MISO MISONDO WAMVUNJA MBAVU WAZIRI MKUU KWENYE MAPOKEZI YA NDEGE MPYA, HOI KWA KICHEKO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 дек 2024

Комментарии •

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 9 месяцев назад +42

    Miso missondo nawakubali sana watafika mbali sana Kila mahali lazima waalikwe wanatufurahisha sana sisi watu wazima

    • @wizk_halfa
      @wizk_halfa 7 месяцев назад +1

      Hatari sanaaaa😅😅😅😅

  • @mariamyusuph3262
    @mariamyusuph3262 9 месяцев назад +21

    Namkubali sana waziri mkuu.mungu amlinde

  • @abdallahassan6378
    @abdallahassan6378 9 месяцев назад +10

    Dah Ktk serikali yet naombeni nimpe waziri Mkuu maua yake🎉🎉🎉🎉🎉

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 9 месяцев назад +15

    Mwenye kigaloni mbona yupo😁😁😁😁👍👍❤❤ila nguo leo ziko safi kweli'mwaliko ni MKUBWA huu.

    • @NaomiBwilinde-r2j
      @NaomiBwilinde-r2j 8 месяцев назад

      Tena Leo n beat tuu hakuna maneno 😂😂😂

  • @nancybungei9113
    @nancybungei9113 2 дня назад

    Tanzania inatambua Sanaa sana,more love from Kenya ❤🇰🇪

  • @vincentauxerbius7554
    @vincentauxerbius7554 9 месяцев назад +75

    Hii nchi ukijifanya una akili zako una kufa masikini😅😅😂😂😳😳🏃‍♂️🏃🏃

    • @YonaKigawa
      @YonaKigawa 9 месяцев назад +1

      Hapo kweli unacho lakin unakuwa maskin tumia fan yako

    • @fridaanders183
      @fridaanders183 9 месяцев назад +1

      😂😂

    • @amanmalik6917
      @amanmalik6917 9 месяцев назад +5

      Ukitumia akili za shule kutafuta hela hutoboi

    • @vincentauxerbius7554
      @vincentauxerbius7554 9 месяцев назад +2

      @@amanmalik6917 🤣🤣🤣😂😂 seriously

    • @sawackoswald9322
      @sawackoswald9322 9 месяцев назад +4

      Haswaaa kiwa navitu vyakichizi ndio unaonekana

  • @RichadMelembuk
    @RichadMelembuk 8 месяцев назад +4

    missomisondo in the world❤❤❤❤ kinomaa yaniii

  • @abedysteven4930
    @abedysteven4930 9 месяцев назад +36

    Aisee kiukweli hii nafac hamkuitegemea leo mungu kawafkisha mbali!! Mshukuru mungu wakat wote amen

  • @Zuu673
    @Zuu673 9 месяцев назад +7

    Wakati wa mungu Big up kazi kazi

  • @NorasckoLaurent
    @NorasckoLaurent 8 месяцев назад +6

    Unyama ni mwingi sema wamezingua kufua nguo zao maan zikiwa chaf ndo unyam wa kutosha lakin wapew maua yao💐💐💐💐

    • @madamjoy2402
      @madamjoy2402 8 месяцев назад

      Misodo wamejitaidi 🎉😂❤❤❤❤❤❤😅😮😢

  • @SikudhaniIbadi
    @SikudhaniIbadi 9 месяцев назад +6

    Miso misondo namkubali sanaaa

  • @MsNajma-e6e
    @MsNajma-e6e 9 месяцев назад +39

    Mungu akitaka kupa hakuandiki barua yan wamefika mbaka kwa mwueshimiwa kama masihala

    • @RajabuHayyan
      @RajabuHayyan 9 месяцев назад +4

      😅😅😅😅maisha ni plan ya allah

    • @baloz8974
      @baloz8974 8 месяцев назад

      Haswaa

    • @MowanaMohammed
      @MowanaMohammed 7 месяцев назад

      @@RajabuHayyanyeah

  • @hassanMahmoud-i4l
    @hassanMahmoud-i4l 9 месяцев назад +12

    mama samia kaamua kuwaachia wenyewe Tanganyika mupokee ndege yenu yeye yupo kwao zenji .safi sana mama

