SIRI MUJARABU YA DUA HIZI KATIKA KUPATA PESA KILA SIKU | SIRI ZA QURAN TUKUFU | Mohamed Alidini

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 фев 2025
  • SIRI MUJARABU YA DUA HIZI KATIKA KUPATA PESA KILA SIKU | SIRI ZA QURAN TUKUFU | Mohamed Alidini
    Katika video hii tunaelezea Siri ya Dua hizi katika kupata pesa nyingi kila siku kwa uwezo wa Allah (SWT). Hii ni Siri kubwa kwa kuwa inafungamana na Quran ambayo ni kitabu cha Allah (SWT) kisichokuwa na shaka yoyote. Ni matumaini yangu kuwa utafuata maelezo yake ili uweze kufikia malengo yako yote.
    -----------------------------------------------------------------------------------------
    Maelezo yake:
    Surah:
    Ayah:
    -----------------------------------------------------------------------------------------
    Utaratibu wake:
    Faida ya 1:
     Kuwa na Yaqeen kuhusu siri na faida za Qur’an Tukufu
     Kuwa na Udhu na ueleke Qibla
     Tia Nia
     Soma Dua hii mara 1000:
     ( يَا صَاحِبَ اللُّطْفِ الْـخَفِيِّ بِكَ أَسْتَعِيْنُ وَأَكْتَفِيْ )
     Soma Dua hii kwa muda wa masiku saba (7) ya kufuatana.
    Faida ya 2:
     Baada ya Swala za Faradhi
     Kuwa na Udhu na ueleke Qibla
     Tia Nia
     Soma Dua hii mara 19:
     ( يَا لَطِيْفُ يَا خَفِيَّ الْأَلْطَافِ أَدْرِكْنِيْ بِلُطْفِكَ الْـخَفِيِّ إِنَّنِيْ فَقِيْرٌ مُحْتَاجٌ ذَلِيْلٌ )
     Dumu kusoma Dua hii kila siku
    ------------------------------------------------------------------------------------------
    Shukran kwa kujisajili Channel yangu!
    ----------------------------------------------------------------------------------------------
    Copyright Notice:
    ► Every content we made are licensed to our channel.
    ► All audios, videos and images are copyrighted and fully licensed.
    ► Elements used in this video are edited by us are copyrighted and fully licensed.
    ► So, you do not have permission to use or reupload our content without our permission.
    Copyright © 2024 Mohamed Alidini. All rights reserved.
    **********************************************************************

Комментарии • 178

  • @hadijaismail3619
    @hadijaismail3619 2 месяца назад +16

    Jazakallah khaira Allah akulipe heri nyingi zisizo mfano,pia natoa shukrani kuna mtu ktk baadhi ya video zako alichomekeza mada akiomba umuelekeze dawa ya mtoto kuacha kukojoa kitandani,ulivyoelekeza nami nikamwelekeza mwanangu ana miaka 14 akafanya alhamdulillah amepona nimehangaika kumtibia sana tuu,

    • @Habybty
      @Habybty 2 месяца назад +2

      Assalam aleikum warahmatullahi wabarakatu... naomba unielekeze na mimi hiyo njia ya mtoto kuacha kukojoa kitandani shukran.

    • @MagunoMtanda
      @MagunoMtanda 2 месяца назад +1

      Asalaam aleykum warahmatullah wabarakatuh Namimi pia naomba maelekezo

    • @hadijaismail3619
      @hadijaismail3619 2 месяца назад +4

      @Habybty w/salaam ni hivi usiku wakati wa kulala km ni mtoto mkubwa mwambie asome ayatul kursiyu x 5 ktk viganja vyake kisha ajipake mwili mzima afanye hivi kwa cku 7 km hawezi mfanyie wewe mwenyewe

    • @hadijaismail3619
      @hadijaismail3619 2 месяца назад

      @@MagunoMtanda w/salaam nimeshaelekeza soma coment

    • @MagunoMtanda
      @MagunoMtanda 2 месяца назад

      @hadijaismail3619 shukran UKHTY Allah akuhifadhi

  • @saidhamisi8986
    @saidhamisi8986 2 месяца назад +2

    Mashallah tabarakallah wa jazakallah kheiran jazeelah sheikh wetu kipenzi chetu.Shukran jazeelah kwa fawaaid nyingi unazotupa.

