MAOMBI YA KUZUIA HABARI MBAYA MAISHANI MWAKO // FUTA KABISA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 дек 2024

Комментарии • 129

  • @lilianleonard8106
    @lilianleonard8106 Год назад +7

    MUNGU NI MWEMA SANA HALLELUYAH AMETUEPUSHA SIKU YA JANA NA AJALI MBAYA SANA 🙏🙏 NAMSHUKURU SANA MUNGU

  • @JosephineOmari-t5j
    @JosephineOmari-t5j 6 дней назад

    Eeee Mungu wangu naomba uniondolee maneno ya laana nilitamkiwa na mzazi wangu au wali mwengu😭😭😭😭😭🙌🙏

  • @LekisosionNangenoi-dz3kq
    @LekisosionNangenoi-dz3kq Год назад +2

    Amen and Amen Nakataa maneno yaliotamkwa juu yangu kwajina kuu Yesu Kristo aliehai na imekuwa

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 Год назад +12

    Huenda niisingeuza Leo kwenye biashara yangu,,,,ila MUNGU amenipa wateja,,, asante yesu

  • @gracekunambi7438
    @gracekunambi7438 Год назад +2

    Natangaza habari njema katika uzao wangu. Amen

  • @BernadethaChigenda-pz5vn
    @BernadethaChigenda-pz5vn Год назад +2

    Mungu akubariki mtumishi umenivusha kupitia haya maombi nimetambua ctakiwi kutamka kitu chochote kilicho kibaya kwenye familia yangu

  • @lilianeerica3318
    @lilianeerica3318 Год назад +4

    Ooo Lord Thank u kwakusaidia kinywa changu kutokuwai kujitamkia hata neno moja baya ila kama kuna popote niliwai nikasahau naomba upatakase kwa damu yako yesu ❤❤

  • @kitambalazadock7078
    @kitambalazadock7078 Год назад +1

    Nakataa habari mbaya kwenye ndoa yangu katika jina la yesu 🙏

  • @everlynkilimba3963
    @everlynkilimba3963 Год назад +3

    BWANA YESU ni mwema SANA siku zote ana HABARI NJEMA kwetu.Habari mbaya tunazifuta kwa Damu ya YESU KRISTO.❤❤❤❤❤

  • @christinestemi1684
    @christinestemi1684 Год назад +1

    Naomba maneno yote yaliyotamkwa kwangu kwa watoto wangu yote mabaya yafutwe kwa damu yayesu

  • @pascalinakiimay462
    @pascalinakiimay462 Год назад +1

    Naji uganisha na haya mambi katika jina la Yesu kristo

  • @anthonyjonny8427
    @anthonyjonny8427 Год назад +1

    Wuuui Mungu wangu Mungu wa mathambau ya esiri za bibilia nisamehe

  • @JumaAugusto-du5bu
    @JumaAugusto-du5bu 23 дня назад

    Asante Ee mwenyezimungu kwa kunipa mtumishi kuja kuni funza vitu vya msingi sana

  • @HAPPYNESMSONDE
    @HAPPYNESMSONDE 3 месяца назад

    Amen mtumishi barikiwa sana mtumishi wa Yesu

  • @UpendoMtunguja
    @UpendoMtunguja 4 месяца назад

    Ameen nafuta maneno yote mabaya yaliotamkwa kwangu na watoto wangu iwe kwa siri au kwa wazi Nakataa kila laana iliyotamkwa kwangu na kwa watoto wangu nafuta kila maneno mabaya niliotamka kwa watoto wangu iwe kwa kujua au kutokujua ameen

  • @edithaabel7858
    @edithaabel7858 Год назад +1

    Nafuta maneno yote mabaya niliyojitamkia niliyowatamkia watoto wangu na ndugu zangu na yote tuliyotamkiwa na adui zetu nayafuta kwa Damu ya Yesu kristu, Amina.

  • @MasaiTanzania-c3x
    @MasaiTanzania-c3x Год назад +1

    nakataa kila taarafa mbaya katika jina la yesu

  • @happinessmtitu4485
    @happinessmtitu4485 Год назад +1

    Nafuta Kila maneno mabaya yaliyotamkwa kwenye maisha yangu, hata kama nimejitamkia Mimi mwenyewe au watu wengine ninaowajua na nisiowajua nayafuta kwa Damu ya Yesu!