  • @eliaspeter4017
    @eliaspeter4017 9 месяцев назад +15

    Wakati wa Mungu ndo wakati sahihi 100%

  • @Deldy-ww5gx
    @Deldy-ww5gx 9 месяцев назад +2

    Bien sana ❤️✌️ niko Congo 🇨🇩🇹🇿

  • @ISSACKRICHARD
    @ISSACKRICHARD 9 месяцев назад +27

    Mungu akitaka kukupa akuandikii barua😂😂😂😂😂

  • @MRPRESIDENT-w4l
    @MRPRESIDENT-w4l 9 месяцев назад +7

    Yani Uyo DJ ni maandazi kabisa Kazingua sana Yani 😲

  • @GeraldSkamba
    @GeraldSkamba 2 месяца назад +2

    Nakukubali miso missondo p1sana 45 apa

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 9 месяцев назад +21

    Wazee wa makoti'kusin hoyooo❤❤❤❤

  • @Saidmayombya-z3g
    @Saidmayombya-z3g 9 месяцев назад +9

    Sijapenda maan sijaisikia honey ya miso misondo

  • @stellamsokwa6785
    @stellamsokwa6785 9 месяцев назад +2

    Mungu azidi kuwabariki misso missondo

  • @RayaRaya-d1h
    @RayaRaya-d1h 9 месяцев назад +6

    Jaaaman tnzn muraha😂san nataman nifike InshaAllah

  • @KingMoses-i2v
    @KingMoses-i2v 9 месяцев назад +3

    Tanzania Kuna Uhuru kweri🙏🙏

  • @peterpetter1311
    @peterpetter1311 9 месяцев назад +15

    Jamaa wanajua sana miondoko

  • @abeidmbano6077
    @abeidmbano6077 9 месяцев назад +8

    Joty angekuwepo kikosini..nakazia

  • @hyerarosemary
    @hyerarosemary 9 месяцев назад +6

    We miso misondo umepigajee apooooooo (kusini kwanzaaaa)

  • @SephaniaOnna
    @SephaniaOnna Месяц назад

    Mmetisha hongereni sanaa

  • @KINYONGAMASAUTI
    @KINYONGAMASAUTI 9 месяцев назад +3

    Nakukubali sana wazili

  • @shadrakagalus1185
    @shadrakagalus1185 8 месяцев назад +1

    Keep it up miso misondo🎉

  • @lusakokyando8693
    @lusakokyando8693 8 месяцев назад

    Namshukuru mama kwa kutuletea makoti

  • @MozahChikongwe
    @MozahChikongwe Месяц назад

    ❤miss this music so much

  • @BundalaCharles
    @BundalaCharles 8 месяцев назад +2

    nawakunari sana waje nahuku geita wapige show

  • @EmadoDone
    @EmadoDone 9 месяцев назад +2

    Amen

  • @nuruhhussein167
    @nuruhhussein167 9 месяцев назад +2

    Waziri 🙏

  • @brandsmedia4861
    @brandsmedia4861 9 месяцев назад +6

    nawakubali ila hapa hakuna mlifanya aisee

  • @MRPRESIDENT-w4l
    @MRPRESIDENT-w4l 9 месяцев назад +7

    Uyo DJ maandazi kabisa Kazingua sana

  • @KidauraKoplojohnA
    @KidauraKoplojohnA 3 месяца назад

    Ni wakati wa mungu big ap kazikazi ❤

  • @mwanagwakyala3213
    @mwanagwakyala3213 9 месяцев назад +3

    mmetisha sana wanangu

  • @KhadijaKindamba-yj9bn
    @KhadijaKindamba-yj9bn 7 месяцев назад

    Sana unaweza 🎉❤

  • @danielmgonja9906
    @danielmgonja9906 9 месяцев назад +3

    Bado tuko nyuma sanaa daah mpka Leo tunafanya sherehe mapokez ya ndege Tena Moja aise