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 месяца назад +1

      Tabarakallah! Allah (SAW) Akupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲

  • @sadysaido3276
    @sadysaido3276 Месяц назад +1

    Allah Akbar. Mwenyezi Mungu akupe kila la kheri Sheikh🥰🥰🥰🥰

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  Месяц назад

      Ameen Ya Rabbal 'Alameen! Sote Insha Allah! 🤲🤲🤲🤲🤲

    • @FatmaShamte-e3r
      @FatmaShamte-e3r 21 день назад

      9Y9b😊dc ,9 xgzz ,o 776fv.
      .K,,c d9x,c v😢😀🤤research 4:52 v

  • @evaboaz1311
    @evaboaz1311 2 месяца назад +2

    Mashallah ya sheikh Endelea kufunza Allah Akupe mema duniani na Akhera na dhuria zako

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 месяца назад +1

      Ameen ya Rabbal 'Aalmeen! Insha Allah. Shukran. 🤲🤲🤲🤲🤲

  • @Aishajamal-k6d
    @Aishajamal-k6d Месяц назад +1

    Waleikum Salam warahmatulah wabarakatuh Barakallahu fikum my brother

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  Месяц назад +1

      Ameen! All of us Insha Allah! 🤲🤲🤲🤲🤲

  • @Assiasalum
    @Assiasalum 2 месяца назад +2

    Shukran kaka yetu kipenzi
    Mungu akulipe mema hapa duniani na kesho akhera
    Na assante kwa darsa hili
    Nimeipenda na nitaifanyia kazi mungu akulinde kaka

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 месяца назад +2

      Ameen Ya Rabbal 'Alameen. Sote Insha Allah! 🤲🤲🤲🤲🤲

  • @FayeezAlbahassaney
    @FayeezAlbahassaney 2 месяца назад +4

    Assalam Alykm warahmtullah wabarakatuh my lecturer hiv vitu adimu kwel kwel MASHAALLAH

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 месяца назад +1

      Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Karibu sana kakangu mpendwa!

    • @FayeezAlbahassaney
      @FayeezAlbahassaney 2 месяца назад +1

      @@mohamedalidini Shukran my lecturer wng Allah atuhfdh na atupe hidaya bora na pepo bora

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 месяца назад +2

      @@FayeezAlbahassaney Ameen Ya Rabbal 'Alameen! Sote Insha Allah! 🤲🤲🤲🤲🤲

  • @WahidaKombo-w4o
    @WahidaKombo-w4o 2 месяца назад +2

    Mashaallah jazakallahu lkheir.Mungu akuingize peponi bika ya hesabu kwa unavotusaidia.Amin.Nafuatilia sana vipindi vyako.tumekuelewa.Sheikh naomba dua masikio yangu sisikii vizuri

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 месяца назад +2

      abarakallah! Allah (SWT) Akupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲

  • @FatshanHilali
    @FatshanHilali 2 месяца назад +2

    Jazaakumllahu kheri

  • @MichelleVyambwera
    @MichelleVyambwera 18 дней назад +1

    Mersi,ishalah

  • @FatumaAdinani-o1g
    @FatumaAdinani-o1g 2 месяца назад +1

    Shukran sana shekh wetu.. jazzakallahu kheir

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 месяца назад +1

      Afwan! Waiyyaak! Allah (SWT) Akupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲

  • @jamilashabani8580
    @jamilashabani8580 2 месяца назад +2

    Wallaikum Sallam Warahamatullah Wabarakatuh ❤❤❤
    AMIIN

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 месяца назад +1

      Ya Rabbal 'Alameen! 🤲🤲🤲🤲🤲

  • @MwashamKhery
    @MwashamKhery 2 месяца назад +3

    Waaleykum salaam warahmatullah wabarakatuh

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 месяца назад

      Karibu. Allah (SWT) Akupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲

  • @IbrahimIbrahim-g2r1u
    @IbrahimIbrahim-g2r1u 21 день назад +1

    Mashallah

  • @rumaukombo6415
    @rumaukombo6415 2 месяца назад +1

    Mashaallah barakaallahfiika

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 месяца назад +1

      Tabarakallah! Waiyyaak! 🤲🤲🤲🤲🤲

  • @NasraNasra-l9q
    @NasraNasra-l9q 2 месяца назад +1

    Shukran, wajazaaka llahu khaira

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 месяца назад +1

      Waiyyaak! Allah (SWT) Atupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲

  • @BlemishMbadjo
    @BlemishMbadjo 2 месяца назад

    Shukrani sana Allah hakulipe

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 месяца назад

      Ameen! Nawe pia! Allah (SWT) Akupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲

