MAJIBU YA RAIS SAMIA KUHUSU KUPANDISHA MISHAHARA KWA WATUMISHI...

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 янв 2025

Комментарии • 37

  • @idebilihassanebiaque3455
    @idebilihassanebiaque3455 3 года назад

    Masikini hapendi mwana.👏👏👏👏👏 Amesema ukweli mama wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania🇹🇿🇹🇿🇹🇿👏👏👏👏

  • @naamanidamasi6125
    @naamanidamasi6125 2 года назад

    Watu wanaoumia wengi wao ni wafanyakazi wa sekta binafsi na wafanyakazi wa majumbani,. tena wananchi wengi wao wanafanya kazi sekta binafsi.zaid ya serikal . Sasa kama ahadi zitakuwa hii kweli inatukatisha tamaa kutokana na Hali ya kiuchumi.
    Serikal yangu chonde chonde .tunaitaji nyongeza za mshahara.
    Raisi wa awamu ya tano hivyo hivyo.tunasubiri kwa Mama pia hivyo hivyo .
    Naomba ninyi marais wetu mvae mavazi ya wafanyakazi binafsi mjione Kama ndio ninyi , msinge kuwa na maneno Bali utekelezaji.
    Nauli mnapandisha , mishahara hampandishi je mnatuweka watanzania katika Hali gani aswa hawa wenye maisha duni.
    Kumbukeni mlikotoka.
    Ahsante.

  • @sagayefamily5149
    @sagayefamily5149 3 года назад +1

    Kudai ongezeko la mshahara mda huu wakati nchi imetoka kwenye janga la Kalona,, ni Sawa na Baba Kudai haki ya ndoa kwa mama aliyetoka Reba.... Hongera samia kwa kuliona hili....

  • @mamalove3995
    @mamalove3995 3 года назад +1

    Bora Ukweli mchungu kuliko Uongo mtamu, Hongera sana Raisi wetu Mpendwa kwa kusimamia ukweli

  • @catherinejohn678
    @catherinejohn678 3 года назад

    Hapo sawa yote point hongera sana

  • @auntdorah9141
    @auntdorah9141 2 года назад

    😍😍😍😍😍😍😍

  • @issajuma3475
    @issajuma3475 3 года назад

    Mashallah

  • @jogoomohamed2652
    @jogoomohamed2652 2 года назад

    Hakika ww ndo furaha yetu mama,tunakuombea huku tukijiombea wote kwa ujumla ili tufaidi safari yako yenye neema na mema mama.Inshallah

  • @openmindtz
    @openmindtz 3 года назад +1

    She is so smart n hearted

  • @ramsdenjames9782
    @ramsdenjames9782 2 года назад +1

    Nani anaangalia hii akiwaza may 2022🤪

  • @brightsimbano3061
    @brightsimbano3061 3 года назад

    Hongera rais wetu mama mpendwa kwa kusimamia ukwel

  • @godfreynestori8647
    @godfreynestori8647 3 года назад

    Super

  • @manyahelen7507
    @manyahelen7507 2 года назад +1

    Mama tunasubiri neno lako mei mosi 2022

  • @amashanampwapwa5704
    @amashanampwapwa5704 3 года назад

    Nakuelewa

  • @biggestnasritv2601
    @biggestnasritv2601 3 года назад

    THE BIGGEST BOSS NASRI

  • @kulthumabdalla3958
    @kulthumabdalla3958 3 года назад

    Ahsant mh rais

  • @georgekisatu7961
    @georgekisatu7961 3 года назад

    Vzr mama ila naomba utazame vijiji kama kijiji cha kipwa kunachangamoto kubwa sana hakuna barabara,umeme,maji, shule na zahanati ila pamoja na kukosa hivyo nikijiji kinacho ongoza kwa makusanyo ya kodi na ushuru w ya kalamo

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 3 года назад

    Kusema kweli huyu rais ana majibu mazuri sana tena yenye hekima kiasi ambacho hata ule ugali wa bila mboga kipindi cha kiangazi ni mtamu balaa

  • @issajuma3475
    @issajuma3475 3 года назад

    Muumba Akuzidishie

  • @jumailega9535
    @jumailega9535 3 года назад

    Tunakupenda can mama etyu

  • @manyahelen7507
    @manyahelen7507 2 года назад

    Tunasubiri neno la mama keshokutwa

  • @peterchibaya2556
    @peterchibaya2556 3 года назад

    Mheshimiwa Rais Naomba mtuondolee Kodi ya Guest leavy kwa Guest za Vijijini Hatupati kitu wenye Guest

