Tunda Man - Yanga Hii Unaifungaje (Official Music Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 дек 2024

Комментарии • 99

  • @DeniceTesha-du2fs
    @DeniceTesha-du2fs 19 дней назад +4

    😂😂😂 bonge moja la Muzik ww n msaniii mkubwa 🎉

  • @DoIKonb-f1z
    @DoIKonb-f1z 10 дней назад

    Nakupenda sana tunda mwaaaaaa💝💝💝💝💝💝

  • @aminiyasini7271
    @aminiyasini7271 8 дней назад

    Timu ya waganga 😮😮😮😮😮

  • @SizzäryThemsömäriänoö
    @SizzäryThemsömäriänoö 8 дней назад

    Urikua unaimba studio wew

  • @RomanusBussa-g7q
    @RomanusBussa-g7q 24 дня назад +8

    Konde boy unasemaje hapo ebu like tumuongezeee kwa hii jamani

    • @FransisGeorge
      @FransisGeorge 8 дней назад

      Broo ap ume wawez kwakwer han usem ten pig kerer kwa simb yak weweeeeeee

  • @michaelmbilinyi7442
    @michaelmbilinyi7442 26 дней назад +3

    Safi sana kaka tuwaumize roho

  • @JoshuaKasawa
    @JoshuaKasawa 12 дней назад

    Wewe ndo maana umepotea kimziki nenda ukalime tu kwa jili ya mambo yaka

  • @SelemaniPaulo-v7b
    @SelemaniPaulo-v7b 16 дней назад

    hiyo siyo nyimbo yakuwaimbia watu tundaman

  • @IbrahimKi4na
    @IbrahimKi4na 26 дней назад +2

    Nakubali sana

  • @KilombiloIsmail
    @KilombiloIsmail 13 дней назад

    unaweza mwimbaji ongera kwako kama vp imbia wachezaji wote apo vp kamanda

  • @AsheryShadrack
    @AsheryShadrack 12 дней назад

    Inaumaa mmeona mnavo fungwa

  • @EliyaStephano-y9b
    @EliyaStephano-y9b 8 дней назад

    Unajiuza et mbona umekua ka dem vp tukuxhonee kijola

  • @PauloSukums
    @PauloSukums 14 дней назад

    Waambieee

  • @JosephJohn-px1fv
    @JosephJohn-px1fv 18 дней назад

    Wanakupanda wew unabana pua kabc

  • @JoshuaKasawa
    @JoshuaKasawa 12 дней назад

    Mtoto wa kiume ujue wewe kubana bana puwa kama mtoto wa kike acha ata tufungwe na dodoma Jiji Bado nitaipenda yanga

    • @ROSEJORAM
      @ROSEJORAM 8 дней назад

      H😂😂😂😂 polen sana

  • @MasanjaSamweli-b3r
    @MasanjaSamweli-b3r 22 дня назад +1

    Falaa we kipaji ndio kimeishia kuwa chawa wa TIMU

  • @bahatimlingi491
    @bahatimlingi491 21 день назад

    Umeshaishiwa mashairi wew

  • @AsheryShadrack
    @AsheryShadrack 12 дней назад

    Wewe tupo wanasimbaa tutamshabikia nyie lieniiii tuuu

  • @mawazomyaniko-og6zp
    @mawazomyaniko-og6zp 26 дней назад +24

    Brooo wewe ni msaniii una mashabiki wengi sanaa wa Tim tofaut wapo wa simba pia wa yanga jifunze kwa wasanii wenzio Tim ukiimbia Wimbo imba Wimbo mmoja na penyewe sifia Tim yako sio kuponda Tim pinzan brooo mpira ni starehe kama starehe zingine vitu unavyo imba vitakufanya ujishushie hadhi yako una mashabiki wa Tim tofaut kakaaa utafanya wakuchukie jaribu play nyimbo zako za zaman na sasaaaa kakaa unajua kuimba weka ushabiki wa mpira pemben imba kama zaman mimi ni mmoja wapo wa mashabiki zako japo mimi yanga dam dam ila imba vinavyo eleweka Achana na mpira hio ni kazi kama kazi zingine brooooo🎉

    • @malasabbundala6755
      @malasabbundala6755 25 дней назад +1

      Hana akili ndo maana kapotea kweny game

    • @mawazomyaniko-og6zp
      @mawazomyaniko-og6zp 24 дня назад

      @malasabbundala6755 hiii ndo changamoto ya wasanii ajifunze kwa wasanii wakubwa akina mond kutoka hawakubezi kwenye kuimbia Tim jifunze angalau kwa wakubwa wako diamond, harmonize, rayvany, nk....

