Ukimsikiliza Computer utulivu,upole na busara unatoa funzo kubwa kwa vijana wa kileo ambao wengi wanajisikia sifa,wanajisifu,wana maringo,majivuno na kiburi. Kwa sifa na uwezo wa Sunday Manara. Manara ingekuwa ni vijana wa leo hapo studio pangejaa mitindo ya ukaaji na misemo iliyochanganywa na kiingereza kibovu lakini si kwa huyu mzee Manara ambaye yuko mbali sana na tabia za vijana wa kileo na hii ndio siri kubwa ya mafanikio yake. Vijana igeni na jifunzeni kwa mzee huyu.
Mtangazaji tulia uulize maswali,badala ya kuchomekea kama shabiki. Kuna maeneo anavuka Sunday, kwa mfano,hakumalizia matokeo ya Nairobi,alikochezea taifa stars mara ya kwanza. Walichukua ubingwa? Alifunga goli kake la Kwanza Taifa stars? Jiandae kabla ya kuhoji level huu ta Sunday Manara.
Sio kuandika kitabu tu ni fursa hiyo kwa watamgazaji wanaojielewa hadi yuko hai ni fursa hiyooo. Kuna mambo mengi ya kujifunza na kuyachukuwa kutoka kwake kitabu ukiandika ndio umeandika hakiongei suala la nyongeza Ila yuko hai mtaongea mengi zaidi na zaidi. Kwahiyo ni muda wa kumrikidi na kuweka kumbukumbu hizi ambazo zitadumu milele
Wewe mtangazaji ni pesa hiyoo. Kaa nae mara nyingi. Tengeneza kipindi Cha kuwajua ba kuwaelezea wachezaji mbali mbali wazuri wa enzi zake. Na unora wao na hali zao na matatizo yao mafanikio yao ushindani wa kimichezo. Fursa hiyoo hapo ni pesa mkuu wapenzi wa kufatilia mazungumzo hayo ni wengi mno Kwahiyo unaweza kupata views wengi na kuingiza pesa Sihaba Uko vyema unajua kuuliza masuali ya msingi. Ila zidisha bidii zaidi. Bado una safari ndefu. Kuijuza jamii maisha wa wanasoka wetu wa zamani. Watu watapenda kujua zaidi kwa sababu enzi zile hakuna Mawasilano ya mitandao ya kijamii. Habari zilipatikana kwa shida ni gazeti. Au radio ba sio watu wote waliokuwa wana uwezo wa vitu hivyo. Sasa kwa Sasa watu kupata feed back news hizo za zamani utawafurahisha watu wengi Sana. Na ukiwa unataka ushauri zaidi Mimi Nipo nitakushauri mambo mengi zaidi ya kufanya Ili uwendelee mbele zaidi Hongera kwa interview yako. Sio mbaya Kama watangazaji wengine ambao wanauliza jambo Hata utafiti nalo haja Fanya Wala Hana Hata idea nalo. Kwa hiyo masuala yanakuwa hakuna blaaa blaaa tu
Aliekuwqa wa kwanza kuleta gari ya mtumba sio ww ni mzee wangu marehemu sasa alisoma Uholanzi na kufundisha chuo cha ardhi alileta peugeot 404 toka huko huko miaka ya 70s
Sasa wewe si unaongelea gari la baba yako pengine hata haujaliona ulisimuliwa, lakini yeye anakusimilia kuhusu gari lake ambalo amelinunua kwa hela zake.
Hongera mzee Sunday cha ajabu mpira wetu haujui thamani ya watu hawa,manara yuhai kinadeni yupo kitwana yupo na wengine wengi hakuna hawajuae
Safi sana ❤❤
Ukimsikiliza Computer utulivu,upole na busara unatoa funzo kubwa kwa vijana wa kileo ambao wengi wanajisikia sifa,wanajisifu,wana maringo,majivuno na kiburi. Kwa sifa na uwezo wa Sunday Manara. Manara ingekuwa ni vijana wa leo hapo studio pangejaa mitindo ya ukaaji na misemo iliyochanganywa na kiingereza kibovu lakini si kwa huyu mzee Manara ambaye yuko mbali sana na tabia za vijana wa kileo na hii ndio siri kubwa ya mafanikio yake. Vijana igeni na jifunzeni kwa mzee huyu.
Hongera sana mzee wetu wa semaji wetu pemdwa te amezuiliwa na anaye ogopeka na rais wa tff
Tunamshukuru sana mungu kwa kuwa na YANGA NA SIMBA
Mtangazaji mbovu anaingilia sana maongezi
Mtangazaji kasome tena , unahoji hapo hapo unajibu mwenyewe sasa cjui mtangazaji gani kwakweli
WAZUNGU watu smart SANA japo siwapendi
Hongera,nlikuwa mdogo lakini mechi ya Dar na Tanga niliiona Tanga,Mkwkwani.ILIKUWA NI TOUGH MATCH.