  • @rutahalima1400
    @rutahalima1400 2 месяца назад +1

    Allah akuhifadhi. Sheikh wetu shukrani jazila

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 месяца назад

      Ameen Ya Rabbal 'Alameen! Nawe pia! 🤲🤲🤲🤲🤲

  • @SifatyAlly
    @SifatyAlly 2 месяца назад +1

    Waleykum Salam warahmatullah wabarakatullah

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 месяца назад +1

      Karibu sana. Allah (SWT) Akupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲

  • @BINKASIMMAWAZO
    @BINKASIMMAWAZO 2 месяца назад +1

    Sheikh mwenyenzi mungu akuzidishie kila la heri.

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 месяца назад +1

      Ameen Ya Rabbal 'Alameen! Sote Insha Allah! 🤲🤲🤲🤲🤲

  • @ZainabuMusa-f2t
    @ZainabuMusa-f2t 2 месяца назад

    Jazakaalla khayra

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 месяца назад

      Waiyyaak! Allah (SWT) Akupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲

  • @AshuraKhamis-qv3ld
    @AshuraKhamis-qv3ld 2 месяца назад +1

    Shukran ❤

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 месяца назад +1

      Afwan. Allah (SWT) Akupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲

  • @Hamad_303
    @Hamad_303 2 месяца назад +1

    Maashallah 🎉

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 месяца назад +1

      Tabarakallah! Allah (SWT) Akupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲

  • @MichelleVyambwera
    @MichelleVyambwera 18 дней назад +1

    Ok

  • @zanzibarfin5789
    @zanzibarfin5789 2 месяца назад +1

    Shukran😊

  • @ronniemlibaziso3658
    @ronniemlibaziso3658 2 месяца назад +2

    Salaam aleikum sheikh nimependa sana mafundisho yako keep on Educating us Alaah akulinde,jee sheikh unapatikana wapi

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 месяца назад +1

      Walaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Insha Allah, I will keep on sharing this valuable information. Thank you!

  • @FatmaJuma-w6g
    @FatmaJuma-w6g Месяц назад

    Asnte sanaaa

  • @IsmailIwutung
    @IsmailIwutung 2 месяца назад

    Amen 🙌 yaa allah

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 месяца назад

      Ya Rabbal 'Alameen! 🤲🤲🤲🤲🤲

  • @MariamKamikazi
    @MariamKamikazi 15 дней назад +1

    Asalam alaikum warahmatulhah wabarakatuh shekh mi naomba usaidizi kama mnaandika itatusaidiya sisi wenye hatukusoma kiaraab utuandikiye kwa herufi za kizungu kwa ajili ya Alha tusaidiye

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  15 дней назад +1

      Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. 'Ya sahib alllutf alkhafi bik 'astaein wa'aktafi. Ya latif ya khafi al'altaf 'adrikni bilutfik alkhafi 'innani faqir muhtaj dhalil'.

  • @Mariam-b6x
    @Mariam-b6x 2 месяца назад

    Asalam aleykum,shukrani

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 месяца назад

      Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Afwan.

  • @YusuphShilla
    @YusuphShilla 2 месяца назад +1

    Assalam alaikum sheakh wangu
    Nini maan ya kikao kimoja nieleweshe tafadhali kwa ajili ya ALLAH 🙏🏼

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 месяца назад +2

      Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Maana yake ni kuifanya kwa wakati mmoja kwanzia ukianza hadi kumaliza.

