JINSI YA KUONGEA NA MUNGU KAMA RAFIKI - Innocent Morris

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 янв 2025

Комментарии • 265

  • @modestarantony6964
    @modestarantony6964 4 месяца назад +21

    Ee. YESU nipe neema ya kuwa Rafiki yako siku zote za maisha yangu nikuelezee mambo yangu yote maana wewe ni Rafiki mzuri katika maisha yangu

    • @holyspiritconnect
      @holyspiritconnect  4 месяца назад

      Ameen ameeen

    • @samuelbahati7976
      @samuelbahati7976 4 месяца назад +2

      Amen

    • @RoseKageza
      @RoseKageza 4 месяца назад

      Ee Yesu ,bwana wangu ,nataka uwe rafiki yangu kweli ili unisaidie katika maisha yangu siku zote,nakupenda bwana wangu Yesu Kristo.

    • @SaumWangeci
      @SaumWangeci 2 месяца назад

      Barikiwa mtumishi wa mungu kwakweli mafuzo yanipeleka kiwango kingine

  • @sarahmushi5011
    @sarahmushi5011 28 дней назад

    Yesu Kristo nakuomba uwe rafiki yangu siku zote za maisha yangu ili mikueleze mambo yangu maana najuwa utanibeba na hutaniacha nikaibika. Sehemu sahihi yakupeleka mambo yangu nibkwako rafiki yangu mwema.

  • @HamidaMsofe
    @HamidaMsofe Месяц назад

    Nakuomba Bwana Yesu uwe rafiki yangu,uwe kiongozi wangu peke yangu siwezi bila wewe

  • @mastulahabibu928
    @mastulahabibu928 22 дня назад

    Mtumishi nimempoke Bwana Yesu awe Rafiki yangu wa ukweri mungu akutunze mtumishi❤❤❤

  • @JulianaBernard-u5f
    @JulianaBernard-u5f 25 дней назад

    Yesu nisaidie niwe rafiki yako kwa jina la Yesu.

  • @alakomba6830
    @alakomba6830 3 месяца назад +6

    Napenda mafundisho ya huyu baba

  • @mkindimkindi2910
    @mkindimkindi2910 17 дней назад

    Amen asante Mtumishi wa Mungu BWANA YESU KRISTO akutunze hallelujah utukufu Kwa Bwana YESU

  • @nampendambwambo8564
    @nampendambwambo8564 Месяц назад +2

    ❤❤ love you Jesus

  • @christinamyegeta3527
    @christinamyegeta3527 4 месяца назад +2

    Barikiwa mtumishi kwa mafundisho mazuri tunahuishwa kila siku

  • @CHW191
    @CHW191 4 месяца назад +2

    Mungu akuongezee siku nyingi za kuishi ili kwa kinywa chako mtumishi tuzidi kupata maarifa ya ki mungu Amen

  • @IraneShirindo
    @IraneShirindo Месяц назад

    Yesu kristo naomba niwe rafiki yako wa kweli nisaidie maishani mwangu nisiluwache amen❤❤

  • @SarahKadafu-ps1xk
    @SarahKadafu-ps1xk 4 месяца назад +2

    Naomba Yesu uwe rafiki wa kweli kwenye maisha yangu nakuamini sana kwamba wew ni rafiki wa pekee kwangu🙏🙏

  • @FebroniaMushi-zz6jm
    @FebroniaMushi-zz6jm Месяц назад

    Ee,bwana Yesu naomba uwe,Rafiki yangu mdà wote

  • @Ibbah-u9n
    @Ibbah-u9n 27 дней назад

    Umenifundisha kujua yesu kama lafiki mwaminifu mungu akubaliki Sana paster na mwalimu mwema

