MAOMBI YA UPONYAJI WA MAGONJWA,, BAADA YA MAOMBI HAYA UTAPOKEA UZIMA,, (KUUMWA,UGONJWA WOWOTE)

Поделиться
HTML-код

Комментарии • 143

  • @mercyenos
    @mercyenos 10 месяцев назад +8

    Nina mshukuru Mungu nimepokea uponyaji wa HIV kupitia maombi ya pastor Godwin majibu yangu ni negative nashukuru Mungu sana nipo huru nimefunguliwa nashukuru Mungu sana

    • @rosemarymbise4191
      @rosemarymbise4191 10 месяцев назад +1

      MUNGU AMPONYÈ MJUKÙÙWANGU NEÒ ĶAÞIĶA HÌNA LA YESU NA KWA DAMU YA YESU

    • @donciawambugha9681
      @donciawambugha9681 День назад

      Amen na amini na Mimi tumbo acid h pylori imepona katika jina la yesu

  • @LilianLumeme
    @LilianLumeme 10 месяцев назад +3

    Nina imani mungu ataniponya kupitia maombi ya pastor Godwin

  • @AishaHassan-fg7rf
    @AishaHassan-fg7rf Месяц назад +1

    Ugonjwa WA shingo unamuachia mwanangu amen

  • @LindaNdikumana
    @LindaNdikumana 7 месяцев назад +3

    Amen amen ninapokea uzima katika familia yangu yote kwa jina ka yesu kristo amin 🔥🔥🙌🙌

  • @LindaNdikumana
    @LindaNdikumana 7 месяцев назад +3

    Amen amen napokea uzima katika maisha yangu kwa jina la yesu kristo 🔥🔥

  • @LindaNdikumana
    @LindaNdikumana 7 месяцев назад +2

    Amen Amen baba mtumishi
    Nimepona kwa jina kuu la yesu kristo🔥🔥🙏🏻🙏🏻🙌🙌

  • @LindaNdikumana
    @LindaNdikumana 7 месяцев назад +2

    Asante mungu kwa kunipa uzima wa milele amen 🔥🔥🙌🙌

  • @roselyneatieno805
    @roselyneatieno805 Год назад +2

    Amen 🙏🙏mungu naomba uponyaji haya magonjwa yamenitesa yakutosha mungu😭😭😭😥

  • @MarcoKalonda
    @MarcoKalonda 5 месяцев назад

    Amen amen amen 🙏🙏🙏 maombi ni dawa

  • @IrenePonera-b1x
    @IrenePonera-b1x Месяц назад

    Napokea uponyaji wa mdogo wangu mgojwa popote Alipo huu uponyaji umfikie na awe mzima kuanzia sasa amen 🙏

  • @judithpeter1375
    @judithpeter1375 Месяц назад

    Naamini Mungu atamponya Mwanangu kuumwa kichwa na kupanda joto mara kwa mara Amen.

  • @lulufrancis-nk2sd
    @lulufrancis-nk2sd 3 месяца назад

    Namshukuru Mwenyezi Mungu Nimepokea Uponyaji Kwa Nguvu Zake Mwenyezi Mungu Asante Mungu Wangu 🙏🏼🙏🏼🙏🏼 Asante Mungu

  • @humphreynyimbo2710
    @humphreynyimbo2710 Месяц назад

    Niko masomoni nje ya nchi,nilijawa na mashaka na wasiwasi pamoja na woga,nimepokea uponyaji kwa jina kuu la Yesu,amen

  • @linahsulle1526
    @linahsulle1526 2 месяца назад +1

    Amen vidonda vya tumbo vinaniachia leo kwa Jina la yesu

  • @SalomeKijazi-s4l
    @SalomeKijazi-s4l Месяц назад

    Nashukuru Mungu nimepokea uponyaji katika Jina la yesu Kristo Amen!

