JOSASA FARMS .
JOSASA FARMS .
  • Видео 83
  • Просмотров 76 755
KANUNI HIZI 8 ZITAKUSAIDIA KATIKA UFUGAJI WA NG'OMBE WA MAZIWA KIBIASHARA.@kilimobiashara9361
Usiache kufuata kanuni hizi maana zitakusaidia kukuongezea faida na manufaa makubwa kibiashara.
@Viro @kenyacitizentv @TBC_Online @Wasafi_Media @itv @dodomatv
#farming #cattlefeedmachineatbestpriceinindia #cattlefarm #cattlefarm #farm #cattlefarm #milkingcowhandgircow #cattlefeedmachineatbestpriceinindia #cattlefarm #farm #milkingcowhandgircow #cattlefarm #cattlefarm #cowfarm #agriculture #arhaandairyfarm2023cowscollection #dairyfarm #arhaandairyfarm2023cowscollection #dairyfarm #virolshort ##fypppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppp
Inspire 2 by Wavecont | protunes.net/
Music promoted by www.chosic.com/free-music/all/
Creative Commons CC BY-SA 4.0
creativecommo...
Просмотров: 2 186

Видео

JIFUNZE SIRI NA SIFA ZA NG'OMBE BORA WA MAZIWA.@kilimobiashara9361 @kilimotv1730 @Wasafi_Media
Просмотров 2,1 тыс.3 месяца назад
Sifa za Ng’ombe wa maziwa. Kabla ya kuchagua ng’ombe wa maziwa kumbuka kuwa uchaguzi huu huanzia pale ngombe anapokuwa binti au heifer huu ni umri mzuri wa kuchagua na kuanzia ufugaji wenye tija kwa wale ng’ombe wanaotoa maziwa, pia awe ametoka kwenye koo au familia inayozalisha vyema maziwa na isiyokuwa na historia ya magonjwa. 1.- Awe na umbo lenye kupanuka kwa nyuma na kupungua kuelekea mbel...
TUNASHUKURU SAANA WATAZAMAJI,WADAU NA WAFUATILIAJI WA VIPINDI VYETU HAPA JOSASA FARMS.
Просмотров 1423 месяца назад
TUNASHUKURU SAANA KWA HATUA HII YA KUFIKISHA WAFUASI(SUBSCRIBERS)1000 . . KWA KUTAMBUA UMUHIMU WA UWEPO WAKO HAPA MDAU WETU UNAWEZA KUWASILIANA NASI TUKUPE USHAURI KATIKA JAMBOO LOLOTE KUHUSU KILIMO AU MIFUGO IKIWA NI SEHEMU YETU SISI JOSASA FARMS KUSHEHEREKEA HATUA HII.. Tuna ahidi kuendelea kua bora zaidi ya hapa katika huduma zetu. Asanteni saana. .... . . Motivational Cinematic by LesFM | l...
ZINGATIA HAYA KABLA HUJALIMA TANGO HATA KAMA UNA ENEO DOGO @Wasafi_Media @kilimobiashara9361
Просмотров 3443 месяца назад
MAMBO MUHIMU KUJIPANGA KABLA YA KUANZA KILIMO CHA TANGO 1.HAKIKISHA UNA ENEO 2.MAJI YA UHAKIKA 3.MBINU ZA KITAALAMU KUTOKA JOSASA FARMS. . #farming #milkingcowhandgircow #cattlefarm #cow #farm2023bullsradyforgame #farm #farm2023bullsradyforgame #dairyfarm #kilimo #whatsappstatus #washington #fyp #bustanilramlimp76 #kilimoufugaji #kilimo #nyanya #tango Motivational Cinematic by LesFM | lesfm.net...