  • @Bombasticbumbaclap
    @Bombasticbumbaclap 21 день назад

    Mutumichi nana mupokeya mwana yesu kuwa mokoziwangu amen

  • @happinesssebastian8833
    @happinesssebastian8833 2 месяца назад +1

    Oh My lovely friend Yesu nakupenda ❤

  • @GetrudeJustine
    @GetrudeJustine 6 дней назад

    Ee Yesu naomba uwe rafiki yangu

  • @portershouseconsult
    @portershouseconsult 4 месяца назад +2

    Mungu akutunze nakuombea katka jna la YESU ❤❤❤

  • @AmaniSiwarozi
    @AmaniSiwarozi Месяц назад

    Eee Yesu Lafiki mwema niumbie moyo wa kukupenda sana Kama Lafiki yangu mwema nikueleze kila kitu kinacho nitatiza amina

  • @GraceMgalla-w6z
    @GraceMgalla-w6z Месяц назад

    Asante sana mtumishi kuanzia Leo rafki yangu ni yesu😢

  • @CarolMuthoni-px4cv
    @CarolMuthoni-px4cv 3 месяца назад

    Baba nakupenda sana,nisaindie sana nikawe rafiki yako kuliko rafiki wa dunia.

  • @MaryAnyango-io1ws
    @MaryAnyango-io1ws Месяц назад

    Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu umebandilisha Maìsha yangu iwas dying ,mungù hakuinwe

  • @eliudfelician5057
    @eliudfelician5057 4 месяца назад +2

    Asante BWANA YESU wewe ni rafiki yangu siku zote Ninapenda sana Rafiki wa Moyo wangu naomba ukae kwangu nami ndani yako milele

  • @LatifahNungu
    @LatifahNungu 2 месяца назад

    Nabarikiwa Sana na mafundisho yako, Mungu akubariki Sana na aendelee kukuza huduma hii kwako, Mungu akubariki sana

  • @LucyMwangalaba
    @LucyMwangalaba 2 месяца назад

    Somo zuri sana yesu nisaidie kuwa rafiki wa karibu

  • @pendopeter1790
    @pendopeter1790 Месяц назад

    Yesu wangu nahitaji uwe rafiki yangu nami niwe rafiki yako.

  • @AliceMuia-k9p
    @AliceMuia-k9p Месяц назад

    Mungu nisaidie nidumishe urafiki

  • @AgreyAckim-pt3wv
    @AgreyAckim-pt3wv 2 месяца назад +2

    Anasema kwenye matayo"Ninyi ni marafiki zangu siwatumwa kwamaana mtumwa hajui afanyalo bwana wake Bali mm nitaawambia Yale yotee baba atayonifuliaa""we are Jesus friend 🙏🙏🙏🙏

  • @NivessKomba
    @NivessKomba 4 месяца назад +1

    Bwana YESU naomba uwe Rafiki yangu wa kweli ktk maisha yangu na uzao wangu.

  • @ChristinaChristianajoinmagari
    @ChristinaChristianajoinmagari 4 месяца назад +1

    Napenda sana kuwa lafiki wa yesu maana alinilipia deni la dhambi

  • @BlendaMwiheve
    @BlendaMwiheve 13 дней назад

    Barikiwa sanaaaa mtumishi wa Mungu

  • @warshatissa7128
    @warshatissa7128 4 месяца назад +1

    Bwana yesu tembea nasi. Kaa Nami uniongoze katika maisha Yangu yote ameen

  • @MaryKilahama
    @MaryKilahama 4 месяца назад +1

    Eeh Bwana yesu ninaomba kuanzia leo ww uwe rafiki yangu Baba uniongoze vyema

  • @samuelbahati7976
    @samuelbahati7976 4 месяца назад +1

    Ee Jehova nakusihi uwe rafiki yangu daima na milele Amen.