    • @YusuphShilla
      @YusuphShilla 2 месяца назад +1

      @mohamedalidini masha Allah tabarakallah 🙏🏼
      Shukran sana sheakh Allah akulipe khery INSHA'ALLAH 🤲🏼🙏🏼

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 месяца назад +1

      @@YusuphShilla AMEEN YA RABBAL 'ALAMEEN! SOTE INSHA ALLAH! 🤲🤲🤲🤲🤲

  • @YusraMohamed-j6g
    @YusraMohamed-j6g 27 дней назад +1

    Aslm alykm warahmatullah wabarakatuh,Allah akulipe kheri,kwa hakika quran ndio kila kitu ktk maisha,sheikh mm niko na mtt wa 11yrs,yuwakasirika saana,kitu kidogo yuwalia,jee waeza nielekeza?

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  26 дней назад +1

      Waalaikumussalam Warahamatullah Wabarakatuh. Kuna zile video mbili kuhusu kutuliza ukali wa mume na boss kazini. Naomba uziangalie na uzifanye kwa nia zako. Kwa Uwezo wa Allah (SWT) utafikia malengo yako.

  • @kamanafikiri9954
    @kamanafikiri9954 Месяц назад +1

    Aslm aleikum warahmatulai wa barakatuh sheikh please nakuomba uniandikie kwenye lugha ya kiswahili please Sheikh wangu

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  26 дней назад +3

      Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Tafsiri kwa lugha ya Kiswahili:
      1. Ewe mwenye upole ulofichika kwako naomba msaada na natosheka nawe.
      2. Ewe mpole mwenye upole ulofichika niwahi mimi kwa upole wako ulojificha kwani mimi muhitaji kwako na dhalili.

  • @UwesuMlawa
    @UwesuMlawa 2 месяца назад +2

    قبلت الإجازة

  • @MariamOmary-s9k
    @MariamOmary-s9k 2 месяца назад +1

    Aslm.aleykhum. tafadhali naomba niandikie shekh wang

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 месяца назад +3

      Waalaikumussalam Warhamtullah Wabarakatuh. Dua ndio hizi:
      ( يَا صَاحِبَ اللُّطْفِ الْـخَفِيِّ بِكَ أَسْتَعِيْنُ وَأَكْتَفِيْ ) لَطِيْفُ يَا خَفِيَّ الْأَلْطَافِ أَدْرِكْنِيْ بِلُطْفِكَ الْـخَفِيِّ إِنَّنِيْ فَقِيْرٌ مُحْتَاجٌ ذَلِيْلٌ )

  • @zayedbinharith4665
    @zayedbinharith4665 Месяц назад +1

    A.alykum sheikh .naziomba dua zote 2 kwa kiarabu .yaani Ile ya baada ya kila swala ya fardh na Ile ya usiku baada ya siku 7 .

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  26 дней назад +1

      Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Bila shaka. ispokuwa ikiwa huwezi kwa kiarabu utaleta kwa lugha nyingine.

  • @blaynchich9765
    @blaynchich9765 19 дней назад +2

    186......vevo

  • @ismailsoud3634
    @ismailsoud3634 2 месяца назад +1

    Mtume Muhammad saw hakufundisha dua ya kutafuta pesa utajiri.

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 месяца назад +8

      Haina shida. Una khiyari ya kufaidika au la. Unaweza kubaki katika hali yako uipendayo.

    • @msafiriduwiya7765
      @msafiriduwiya7765 2 месяца назад

      ITAKUWA UMESILIMU HIV JUZ LABDA AU NI CHUKI TU MTUME SIO KUFUNDISHA TU BALI KAWAOMBEA WATU WAPATE MALI MSIJITWISHWE USHABIKI WA MADHEHEBU NA ELIMU YA DINI HAMNA HILO NDIO TATIZO KUBWA KULIKO MNAVYOFIIRI MUONEKANE MNAJUA AU WACHAMUNGU ZAIDI

    • @FatumaAdinani-o1g
      @FatumaAdinani-o1g 2 месяца назад +2

      @@mohamedalidini umemjibu vizuri shekh wetu❤️

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 месяца назад +1

      @@FatumaAdinani-o1g Alhamdu Lillah. Shukran!