HAWA APAA KUKU CHOTARA AINA YA KUROILA MAYAI MENGI PESA MINGII.. 💥😀 @Ufugaji @millardayoTZA
Просмотров 1,7 тыс.3 месяца назад
Aina hii ya kuku walipotea kidogo sokoni lakini JOSASA FARMS tuna habari njema kwamba sasa tunapokea oda za vifaranga wa kuroaler kwa wale wapenzi wa kuku chorara. . #farming #mifugotz #kilimoufugaji #tanzania #kilimo #kuku #fyp #kenya Motivational Cinematic by LesFM | lesfm.net/uplifting-background-music/ Music promoted by www.chosic.com/free-music/all/ Creative Commons CC BY 3.0 creativecommo...
PESA IPO SHAMBANI FUGA SUNGURA KIBIASHARA.
Просмотров 3023 месяца назад
PESA IPO SHAMBANI FUGA SUNGURA KIBIASHARA.
HAWA NDIO AINA YA WATAALAMU UNAOWAHITAJI ILI KUFANIKIWA KATIKA UFUGAJI WA NG'OMBE WA MAZIWA .
Просмотров 2943 месяца назад
HAWA NDIO AINA YA WATAALAMU UNAOWAHITAJI ILI KUFANIKIWA KATIKA UFUGAJI WA NG'OMBE WA MAZIWA .
TUMIA MFUMO RAHISI WA MAJI KURAHISISHA KAZI NA KUONGEZA FAIDA KWA MRADI WAKOO WA UFUGAJI WA KUKU.
Просмотров 3086 месяцев назад
TUMIA MFUMO RAHISI WA MAJI KURAHISISHA KAZI NA KUONGEZA FAIDA KWA MRADI WAKOO WA UFUGAJI WA KUKU.
TENGENEZA PESA KWA KUFUGA KUKU WA MAPAMBO.
Просмотров 3706 месяцев назад
TENGENEZA PESA KWA KUFUGA KUKU WA MAPAMBO.
26 June 2024
Просмотров 1137 месяцев назад
26 June 2024
SIRI ZA KUTUMI MASHINE AINA YA CHUFF CUTTER KUANDAA CHAKULA CHA NG'OMBE WA MAZIWA.
Просмотров 8387 месяцев назад
SIRI ZA KUTUMI MASHINE AINA YA CHUFF CUTTER KUANDAA CHAKULA CHA NG'OMBE WA MAZIWA.
MITAMBA KWA BEI POUWA...
Просмотров 2558 месяцев назад
MITAMBA KWA BEI POUWA...
USIFUGE ILI BORA LIENDEE NO! FUGA NG'OMBE BORA KIBIASHARA.
Просмотров 7 тыс.8 месяцев назад
USIFUGE ILI BORA LIENDEE NO! FUGA NG'OMBE BORA KIBIASHARA.
TUPIGIE 0654484175.#agriculture #love #farming #kilimo #uganda #farming #africa #dancechallenge #ng
Просмотров 6359 месяцев назад
TUPIGIE 0654484175.#agriculture #love #farming #kilimo #uganda #farming #africa #dancechallenge #ng
ONGEZA KIWANGO CHA MAZIWA YA NG'OMBE KWA KUTUMIA MALISHO HAYA AINA YA NAPIER GRASS PAKCHONG 1.
Просмотров 2,6 тыс.9 месяцев назад
ONGEZA KIWANGO CHA MAZIWA YA NG'OMBE KWA KUTUMIA MALISHO HAYA AINA YA NAPIER GRASS PAKCHONG 1.
HIZI NDIO SIRI 4 ZITAKAZOKUPA FAIDA NA WEPESI KATIKA UFUGAJI WAKO WA KUKU WA MAYAI KIBIASHARA...
Просмотров 2219 месяцев назад
