Swali la msingi ni hili: Usiku wa kuamkia Mechi ya Yanga na Enugu Rangers Sunday Manara na wenzake wawili wanasadikiwa kuwa walitoroka au hawakulala kambini na Coach wa Yanga Marehemu Tambwe Leya hakutaka kuwapanga wachezaji hao pamoja na Manara lakini akashinikizwa na uongozi kwamba ni lazima wacheze! Je hizo tuhuma ni za kweli??? Hili ndilo swali la msingi sana kwa sisi watu wa old school kupatiwa majibu.... Very good interview of Father & Son!!! Job well done....🎉
My favourable player at our time. Mchezaji aliecheza kuleta ushindi Kwa akili bila madhara kwa mtu. Thank you Haji km ingewezekana tusikie pia mahojiano ya Boban, Kassim na King. Umenielewa🤓
Story anayo elezea sunday Manara mimi nilikuwa bado mdogo lakini nilibaatika kuwaona kwa macho yangu hao wachezaji wote aliyo wataja.Sunday Manara Atabaki kuwa best player wa East Africa
Kaka uko sawa sana... Sorry hapo mwanzo wa kipindi itapendeza sana kama utampatia nafasi mgeni na kujitambulisha ili watu wapate kumjua kiasi then ndo maswali yaanze.... Ila safi san. 👍👍👍👍👍
Hongera sana Haji Manara kwa kuanzisha TV yako. Huo ni mchango mkubwa sana ktk maendeleo ya mpira wetu nchini. Sasa itabidi ubadilike uwe neutral katika aidha kuchambua mpira au kuelezea mpira wa nchi hii kwani huo ndiyo ukubwa. Vinginevyo sisi Wanasimba hatutapenda kufuatilia video zako kama utakuwa na ubaguzi. Hata hivyo Manara na Manara hamumtendei haki Manara. Ninamaana kwamba Baba na Mwana mlioko hapo mnamsahau vipi Kitwana Manara kuwa miongoni mwa wachezaji bora kabisa kutokea katika timu ya yanga na timu ya Taifa kwa ujumla wake. Ukizingatia kwamba alianza kucheza kama mlinda mlango hodari sana na baadae mshambuliaji wa mbele wa kutumainiwa; labda mumeshindwa kumpa sifa anayostahili kwa kuwa ni ndugu yenu. Haya niwakumbushe nyota wengine wa wakati huo na nyuma kidogo ya hapo. Zimbwe, Chuma wa Mtwara, Hassan Gobbos, Lukongo, Gilbert Mahinya, Arthur Mambeta, Shabani Baraza, Athumani Mambosasa, ,baadae wakaja akina
Sunday Manara alikuwa pacha wake Gibson ẞembuli. Sembuli alikuwa na pikipiki Honda 250 ukikutana naye mara nyingi kabebana na Sunday Manara. Maulid Dilunga alinulikana Kama Mexico kutokana na kuchaguliwa katika kikosi cha bara la Afrika kilichoiwaliwakilisha bara la Afrika katika mashindano ya mabara huko Mexico
baadae wakaja akina Peter Tino, Jumanne Masiment, Martin Kikwa, Willy Mwaijibe, Lunyamila, Saadi Aly, Adam Sabu, Abas Dilunga, Athunan Juma Chama, Gumbo, Haidari Abed, Khalid Abed n.k.
Sunday na Mpira Sunday na Mpira kashuti gooooooool!!!!! Wahenga Ndio tunaelewa hii comment nimeandika
Hii inaitwa "to put records in it's perspective ".
Big Haji Manara👍
Mahojiano mazuri Sana,old is gold
Mzee manara kuna kitu nimekiona kwako ni zaidi ya busara mwenyezi Mungu akupe umri mrefu
Sunday you're so professional in response, you know how to respond on questions I like the way you flow
Swali la msingi ni hili:
Usiku wa kuamkia Mechi ya Yanga na Enugu Rangers Sunday Manara na wenzake wawili wanasadikiwa kuwa walitoroka au hawakulala kambini na Coach wa Yanga Marehemu Tambwe Leya hakutaka kuwapanga wachezaji hao pamoja na Manara lakini akashinikizwa na uongozi kwamba ni lazima wacheze!
Je hizo tuhuma ni za kweli??? Hili ndilo swali la msingi sana kwa sisi watu wa old school kupatiwa majibu....
