Lema ampa pole Samia, afunguka Sakata la Makonda na kutaja Mawaziri wanaomtukana Rais....

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 апр 2024
  • Kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda kuwa wapo mawaziri wanaomtukana Rais Samia Suluhu Hassan, imemuibua Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema akishangaa juu ya jambo hilo na kusema inabidi Watanzania wampe pole Rais.
    Lema ametoa kauli hiyo leo Aprili 12,2024 akihutubia mkutano wa hadhara katika viwanja vya Manyema mjini Moshi na kuhoji nani anapenda Rais wa nchi atukanwe na wananchi waliohudhuria wakamjibu hakuna, naye akasema itabidi alie kwa kuwa Rais ndiye aliyemrejesha nchini.
    Makonda ameitoa kauli hiyo leo huko Monduli mkoani Arusha katika kumbukizi ya miaka 40 ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Sokoine ambayo ilihudhuriwa pia na viongozi wa kitaifa akiwemo Rais Samia, Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mawaziri wengine, viongozi wa CCM, viongozi wa dini na wananchi.
    Akizungumza mbele ya Rais, Makonda amewataka mawaziri wanaotuma watu kumtukana Rais kuacha mara moja na kwamba kama wataendelea, Jumatatu ya wiki ijayo atataja majina yao. Kauli hiyo ndio iliyomuibua Lema aliyewahi kuwa mbunge wa Arusha mjini.

Комментарии • 41

  • @karolikisaka8991
    @karolikisaka8991 Месяц назад +6

    Katiba mpya ni muhimu sana,kauli ya makonda ni fundisho kuwa serikali ya ccm ni ya upigaji

  • @JohnMashamba
    @JohnMashamba Месяц назад

    Siasa na neno la Mungu ni
    tofauti na safari ya kwenda mbinguni.Mathayo 7:21-24

  • @marymanoni5536
    @marymanoni5536 Месяц назад +1

    Pole ya nn ss si ww ndio unahaha jitulize brooooo umachelewa😂😂😂😂😂

  • @dorothmsuya1686
    @dorothmsuya1686 Месяц назад +6

    Mzee wa kudandia madam!😂😂😂 mmoja wapo ni wewe!!

  • @khamismohammed1650
    @khamismohammed1650 Месяц назад +2

    Kwahiyo kuchunga ng'ombe ni ushamba? Mbona unawatukana wachungaji

  • @softrock7155
    @softrock7155 Месяц назад

    Ndio sera za chadema

  • @masungajp1
    @masungajp1 Месяц назад +1

    Sioni maongezi Muhimu hapa

  • @mussamabawa2973
    @mussamabawa2973 Месяц назад +1

    Lema amekuwa muimbaji wa taarabu. Na. Mipasho

  • @zachariahariohay359
    @zachariahariohay359 Месяц назад

    Wanajenda kwa sasa

  • @user-ox4fv4cf5l
    @user-ox4fv4cf5l Месяц назад

    HUNA JIPYA WEWE UHUNI TU,SASA HUYO MBOWE UNAEMPIGIA DEBE MBONA AMEKUWA MFALME HAPO CHADEMA AMEONGOZA KAMA MWENYEKITI WA CHADEMA MIAKA 20?

  • @Samweli-uu1fv
    @Samweli-uu1fv Месяц назад

    Nyie Amna kitu apo mnahaha watanzania tunataka siasa safi siyo matukano

  • @georgekimasaofficial1629
    @georgekimasaofficial1629 Месяц назад +1

    Mnatoka inje ya Agenda za MSINGI kwasababu ya Maneno ya makonda shaulienu.

  • @user-ox4fv4cf5l
    @user-ox4fv4cf5l Месяц назад

    UMESHAPOTEA WEWE MWAMBUKUSI, HUNA ADABU UNAIITA KATIBA YA NCHI TAKATAKA?

  • @MwanaishaShattry
    @MwanaishaShattry Месяц назад

    Wewe huna la kusema unangoja CCM waseme dandie. Hakuna jipya.