HIZI NDIO SIRI 4 ZITAKAZOKUPA FAIDA NA WEPESI KATIKA UFUGAJI WAKO WA KUKU WA MAYAI KIBIASHARA...
OKOA MUDA WAKO OKOA NA PESA ZAKO KWA KUTUMIA ECONOMY CAGES (KEJI)
Просмотров 2399 месяцев назад
OKOA MUDA WAKO OKOA NA PESA ZAKO KWA KUTUMIA ECONOMY CAGES (KEJI)
Zipo aina nyingi za kuchi lakini kuchi mwamba Nae ni Baba laoo...Kwani wanamuitikio mzuri kiukuaji.
Просмотров 1,9 тыс.9 месяцев назад
Zipo aina nyingi za kuchi lakini kuchi mwamba Nae ni Baba laoo...Kwani wanamuitikio mzuri kiukuaji.
YAFAHAMU NA KUYAJUA KWA UNDANI MAMBO HAYA MANNE KABLA HUJAANZA KUFUGA NG'OMBE WA MAZIWA KIBIASHARA.
Просмотров 10 тыс.9 месяцев назад
YAFAHAMU NA KUYAJUA KWA UNDANI MAMBO HAYA MANNE KABLA HUJAANZA KUFUGA NG'OMBE WA MAZIWA KIBIASHARA.
CAGES(ECONOMY CAGES)KIBOKO YA VIFO NA MAGOJWA KWA KUKU...
Просмотров 4169 месяцев назад
CAGES(ECONOMY CAGES)KIBOKO YA VIFO NA MAGOJWA KWA KUKU...
JIFUNZE MWONEKANO WA BANDA BORA LA NG'OMBE WA MAZIWA...
Просмотров 4,1 тыс.10 месяцев назад
JIFUNZE MWONEKANO WA BANDA BORA LA NG'OMBE WA MAZIWA...
TUMIA CAGES (KEJI)KUFUGA KUKU WA MAYAI KIBIASHARA.
Просмотров 51010 месяцев назад
TUMIA CAGES (KEJI)KUFUGA KUKU WA MAYAI KIBIASHARA.
CAGE INSTALLATION (USIMIKAJI WA CAGE/KEJI BANDANI )
Просмотров 16510 месяцев назад
CAGE INSTALLATION (USIMIKAJI WA CAGE/KEJI BANDANI )
CAGE /KEJI ZA ASILI (LOCAL CAGES)
Просмотров 17310 месяцев назад
CAGE /KEJI ZA ASILI (LOCAL CAGES)
MASHINE HIZI ZINAUWEZO WA KUKATA MAJANI KWA UKUBWA UNAOTAKA MFUGAJI.
Просмотров 11211 месяцев назад
MASHINE HIZI ZINAUWEZO WA KUKATA MAJANI KWA UKUBWA UNAOTAKA MFUGAJI.
MAMBO MA NNE(4) MUHIMU SANA ILI KUFANIKISHA MRADI WA UFUGAJI NG'OMBE WA MAZIWA KIBIASHARA.
Просмотров 1,2 тыс.11 месяцев назад
MAMBO MA NNE(4) MUHIMU SANA ILI KUFANIKISHA MRADI WA UFUGAJI NG'OMBE WA MAZIWA KIBIASHARA.
OGOPA WABABAISHAJI KANGA ANAFUGIKA KAMA UTAFUATA TARATIBU ZA KITAALAMU HAPA JOSASA FARMS.
Просмотров 4,7 тыс.11 месяцев назад
OGOPA WABABAISHAJI KANGA ANAFUGIKA KAMA UTAFUATA TARATIBU ZA KITAALAMU HAPA JOSASA FARMS.
FURSA ILIYOJIFICHAA KUKU WA MAPAMBO.
Просмотров 24311 месяцев назад
FURSA ILIYOJIFICHAA KUKU WA MAPAMBO.
HIZI NDIO SIRI NA UTOFAUTI WA KUCHI ORIGINAL NA KUCHI FEKI.
Просмотров 11 тыс.11 месяцев назад
HIZI NDIO SIRI NA UTOFAUTI WA KUCHI ORIGINAL NA KUCHI FEKI.
MASHINE YA KUKATA MAJANI NA KUSAFISHA SHAMBA.
Просмотров 1,8 тыс.11 месяцев назад
MASHINE YA KUKATA MAJANI NA KUSAFISHA SHAMBA.