Very good interview of Father & Son!!! Job well done....🎉
Huyu mzee yuko very humble. Napenda sana kumsikiliza akifanyiwa interview
Baba mkwe salamaleko 😊
Allah akuzidishieni upendo juu yenu Inshaallah
Manara unatisha❤❤❤
Big up Haji umekua kiakili Sana hii interview sijawahi kuionaa
Saf nimeipenda sana 💚💛🙏🙏 hiyo ya Baba na mwana🔥🔥🔰🔰🙏🙏🙏
Hana majisifu mzee ila yupo vizuri 🎉🎉
My favourable player at our time. Mchezaji aliecheza kuleta ushindi Kwa akili bila madhara kwa mtu.
Thank you Haji km ingewezekana tusikie pia mahojiano ya Boban, Kassim na King. Umenielewa🤓
nimependa sana sana iiiiiii
Saf sana baba na mwana 💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚
Hongera sana mdau wetu wa michezo hususani timu yetu ya wananchi Yanga tupo pamoja tunakuuunga mkono asante Mungu akubariki, amina na RAMADAN KAREEM.
Mbarikiwe sana jamani so sweet 👏👏👏👏👏👏🙏🙏🙏
Mzee mungu akupe maisha marefu yenye afya tele
The best Interview !
Safi Sana hii Kali bro
Kazi nzuri Manara ila ingekuwa aula zaidi kama tungeona picha (covershots)za hao wanaojadiliwa.Mumetuacha gizani hatuwajui
Broo manara uko pow Sana
Kazi nzuri mnara
Story anayo elezea sunday Manara mimi nilikuwa bado mdogo lakini nilibaatika kuwaona kwa macho yangu hao wachezaji wote aliyo wataja.Sunday Manara Atabaki kuwa best player wa East Africa
Kaka uko sawa sana...
Sorry hapo mwanzo wa kipindi itapendeza sana kama utampatia nafasi mgeni na kujitambulisha ili watu wapate kumjua kiasi then ndo maswali yaanze....
Ila safi san. 👍👍👍👍👍
Iko poa sana
Mzee anajuwa sana
I watched Sunday Manara destroy both Abaluhya FC and Gor. Mahia in one weekend they were on transit from Brazil in the mid 70s dribbling genius
Good job! Congratulation
Mungu awape umri mrefu na siha njema baba na mama.
Mungu awape umri mrefu na siha njema baba(computer) na mwana(king manara)
Kazi nzuri sana Buggati
MANara safi sana ,lakini ili KIPINDI chako kinoge walete wachezaji wote wa zamani itakuwa safi sana🙏🙏🙏
Sauti imezaliwa tena. Absolutely baba na mwana maashallah
Baba na mwana oyeeeee
Hongera sana Buggati
Sasa mzee mikono aitoki mfukoni kuongea mnafanana big up haji b cool and and free
Tulia ww kolo
Safi sana na mwana
Hapo sasa manara nimekukubali huku unapotupeleka SISI wa old school
Nice creativity aisee
Mahujiano yenu na baba mzazi
Wewe mhuni sana jamaa nakukubalii sana
Safi sana
big up 🔥🔥🔥🔥🔥
Sf sana bugati nakukubali
Hongera sana Haji Manara kwa kuanzisha TV yako. Huo ni mchango mkubwa sana ktk maendeleo ya mpira wetu nchini. Sasa itabidi ubadilike uwe neutral katika aidha kuchambua mpira au kuelezea mpira wa nchi hii kwani huo ndiyo ukubwa. Vinginevyo sisi Wanasimba hatutapenda kufuatilia video zako kama utakuwa na ubaguzi.
Hata hivyo Manara na Manara hamumtendei haki Manara.
Ninamaana kwamba Baba na Mwana mlioko hapo mnamsahau vipi Kitwana Manara kuwa miongoni mwa wachezaji bora kabisa kutokea katika timu ya yanga na timu ya Taifa kwa ujumla wake. Ukizingatia kwamba alianza kucheza kama mlinda mlango hodari sana na baadae mshambuliaji wa mbele wa kutumainiwa; labda mumeshindwa kumpa sifa anayostahili kwa kuwa ni ndugu yenu.
