandayishimiye80
    @hawandayishimiye80 3 месяца назад +1

    Aaaaaaaa Léo nafurahi mno jameni moyo unadunda kabisaaa eeeh vevo cukua mauwa yako🌹🌹🌹🌹🇧🇮

  • @AhmadiMkata
    @AhmadiMkata 4 месяца назад +23

    Wakwanza Leo team clam weka like hapa
    Mambo n fire ❤️❤️🎉🎉🔥🔥🔥

  • @Pascal-q2x
    @Pascal-q2x 4 месяца назад +38

    Nipo wakwaza Kaka clam kazi zuri tangu APA 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 Kolwezi

  • @shamumarashidi3401
    @shamumarashidi3401 4 месяца назад +3

    Faume kama faume kimemramba bhana😹😹😹,,na huyo kipara na kikono afadhal maana wamezidi upekupeku😂😂

  • @AmneHabshy
    @AmneHabshy 4 месяца назад +19

    Kazi nzuri sn leo nimecheka kidogo wambea wetu wameezwa😂😂😂😂

    • @IRENELYAKURWA
      @IRENELYAKURWA 4 месяца назад

      😅😅😅😅😅 kdg nizimie aky nmecheka kwa saut

    • @AmneHabshy
      @AmneHabshy 4 месяца назад

      @@IRENELYAKURWA sengo na kipara wamenimaliza sisemi sn nime rudia hio part mara kadhaa😆😆😆😆😆😆

  • @JullianaEmmanuel-tm5xg
    @JullianaEmmanuel-tm5xg 4 месяца назад +21

    Nan kamuona Faume, et mama wee ,mama wee,

  • @saumumwakufwairwa378
    @saumumwakufwairwa378 4 месяца назад +2

    Clam Vevo maua yako🎉❤🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹

  • @Djikondj-on4le
    @Djikondj-on4le 4 месяца назад +468

    ni nani anaye penda kipala kuwa bubu nipeni like zake🎉🎉🎉

    • @pientopanadol1538
      @pientopanadol1538 4 месяца назад +5

      😂😂😂😂😊

    • @GenovevaIbrahim-de2nc
      @GenovevaIbrahim-de2nc 4 месяца назад +7

      Kwakeli Siri zetu zitatunzwa sasa😂😂😂😂

    • @ZuhOg
      @ZuhOg 4 месяца назад +3

      Mm nimefurah 😂😂 sana tena sanaaaa jamanii

    • @nyamokizainabu205
      @nyamokizainabu205 4 месяца назад +3

      😂😂😂😂Yani nmefurahi zaidi ya sana

    • @kenyaabdul6781
      @kenyaabdul6781 4 месяца назад +1

      😅😅😅😅 walahi nyinyi .

  • @Vincent0piyo-dc1qw
    @Vincent0piyo-dc1qw 4 месяца назад +40

    Team Gen Z tupo pamoja na Clam vevo...Kenya tunasema....Tunaanguka na SNAKE BOY vile inafaa

    • @lilvostyke785
      @lilvostyke785 4 месяца назад

      Tushaskia😂🇰🇪🇰🇪

  • @GloriaMtana
    @GloriaMtana 4 месяца назад +2

    Nimefulahi sana kwa kwel kumuona ntanzi kuwa nyoka❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @judithpendo9985
    @judithpendo9985 4 месяца назад +523

    Assalamualaikum ndugu zangu waslam wakristo bwana yesu asifiwe mbarikiwe mliofanikiwa kuwa wa kwanza ambao nao mmechelewa nawapenda saaana nikiwa team strong hoyeeeeeeeeee 🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇰🇪🇰🇪❤️❤️❤️❣️❣️❣️❣️💫💫💫💫like please

  • @hamidumpande5509
    @hamidumpande5509 4 месяца назад +28

    Tupo hapa mapema tyu goma lina ishia tyu hongera sana chuma juu ya chuma

  • @IbraahKongwizi
    @IbraahKongwizi 4 месяца назад +2

    Nîmes kuwa wamwisho nipe liké ata 100🎉🎉🎉🎉

  • @fundiseif1096
    @fundiseif1096 4 месяца назад +21

    Snake boy 🐍 inazidi kupamba moto 🔥🔥🔥👍

    • @AsminKache
      @AsminKache 4 месяца назад +1

      Imepamba Moto ila ndo yaelekea mwisho ivo

  • @NadzuaMrema
    @NadzuaMrema 4 месяца назад +8

    Clam vevo my favourite actor ❤ Allah akujalie kwa kipaji chako inshaallah ❤

  • @Prince_Jr-Tz
    @Prince_Jr-Tz 4 месяца назад +3

    Movie ya kumalizia mwaka hii ❤❤❤😂😂

  • @brokaofficial
    @brokaofficial 4 месяца назад +21

    Narudia kusema kipara apawe mume aolewe😅😅 amezidi umbea kubadili nguo aah

    • @TausRaj
      @TausRaj 4 месяца назад

      Kheee 😂😂😂😂😂😂

    • @brokaofficial
      @brokaofficial 4 месяца назад

      @@TausRaj 😄

    • @beautifulafrica6886
      @beautifulafrica6886 Месяц назад

      😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂

  • @JohnaliMabruki
    @JohnaliMabruki 4 месяца назад +21

    Clam wewe niatari mzee baba aisée 😢😢😢 yaani unafanya kitu kikubwa mno
    Bahl kali wngu 😮😮😮

  • @doublehenterprise2906
    @doublehenterprise2906 4 месяца назад +2

    Eti baba Mimi nina fanana na umbea 😂😂😂😂

  • @MbalasaJRMwakabalile
    @MbalasaJRMwakabalile 4 месяца назад +18

    Daaah kitu kinachoniuma moyo na kunipa presha nikwamba 2080 wote tunaoandika sms saiv tutakuwa tumekufa😢😢😢😢 naogopa mm jmn