  • @joycepatofondo
    @joycepatofondo Год назад +2

    Nafuta maneno nilijitamkia nikiwa mdgo kwamba sitaki kuolewa nafuta Mungu niajalie siku Moja nipate mwenza wa maisha mwenye tutaishi katika njia zako n kuenenda kwa kukupendeza n tuwe n maelewano 🙏🙏🙏🙏

  • @user-sarah1sarah
    @user-sarah1sarah Год назад +1

    Huyo ni mimi huwa ata najitamukiya mwenyewe 😢eeee mungu Asante kwa neno lako🙏🙏🙏🙏

  • @dollamtui5849
    @dollamtui5849 Год назад

    Asante Bwana Yesu kwa habari njema nakushukuru Bwana Yesu kwa kufuta matamko yoyote mabaya niliyowahi kujitamkia au kutamkiwa au kuwatamkia watoto wangu nayafuta kwa damu ya Yesu iliomwagika pale msalabani ameen

  • @MasaiTanzania-c3x
    @MasaiTanzania-c3x Год назад +1

    🎉 Amina

  • @christinestemi1684
    @christinestemi1684 Год назад +1

    Nafuta kila habari mbaya kwamba sitafaulu yashindwe kwajina layesu nipate kibali kwa damu yayesu kristo 🙌

  • @annnziu6809
    @annnziu6809 Год назад

    Amen Amen mafuta rahana sote nilitamukiwa na andui zangu in Jesus name

  • @Sabinajosephndunguru-xq9lc
    @Sabinajosephndunguru-xq9lc Год назад +1

    Amen amen amen🙏🙏🙏🙏

  • @moseskulola6913
    @moseskulola6913 6 месяцев назад

    Here's mungu nijalie nisimame na wewe mungu

  • @magdalenacharles8833
    @magdalenacharles8833 Год назад +1

    Amen,Asante YESU🙏

  • @irinenjombo3368
    @irinenjombo3368 9 месяцев назад

    Ameeeeeen natangaza habari njema kwenye maisha yangu na watoto wangu, ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu 🙏🙏

  • @upendovicent5376
    @upendovicent5376 Год назад +1

    Ahsante mungu kwakunikomboa mm pamoja nafamilia yangu..hakunatena habalimbaya kwajina layesu amina

  • @janehabakuki4564
    @janehabakuki4564 Год назад +1

    Ninakataa kila matamshi juu yangu watoto wangu waliotamka yashidwe kwajina la Yesu maneon makari kiywani mwangu yashidwe

  • @gracerashidi-z8u
    @gracerashidi-z8u 10 месяцев назад

    Âmen Amen bwana yesu asifiwe

  • @edinahmasea1603
    @edinahmasea1603 Год назад +2

    Asante Yesu kwa kutukomboa na watoto wangu. Amen Amen Amen Lord Amen

  • @aminajuma1156
    @aminajuma1156 Год назад +1

    Ameen mtumishi

  • @DativaAssey-lo3hn
    @DativaAssey-lo3hn 6 месяцев назад

    Nafuta maneno mabaya Kwa jina la yesuuu kristu

  • @rithamalisa4636
    @rithamalisa4636 Год назад +1

    Amina naamin nimepokea kwa jina la yesu wa nazareti AMENI🙏

  • @judithmkodo6892
    @judithmkodo6892 Год назад +1

    Shalom Nimebarikiwa Mno 🙏

  • @gabrielhonlat4043
    @gabrielhonlat4043 Год назад

    Nakwenda kufuta kila laaana ya maneno katika jina la yesuu.

  • @beatricetumaini6364
    @beatricetumaini6364 Год назад +1

    Ameeeen Ameeen mtumishi barikiwa sana😊

  • @rosemaryowory5710
    @rosemaryowory5710 Год назад +1

    Maneno yote niliyotamka kwa kinywa changu n wengine ninafuta kwa damu ya YESU KRISTO 🙏

  • @emilywamalwa5938
    @emilywamalwa5938 Год назад +1

    Yote yenye wazazi wangu walinitamkia ninaikataa nakuifuta na damu ya Yesu kristo in Jesus name amen,amen🙏🙏🙏🙏mtumishi Mungu akubariki.