  • @EvahTendwa
    @EvahTendwa 4 месяца назад +1

    Amina kubwa mtumish mungu azidi kkbariki, na kuendelea kkpa maarifa zaidi ili tuzizi kuelimishwa. 5:22

  • @oman5875
    @oman5875 4 месяца назад +1

    Ee Rafiki yangu kipenzi changu wa maisha yangu nitakupenda siku zangu zote za maisha yangu ninaomba ukawe nami daima milele na milele 🙏🏿🧎

  • @MusindoJuma
    @MusindoJuma 3 месяца назад +1

    Asante kwa ujumbe huu Mungu nijalie neema niwe rafiki yako

  • @KanadeMrangu
    @KanadeMrangu 3 месяца назад

    YESU nitetee niongeze maana bila wewe mimi si kitu nahitaji uwe Rafiki yangu nakupenda ❤❤❤❤❤

  • @ruthmshereja3976
    @ruthmshereja3976 19 дней назад

    Hakika rafiki wa kweli ni Yesu tu,hakuna mwinging

  • @FulahiniRazalo
    @FulahiniRazalo Месяц назад

    Nimempokea bwana kuwa mwokozi wa maisha yangu,

  • @JeniferShirima
    @JeniferShirima 4 месяца назад +1

    Mungu nipe neema ya kuwa Rafiki yako.

  • @promisesalvatory
    @promisesalvatory 2 месяца назад +1

    Napenda mafundisho yako, hakika yananibariki, na Mungu akubariki..

  • @JoyceJohn199
    @JoyceJohn199 3 месяца назад

    Eee yesù nipe Neema ya kuwa rafiki yako siku zote za maisha yangu nikuelezee mambo yangu magumu amen 🙏

  • @josephinamilwano1556
    @josephinamilwano1556 3 месяца назад

    Mungu wa mbinguni akutunze na kukuinua zaidi somo lako limenibariki sanaaa Naomba Roho Mtakatifu anisaidie kuujenga urafiki na YESU

  • @Happythomas-f1g
    @Happythomas-f1g Месяц назад

    Asanteee sana Kwa neno nmebarikiwa mtumishi wa Bwana

  • @GetrudeJustine
    @GetrudeJustine 6 дней назад

    Mungu akubariki sana

  • @ElizabethJames-r6n
    @ElizabethJames-r6n Месяц назад

    Eeee Mungu wangu nahitaji uwe rafiki yangu kila hatua ninayopita uniongoze peke angu siwezi baba

  • @dorcaswekesa3300
    @dorcaswekesa3300 16 дней назад

    Amen asante yesu 🙏🙏

  • @estherwanjalanyongesa
    @estherwanjalanyongesa 2 месяца назад +1

    Amen...ee yesu nipe neema ya kuwa rafiki yangu siku zote za maisha!

  • @AsteriaWilbert
    @AsteriaWilbert 2 месяца назад +1

    Ubarikiwe sana baba

  • @EstherMamali-c4x
    @EstherMamali-c4x 21 день назад

    You have make me cry,be blessed man of God 🙏

  • @Jackchuma
    @Jackchuma 3 месяца назад

    Amina mtumishi wa MUNGU nimebarikiwa sana na mafundisho yako, eeeh YESU ninakupenda kwa kuwa ni RAFIKI MZURI

  • @niymaedwin4297
    @niymaedwin4297 4 месяца назад +2

    Nimtoe wapi rafiki wa kweli kama Yesu Eeeh Roho mtakatifu naomba unifanye 1 kati ya rafiki zako nakupenda 🙏❤️🎉

  • @Suleimanhakimu
    @Suleimanhakimu 4 месяца назад

    Amina amina amina kweli kweli umenivusha umeniongezea hatua kwenye safari yangu ya imani ktk Kristo yesu umenigusa ndani ya kilindi cha moyo wangu asilimia kubwa nashindwa kuelezea hisia kwa kadiri nilivyoguswa na somo hili zuri mno❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤.ahsante bwana mungu ktk kristo,pia imeandikwa japo sipo nanyi lakini nipo nanyi kiroho naamini nimeeleweka vyema ktk kristo yesu.