  • @IklaatzIklaatz
    @IklaatzIklaatz 4 месяца назад +10

    Duuu leo mm wa kwaza iklaa tz mwamba

  • @Innocentfilm
    @Innocentfilm 4 месяца назад +2

    Kazi ni djema . Heri mwisho kweli

  • @rizikladyherson8451
    @rizikladyherson8451 4 месяца назад +9

    Sikupenda huyo kijana kuuliwa n villa heri angejielezea

  • @annayambayamba8614
    @annayambayamba8614 4 месяца назад +58

    Mimi niwa tano kutokea swideni please naomba like ata mia kwangu inatosha maan toka nianze kuangalia hii movie sijapata ata liki ❤❤❤🎉🎉🎉🎉

    • @NyapambaSadokiSango
      @NyapambaSadokiSango 4 месяца назад +3

      Zinawasaidiaga nn hizo like

    • @Amidaqueen-p9l
      @Amidaqueen-p9l 4 месяца назад +1

      @@NyapambaSadokiSangome pia najiulizaga ayo ma swali 😅😅

    • @Clamcris-y
      @Clamcris-y 4 месяца назад

      ​@@Amidaqueen-p9l❤

  • @IvonaRutha
    @IvonaRutha 4 месяца назад +2

    Aweeee mama wee😅 jamn kazi nzurii sanaa

  • @hamzaIlunga
    @hamzaIlunga 4 месяца назад +12

    From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲 unajuwa kazi Kaka mkubwa tupia like zangu apo atakama nimechelewa kidogo team vevo

  • @RashidHassan-gi5pe
    @RashidHassan-gi5pe 4 месяца назад +10

    Nimefurahi sana Ntanzi kurudi faume kwisha khabari yake

  • @ShamiriNjiku
    @ShamiriNjiku 4 месяца назад +2

    Napenda kipara nibubu mbye aliesomea

  • @salimusaid304
    @salimusaid304 4 месяца назад +10

    Hongera snaaa kwa KAZI nzuri

  • @KhadijaG-rm8fu
    @KhadijaG-rm8fu 4 месяца назад +17

    Kakoso anahitaji pongezi kaipambania sana himaya ya nzita

  • @MpokiDonard
    @MpokiDonard 3 месяца назад +1

    Aiseee tuliofulahishwa na mfaume kubaki Kapa na bila kusahau wambeya wa himaya ya nzoya kuwa bubu 😂😂😂😂tujuane kwenye likes😂 SNAKE BOY TEAM🔥🔥👉

  • @NasriRamadhani-po1lz
    @NasriRamadhani-po1lz 4 месяца назад +15

    Husan ndani ya nyumba

  • @Venus_dm9
    @Venus_dm9 4 месяца назад +13

    😂 ila watu kwa kuwai

  • @aryababe-yl1fc
    @aryababe-yl1fc 4 месяца назад +1

    😂😂😂😂iwe funzo kwa wambea wengine

  • @kanwarpreetsingh5993
    @kanwarpreetsingh5993 4 месяца назад +15

    Tanu ndo msaliti pekee aliyefanikiwa kucheza na akili za wengi

  • @NeybOfficial-bu5ff
    @NeybOfficial-bu5ff 4 месяца назад +12

    Hatar san kazi nzur ❤❤❤

  • @zanzibarfin5789
    @zanzibarfin5789 4 месяца назад +1

    Nzuri sana inapendeza na kusisi mua. Hongerani sana.

  • @dastopadady2402
    @dastopadady2402 4 месяца назад +9

    Mfaume watowe vibalaka wako kasivyo nitaanza kumuuwa mumoja baada ya mwingine🎉

  • @lucymbuma681
    @lucymbuma681 4 месяца назад +11

    Mbavu zangu hawa wambeya wamepatwa na Nini jmn ni macho yanguu au???? Kazi zuri sanaaa clam❤❤❤

  • @husseinhemedi9314
    @husseinhemedi9314 4 месяца назад +2

    Mungu ni mkubwa naww pia umefanikiwa kuiona leo shukur sana maana wapo wengi walioshindwa kuiona leo

  • @ferouzmasoud3104
    @ferouzmasoud3104 4 месяца назад +16

    Hongera yenu waingizaji wote mnajuwana sanaaa ❤ Nyinyi wangese acheni kuomba like toeni maoni wangese Nyinyi 😂

  • @pakpatriot-xk7qg
    @pakpatriot-xk7qg 4 месяца назад +26

    Wakwanza toka Ugandaaaaa 🇺🇬🇺🇬🇺🇬🎉🎉🎉🎉🎉 likes zangu jamaniiiiiii

  • @mctcher9297
    @mctcher9297 4 месяца назад +4

    Mungu akufungulie kila uliombalo we unaesoma comment hii sema amina japo kimoyo moyo

  • @KibweOnlineTv
    @KibweOnlineTv 4 месяца назад +46

    AHSANTE JAMANI IMEWAHI LEO NIMEKUWA WA 479, NAOMBA LIKES ZAKUTOSHA TUWAPE NGUVU TEAM SNAKE 🐍BOY 😅😅😂😂😍😍😍

  • @DJTOPBOYofficiel
    @DJTOPBOYofficiel 4 месяца назад +17

    Mimi wakwanza Ku tokeya Congo 🇨🇩🙏

  • @NasraNana-e1p
    @NasraNana-e1p 4 месяца назад +2

    Umbeya wenu uliwaponza 😅😅😅😅😅

  • @yasrisimba6387
    @yasrisimba6387 4 месяца назад +20

    Epsd hii nmecheka Sana jmn emu nipem like zangu😂😂😂😂😂