  • @HappySylivester-o1o
    @HappySylivester-o1o Месяц назад

    Amen napokea uzima kwa jina la yesu Kristo 🙏

  • @Regina-fc1kc
    @Regina-fc1kc 4 месяца назад

    👏👏👏👏👏 MUNGU ni mkubwa nmepona nipo huru.Ahsante Mungu 🙏

  • @Singsberthanicodem
    @Singsberthanicodem Месяц назад

    Ahsante Kwa Uponyaji katika Jina la Yesu🙏🙏

  • @WelimaAdonias
    @WelimaAdonias Месяц назад

    Amen nimepokea uponyaji kwa damu ya Yesu kristo

  • @LilianPeter-qt1vc
    @LilianPeter-qt1vc 7 месяцев назад +1

    Napokea uponyaji WA ugonjwa WA moyo wangu kupitia jina la yesu kristo Mnazareti aliye hai 🙏🏻

  • @theclambiki110
    @theclambiki110 3 месяца назад

    Ninaamini napona kupitia jina la yesu kristu,ahsante Mtumishi

  • @angelmhamila3905
    @angelmhamila3905 8 месяцев назад +1

    nimepona

  • @marylnemshai5959
    @marylnemshai5959 3 месяца назад

    Amen Amen nimepokea kwa jina la yesu

  • @AnnajoyceFidely
    @AnnajoyceFidely 6 месяцев назад

    Ntapokea uponyaji kwa jina la Yesu🙏

  • @محمدالقايد-د6ب
    @محمدالقايد-د6ب 7 месяцев назад

    Amen naimani ntapona mwili wangu wote roho ya machovu iniondoke na mwili wangu urudi

  • @MiriamMichael-m9j
    @MiriamMichael-m9j 6 месяцев назад

    Ee mungu naomba umponye mtt wangu tupo hospitali ni mwezi sasa, naomba Kwa jina la yesu

  • @NeemaMbena-u1e
    @NeemaMbena-u1e 5 месяцев назад

    Amen nmeponywa magonjwa yote kwa jina la yesu

  • @nibitangaclaudine
    @nibitangaclaudine Год назад +1

    Amen 🙏 ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu 🙏

  • @SigiLeonce-l7d
    @SigiLeonce-l7d 4 месяца назад

    Mungu Wangu Nakuomba Umponye Baba Angu Aaamke tena

  • @hamidutwaha9339
    @hamidutwaha9339 7 месяцев назад +1

    Amen nimepokea uzima katika maradhi yangu yote yanayonisumbua katika jina la yesu Kristo wanazaleti Mungu uliye hai Amen

  • @jovinmwasile5674
    @jovinmwasile5674 4 дня назад

    Nimebarikiwa sana

  • @SimweziMandari-ot5cm
    @SimweziMandari-ot5cm Год назад +6

    Nimepokea uzima wa mama yangu tumelazwa hapa hospital pia nguvu asimamie atembee katika jina la Yesu

