Lengo langu ni kufuga ng'ombe wa maziwa hapa Dodoma. Nahitaji mambo yafuatayo kama muongozo kabla ya kuanza. 1. Ujenzi wa mabanda bora ng'ombe (structures, vipimo N.K) 2. Kununua breed bora (Napats wapi ng'ombe wa kununua wenye ubora? Ushauri kuhusu idadi ya kuanza nayo) 3. Feeds (malisho) Mko wapi?
Je kuna ng'ombe wanaoweza toa maziwa Lita 20-24 kwa mwaka bila kupunguza. Mimi nafuga ng'ombe lakini huanza kutoa Lita 16 lakini zinashuka hadi kufika Lita 5
Japo sijaanza kufuga lakini nashukur Kwa idea 💡💡💡 nzuri
Karibu saana...kiongozi
Mbeya mnaweza kusafirisha?
Ndio inawezekanaa
Lengo langu ni kufuga ng'ombe wa maziwa hapa Dodoma.
Nahitaji mambo yafuatayo kama muongozo kabla ya kuanza.
1. Ujenzi wa mabanda bora ng'ombe (structures, vipimo N.K)
2. Kununua breed bora (Napats wapi ng'ombe wa kununua wenye ubora? Ushauri kuhusu idadi ya kuanza nayo)
3. Feeds (malisho)
Mko wapi?
Habari mkuu hayo yote yanawezekana
Sisi Tupo Dodoma unaweza pigs simu au kufika Kabisa shambani kwetu na hayo yoote utuyapata.
Karibu Sana 0654484175.
Sawa, asante. Nitafika
Karibu sana
Je kuna ng'ombe wanaoweza toa maziwa Lita 20-24 kwa mwaka bila kupunguza. Mimi nafuga ng'ombe lakini huanza kutoa Lita 16 lakini zinashuka hadi kufika Lita 5
Mimi nataka ndama wa hapo kwako
@@justiniankasinja8471 kwa sasa nina kadume tu
@justiniankasinja8471
Inawrzekana tupigie simu 0654484175.
Noted
Karibu sana...