Lami 1971 ilikuwepo mprogoro road Hadi ubungo
Sunday kapiga chenga kuhusu Haji. Swali kazaliwa wapi, Tanzania au Uholanzi? Hata yeye mwenyewe kacheka. Wana Kariakoo tunajua kazaliwa wapi. 😂😂
Mtangazaji tulia uulize maswali,badala ya kuchomekea kama shabiki.
Kuna maeneo anavuka Sunday, kwa mfano,hakumalizia matokeo ya Nairobi,alikochezea taifa stars mara ya kwanza.
Walichukua ubingwa? Alifunga goli kake la Kwanza Taifa stars?
Jiandae kabla ya kuhoji level huu ta Sunday Manara.
Yani nimefurahi sana kuona mpo na mwina kaduguda watani wa jadi safi sana
JINA computer nilimpa Mimi 1973 nipigie nikupe historia yake.
Sauti kama Haji
Mtoto anagawa hela kwa madem ameshindwa kupiga rangi hata nyumbani kwao
Acha wivu mtoto wa kiume
Sio kuandika kitabu tu ni fursa hiyo kwa watamgazaji wanaojielewa hadi yuko hai ni fursa hiyooo. Kuna mambo mengi ya kujifunza na kuyachukuwa kutoka kwake kitabu ukiandika ndio umeandika hakiongei suala la nyongeza Ila yuko hai mtaongea mengi zaidi na zaidi. Kwahiyo ni muda wa kumrikidi na kuweka kumbukumbu hizi ambazo zitadumu milele
Wewe mtangazaji punguza papara upate mengi acha kimuhemuhe
Interview bora kabisa
Sunday kanirejesha nyuma miaka 50 wakati huyu nikitamani niwe kama yeye
viongozi wetu niwabovu sana
Kama tumemnukuu vizuri, yeye amesema gari aina ya 504 sio 404
Nimefurahi kuona huyu Mzee ni mtulivu na ni makini mno ktk kujieleza
Namkumbukasana, Mr sembuli pale tanga,
Pan Africa walipocheza nacstl, Mr semb, ali piga shoot alichana nyavu,
Niliona hiiyo Derby August 74
Ifike muda Sunday Manara aandike kitabu, Ana madini ya kutosha sana.
Baba una madini ya kutosha ninavyokusia mpaka konyagi imeisha kichwani nimefurahi sana
Wewe mtangazaji ni pesa hiyoo. Kaa nae mara nyingi. Tengeneza kipindi Cha kuwajua ba kuwaelezea wachezaji mbali mbali wazuri wa enzi zake. Na unora wao na hali zao na matatizo yao mafanikio yao ushindani wa kimichezo. Fursa hiyoo hapo ni pesa mkuu wapenzi wa kufatilia mazungumzo hayo ni wengi mno Kwahiyo unaweza kupata views wengi na kuingiza pesa
Sihaba Uko vyema unajua kuuliza masuali ya msingi. Ila zidisha bidii zaidi. Bado una safari ndefu. Kuijuza jamii maisha wa wanasoka wetu wa zamani. Watu watapenda kujua zaidi kwa sababu enzi zile hakuna Mawasilano ya mitandao ya kijamii. Habari zilipatikana kwa shida ni gazeti. Au radio ba sio watu wote waliokuwa wana uwezo wa vitu hivyo. Sasa kwa Sasa watu kupata feed back news hizo za zamani utawafurahisha watu wengi Sana. Na ukiwa unataka ushauri zaidi Mimi Nipo nitakushauri mambo mengi zaidi ya kufanya Ili uwendelee mbele zaidi
Hongera kwa interview yako. Sio mbaya Kama watangazaji wengine ambao wanauliza jambo Hata utafiti nalo haja Fanya Wala Hana Hata idea nalo. Kwa hiyo masuala yanakuwa hakuna blaaa blaaa tu
Tray agen tuachie timu
Aliekuwqa wa kwanza kuleta gari ya mtumba sio ww ni mzee wangu marehemu sasa alisoma Uholanzi na kufundisha chuo cha ardhi alileta peugeot 404 toka huko huko miaka ya 70s
Wewe ulikuwepo au umesimuliwa? Kwani miaka ya sabini ni mwaka Gani? Maana hata mwaka 1970,1975 au 1979 ni miaka ya sabini.
@@reginaldmapunda6702to
Miaka hiyo hakuna gari ya mtumba na ilikuwa ikichakaa unarudisha unaongeza hela kidogo unapewa mpya
H
Sasa wewe si unaongelea gari la baba yako pengine hata haujaliona ulisimuliwa, lakini yeye anakusimilia kuhusu gari lake ambalo amelinunua kwa hela zake.