Kwa mara ya kwanza namsikia Senga anaongea kwa uzuri/utulivu sana nje ya maigizo. Hongera kwa ujumbe mzito. Msiba ni wetu. Kikubwa ni kumuombea msamaha pale alipopetuka Mungu amsamehe.
Kwa kweli ht mimi nilipopata habari ya mcba. Nilimuwaza saana Mzee Senga. Pole sana Senga. Tunamuomba ALLAH amsamehe madhambi yake na ampeleke peponi. Kwakweli tumeskitika saana. Nafatilia kutoka Oman.😭😭😭💔💔💔
Mh! Kama utani vile wiki iliyo PTA walikuwa wanataniana masuala ya kifo iviivi kwenye interview ya pa1 leo ametuacha kweli dah! Inaumiza sana mungu amraze mahara pema peponi....
Hilo Senga umeongea kila Mchezo matusi tu kuna muda umekaa kwenu na watu wazima unao waheshimu unabaki kuangaliya chini kisha unainuka taratibu ni matusi tu michezo ya ss hv lazima watukane
Pole xan kak tangu npo chekechea nawafatilia comedy zenu mbaka sas nina miaka 22 kamil kuwa na roho iyo iyo baba ang legendar wa comedy
We will miss you Pembe forever
Paix à son âme mzee pembe,nous ne t'oublirions Jamais,tu es dans nos cœurs.
Poleee sanaa wafiwa,,,,hoteli watu wanalalagaa comed kazi yakee!!
Pole senga kwa kumpoteza rafiki kipenzi Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina lake libarikiwe Amen
Amina
Pole kaka yangu. Kiukweli Senga na Pembe da!
Huu ndio urafiki wa dhati,
Pole sana mzee wangu
Pole sana Senga, pia MUNGU azidi kukuongezea upendo zaid ya apo.
Pole sana kwa kuondokewa na lafki yako mpendwa
MUNGU amlaze mahala pema peponi 😢😢
Mungu aiweke roho yake mahali pema pepon amina
Rest in peace pembe we will miss you from kenya
Pole sana senga
Poleni Sana MUNGU Ailaze mahalipema Peponi
Mungu amlaze mahala pema peponi 😭😭🙏
INNA LILLAH WAINAA ILAYHI RAJIUN
High blood pressure ?
Dah! Pole xn Senga mwamba kaondoka
Allahummaghfir lahu warhamhu
Senga akili nyingi sana anajibu 150% 😊
Poleni sana
Kwa mara ya kwanza namsikia Senga anaongea kwa uzuri/utulivu sana nje ya maigizo.
Hongera kwa ujumbe mzito.
Msiba ni wetu.
Kikubwa ni kumuombea msamaha pale alipopetuka Mungu amsamehe.
Polenisana jamani😢😢😂😂
Kwa kweli ht mimi nilipopata habari ya mcba. Nilimuwaza saana Mzee Senga. Pole sana Senga. Tunamuomba ALLAH amsamehe madhambi yake na ampeleke peponi. Kwakweli tumeskitika saana. Nafatilia kutoka Oman.😭😭😭💔💔💔
Dah mungu amlaze mahali pema peponi
Poleni sana mungu amsamehe zambi zake amuondoshee na azabu za kabri
Pole sana Senga kwani mlikua maswahiba sana na pembe
Pole sana senga nafamilia ya malehemu pembe kwa ujumla
Pole
Mungu ailaze roho ya marehemu pema pepon
MAneno ya senga yako kamili kwa mwenye akili atafuata na mwenye mihemko atapata hasara heshima ndio muhimili wa mwanaadam jiheshimu uheshimiwe
Poleni sana
Pole jaman
Polen sana
MUNGU amlaze mahala pema polen sana kwa wote
Wasanii wanaubinafsi roho mbaya,...Pembe sio mwili wake wakuletwa na kenta
Waislam ndii wanavibebana
Innalilah wainailah rajioni
Pole senga du
💔💔
Lala salama Mzee wetu pembe
Mh! Kama utani vile wiki iliyo PTA walikuwa wanataniana masuala ya kifo iviivi kwenye interview ya pa1 leo ametuacha kweli dah! Inaumiza sana mungu amraze mahara pema peponi....
R.i.p
Polen sana mi moja ya shabiki yake
Jaman hata siamn mm
R.I.P
Mungu amlalaze maali alipo pachagua akiwa dunian
3:10 3:11 3:13
Mzee senga pole kuondokewa na marehemu pembe
Asry sijamwna
Jina litabaki kuwa pemba'ila ukweli matendo tabia imetoweka
Plee
Jamani apumzike kwahamani tumepoteza jembe letu
Hilo Senga umeongea kila Mchezo matusi tu kuna muda umekaa kwenu na watu wazima unao waheshimu unabaki kuangaliya chini kisha unainuka taratibu ni matusi tu michezo ya ss hv lazima watukane
Maneno ya busara
😭😭😭😭
😭😭😭😭😭
Pole
Poleni sana