  • @samaca-r3c
    @samaca-r3c 5 месяцев назад

    Naamini katika jina la yesu AMENI

  • @christerlazaro
    @christerlazaro 6 месяцев назад

    Amen ninakri uzima kwa mama mkwe wangu

  • @beatricechepkurui9161
    @beatricechepkurui9161 Месяц назад

    Amen this message is ready to me g

  • @SHALLETNGUMA
    @SHALLETNGUMA 13 дней назад

    Amen I received healing in Jesus name 🙏

  • @AnithaJoeli
    @AnithaJoeli Месяц назад

    Nina imani Mungu anaenda kuniponya 👏🏻🙏🏻

    • @SHALLETNGUMA
      @SHALLETNGUMA 13 дней назад

      Amen 🙌 I received healing

  • @gabbyedward4079
    @gabbyedward4079 7 месяцев назад

    Ahsante bwana yesu

  • @JoyceHaule-o8c
    @JoyceHaule-o8c 7 месяцев назад

    Amina naamini nimepokea uponyaji

  • @AshuraMwene
    @AshuraMwene 11 месяцев назад

    Amen napokea kwa Iman kubwa naamin nitafunguliwa

  • @AnithaMbogoye
    @AnithaMbogoye 7 месяцев назад

    Amen napokea upoyaji

  • @EDNAKWAMBOKA-zb1es
    @EDNAKWAMBOKA-zb1es Год назад

    Amen ubarikiwe sana mtu wa mungu,🙏🙏🙏🙏

  • @Qeenmatu254
    @Qeenmatu254 9 месяцев назад +1

    Nina imani babangu atapona in Jesus name amen 🙏🙏

  • @ElizaSelemani13
    @ElizaSelemani13 9 месяцев назад

    Amen nimepokea uponyaji

  • @TedyTarimo-k7c
    @TedyTarimo-k7c 10 месяцев назад

    Asante mtumishi nimpokea Kwa jina la yesu

  • @RukiaKalinga
    @RukiaKalinga 9 месяцев назад

    Amina nimepokea uponyaji

  • @nicodemianarose5216
    @nicodemianarose5216 Год назад

    Mwanangu Proches apone kwa jina la Yesu amepokea uponyaji

  • @AishaHassan-fg7rf
    @AishaHassan-fg7rf Месяц назад

    Nimepokea Asante baba

  • @Ferisita
    @Ferisita Месяц назад

    Asante baba

  • @BressMgeni
    @BressMgeni 5 месяцев назад

    Amina baba

  • @AnithaMbogoye
    @AnithaMbogoye 10 месяцев назад

    Amina MUNGU niponye Kwa damu yako

  • @MsafiriBakari-m6c
    @MsafiriBakari-m6c 4 месяца назад

    Asante pasta kwa maombi mazuri

  • @faigel
    @faigel 6 месяцев назад

    Napokea uponyaji wa uzazi kwa jina la yesu kristo🙏🙏

  • @IreneKalugendo-r9s
    @IreneKalugendo-r9s 6 месяцев назад

    Asant mtushi wa mungu

  • @WinniechizyNdewa
    @WinniechizyNdewa 10 месяцев назад

    Amen mungu niponye fibroids

  • @joshuaernest879
    @joshuaernest879 7 месяцев назад

    Amen nimepokea uzima kwa mwanangu

  • @lulufrancis-nk2sd
    @lulufrancis-nk2sd 4 дня назад

    Ameen Ameen Ameen 🙏

  • @sabinahabimana8240
    @sabinahabimana8240 7 месяцев назад

    Amina kwa jina ya yesus

  • @VESTINACHILUFYA
    @VESTINACHILUFYA 3 месяца назад

    Mungu amponye mama yangu magonjwa pia amponye lulu magonjwa yote sugu yanayomtesa