Haya niwakumbushe nyota wengine wa wakati huo na nyuma kidogo ya hapo. Zimbwe, Chuma wa Mtwara, Hassan Gobbos, Lukongo, Gilbert Mahinya, Arthur Mambeta, Shabani Baraza, Athumani Mambosasa, ,baadae wakaja akina
unajua sana kufikiri man
charnal yenu mbaya sana na hasa ulivyokuwa mtangazaji sasa
Nicee
Sunday manara alikuwa computer
Hii nimeilewa Sana bro
Safi
Baba na mwana
❤❤❤❤ sauti zao zimefanana
Kipindi Kizur Xana Part2
Nakubali
Komputa king👑
Noma
Jamani...... Mbona KASSIM MANARA hatajwi kivile????? Alikua Striker mzuri sana
Good
Bonge la interview 💪
Mpira ulianza kuchezwa miaka ya 1960s...😢😢😢😢
Sunday Manara alikuwa pacha wake Gibson ẞembuli. Sembuli alikuwa na pikipiki Honda 250 ukikutana naye mara nyingi kabebana na Sunday Manara. Maulid Dilunga alinulikana Kama Mexico kutokana na kuchaguliwa katika kikosi cha bara la Afrika kilichoiwaliwakilisha bara la Afrika katika mashindano ya mabara huko Mexico
❤
Mzee Sunday Manara...ENZI HIZO AKIWA YANGA ILIKUWA HATARI SANA AKIWA NA STAMBULI
SEMBULI Gibson na sio STAMBULI
@@minskbelarus7255 ni kweli nimetamka sembuli but maandishi yakaja STAMBULI.. thanks
Omari mahadhi bin jabir na maulidi dilunga na kwa kizazi cha leo ni samatta tuwataje kama wachezaji bora zaidi kuwahi kutokea ndani ya taifa letu
Creativity on point
baadae wakaja akina Peter Tino, Jumanne Masiment, Martin Kikwa, Willy Mwaijibe, Lunyamila, Saadi Aly, Adam Sabu, Abas Dilunga, Athunan Juma Chama, Gumbo, Haidari Abed, Khalid Abed n.k.
Lunyamila wa juzi ...hayuko kwenye mida ya hawa
Sauti zimefanana
👏👏👏👏👏👏👍👍👍
🙏🙏🙏🙏
Kiufupi Sunday Manara anasema sasa hivi hakuna mpira ni ujinga tu na mimi namuonga mkono
Haji sf
Mbn unajishikashika hivo Mzee tatzo nn
Nc san
🎉🎉🎉
Mzee Sunday Manara! Diplomasia ya Mpira Uaiweza sana hasa! Unaongea maneno ya Hikma sana Mzee!
🔥🔥🔥
Sauti zimefafa aisee noma sana mungu anatsha sana
Nilimuona wakati wake nikiwa kenya nyakathi hizo alipokuja mombasa akicheza na Gor mahia lol atari nilikua mdogo sana 80ties
Hawa kweli ni mtu na baba yake maana hata hizo sauti ni exactly ile ile. Utadhani anayeongea ni yule yule mtu mmoja
lakini Mzee na Mazowezi ufanye itakuwa supper sana kwa Afya yako
Tembea yake mzee inuka yake kwa mbinde halafu hayo mazoezi anayafanyaje 😅😅😅
👍👍👍
Tupe mwisho wa interview
Anajikuta millardayo 😂😂😂😂
Mwamba anaongea kama mwanae Haji kabisa
1
Hadji kama vile ana ka ibu fulani 😅😅
Kwann kipindi cha nyuma kinaonekana nibora kuliko sasa
Nimekuwa wakwanza leo 😂
Duh hatari copy hadi sauti.
Mbona fupi hivyo😰😰
Mzee ni nan hapo
Sauti the same
umeonaa ee
yan ni kama vile mtu anajihoji mwenyewe
na kujijibu mwenyewe
kwa jinsi wanavyofanana sauti
tuliza mikono
Shirazi Sharif kahusika na wewe mzee mwezangu ulifanya madudu ndio timu ikasambaratika.
Huyu Mzee mbn kama Mzee majuto
😂😂😂
Haji ur so weak compared Sunday manara he iz mr so smart blv
Saf
Computer. ....
Kpind kzur sn
Jombaa kafanana na mshua xana,,copy n paste
Mbona baba kijana kuliko mtoto
Post ya Mange kimambi imefanya Haji amuite bqba