    • @michaelkaphipa4354
      @michaelkaphipa4354 24 дня назад +2

      Acha uboya wewe. Mwache aimbe kilicho moyoni mwake Cha msingi hajakiuka maadili

    • @shakiramshule342
      @shakiramshule342 24 дня назад +2

      Mwache aimbe imbaaaa

    • @DiannaJumanne-de1kk
      @DiannaJumanne-de1kk 24 дня назад

      Aimbe vitu vya kumake sense weka ushabik pemben kaka Utapotez mashabik

  • @AshaIssa-s7g
    @AshaIssa-s7g 26 дней назад +1

    Leo hiii imefungwajee😂

  • @SelinaMdoe-jv1pu
    @SelinaMdoe-jv1pu 18 дней назад

    Nanyie mmeshenye ntwa

  • @noahchepe8036
    @noahchepe8036 18 дней назад +1

    Mshamba tu huyu mziki umemshinda.. ka base na mambo ya kishabiki.

    • @AsheryShadrack
      @AsheryShadrack 12 дней назад +1

      😂😂😂😂😂😂😂 umemshijeee inaumajeee

    • @noahchepe8036
      @noahchepe8036 12 дней назад +1

      @AsheryShadrack hujaeleweka nini umeandika

  • @DanielMwitha-u9x
    @DanielMwitha-u9x 26 дней назад +1

    Kama wew ni Simba tufunge wew mbn wew tukikufungaj

  • @MussaYusuph-c7c
    @MussaYusuph-c7c 25 дней назад +1

    Mwanaume unabana pua huo n umama

  • @prudencekategaya8112
    @prudencekategaya8112 23 дня назад

    We kuimba haujui tena unapiga kelele tuuu

  • @VailethLukas
    @VailethLukas 22 дня назад

    We jamaa sautiyako inamfaa pididy saut lain kinoma kama ya zuchu

  • @JacklineJohn-j5c
    @JacklineJohn-j5c 25 дней назад

    Umeua broo❤❤❤

  • @AbdallahSeif-g5t
    @AbdallahSeif-g5t 19 дней назад

    We boya konde boi hama mashabik wa simba

  • @samsonmwaipaja5231
    @samsonmwaipaja5231 23 дня назад

    kuimba hujui

  • @HarunaShabani-i9k
    @HarunaShabani-i9k 21 день назад

    Tayari huyo ubwabwa

  • @PetroRaphael-vv4hw
    @PetroRaphael-vv4hw 26 дней назад

    Noma sana

  • @khamisshabani691
    @khamisshabani691 23 дня назад

    kaka kauze viazi mziki umekushinda huna jipia

  • @allytwalib7787
    @allytwalib7787 18 дней назад

    kenge anatafuta kiki kupitia nyimbo za wanaume wenzake .... upumbavu uliopitiliza.....

  • @ElizabethLucas-r8i
    @ElizabethLucas-r8i 18 дней назад

    Atakosa washabik msanii mkubwa hovyo kuwa kama wasanii wengne

  • @husnasalim9614
    @husnasalim9614 19 дней назад

    😂😂😂💃💃🔥

  • @AbdalahMakungwa
    @AbdalahMakungwa 27 дней назад

    Acha kupiga kelele we mweu

  • @RashidKishambo
    @RashidKishambo 22 дня назад

    We fala game ishakuacha sasa unafosi utoto tuu

  • @JacksonMchoraji
    @JacksonMchoraji 26 дней назад +1

    Sauti lako baya badilisha sauti yakuimba hiyo hatuielewi

    • @LemaNdatuya-rx9dk
      @LemaNdatuya-rx9dk 26 дней назад

      Kwani umemuona ni mtoto wa kike, aimbe sauti ya kuvutia 😂😂

  • @JaliaKharid-w5c
    @JaliaKharid-w5c 28 дней назад +1

    Wape hao wasituzoee

  • @DenisAdam-o2h
    @DenisAdam-o2h 24 дня назад

    Acha sif😢

  • @PakatJames
    @PakatJames 23 дня назад +1

    Imewabamba kinoma wanabaki kutukana message yenye ukweli mtupu 😅

  • @JosephJohn-px1fv
    @JosephJohn-px1fv 18 дней назад

    Xhog ww

  • @WahindiJonhPeji
    @WahindiJonhPeji 23 дня назад

    We nae umeimba udongo2

  • @MariaPaschal-z1t
    @MariaPaschal-z1t 26 дней назад

    Muone na xhalubu zake Kama braxh caut mbaya

  • @JoyceFrancis-u7z
    @JoyceFrancis-u7z 25 дней назад

    angekuwa wa yanga kaimba ivo bilion 3 angepgwa fain lakin kwa vile ni makolo ndo maan wanachukulia poa

  • @majaliwabwitonde6900
    @majaliwabwitonde6900 23 дня назад

    We mwimbaji mjinga 😂😂😂

  • @EmanueliSelemani
    @EmanueliSelemani 24 дня назад

    😂😂😂😂 vipi mashabiki wa utopolokwinyo mbona mnapaniki?