  • @ElizabethWanjiru-w3q
    @ElizabethWanjiru-w3q 7 месяцев назад

    Amen 🙏 nimeponya magonjwa yote katika amen

  • @mudrickandrew6052
    @mudrickandrew6052 4 месяца назад

    Asante yes kwa uponyaji

  • @MarthaAron-q1k
    @MarthaAron-q1k Год назад

    Amen nimepokea uzima

  • @neemamustafa
    @neemamustafa Год назад

    Amina u arikiwe mtumishi

  • @MIKEMUNENEKINOTI
    @MIKEMUNENEKINOTI 7 месяцев назад

    Mwombezi please prayer for my wife is not feeling well

  • @pakasisalimu2636
    @pakasisalimu2636 Месяц назад

    Napokea uponyajj kwenye tumbo langu kwa jina la YESU Kristo

  • @jacklinegasper1707
    @jacklinegasper1707 Месяц назад

    Napokea uzima kwa mdogo ang hupo hospital nina imani atapona kabisa Amina

  • @mwitajulius3693
    @mwitajulius3693 7 месяцев назад

    Ameeeen

  • @HappyAlpineVillage-zz5bc
    @HappyAlpineVillage-zz5bc 8 месяцев назад

    Ameni mungu atuonekanie nafamily yetuu

  • @ZELLAHZACHARIALUCAS-sr6pl
    @ZELLAHZACHARIALUCAS-sr6pl Год назад

    Amina mtumishi

  • @PaulMbote-h8f
    @PaulMbote-h8f 3 месяца назад

    Mungu mponye mtoto wangu Ako mbagathi hospital

  • @CallenOsebe
    @CallenOsebe 6 месяцев назад

    AMEN AMEN 🙏🙏🙏🙏

  • @GressGress-fd9xl
    @GressGress-fd9xl 2 месяца назад

    Ameni

  • @JoyceHaule-o8c
    @JoyceHaule-o8c 7 месяцев назад

    Napokea uponyaji amina

  • @NicoleAlexandra-g5e
    @NicoleAlexandra-g5e 5 месяцев назад

    Amein mung kanifungua 🙏🏽

  • @emmyemanueli
    @emmyemanueli 6 месяцев назад

    nimepokea uponyaji kwa jina la yesu

  • @MwajumaKapona
    @MwajumaKapona Месяц назад

    Napokea uponyanyaj wa mam yang kwa jina la yesu

  • @CapitaineBahati
    @CapitaineBahati 5 месяцев назад

    Âme âme napokeya uzima 🙏

  • @tmaniacell1731
    @tmaniacell1731 11 месяцев назад

    Ameni 🙏 🙏 🙏 🙏 ameni

  • @DeeLizy
    @DeeLizy Год назад

    Ameni baba

  • @neemamustafa
    @neemamustafa Год назад

    Amina

  • @Catherinejohn-r5r
    @Catherinejohn-r5r 2 месяца назад

    Napokea uponyaji wa mama yangu apone magonjwa yote yanayomsumbua aweze kupona kwa dam ya yesu kirsto

  • @ittybitty-bp1cl
    @ittybitty-bp1cl 7 месяцев назад

    Nimepokea uzima🙏

  • @vaniceobonyo8972
    @vaniceobonyo8972 10 месяцев назад

    Nimepokea

  • @DaudiMubeng
    @DaudiMubeng 2 месяца назад

    napokea uponyaji sukari inanisumbua macho hayaon vzuri miguu inaniuma naimani nitapona

  • @sudiadiane
    @sudiadiane Год назад

    Amen Amen

  • @maulinemakungu5322
    @maulinemakungu5322 6 месяцев назад

    Nipokee uponyaji meilini mwangu kifua yangu Na tumbo yangu ipone masaa Haya

  • @KelvinEdsonGomes
    @KelvinEdsonGomes 6 месяцев назад

    Amém

  • @hawamwakisambwe1025
    @hawamwakisambwe1025 10 месяцев назад

    Ameeeeen ameeeeen 🙏🏽

  • @JosephineKengaa
    @JosephineKengaa 10 месяцев назад

    Ameen I receive in Jesus name

  • @nicodemianarose5216
    @nicodemianarose5216 5 месяцев назад

    Pastor Naomba mgonjwa wangu ICU nina imani anapokea uponyaji jina lake na Hassani Seifu

  • @FloraSanga-w4d
    @FloraSanga-w4d 18 дней назад

    Dada yangu anaponatumbo kwajina layesu aliye hai kuanzia sahii

  • @SofiaWasofia
    @SofiaWasofia Год назад

    Ameen

  • @careencylidion
    @careencylidion 11 месяцев назад

    ameen

  • @annawambura5175
    @annawambura5175 Год назад

    Amen

  • @kingmpalu8339
    @kingmpalu8339 9 дней назад

    Ugonjwa wa shingo unamuachia mwanangu

  • @rizikinundu2251
    @rizikinundu2251 Год назад

    Amen🙏

  • @LatifaMtika
    @LatifaMtika 9 месяцев назад

    Nimepokea uzima baba

  • @nellykadenyi
    @nellykadenyi 4 месяца назад

    uponyaji kwa mtoto wa ndugu yangu

  • @MaryMtingwaRenatus
    @MaryMtingwaRenatus Месяц назад

    Ninapokea uponyaji wa vidonda vya tumbo leo

  • @ashurarashidi4962
    @ashurarashidi4962 11 месяцев назад

    Napokea uponyaji