AREACODE: USHETANI WA MWANAMUZIKI P DIDDY | MAUAJI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 ноя 2019
  • #WASAFIFM #BLOCK89 #AREACODE
    MAISHA YAKE NDANI YA MUZIKI, YAMEZUNGUKWA NA VIFO VYA WATU....
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 48

  • @deejay5102
    @deejay5102 4 года назад +9

    I wish they had english subtitles...i like this channel

  • @thomasmutero1911
    @thomasmutero1911 4 года назад +3

    Nakuelewa vizuri sana kaka..254

  • @rautaroafrica6583
    @rautaroafrica6583 4 года назад +4

    P.didy jamaa pia anasadikika kumuua 2 pac afeni shakur 1996 chini ya out law ,yeye na suge knight lkn mwisho wa siku kesi imedondoka kwa manager wa 2pac suge knight na kufungwa miaka ishirini na 8 jela

  • @godwinbulili1747
    @godwinbulili1747 4 года назад +2

    Nakubali Sana Stori Za Wasafi

  • @fazeelshomary8743
    @fazeelshomary8743 4 года назад +14

    Msimuliaji amemiss out point moja muhimu sana, ktk sabab ya kifo cha 2pac Diddy alihusika alipotoa amri ya atakayeweza kuleta cheni ya deathrow records basi atampa hela ndefu tu, ndipo Orlando Anderson inasemekana alijarib kuiba chen ya member wa deathrow, na ile siku ya pambano la tyson na seldon siku aliyopogwa risasi 2pac shida ilianza 2pac na deathrow members walipomvamia jamaa na kuanza kumchapa so jamaa inasemekana ndio alienda kuita mob wakamwagia risasi 2pac akiwa ndan ya gari, pia Diddy alitoa amri ya 2pac auwawe kwa baadh ya makundi ya kihuni ya east coast

  • @chany9950
    @chany9950 4 года назад +1

    Nice 👍

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 2 месяца назад

    Hiyo Ya Loon ipo na shaka sana. Loon yupo peke yake toka miaka 2010 na anafanya kazi za daawa za kiislam. Fanya uchunguzi vizuri.

  • @malimanyanja562
    @malimanyanja562 2 месяца назад

    Amna mnacho jua mnapuyanga tu

  • @moimwakikoti1337
    @moimwakikoti1337 Месяц назад

    We jamaa muongo sana😀

  • @mokotvonline6456
    @mokotvonline6456 4 года назад +12

    ..... gonga like kama umeona kinachoelezwa kwny kwny hii video ni tofaut na kichwa cha habar

  • @realommy2552
    @realommy2552 2 месяца назад

    4 years back mwana aliongelea hya then nowadays ymetokea

  • @chengem.costantine6110
    @chengem.costantine6110 4 года назад +1

    Tuleteeni na historia ya diamond utotoni hadi alipofikia

  • @moimwakikoti1337
    @moimwakikoti1337 Месяц назад

    Msanii gani kwenye vikundi hakukuwa na death lists tangu vita za bronx na ku claim Kingship Newyork ndio vifo vilikuwa vingi

  • @matatasaid733
    @matatasaid733 4 года назад +1

    Sean comb

  • @muddyville
    @muddyville 4 года назад +3

    Kwenye tukio la 1999 umepuyanga... Ni hivi... Ilikuwa kwenye night club moja Manhattan, Diddy alikuwa na mpenzi wake wa wakati huo J Lo, pamoja na msanii wa Bad Boyz mwenye asili ya Belize, anaitwa Shyne. Shyne ndiye aliyefyatua risasi na hakuna mtu aliyekufa kama unavyosema, bali tukio hilo lilipelekea watu watatu kujeruhiwa ndipo Shyne akahukumiwa miaka 10 na alipotoka kukawa na mlolongo wa mambo tofauti kuhusu uraia wake, kwa kuwa Shyne alikuwa na "green card" na hakuwa mzaliwa wa Marekani, so serikali ya Marekani ikaamua arudishwe (deportation) kwao Belize.

    • @moimwakikoti1337
      @moimwakikoti1337 Месяц назад

      U r right sema jamaa katupiga kamba nyingi sana

  • @roma9xx331
    @roma9xx331 4 года назад +5

    Kwahyo kichwa cha habari kinavyosema ushetani wa Pdd akitafsiriwa mlichoandika yy atawachukuliaje nyie?