  • @manyahelen7507
    @manyahelen7507 2 года назад

    Hautaki tuongezewe mshahara ,ulishindwa nn kusoma wewe kama watumishi

  • @hamedyahya9846
    @hamedyahya9846 3 года назад

    Rais mkeli kabisa Samia Hassan

  • @joycemarko3037
    @joycemarko3037 3 года назад +2

    Mh hao wanataka kuongezwa mshahara wakati wao wanauhakika wa kila mwezi hali kunawatanzania maskinj wasiojua kesho yao watakula nn

    • @johnzacharia2308
      @johnzacharia2308 3 года назад

      Dada watu kulala njaa swala hilo hawezi kulimaliza raisi na haizuii watumishi kupandishwa mishahara maana asiye Fanya kazi na asile,we hufanyi kazi kwanini usilale njaa hata Kama watanzania wote wanamsosi wew Kama hufanyi kazi utalala njaa tu namsaada kwa hilo haupo, ndugu tufanye kazi,hao niwafanya kazi na kwa mujibu ya mikataba ya ajira walikubaliana kila baada ya muda Fulani tutawaongezea mshahara sasa hapo kunaubaya gani wao kidai haki yao nainahusu nini nayule mwananchi anayelala njaa,maana masikini wapo tu hawaishi duniani kote akiangalia hao hata Barabara hatojenga atanunua chakula cha misaada,kwani hayati magu alikuwa hawaoni watu hao na aliacha kufanya maendeleo ya nchi, na hata chakula chamsaada hakuwahi kutoa ila bado aliitwa mtetezi wa wanyonge,na watu walikuwa wanalla njaa mtaani vizur tu lakini haikumzuia yeye kujenga miradi mikubwa ambayo siyo chakula kwa masikini nawala haipunguzi njaa kwa wasio na chakula, point nikwamba watumishi wanafanya kazi nahaki yao kupandishwa mishahara nahuwezi kulinganisha Jambo hilo na Hali ya maisha ya mtaani kwako maana hawakuambiwa kwenye mkataba endapo Fulani akikosa chakula mshahara wako hautapanda labda itokee janga kubwa Kama korona au njaa kubwa itakayo kumba sehemu kubwa ya nchi na si mtu mmoja mmja

    • @joycemarko3037
      @joycemarko3037 3 года назад

      Kama hao wanafanyakazi mbona mbona bado wanalia njaa wakiona mshahara kidogo kunamaisha mengine yakitaa waje wayaone

    • @johnzacharia2308
      @johnzacharia2308 3 года назад

      @@joycemarko3037 nikweli Kabisa kunawatu wanaishi maisha magumu Sana mtaani ila maisha hayo kamwe hayawezi kuzuia mishahara ya watumishi isipande kwa mujibu wa sheria na mikataba ya ajira waliyopangiwa na waajiri wao lazima wadai, na hao wananchi wasio jiweza nawo waibane serikali irahisishe baadhi ya mambo watakayo ona wakifanyiwa njaa ita isha,"ngoja nikupe mfano tajiri akimwomba MUNGU anamwomba amzidishie kutoka kuwa millionea awe bilionea na akiomba kwa imani Mungu anampa, Sasa ilisha waza kunamaskini ambaye hana hata miatano ya kula anaomba Mungu na anapewa na wakati mwingine analala njaa ila MUNGU ni mmoja na anawapenda wote,njaa ya maskini haizuii tajiri kupewa na Mungu na kuzidishiwa kwa kile alichopangiwa na Mungu, na serikalini ni hivyohivyo tunalia shida ila wenzako wanalipwa mishahara mikubwa na bado wanadai haki yao yakuongezewa hata kama nikima cha juu na nihaki yao kutokana na kazi na mikataba waliyo wekeana

    • @reubenisack9990
      @reubenisack9990 3 года назад

      nyie mtakuwa watumishi

  • @princemahamba242
    @princemahamba242 2 года назад

    Tupandishie mishahara halafu wewe

  • @mfalmewanyika2804
    @mfalmewanyika2804 3 года назад

    Na maslahi ya viongozi wetu wa dini wale waliokua magereza tunaomba mziangalie mama yetu mpendwa.

  • @tresiakaovela9109
    @tresiakaovela9109 3 года назад

    Tunaomba utembele miladi aliyoicha Magufuli