  • @SteraChristopher
    @SteraChristopher Месяц назад

    Barikiwa sana mtumishi

  • @MickyOkuku
    @MickyOkuku 3 месяца назад

    Yesu ndiye rafiki yangu ninaye mwamini 😊

  • @doreenjane3215
    @doreenjane3215 4 месяца назад

    Nimeshuku sana Leo juu nimejua vile utakuwa rafiki yangu ya kweli nimeshuru sana kutoka Leo mpaka siku sote za maisha yangu ,yesu utakuwa rafiki wangu 🙏🙏🙏

  • @SabinaKimolo
    @SabinaKimolo 2 месяца назад +1

    Yesu kristo naomba uwe rafiki yangu kwa maisha yangu

  • @NiyonkuruSalehe
    @NiyonkuruSalehe 4 месяца назад

    Hivi kusema ukwer watumishi wote wa Mungu wangekua watufundisha yalio sahihi kama haya kwer tungefika mbinguni bila kuchoka sana ubarikiw sana Mtu wa Mungu kwer ningejua uliko nikukununulia ka soda basi maana umeufariji moyo wangu ni yesu ameongea kupitia wew❤

  • @OliviaNdosi-hr8wx
    @OliviaNdosi-hr8wx 4 месяца назад +2

    Mungu nipe NEEMA ya kuwa rafiki na wewe

  • @kalalambuyumadeleine5050
    @kalalambuyumadeleine5050 4 месяца назад +1

    Ubarikiwe sana mutumishi

  • @MARYAsembo-ne3xk
    @MARYAsembo-ne3xk 6 дней назад

    Asante kwa mafunzo yko mazuri

  • @warshatissa7128
    @warshatissa7128 4 месяца назад

    Hakika bwana yesu wewe ni rafiki mwema naomba nikuelezee mambo Yangu Leo. Nakupenda yesu

  • @evangelinamwijage5856
    @evangelinamwijage5856 2 месяца назад +1

    Naomba Yesu mwana wa Mungu uwe rafiki yangu siku zote za maisha yangu

  • @feddymwanga5462
    @feddymwanga5462 3 месяца назад

    Ee Yesu rafiki yangu mpenzi, nakukaribisha

  • @leonardanzurunipombi2499
    @leonardanzurunipombi2499 4 месяца назад +1

    Asante Yesu rafiki wa Karibu

  • @MarianaMajenga-uu2wj
    @MarianaMajenga-uu2wj 4 месяца назад +1

    Asante mtumishi kwa neno la kujenga mahusianona Yesu ambaye ni rafiki wa kweli.Mungu niwezeshe Nitshill kama neno linavyonena nwe rafiki wa kweli wa Bwana Yesu ,Amena.

  • @rachelmurianga7261
    @rachelmurianga7261 4 месяца назад

    Ee Mungu wangu naomba uwe rafiki yangu wa karibu sana uwe mwandani wangu wa karibu sana ,

  • @Bahati-ho3zv
    @Bahati-ho3zv 4 месяца назад +2

    Ee YESU nipe Neema ya kuwa Rafiki yangu siku zote.

  • @homestudio6613
    @homestudio6613 Месяц назад

    Amina mtumishi wa mungu❤

  • @judithisaya016
    @judithisaya016 4 месяца назад

    Amina mtumishi nimependa sana somo hili limenibariki sana!

  • @graysonkatunzi5950
    @graysonkatunzi5950 4 месяца назад

    Mungu wa mbinguni naomba unifanye kuwa rafiki yako wa milele

  • @KamiyattiNamusisi
    @KamiyattiNamusisi 4 месяца назад +1

    Ee rafiki yangu,
    Mamayangu
    Babayangu
    Baba wayatima nijaze imani
    Nibariki na unisaidie nikumbuke baba naharibu mno nimechoka

  • @JulianKagual
    @JulianKagual 3 месяца назад

    Nayakubali mafundisho yako mchungaji Mungu akulinde uendelee kutufundisha tunayostili kuyafanya,Mungu akubariki

  • @annadadi3427
    @annadadi3427 4 месяца назад +1

    ❤Naomba unifanye kuwa Rafiki wa karibu nawe Yesu

  • @jacklineelias3091
    @jacklineelias3091 3 месяца назад

    Amina mtumishi wangu ee mungu naomba baraka juu ya maisha yangu najikabidhisha mikononi mwako

  • @AnnaSamwel-ww6nk
    @AnnaSamwel-ww6nk 4 месяца назад +1

    Nakupenda yesu wewe rafiki wa kweli, natamani nikupende zaidi na nikijue nikumimbilie na nidumu ktk pendo lako😊