  • @mwanahamisinyenzi-vo6mj
    @mwanahamisinyenzi-vo6mj Месяц назад

    Kumbe unamfuatiliaga

  • @mathewungani9724
    @mathewungani9724 Месяц назад

    Huyu Jamaa nae simuelewi

  • @faidamuhamed3011
    @faidamuhamed3011 Месяц назад

    Hamna hata vibe

  • @NathanJulius-jv4dw
    @NathanJulius-jv4dw Месяц назад +1

    huna ajenda lema

  • @richardchawenda5938
    @richardchawenda5938 Месяц назад

    😂😂😂😂jamaa ame pata sababu

  • @SYLIVERIOKILIMILA
    @SYLIVERIOKILIMILA Месяц назад

    Fara wewe huna swaga mshamba mmoja

  • @mohamedmanga8391
    @mohamedmanga8391 Месяц назад

    Lema ni mfitini, tabia zake kama baadhi ya wabunge wetu huku kenya, wanasiasa wa upinzani Tanzania, ni wachawi wa sera ole wenu mkiwasikiza, mtajuta,kama tunavyojuta.

  • @mugemainyas5241
    @mugemainyas5241 Месяц назад

    Hivi kuna siku mtakuwa na agenda yenu au mnatembelea Kiki za watu

  • @user-bq9me7st6z
    @user-bq9me7st6z Месяц назад

    Hoja tafathali

  • @masungajp1
    @masungajp1 Месяц назад

    Easy hole to go through 😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 Месяц назад +3

    Kilicho baki kwa lema ni kuimba tarabu

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 Месяц назад +1

    upepo

  • @msabahaali758
    @msabahaali758 Месяц назад

    binafsi Makonda namuona kama mchonganishi na fitna Mama lirejeshe jini lako kwenye chupa

  • @hashimchaoga9566
    @hashimchaoga9566 Месяц назад +1

    Ukwelli Makonda anakurupuka yote ni sababu ya uchawa

    • @TM.Sullusi
      @TM.Sullusi Месяц назад

      Anawaconfuse tu ili muingie Kwenye mfumo🤣

  • @khamishemedsaid2134
    @khamishemedsaid2134 Месяц назад

    Na wewe ongeya sera 2025 inakuja ongeya wananchi wajuwe nini mnacho siyo huyu kasema muige

  • @rahmazahor4333
    @rahmazahor4333 Месяц назад

    Yaani upinzani wa Tanzania imekuwa lelemama....Hakuna hoja

  • @herimallya3385
    @herimallya3385 Месяц назад

    Mkundu lema

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 Месяц назад +2

    Lema acha kudadia gari kwa nyuma na mwenzako mwabukusi

  • @dorothmsuya1686
    @dorothmsuya1686 Месяц назад +1

    Sera zako ni kudandia mada tu Huna lako jambo!!

    • @user-mz4gx2ek9y
      @user-mz4gx2ek9y Месяц назад

      Wapare mnakazi uelewa wenu hafifu

    • @dorothmsuya1686
      @dorothmsuya1686 Месяц назад

      @@user-mz4gx2ek9y ukielewa wewe inatosha! Kwani wewe kabila gani mwenzetu! Utajua hujui!!

    • @tom4dj
      @tom4dj Месяц назад

      Hili ni la Wanasiasa wote.Acheni kudandia siasa siku zote ndo zilivyo na siasa zilimsaidia sana hata the late his Excellency J.P.M a copy sera za wanachadema na akafanya vyema sana hivyo siasa ndivyo zilivyo

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 Месяц назад

    Makonda atawapoteza kisiasa wajinga nyie.

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji Месяц назад +1

    LEMA HUNA HOJA ZAIDI YA KUSUBIRI MATUKIO NA KEJELI NA KUFANANISHA AFRIKA NA ULAYA 😢😢😢😢😢

  • @georgemassebu2083
    @georgemassebu2083 Месяц назад

    Yaani siasa pinzani zimeshakosa hoja aisee,kazi imekua ni ya kurukia hoja za watu wa ccm kwa mbele...kama wajinga wajinga tu