Комментарии

  • @JohnKalela-q8l
    @JohnKalela-q8l 7 дней назад

    Mpo wapi

  • @ZulfikarAhmed-w8m
    @ZulfikarAhmed-w8m 14 дней назад

    Nauliza ngombe wa maziwa akipata heat akianza kupanda wanzake hua Ako na heat sw mara ya pili atapata heat baada ya siku ngapi tena?

    • @josasafarms.4718
      @josasafarms.4718 11 дней назад

      Kwa kawada Ng'ombe asipokua na changamoto zingine za kiafya Hua joto linajirudia kila baada ya siku 18 hadi 21

  • @teddymatasha4639
    @teddymatasha4639 18 дней назад

    Kazi ni nzuri sana. Je kutengeneza greenhouse iliyo ya nafuu ukubwa 8x32 nalipia shilling ngapi?

  • @isaya8202
    @isaya8202 18 дней назад

    Nawapataje

  • @EdgerChatanda-cm3ri
    @EdgerChatanda-cm3ri Месяц назад

    Je naweza kupata isiyo tumia mafuta iwe ya kuchaji na umeme

  • @EdgerChatanda-cm3ri
    @EdgerChatanda-cm3ri Месяц назад

    Mnapatikana wapi

  • @QuilerShirima
    @QuilerShirima Месяц назад

    Je nawezapata ngombe wa kununua

  • @abbasiliwowo7533
    @abbasiliwowo7533 Месяц назад

    Unauzaje

  • @Mendietadiamante7971
    @Mendietadiamante7971 Месяц назад

    Mnapatikana mkoa gani?

  • @stanleygeorge-lg8et
    @stanleygeorge-lg8et Месяц назад

    Naomba namba

  • @JosephManga-s2r
    @JosephManga-s2r Месяц назад

    Huo mtamba ni shingapi?

  • @aliymwanafuno9848
    @aliymwanafuno9848 2 месяца назад

    Kaka kwa ng'ombe mwenye sifa hizo,unaweza niuzia beigani,na anaweza toa lita ngapi kwa siku

  • @JustinJerome-m4m
    @JustinJerome-m4m 2 месяца назад

    Naitaji ng'ombe wa maziwa aina ya freshian mwenye uwezo 85% kuendelea naitaji jike na Dume bora zaidi, nipataje

    • @josasafarms.4718
      @josasafarms.4718 2 месяца назад

      Karibu unaweza kutupigia simu 0654484175.

  • @victorcephas3618
    @victorcephas3618 2 месяца назад

    Wa mwezi mmoja bei Gani? Na wa mwezi mmoja na nusu bei gani?

  • @IgnassSwa-gd9iy
    @IgnassSwa-gd9iy 2 месяца назад

    Kibiashara ni vp

  • @FloraDominic
    @FloraDominic 2 месяца назад

    Nahitaji😊

  • @FloraDominic
    @FloraDominic 2 месяца назад

    Napataje Miche?

  • @MAPOFA435
    @MAPOFA435 2 месяца назад

    Kuchi wapo aina nyingi.... Sana Tembelea mashamba yanayo breed kuku. Utaona maajabu hukuwai ona kabla

  • @musamwanisawa8250
    @musamwanisawa8250 2 месяца назад

    Mbeya mnaweza kusafirisha?

  • @EvangelisteMireilleMITAMBA
    @EvangelisteMireilleMITAMBA 2 месяца назад

    Shalom, Mitamba maana yake nini

    • @josasafarms.4718
      @josasafarms.4718 2 месяца назад

      Shalome Mtumishi Mitamba ni neno linaloashiria wingi wa neno Mtamba Ikiwa Mtamba ni Ndama aliefikia umri wa kupandihwa na kapandwa na ana mimba na atakua akizaa kwa mara ya kwanza TANGU AZALIWE.akiwa mmoja ni Mtamba wakiwa wengi kifugaji tunaita Mitamba.

  • @fredrickrwamahe
    @fredrickrwamahe 2 месяца назад

    Nina changamoto ya ng,'ombe wangu kutoingia joto licha ya kuwapa virutubisho lakini hawiingii joto,nifanyeje?

    • @innocentbenad1469
      @innocentbenad1469 2 месяца назад

      Umewapa madin ya joto lick?

    • @fredrickrwamahe
      @fredrickrwamahe 2 месяца назад

      Ndio wanaingia joto na wanapandishwa baada ya miezi mitatu unakuja kupima hakuna kitu

    • @josasafarms.4718
      @josasafarms.4718 2 месяца назад

      Pole kwa changamoto mkuu na hongera kwa uthubutu wa ufugaji Kama wanaingia joto na unawapandisha ila hupati matokeo yawezekana kizazi kina shida ni cha kusafisha Ila kabla hujachukua hatua yoyote jaribu kuwasiliana na Daktari anaeaminika alie karibu yako aje acheki na akupe sababu za kitaalamu zaidi Ila ukikosa kabisa msaada Tafadhali wasiliana nasi kwa ushauri na msaada zaidi 0654484175

    • @josasafarms.4718
      @josasafarms.4718 2 месяца назад

      Yawezekana kuna shida kwenye mfumo wao wa kizazi Jaribu kupata Daktari wa mifugo aliekaribu nawe au Tupigie simu kwa ushauri zaidi 0654484175

  • @fredrickrwamahe
    @fredrickrwamahe 2 месяца назад

    Vifaranga siku moja ni bei gani?

