HAJI MANARA AFUNGUKA UTEKAJI WA RAIA POLISI HAWAHUSIKI / NITAGOMBEA UBUNGE ZUNGU AKISTAAFU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 янв 2025

Комментарии • 19

  • @hafia.056
    @hafia.056 14 дней назад

    Kaka manara Kaka manara you are the best person in sports industry. And same time you are our Youngs Africans GIANT CLUB in Africans yes yes yes it's. Youngs Africans 🇹🇿 vipi apo lakini jibu lake is super or sugar sugar sugar muwaa cream maziwa chai cream. And last good good good stuff brother manara let's bring it on to our The biggest club ever in Africans. Youngs Africans oyeee oyeee oyeee and again sugar sugar muwaa 😅😅😅😅😅yellow and Green swaffy swaffy good. Thank you very much all God bless our country Team 🙏

  • @mahadshekh398
    @mahadshekh398 15 дней назад +1

    Ndio maana kwenye NEC ulipata kura 1 kwa sababu watu wanakumbuka utapeli.

  • @mohsenaljahwary5730
    @mohsenaljahwary5730 14 дней назад

    Kaka yangu Haji huna unalojua kuna mitaa Gerezani kariakoo hatupati huduma ya Maji safi ya Dawasa au Dawasco sasa kwa miaka na bili zinatumwa HAKUNA MAJI MASAFI TUNATUMIA MAJI YA VISIMA HAJI HUJUI LOLOTE NA HUNA LOLOTE UMENIUDHI SANA UNASEMA TUMEVUKA KWENYE HAYO SIO MAJI HAKUNA.

  • @ElvisTabula
    @ElvisTabula 15 дней назад

    Mavii siasa ipi? We bwatuka kwenye michezo

  • @ScopionScopion-zj9cd
    @ScopionScopion-zj9cd 15 дней назад +1

    sasa manara unasema maroli yasiigie k/riakoo unategemea corntenal ikichuka kwenye meli ipakiwe kwenye toroli au boda boda iletwe k/riakoo au

  • @newtonjames1295
    @newtonjames1295 16 дней назад

    Umetoa point

  • @ScopionScopion-zj9cd
    @ScopionScopion-zj9cd 15 дней назад +1

    k/riakoo Ni international market mizigo inaigia nakutoka sasa unaposema maroli yasiigie hebu fikklia vizuli inatakiwa ujue kwa wewe unakaa sokoni kwahiyo kelele huwezi kuziepuka magari mengne yanatoa mizigo mikoani yanaigia usiku sasa ulitaka yaishie wap mbezi au

  • @RizzikMsingiri
    @RizzikMsingiri 15 дней назад

    Uku kunakufaa kuliko mpira Raia atakuteua uwe mbunge wa kiteuliwa inafaa kutetea wanainchi

  • @augustinemagesa5743
    @augustinemagesa5743 15 дней назад

    We mwandishi nani anamtamani lopo lopo kwenye siasa 😂, yani huyu CCM wampeleke wapi, atuchafulie hari ya hewa? Watu km hawa ni walopokaji bila akili waende upinzani huko.

  • @VonsoAlmeida17
    @VonsoAlmeida17 16 дней назад

    Mdogo wangu Kendri calisa em punguza unampo mfanyia mahojiano Haji usimwite kwa cheo cha ofisini kwenu, Itapendeza ukitumia tu jina lake Haji au hata kaka Haji, Hii kumwita Boss inatoa fursa ya wewe kukwepa kumuuliza maswali ambayo yatamchallenge ili watazamaji waone kuwa kuna favortizim kati yenu,,,Weka uhalisia ili tuone content iko serious zaidi Ahsante.

  • @JohnsonBagambi
    @JohnsonBagambi 16 дней назад

    Manara😂😂😂😂

  • @YahayaNgenda
    @YahayaNgenda 15 дней назад

    Umefika wakati wa kupima wanasiasa akili zao hasa afya ya akili kabla ya kupewa ridhaa ya kuongoza watu

  • @marymoshi572
    @marymoshi572 16 дней назад

  • @AdamSaffi211
    @AdamSaffi211 15 дней назад

    Sitashangaa akiwa in politics, mwizi mkubwa huyu, CCM oyeeeeee, waibie na wakuchague mbwa koko wewe!

  • @YahayaNgenda
    @YahayaNgenda 15 дней назад

    Pale jangwani wamemkataa ss anataka adondokee ktk siasa

  • @evancemayala1576
    @evancemayala1576 16 дней назад

    Zungu maji marefu

  • @MohamedIbrahim-bn1gz
    @MohamedIbrahim-bn1gz 15 дней назад

    Tandamuti

  • @YahayaNgenda
    @YahayaNgenda 16 дней назад +1

    Huyu jamaa ana matatizo anadhani wtz ni wajinga hawajui

  • @mahadshekh398
    @mahadshekh398 15 дней назад

    Mwizi wewe.Ulitapeli ukasamehewa.Wacha visingizio.