  • @AbdullahAbdullah-y6f8t
    @AbdullahAbdullah-y6f8t 2 месяца назад

    Shukraan sna 🥹🥹

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 месяца назад

      Waiyyaak! Allah (SWT) Akupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲

  • @nasraabed9758
    @nasraabed9758 22 дня назад +1

    Ao unaweza kutuandikiya kwa maandishi ya kizungu plz mfano

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  21 день назад +1

      Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. (1) _Ya swahib alllutf alkhafi bik 'astaein wa'aktafi_ - Meaning: O Possessor of hidden kindness, with You I seek help and am satisfied. (2) Ya latif ya khafi al'altaf 'adrikni bilutfik alkhafi 'innani faqir muhtaj dhalil - O Gracious One, O Hidden of graces, help me with Your hidden grace, for I am poor, needy, and humiliated.

  • @letuslearn7548
    @letuslearn7548 Месяц назад +1

    ‎اللهم صل على سيدنا محمد بقدر سعة العرش والكرسي وما 🚀 بينها 🕋
    ‎اللهم صل على سيدنا محمد بقدر زنة العرش والكرسي وما 🎆 بينها 🕋
    ‎اللهم صل على سيدنا محمد بقدر قدر العرش والكرسي وما ⚡️بينها 🕋
    اللهم ارزقنا نمددها وفضلها وسعة رزقها وتقبل دعاءنا بفضلها يارب العالمين دايما ابدا🤲🤲🤲🌹🌹🌹🩷🩷🩷🌸🌸🌸💐💐💐

  • @شفيعهالجزار
    @شفيعهالجزار 2 месяца назад +1

    Waraykumsam Salim idek sheikh tunakupenda biizinila tunakutakia Kila La heli

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 месяца назад +1

      Ameen Ya Rabbal 'Alameen! Sote Insha Allah! 🤲🤲🤲🤲🤲 Nami pia.

  • @MwashamKhery
    @MwashamKhery 2 месяца назад +2

    Shukran najifunza mengi kupitia video zako sasa niko na dozi ile yakuyazuia madhetani kuniingia mwilini ile x161 naomba na Dua ya kumkinga na kumtibu mtoto na degedege

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 месяца назад +1

      Karibu! Insha Allah! Allah (SWT) Akupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲

  • @OMARIOMARI-j5j
    @OMARIOMARI-j5j 2 месяца назад +1

    Shukran Shekhe

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 месяца назад +1

      Afwan. Karibu sana!

    • @GooonGooon-d2b
      @GooonGooon-d2b Месяц назад +1

      Waghlayku salam mungu akulipe kheri

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  Месяц назад +1

      @@GooonGooon-d2b Ameen Ya Rabbal 'Alameen! 🤲🤲🤲🤲🤲

  • @robtache-r2y
    @robtache-r2y 2 месяца назад +1

    SHUKRAN. TRANSLATE IN ENGLISH PLEASE

  • @SadikiSaidi-z2c
    @SadikiSaidi-z2c 2 месяца назад +1

    Asalamalik ustadhi

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 месяца назад +1

      Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh.

  • @nasraabed9758
    @nasraabed9758 22 дня назад +1

    Ni lazima hiyo dua isomwe kwa kiarabu?

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  21 день назад +2

      Bila shaka. Ispokuwa ikiwa huwezi kusoma kwa kiarabu. Afwan.

  • @saeedsaeed7381
    @saeedsaeed7381 2 месяца назад +1

    🙏🙏🙏

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 месяца назад +1

      Afwan. Karibu sana.

    • @shazilali945
      @shazilali945 2 месяца назад +1

      Ustadh mwenye matatizo ya hofu ya kuongea mbele ya watu afanye nn waweza tusaidia

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 месяца назад +1

      @@shazilali945 Assalamu Alaikum Warahmatullah Wabarakatuh. Fanya yafuatayo kwa Uwezo wa Allah (SWT) utaondoka huo uwoga:
      1. Kila siku asubuhi na jioni kariri Dua ifuatayo mara 3: أعوذ بكلمات الله التامات من شر ما خلق
      2. Kila siku asubuhi na jioni kariri Dua ifuatayo mara 3: بسم الله الذي لا يضر مع اسمه شيء في الأرض ولا في السماء وهو السميع العليم
      3. Soma: آية الكرسي بعد كل صلاة، وقراءة الآيتين من آخر سورة البقرة كل ليلة: آمَنَ الرَّسُولُ بِمَا أُنْزِلَ إِلَيْهِ مِنْ رَبِّهِ وَالْمُؤْمِنُونَ [البقرة: 285]، إلى آخر السورة وقراءته: قُلْ هُوَ اللَّهُ أَحَدٌ والمعوذتين بعد كل صلاة مكتوبة مرة بعد الظهر والعصر والعشاء وثلاث مرات بعد المغرب والفجر