  • @jumbemkilla9556
    @jumbemkilla9556 2 месяца назад

    Shamba hili liko wapi? Naweza kupata ngombe mwenye mimba at least miezi 6 ambae ameisha zaa mara moja.

    • @josasafarms.4718
      @josasafarms.4718 2 месяца назад

      Shamba liko Dodoma -Nzuguni mkuu Ng'ombe unaweza kupata Tupigie simu mkuuu kwa maelezo zaidi 0654484175.

  • @eradolyamuya3929
    @eradolyamuya3929 3 месяца назад

    Ushauri wenu ni mzuri sana, hakika wafugaji wangeuzingatia mambo ya ufugaji yangekuwa mazuri

  • @stanleygeorge-lg8et
    @stanleygeorge-lg8et 3 месяца назад

    God job

  • @ZephaniaMeena
    @ZephaniaMeena 3 месяца назад

    Nahitaji bei

    • @josasafarms.4718
      @josasafarms.4718 2 месяца назад

      Milioni 3 mbka 4 mkuu kulingana na uwezo wake wa kutoa maziwaa...

  • @jemimabakari
    @jemimabakari 3 месяца назад

    Mi nahitaji ngo'mbe anayekamuliwa na awe na mimba,wapo?

    • @josasafarms.4718
      @josasafarms.4718 3 месяца назад

      Habari Jemima ndio wapo wanapatikana asee

  • @nurusulley3276
    @nurusulley3276 3 месяца назад

    Wekeni bei

    • @josasafarms.4718
      @josasafarms.4718 3 месяца назад

      Habari ng'ombe wa bei todauti tofauti inategemea na sifa za utakaechagua Unaweza kutupigia simu kwa ufafanuzi zaidi 0654484175

  • @abdallahkhamisi4697
    @abdallahkhamisi4697 3 месяца назад

    Nahitaji ng'ombe bei gan na ipo dar nijulishe ili napangaje safari yangu

    • @josasafarms.4718
      @josasafarms.4718 3 месяца назад

      Inategemea na ng'ombe utakaemuhitaji maana wana sifa tofautitofauti. Unaweza kutupigia simu kwa ufafanuzi wa kina mkuu 0654484175.

  • @BarackAlex-l3s
    @BarackAlex-l3s 3 месяца назад

    Kaka

  • @amanimwakalomba8511
    @amanimwakalomba8511 4 месяца назад

    Unauza kwa pair au hata jinsia moja tu unauza?

  • @RonnieBertin
    @RonnieBertin 4 месяца назад

    Kuchi fake Gucci fake

  • @LeonataFrance
    @LeonataFrance 4 месяца назад

    🙏👏👏

  • @DanielLetayo
    @DanielLetayo 5 месяцев назад

    Nice

  • @ZaidHamasiZaid
    @ZaidHamasiZaid 5 месяцев назад

    Kwani kuchi na mijogoo wengine, wana tofauti gani? na ana kipi, cha ubora wao hadi unamsikia Sifia Sifia??

  • @HappyNass-mu3lu
    @HappyNass-mu3lu 5 месяцев назад

    Mnapatika wapi dar au mkoa

  • @GodlistenDawson
    @GodlistenDawson 5 месяцев назад

    Unauzaje boss?

  • @Hassani.Msangi
    @Hassani.Msangi 5 месяцев назад

    Wewe muongo huyo ni pini bn

  • @laurencekagoma9998
    @laurencekagoma9998 6 месяцев назад

    Liko hovyo kweli na Wataalam wapo. badala ya kumuelekeza ujenzi bora wa banda la Nguruwe .