  • @RehemaNzeyimana-j1k
    @RehemaNzeyimana-j1k Год назад

    Amen barikowa sana mutumshi wamungu nashuru sana

  • @MarieMakiwa-f9j
    @MarieMakiwa-f9j 8 месяцев назад

    Ee Mungu nilinde na maneno ya nayo tamkwa kinyume na mapenzi yako

  • @MarieMakiwa
    @MarieMakiwa 4 месяца назад

    Ee mungu wangu nahomba unihondolee maneno yote waliyo nitamukiya

  • @annagodwin412
    @annagodwin412 Год назад +1

    Nafuta maneno yote mabaya niliyojitamkia mm mwenyewe au na mtu mwingine /au kuwatamkia wanangu ktk Jina la YESU KRISTO aliye Hai ! Ameen 🔥🔥🔥

  • @KishaVerus
    @KishaVerus 6 месяцев назад

    Asante Mungu wangu

  • @alicethobias932
    @alicethobias932 11 месяцев назад

    Narudi nyumbani kwa jina la Yesu

  • @marymaria6544
    @marymaria6544 Год назад

    Ninafuta chochote nilichojitamkia mwenyewe,pia nilichotamuka Kwa watoto wangu,hatakilichotamkwa Kwa familia yangu chochote kibaya bila kujua Na hatakujua.nafuta Kwa damu YA yesu Kristo amen

  • @joyceshiyo7257
    @joyceshiyo7257 Год назад +1

    Nikweli kabisa dada yangu alinitamkia maneno mabaya na yamenikuta kweli na yananitesa sana

  • @domingosj
    @domingosj Год назад

    Ubarukiwe sana mtumishi,

  • @lydiab495
    @lydiab495 Год назад +1

    Amen in jesus

  • @shazzysymon6835
    @shazzysymon6835 Год назад +1

    Asante roho mtakatifu

  • @margaretmumby2411
    @margaretmumby2411 9 месяцев назад

    A prayer request to you pastor innocent..nahitaji maombi more than..maisha yangu iko hatarini😢! # pastor innocent na Siri za bibilia tearm nibebeni na maombi 😢

  • @IsabelMazik-r4t
    @IsabelMazik-r4t Год назад +4

    AMEN AMEN,nafuta kila maneno mabaya yaliyotamkwa juu yangu iwe kwa kujuwa au kwa kutokujuwa,iwe na ninaowafaham au nisiowafaham kwa mamlaka ya jina la YESU KRISTO WANAZALETI 🙏🙏

  • @JosephineChondo
    @JosephineChondo Год назад

    Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @RoroRoserororo
    @RoroRoserororo Год назад

    Amen and amen

  • @FaidaWilly-du8ts
    @FaidaWilly-du8ts Год назад

    Amen amen mtumishi,damu ya yesu inisafishe na mimi

  • @furahahonorine8055
    @furahahonorine8055 Год назад +1

    Aaaaaamiiina

  • @sabinaleonce8243
    @sabinaleonce8243 Год назад

    Amina Mungu akubari Mtumishi

  • @JosephineChondo
    @JosephineChondo Год назад

    Amina mtumishi wa mungu

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 Год назад +1

    Jamani wazazi,,,,,maneno Yana nguvu,,,,tunene mazuri jamani

  • @eliapendakiondo9229
    @eliapendakiondo9229 Год назад

    Aman amen

  • @OrestaLuambano-bh8gp
    @OrestaLuambano-bh8gp Год назад

    Nafuta maneno yote mabaya niliyo tamkiwa mimi na familia yangu ktk JINA LA YESU

  • @AnnaKosta-e1v
    @AnnaKosta-e1v 4 месяца назад

    Baba yangu na ndugu zangu wanatamka maneno mabaya kuhusu kipato changu na ndoa yangu oi pasta niombee

  • @nurundumo7587
    @nurundumo7587 11 месяцев назад

    Amina kubwa

  • @marymaria6544
    @marymaria6544 Год назад

    Amen amen asante yesu.asante mungu kwakuniweka Salama pamoja Na kilakitu changu mikononi mwako.ubarikiwe sana mtumishi Kwa Haya mafundisho roho mtakatifu alioachilia kwako.

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 Год назад +1

    Amen amen

  • @veronicajohn2705
    @veronicajohn2705 Год назад +1

    God 👏

  • @jackympangile-nt3js
    @jackympangile-nt3js Год назад

    Amen 🙏

  • @stephanosospeter1709
    @stephanosospeter1709 Год назад

    Ameen

  • @sharifamakasy6087
    @sharifamakasy6087 Год назад

    Nafta maneno niliyo jitamkia na niliyotamkiwa ka tamu ya yesu ameni

  • @EdinaEdina-l1p
    @EdinaEdina-l1p 8 дней назад

    Na kataa taarifa mbaya kwangu kwangu ninatangaza taarifa njema zikaje kwangu kwa jina la yesu

  • @margaretmumby2411
    @margaretmumby2411 Год назад +3

    Thank you Lord

  • @naryzmalilo571
    @naryzmalilo571 Год назад +6

    Maneno yaliyotamkwa kinyume na mapenzi yako juu yangu ninayafuta kwa damu ya Yesu

  • @gabrielhonlat4043
    @gabrielhonlat4043 Год назад

    Amen mtumishi kwa somo zuri.nakwenda kufuta kila matamko niliyosema. na kusemewa na watu wabaya katika jina la yesu nisaidie yesu Amen.