  • @naimahassan4858
    @naimahassan4858 2 месяца назад +1

    12:36

  • @MadamAsya2024England
    @MadamAsya2024England 2 месяца назад +1

    Shekh baomba no yako unayopatkana warsap please

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 месяца назад +1

      Assalam Alaikum Warahmatullah Wabarakatuh. Namba yangu ni hii: +254 700047708. Afwan.

  • @AesherWendo
    @AesherWendo 2 месяца назад

    Assalam Alykum,shekh wapatikana wap

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 месяца назад

      Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Niko Nairobi, Kenya.

  • @ismailsoud3634
    @ismailsoud3634 2 месяца назад +1

    Nyinyi miongoni mwa Masheikh mnachangia watu kuanza kutegemea majinni badala ya Mwenyezi Mungu. Dua bora ni ile ya kumuom a Mungu akuonyeshe njia sahihi ambayo si ya upotevuni. Kama utajiri ungekuwa ni bora angekuwa Mtume Muhammad saw. Kadari za Mola wetu ni bora kuliko mnavyo fikiria. Allah atupe fikara njema moaka siku tutakayo kutana naye.

    • @zuberhamza7852
      @zuberhamza7852 2 месяца назад +5

      Huyo atakua Hana akili
      Kwani kusoma Dua Kwa ajili ya kipato Cha halali vibaya?
      Yaani unamuomba Allah Kwa majina yake matukufu ni vibaya?
      Hapo huna daliligani Hadi kusema ndio wanasababisha mtu ategemee MAJINI
      Mbona mda mwngine hamfikirii mnayoyaongea
      Kazi kukosoa tu yenu hamyaoni
      Ukitoka tu nyumban unasoma Dua alafu iwe haifai kuomba Allah akupe kipato ?
      Daah noma sana Akhuy

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 месяца назад +4

      Kakangu umekuja na ukali Je unafamu Qur'an na Sunnah za Mtume (SAW) vyema? Je wajua mafunzo ya Mtume (SAW) kuhusu faida ya Surah Al-Waqiah? Ikiwa Muislamu hatakiwi kuwa tajiri basi Mtume (SAW) asingefunza. Pia Allah (SWT) Asingeteremsha Surah hizo. Je wajuwa kulikuwa na Maswahabah matajiri? Ungekuwa utajiri si muhimu kwa Waislamu, Mtume (SAW) angewakataza maswahaba wake kutafuta utajiri. Isitoshe Mtume (SAW) alimuoa Nana Khadijah (RA) ambaye alikuwa tajiri mkubwa Makkah zama hizo. Nafikiri nitachoka kuwaelimisha watu kama wewe. Naomba tusome zaidi Dini yetu na tuifahamu. Miye nadhani una kitu rohoni ambacho kinakufanya uchukie na uhisi vibaya watu wakiwa katika hali nzuri ya kifedha. Wewe wafurahi watu wakiwa maskini wakiombaomba. Wacha nokomee hapa! Shukran.

    • @adelinibrahim9283
      @adelinibrahim9283 2 месяца назад

      Khaswa​ uwahabi unatutafuna wengine ALLAH atustiri@@mohamedalidini

    • @Xuxu-f7j
      @Xuxu-f7j 2 месяца назад +3

      Hivi mbona ww huna akili kiasi hiki kwan kaelekeza kuomba majini au kumuomba Allah hii ni comment yako ya pili nakuona unalalamika hivi dah kuna watu hawajielewi kwenye hii dunia jamn huyu anahitaji maombi kwa kweli

    • @ismailsoud3634
      @ismailsoud3634 2 месяца назад +2

      @Xuxu-f7j soma Qur'an mwanzo mpaka mwisho kama utakuta aya inayo ekekeza kuomba utajiri wala hakuna palipo fundishwa na Mtume ombeni utajirii kwa maneno haya mtapata utajiri. Wewe kichwa kibovu na elimu finyu..
      Elimu ya uganga ndiyo hizo za akina Sheikh Sharif Firdaus majinni mchanganyiko. La da na wewe umo kundini.