  • @tullyibrahim8098
    @tullyibrahim8098 4 месяца назад

    Asante Roho mtakatifu kwa kunifundisha kwa lugha nyepesi na rahisii.. YESU kuanzia sasa mimi ni rafiki yako nipokee

  • @ChristineEketo
    @ChristineEketo 4 месяца назад +1

    Nimempokeya bwana yesu

  • @deosteriahamisi9950
    @deosteriahamisi9950 4 месяца назад

    Ahsante Bwana YESU kwa kunipenda hata ukaruhusu nisikie na kujifunza somo hili zuri

  • @HejJsj-hv5it
    @HejJsj-hv5it 4 месяца назад +1

    Mungu nifanye kuwa rafiki yako wa karibu I love you Jesus

  • @mkindimkindi2910
    @mkindimkindi2910 17 дней назад

    Amen and Ameen 🙏🙏🙏 hallelujah 🙏

  • @yvettemamdogo2289
    @yvettemamdogo2289 4 месяца назад +1

    Yes na penda uwe rafikiya yangu wa kweli , Amen 🙏🏾

  • @elkanamange5245
    @elkanamange5245 4 месяца назад

    Amen ,,,,Yesu nifanye kuwa rafiki wa maisha yang yote

  • @eliudfelician5057
    @eliudfelician5057 4 месяца назад

    Asante Mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana

  • @KostantiniDonati
    @KostantiniDonati 3 месяца назад

    Mtumishi nimempokea bwana yesu

  • @BeatriceMunisi-z9l
    @BeatriceMunisi-z9l Месяц назад

    Naomba Yesu niwe rafiki yako,unipe msaada,nguvu kwani wewe ni kimbilio langu.

  • @NemayaAbedi-lk9lo
    @NemayaAbedi-lk9lo 3 месяца назад

    Asante sana kwasababu sikukuwa na juwa Kama Nina pwasa kumwambia Mungu mambo yangu , Nime shukuru sana kwamafundisho yako.

  • @leahtitiha2445
    @leahtitiha2445 4 месяца назад

    Amen Mchungaji, barikiwa sana kwa ujumbe huu wa mafunzo ya kutujenga kwa maisha yetu ya kiroho!!
    🙏🙏🙏

  • @daniellamamiro8388
    @daniellamamiro8388 4 месяца назад

    Amen, hili somo limenijia wakati muafaka

  • @AishaKarima-b2c
    @AishaKarima-b2c Месяц назад

    God bless you pastor unanibariki

  • @SabinaKimolo
    @SabinaKimolo 2 месяца назад +1

    Mungu akujaze hekima zaid mtumishi

  • @annegunga3738
    @annegunga3738 4 месяца назад

    Ee Mungu ninakuamini sana,naomba uwe rafiki yangu milele

  • @queenmwanzia3283
    @queenmwanzia3283 3 месяца назад

    Yesu rafiki yangu mzuri

  • @DanielNdabi
    @DanielNdabi 3 месяца назад

    Mtumishi nimempokea BWANA YESU kwenye maisha yangu

  • @angelmyatiro2764
    @angelmyatiro2764 3 месяца назад

    Thank you Almighty Lord for this blessing of getting to know you through your servant 🙏🏽Asante sana Yesu mwana wa Mungu aliye hai

  • @hellengichuki
    @hellengichuki 4 дня назад

    Amina i l❤ve you Jesus

  • @KyondwaBrigitte
    @KyondwaBrigitte 4 месяца назад

    Nakupenda Yesu na uniongoze ili nipate kuongeya na wewe kama rafiki maishani mwangu.

  • @Mary-z5i1s
    @Mary-z5i1s 4 месяца назад

    Mimi naitaji maombi naniwe karibu na Mungu awe rafiki yangu milele🙏🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️

  • @JosephinaMjema
    @JosephinaMjema 4 месяца назад

    Barikiwa mtumishi ,Yesu ni rafiki yangu