  • @nurundumo7587
    @nurundumo7587 11 месяцев назад

    Amina nabarikiwa sana

  • @abigaelmwadena2262
    @abigaelmwadena2262 Год назад

    Ameen barikiwa sana

  • @perisriziki1592
    @perisriziki1592 Год назад

    Ameeeen and Ameeeen

  • @CalistaShayo-sy7pg
    @CalistaShayo-sy7pg Год назад

    Asante bwana hata kwa kunikumbusha

  • @tatusaid3934
    @tatusaid3934 Год назад

    🤲🤲 amen and ameeen

  • @mariamakunga8808
    @mariamakunga8808 Год назад

    Ameen hakika nimepona

  • @geitandelwa299
    @geitandelwa299 4 месяца назад

    Ameni

  • @GressGress-fd9xl
    @GressGress-fd9xl 4 месяца назад

    Ameni naomba .tumishi uniombee kuusu mausiano yangu yamekuwq ni yenye mateso san kila mwanaume akitaka kunowa anapotea mazim nisaidiye mtumishi nimechoka zambi ya uzinzi naitaji niishi kwaamani na familiya

  • @francoise17
    @francoise17 Год назад

    Amen 😊

  • @yvanmanirakiza7015
    @yvanmanirakiza7015 Год назад +1

    Amen

  • @DoraTemba
    @DoraTemba 3 месяца назад

    Nazuia bahati mbaya zisitokee

  • @alicemwaka3762
    @alicemwaka3762 Год назад

    Emeeen

  • @mariahabokea2085
    @mariahabokea2085 Год назад +2

    Amen and Amen.

  • @mosesmaganga1548
    @mosesmaganga1548 Год назад

    Nafuta kila nilichokitamka na nilichotamkiwa na mtu yeyote kibaya Kwa damu ya yesu kristu🙏🙏

  • @florencekwekwe1993
    @florencekwekwe1993 Год назад +1

    AMEN 🙏 AMEN be blessed

  • @esthercharo695
    @esthercharo695 Год назад

    Àmen

  • @liddydeSalt4773
    @liddydeSalt4773 Год назад +1

    Shalom and Amen 🙏 🙌 👏

  • @gukawafly
    @gukawafly Год назад +1

    Power in prayers those know God 🙏

  • @blessedmajojojo387
    @blessedmajojojo387 Год назад

    Ps 31:15

  • @LazaroMollel-zw2of
    @LazaroMollel-zw2of Год назад

    🙏🙏🙏🙏

  • @linet6663
    @linet6663 Год назад +1

    Ameeen 🙏🙏, barikiwa sana mtumishi wa Mungu 🙏🙏..am so much blessed through your teachings and prayers... your teachings strengthens my Faith day by day I thank God for everything 🙏🙏🙏

    • @sirizabiblia5276
      @sirizabiblia5276  Год назад

      It's my pleasure @LINET

    • @linet6663
      @linet6663 Год назад

      @@sirizabiblia5276 be blessed mtumishi wa Mungu 🙏🙏

  • @pendomosha1469
    @pendomosha1469 Год назад

    🤲🤲🙏🙏

  • @sharonatienoolweny
    @sharonatienoolweny Год назад

    Ameeeeen ninatamka Baraka in Jesus name

  • @MedrineAnyango
    @MedrineAnyango 4 месяца назад

    Vunja taking njila yesu

  • @dorisbernard4836
    @dorisbernard4836 6 месяцев назад

    Hii ujumbe ni yangu kabisa nikiwa mdogo mamaangu aliniambia nitaoleka mboma kumi akuna pahali nitaioleka nikae saai nimeoleka mbona ya inne niko na watoto wa inne kila mtoto na babaake kwa saai niko na watoto wangu sina mwanaume nikipata mtu anipeleke kwao alfu aende kwetu nikipata mtoto tunaashana natoka sikai uko saai ndio mamaangu anasema aliongea lakini akuwa anajua itatendeka kupitia hii maombi laana nilitamkiwa sikatoke kwa njina la yesu 🙏🙏🙏🙏

  • @user-sarah1sarah
    @user-sarah1sarah Год назад

    Amen 🙇🙇🙇🙌