  • @KhalidKhamis-n9d
    @KhalidKhamis-n9d 2 месяца назад +1

    Asalam aleikum, kuna dua yako moja kuhusu biashara ulisema moja unaweka sehemu yako ya biashara,sasa nauliza wale wanaofanya biashara online inakuaje

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 месяца назад +3

      Waalaikumussalam warhamtullah Wabarakatuh. Watasoma japo mara moja kila siku.

    • @KhalidKhamis-n9d
      @KhalidKhamis-n9d 2 месяца назад +1

      @mohamedalidini shukran sana ila samahan sijakuelewa vizuri hapo...naomba ufafanuzi

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 месяца назад

      @@KhalidKhamis-n9d Namaanisha hivi, kwa wale wenye kufanya biashara mitandaoni (kuuzi vitu online) wataisoma hiuo Swala ya Mtume (SAW) kila siku japo mara moja. Kama yawezekana kuwekwa kwenye account ya biashara ya mtandao fulani waweza weka. Nadhani nimefahamika.

    • @KhalidKhamis-n9d
      @KhalidKhamis-n9d 2 месяца назад +1

      @@mohamedalidini asante jazakallah

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 месяца назад +1

      @@KhalidKhamis-n9d Waiyyaak! Shukran.

  • @sonko-c6h
    @sonko-c6h 2 месяца назад +1

    Nilikuwa naomba uniandikie isomeke kama kiswahili

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 месяца назад +2

      Sawa. Ewe Mwenye upole ulijificha kwako naomba msaada. Ewe Mpole Aliye na upole ulojificha niwahi mimi kwa upole wako kwani mimi ni fukara na mwenyeyekevu mbele yako.

  • @SadikiSaidi-z2c
    @SadikiSaidi-z2c 2 месяца назад +2

    Tuandikie Kwa kiswahili

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 месяца назад +4

      Tafsiri zake ni hizi:
      1. Ewe Mwenye upole ulojificha nataka msaada wako na natosheka kwako pekee.
      2. Ewe Mwenye upole na upole ulojificha nipatilize kwa upole wako ulojificha mimi ni fakiri, muhitaji na ni dhalili kwako.

    • @ZakiaAlRamadani
      @ZakiaAlRamadani 2 месяца назад +1

      Inshaaallah ​@@mohamedalidini

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 месяца назад +1

      @@ZakiaAlRamadani Allah (SWT) Akupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲

    • @ZakiaAlRamadani
      @ZakiaAlRamadani 2 месяца назад +1

      @mohamedalidini amina yarab amina🤲

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 месяца назад +1

      @@ZakiaAlRamadani Ya Rabbal 'Alameen! 🤲🤲🤲🤲🤲

  • @harounramadhan2752
    @harounramadhan2752 2 месяца назад +1

    Hivyo Itafanyika Kununua Mafuta Aina 9-12 Kusomea Kisomo Kwa Lengo La Kuwa Anajipakaa Kila Siku Mara Moja Pia Kifanyike Kisomo Katika Maji Kuwekwe Na Dawa Kadhaa Atumie Siku 30 Matokeo Mazuri Tutapata Insha'Allah

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 месяца назад +1

      Insha Allah! Barakallahu Feek! 🤲🤲🤲🤲🤲

  • @fahmimohd261
    @fahmimohd261 2 месяца назад +1

    Shukran shekh nimekutumia msg whatsap hujanijibu

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 месяца назад +1

      Afwan. Insha Allah, nitaiangalia na nikujibu. Afwan.

    • @wardaam3707
      @wardaam3707 2 месяца назад +1

      Assalam alaykum Sheikh namba yako tafadhari

    • @mohamedalidini
      @mohamedalidini  2 месяца назад +1

      @@wardaam3707 Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Namba yangu ni hii: +254 700047708. Afwan.

    • @nasraomari-h7b
      @nasraomari-h7b 2 месяца назад

      Assalamualaikum shekhe

    • @nasraomari-h7b
      @nasraomari-h7b 2 месяца назад

      Naomba uiyandike

  • @xhilingiibra3571
    @xhilingiibra3571 Месяц назад

    Shukrani pia maalim