Shukrani saana mkuu Tunapatikana Dodoma mkuu Nzuguni karibu na stand mpya ya mkoa ... Bei wanaanzia Milioni tatu mkuu bei inapungua kulingana na idadi ya mitamba unaochukua kwa mara Moja.
Kaka umejitahidi lakini hujaweka neck rail na brisket locator.hii yaweza pelekea Ng'ombe akakataa kutumia hizo cubicles. Endelea kufanya mabolesho ili waweze kupata comfort
Hongera sana mwezeshaji. sijui mnapatikana mkoa gani?
hao wanaotoa lita 20 kwa siku wanaweza kufika kiasi gani.(Bei )
Shukrani saana mkuu
Tunapatikana Dodoma mkuu Nzuguni karibu na stand mpya ya mkoa ...
Bei wanaanzia Milioni tatu mkuu bei inapungua kulingana na idadi ya mitamba unaochukua kwa mara Moja.
ok, nimeelewa nitafika maana hata mimi niko katoka huu mkoa.
@alfredjoshua8625
Karibu saana
Nahitaji ngombe wa maziwa ya kufuga. Niko mwanza, naweza wapata? Na gharama kiasi gani?
Unapata mkuu bei ziko tofautitofauti kulingana na uwezo na Tunauza wakiwa na Mimba wananzia 2.5M nakuendelea piga simu Kwa maelezo zaidi 0654484175.
Mnapatikana mkoa gan
Tupo Dodoma mkuu karibu Sana
0654484175
Very good
Shukrani saana Mkuu
Kaka umejitahidi lakini hujaweka neck rail na brisket locator.hii yaweza pelekea Ng'ombe akakataa kutumia hizo cubicles. Endelea kufanya mabolesho ili waweze kupata comfort
Nashukuru saana Mkuu ...well Noted