  • @MnoileAbedi
    @MnoileAbedi 19 дней назад

    Choko

  • @JthedjMusic-j1t
    @JthedjMusic-j1t 27 дней назад

    Yaan hapo bado

  • @richardmigodela8948
    @richardmigodela8948 12 дней назад

    Koma

  • @ShamsaFahad-n8v
    @ShamsaFahad-n8v 28 дней назад

    😂😂😂😂😂 bado hawajasema watalia sana👌😂😂

  • @HassanHaji-v3j
    @HassanHaji-v3j 27 дней назад +2

    Nakubal kaz yko 🎉🎉🎉

  • @safarivahocha8077
    @safarivahocha8077 19 дней назад +1

    Jina tu linamaanisha kila kitu. Tangu lini mwanaume akaitwa Tunda? Si ana diywa huyu? Sasa Ana tafuta kiki ya kurudi mjini kwa ku force😂😂😂

  • @LovelyMountainLandscape-dd4xe
    @LovelyMountainLandscape-dd4xe 23 дня назад

    Ww tunda ni kuma

    • @VETERANS-z7g
      @VETERANS-z7g 23 дня назад

      Maku mwenyewe Mpira ni Furaha sio matusi we shabiki maandazi 😅 we fwala nini

    • @VETERANS-z7g
      @VETERANS-z7g 23 дня назад +1

      Maku mwenyewe Mpira ni Furaha sio matusi we shabiki maandazi 😅 we fwala nini

    • @wizylaizer4350
      @wizylaizer4350 23 дня назад

      Kam wew ulivyo kuma

    • @LovelyMountainLandscape-dd4xe
      @LovelyMountainLandscape-dd4xe 23 дня назад

      Nyie mashabiki wa utopolo mnaleta ushoga mtakaria uyo tunda na nyie mnaosapoti ujinga ni madem zangu nitawatomba vibaya mno

    • @OmarKombo-q3b
      @OmarKombo-q3b 18 дней назад

      ​@@LovelyMountainLandscape-dd4xesawa najua n hasira 2 ila pole bro😢😢😢😢

  • @HasmaGaga
    @HasmaGaga 27 дней назад

    ❤❤❤❤❤

  • @adamuchenchere5699
    @adamuchenchere5699 27 дней назад

    ❤❤❤

  • @NoelSimon-k8r
    @NoelSimon-k8r 19 дней назад

    we auna akili harmonize umewai kumsikia anaimbia simba alafu we msanii wa mashabiki wote apo unawapunguza

  • @shedracksinabajije3623
    @shedracksinabajije3623 28 дней назад

    🎉🎉🎉

  • @RAMADHANAllykibanga
    @RAMADHANAllykibanga 28 дней назад

    ❤😂

  • @Fatma-h6f
    @Fatma-h6f 24 дня назад

    ,😂😂😂😂😂😂😂

  • @Jovinmagarya
    @Jovinmagarya 19 дней назад

    😂

  • @Almas-tf3eb
    @Almas-tf3eb 27 дней назад

    😂😂😂😂

  • @oshaimuafrica8398
    @oshaimuafrica8398 28 дней назад

    😂😂😂😂😂wanaongea Sana Simba ngoja tu watafungwa hawataamin

  • @OmarKombo-q3b
    @OmarKombo-q3b 18 дней назад

    Sasa nyie mnaumia mkiwa wap kwan konde alivyoimba alikuwa han mashabiki wa simba achen hizo nyie

  • @JescaSolomon
    @JescaSolomon 28 дней назад

    😂😂😂😂

  • @jamariniyongabo6863
    @jamariniyongabo6863 20 дней назад

    This is no good bro

  • @EmmanuelMwantavilah
    @EmmanuelMwantavilah 25 дней назад

    Ujinga tuu

  • @AsheryShadrack
    @AsheryShadrack 12 дней назад

    Inaumaa mmeona mnavo fungwa

  • @AsheryShadrack
    @AsheryShadrack 12 дней назад

    Inaumaa mmeona mnavo fungwa

  • @AsheryShadrack
    @AsheryShadrack 12 дней назад

    Inaumaa mmeona mnavo fungwa