  • @rayisadesigns2646
    @rayisadesigns2646 6 месяцев назад

    KAKA HAPO BADO HAUJAMALIZA KUTAJA SIFA ZA KUCHI. HAUJAZUNGUMZIA UREFU WA MWILI WAKE, AINA ZA UPANGA, UZITO WAKE, UOTAJI WA MANYOYA YAKE NA KADHALIKA. PIA KUCHI WAPO AINA NYINGI, HIYO NI MOJA WAPO TU YA AINA HIZO. ILA SIFA KUU YA MAJOGOO WA AINA ZOTE ZA KUCHI NI WABABE, WANAPENDA MAPIGANO (WAKOROFI) NA NI WABISHI HAWAKUBALI KUSHINDWA KTK MAPIGANO, KUCHI HAPENDI KUTAWALIWA NA JOGOO MWENZIWE HASA AKIWA MBEGU YA KAWAIDA NA ANAPOPIGWA HAKUBALI LAZIMA ATARUDI TENA KUPIGANA NA HUYO JOGOO MPAKA AMSHINDE NA ACHUKUE UTAWALA WA MAKOO YAKE. NA BAADHI YA NYAKATI HUWA WAKALI HATA KWA BINADAMU. KAKA NIMEWAFUGA HAO NAWAJUA VIZURI. ILA HONGERA SANA KAKA, KAZI NZURI.

  • @godfreygodwine9148
    @godfreygodwine9148 6 месяцев назад

    Nawapataje hao KUKU wa mapambo

    • @josasafarms.4718
      @josasafarms.4718 6 месяцев назад

      Tupigie simu 0654484175. Laikini pia unaweza kutembelea banda letu hapaa nanenane Dodoma kama ni jambo linAwezekana kwakio Tupo nanenane Dodoma banda la halmashauri ya kondoa

  • @olaycembesere706
    @olaycembesere706 6 месяцев назад

    Kazi nzuri sana Mtaalamu

  • @flaviankiria8251
    @flaviankiria8251 6 месяцев назад

    Hamuuzi ndama?

    • @josasafarms.4718
      @josasafarms.4718 6 месяцев назад

      Kwa sasa hapana boss .ila ukiweka oda tunakuandaliaa

  • @BateziJoseph
    @BateziJoseph 6 месяцев назад

    Kuku mtetea anapatikana kwa sh ngapi

  • @damasludovick508
    @damasludovick508 6 месяцев назад

    bei gan

    • @josasafarms.4718
      @josasafarms.4718 6 месяцев назад

      Inategemeana ila wanaanzia milion 3 wakiwa na Mimbaa

  • @RuthRenatus
    @RuthRenatus 6 месяцев назад

    Mko wapi mnapatikana?

    • @josasafarms.4718
      @josasafarms.4718 6 месяцев назад

      Tunapatikana Dodoma mkuu karibu saana 0654484175

    • @josasafarms.4718
      @josasafarms.4718 6 месяцев назад

      Tupatikana Dodoma nzuguni mkuu

  • @RuthRenatus
    @RuthRenatus 6 месяцев назад

    Salama,natafuta ng'ombe Bora wa waziwa mengi kuanzia Lita 30 na kuendelea Kwa siku

    • @josasafarms.4718
      @josasafarms.4718 6 месяцев назад

      Karibu saana unaweza kutupigia simu 0654484175.

    • @josasafarms.4718
      @josasafarms.4718 6 месяцев назад

      Inawezekana tunaweza kuwasiliana Kwa namba hizi 0654484175.

  • @guydonacklandgereta3805
    @guydonacklandgereta3805 6 месяцев назад

    Unataja majina ya ngombe lakini huwaonyeshi

    • @josasafarms.4718
      @josasafarms.4718 6 месяцев назад

      Kwa hapa bandani kwetu zaidi zaidi wanaopatikana ni Friesian mkuu.

    • @zawadithomas1008
      @zawadithomas1008 6 месяцев назад

      nitakutafuta kesho unipe Bei elekezi mkuu

  • @IddyNdudy
    @IddyNdudy 6 месяцев назад

    Je unauza sana wa miezi 8

  • @mrdeniskomba6199
    @mrdeniskomba6199 6 месяцев назад

    Mnatamanisha sana,