  • @aljalilatiba9873
    @aljalilatiba9873 4 года назад +1

    ILA LOON ALIJITOA MDA TUU BAD BOY NA KUSILIMU NA KUWA MUISLAM
    YUPO SAUDIA SIKU NYINGI SANA
    NI MUISLAM SAFI NI MTU WA SUNNA

  • @musajoshuamwakalukwa5477
    @musajoshuamwakalukwa5477 4 года назад

    The whole story kuhusu Loon haiko sawa, Loon katoka Bad boy 2004 akaanzisha lebo yake Boss up Records ambapo alifanya music mpaka 2008 alivyoconvert to being a Muslim, Extradition imempata 2013 ambapo ndo alirudishwa US kwa kesi ya madawa ya kulevya ambayo aliplay minor role... Anaserve kifungo cha miaka 14 jela ambapo currently kuna petition ambayo inaendelea kutaka jail time yake ipunguzwe

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 4 года назад +1

    Why Cal na Chinedy wanapishana sana uelewa wa Flouw zao na wote wanadeal na same side ktk journal

  • @mpokiwilson4984
    @mpokiwilson4984 6 месяцев назад

    Uyu dogo hafai kuongelea mziki bado hajui vitu vingi hata tu uongeaji wake shule hamna eti concert ye anasema concept yani ana boronga boronga mambo kibao kama vile anakariri definition zile za form one na mziki haujui labda amuingelee boss wake diomond sisi wa kitambo atuache kidogo

  • @user-zn4mt1wy5h
    @user-zn4mt1wy5h 2 месяца назад

    Mabubu nasisi tunahitaji mukalimali wetu kwenye hicho kipindi

  • @thomasmwambe4372
    @thomasmwambe4372 4 года назад

    Kama story amuzijui musizisogeze kwenye media . Redio ya kiuni hii

  • @biddii1972
    @biddii1972 2 года назад

    Bosi wenu mbona amumuongelei

  • @mathiasboniface6414
    @mathiasboniface6414 4 года назад

    Mmmh mm wala sijaamini kuna kipindi watoto walikufa tabora disco toto kutokana na ukumbi kujaa sana nao ulikua ushetani

  • @jayjay4313
    @jayjay4313 2 месяца назад

    Achemi kuwasifia, Diddy ukiingia 18zake lazima akule matako, ndicho kinachoendelea. Huyo ml amatako nae kuliwa. Sasa najiuliza wale ma anko zetu walijiti akwenye pipa, shaaaaa eti wageni wa Diddy. Wamesalimika kweli haw ndugu zetu? Maana Wamarekani wote anatonyana mkalie mbali Diddy. 😂😂😂

  • @heaven.love.foundation
    @heaven.love.foundation 4 года назад +1

    Mmjejaribu kuitizama wcb katika taswira ya bad boy entertainment au tuwaongeleee wa marekan tu tz tusiwaguse? Gonga like aliyenielewa

  • @malimanyanja562
    @malimanyanja562 2 месяца назад

    Mbona jamaa nikama mnamchora tu wanafiki kweli nyie

  • @raymullah
    @raymullah 4 года назад

    😁it's a shame for y'all source Gan hzo mnatumia kupata habari mnazngua asee. Acheni hzo mentality BA's na boss wenu nae yumo (according to magazet ya shigongo). If black person becomes millionaire it's either drugs or illuminat but billgates is hardworker 😁😁👎👎👎

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 4 года назад +1

    Shoga wenu daimond mbona hamumjadili . Wehu kweli jadilini ya nchini kwenu

    • @Wixiboy224
      @Wixiboy224 4 года назад +2

      haji abdalla mbona huna teseka kwenye channel yake we su huhende kwe mishuma

    • @historianyeusi9524
      @historianyeusi9524 4 года назад +2

      We shoga umelazmshwa uangalie?

    • @almisfahcs8255
      @almisfahcs8255 4 года назад

      Kweli wewe changu, kinacho kumiza roho kuhusu mondi nini? Acha kukunja roho chupi wewe, yani unataka mondi atajwe 24/7 ktk radio (Hi yetu sote),
      Nikulize wewe mama yako mzazi unamtaja katika story zako za siku nzima?

    • @lucasngalawa8826
      @lucasngalawa8826 4 года назад

      Haji abdala acha ukuma sio lazima kuangalia

    • @hajiabdalla5772
      @hajiabdalla5772 4 года назад

      @@lucasngalawa8826 wewe limbukeni na ndio munao pigwa nao kwa kujipendakeza kwa mwanamme mwenzio . Choko wewe itakuwa

  • @moimwakikoti1337
    @moimwakikoti1337 Месяц назад

    Its a worse presentation of all the time

  • @roma9xx331
    @roma9xx331 4 года назад +2

    Kwahyo kichwa cha habari kinavyosema ushetani wa Pdd akitafsiriwa mlichoandika yy atawachukuliaje nyie?

    • @sirq183
      @sirq183 4 года назад

      Kwan niuongo kua P didy ni devil shiper