  • @Victoria-bv6xu
    @Victoria-bv6xu 6 месяцев назад

    God bless you

  • @RamadhaniHemedi-l1v
    @RamadhaniHemedi-l1v 8 месяцев назад +1

    Nawakubalisana❤

  • @ruthyohanesy3739
    @ruthyohanesy3739 Месяц назад

    Khaaaa wakawa serious kabisa 😂😂😂😂😂😂😂

  • @REHEMAMINISTRYCHURCHTV
    @REHEMAMINISTRYCHURCHTV 3 месяца назад

    Yaani Mimi naipenda serikali yangu ya TANZANIA sana

  • @AllySeleman-co6km
    @AllySeleman-co6km 9 месяцев назад +2

    Jama Wana weza sana

  • @nestorynestoryjohn4738
    @nestorynestoryjohn4738 7 месяцев назад

    Mungu nakuomba ujibu maombi yang kwazia sasa

  • @KarangiMafuruMjinja
    @KarangiMafuruMjinja 8 месяцев назад +3

    oya weeee nakubali xana misomisond

  • @UshindiMwampashi-j3p
    @UshindiMwampashi-j3p 3 дня назад

    Safi safiiiii tuuuuuu

  • @Adelemaombi
    @Adelemaombi 9 месяцев назад +3

    Kwani miso missodo ni team au ni msanii

  • @upendomwampulule1724
    @upendomwampulule1724 8 месяцев назад

    Big up msondo wako vinzuri

  • @salhaiddy403
    @salhaiddy403 8 месяцев назад +1

    Nawapenda Sanaa hawaa watu nachekaga tuu 😂😂

  • @AntoniDaffi
    @AntoniDaffi 3 месяца назад

    Nakubali miso misondo

  • @AmiriHamisi-lj4zg
    @AmiriHamisi-lj4zg 9 месяцев назад +1

    ❤❤❤❤love

  • @EmanuelMsangi-ro9we
    @EmanuelMsangi-ro9we 8 месяцев назад

    Kazi kazi babu

  • @BonifaceNyamahanga-f6h
    @BonifaceNyamahanga-f6h Месяц назад

    Nawakubali sana

  • @ANAMARYRUNYORO
    @ANAMARYRUNYORO 9 месяцев назад +2

    Sema bdo hampo organized lkn mnafurahisha

  • @GetrudeRashid-be8bs
    @GetrudeRashid-be8bs 5 месяцев назад

    Mm nawapenda wakiwa wamevaa nguo chafu,,Leo mmefua ,,illa pokeen maua yenu🎉🎉🎉

  • @neemaneema-xw1ol
    @neemaneema-xw1ol 8 месяцев назад +1

    mashall❤❤❤❤❤

  • @GloiSa-of6vo
    @GloiSa-of6vo 9 месяцев назад +28

    Nijambo la aibu taifa kufanya hafla ya mapokezi ya ndege. Hii nikukiri umaskini ambao sio uhalisia wa Tanzania

    • @ABUUSHURAIM
      @ABUUSHURAIM 5 месяцев назад +5

      Sawa tu Kwan Mara ngapi wew unafanya birthday unamwaga pesa afu Kiran anapga miayo mbona uko hamshangai ivo ukiona unashndwa kuhurumia wasio nacho na ukafanya ufujaji wa pesa ovyo bac ni ivo ivo ata juu kaa kimya

    • @DanielManase-m2b
      @DanielManase-m2b 3 месяца назад +1

      We hauna hakili ulisha jua unachoo ki ova kweny hii nyimbo

    • @JamesMwakalukwa
      @JamesMwakalukwa 2 месяца назад +1

      🇹🇿🤝

    • @lizzyzacharia2638
      @lizzyzacharia2638 2 месяца назад +1

      Ulitak Rihanna ndoaje a perform mpuuzi wew

    • @NDEWARA
      @NDEWARA 2 месяца назад +1

      Malalamiko jazz band 😂😂

  • @erickmsemwa4268
    @erickmsemwa4268 8 месяцев назад +3

    Hatari saana ngoja wapige hela.

  • @hamadichopoti2996
    @hamadichopoti2996 9 месяцев назад +3

    Wauni wamekchafua had serikaln😂😂

  • @SubiraKibelo
    @SubiraKibelo 2 месяца назад

    Tunajivunia misomi sondo

  • @KharudickigMkolosai
    @KharudickigMkolosai 8 месяцев назад +1

    Mh hiyo ndo miujiza ya Mungu umepigaje apo

  • @wilsonlombweti2868
    @wilsonlombweti2868 9 месяцев назад +1

    good

  • @JafaryChamungwana
    @JafaryChamungwana 7 месяцев назад

    ukivaa hivo mtaana unaonekana masikini.

  • @janemcharo5371
    @janemcharo5371 9 месяцев назад +1

    Hv miso misondo mnanini lakini😂😅😅Niachen😊

  • @SalumuJuma-jf5pp
    @SalumuJuma-jf5pp 8 месяцев назад

    Unyama sana

  • @victorphilipo
    @victorphilipo 9 месяцев назад +2

    Mimi sierewi kira mwaka cag anasema shika randege rinaendeshwa kwa hasara sasa nawaza hospitari hakuna madawa ndege ya nini tuwaze kabula ya kutenda

  • @TausiOsein
    @TausiOsein 7 месяцев назад

    Nawapenda jamani 🥰

  • @PaulMwakyusa-vz7ee
    @PaulMwakyusa-vz7ee 8 месяцев назад

    big upppp

  • @sebastianphineas1593
    @sebastianphineas1593 9 месяцев назад +3

    Leo dj kaboronga kabana mziki mbwembwe zimeharibu hawajakinukisha vilivyo

  • @KEVINIMBOMA
    @KEVINIMBOMA 9 месяцев назад +1

    Pitia frm254 💥💥

  • @NasibuRashidy
    @NasibuRashidy 2 месяца назад

    Wame upg kama pere😂😂😂😂❤❤❤❤

  • @EduBou
    @EduBou 9 месяцев назад +2

    Miso miso do nitakuja dadaam🎉

  • @fredyjeremia7074
    @fredyjeremia7074 9 месяцев назад +1

    Dj,,muhuni....hafla kama hiii speed yoote ya mziki unakimbilia nn,,sio wote wazaramo bhana

  • @innocentchristopher7571
    @innocentchristopher7571 9 месяцев назад +42

    Sijapenda Leo wamefua nguo bana hahaha

  • @FLORAHANSIBERTY
    @FLORAHANSIBERTY 9 месяцев назад

    Nunueni makoti safi,muwe smart,mtapendeza zaidi,hasa kipindi cha kampeni,mikoti hiyo mnaonekana wachafu, mbele ya wagen

  • @sheyjimmy6055
    @sheyjimmy6055 8 месяцев назад +8

    Kumekosekana vumbi tu😅

    • @LaylaIsa-i3e
      @LaylaIsa-i3e 2 месяца назад

      Kwakeli hapo umenena 😂😂😂

    • @dearmama7865
      @dearmama7865 Месяц назад

      Bila vumbi mamb hayaendi

  • @abuumnokotha
    @abuumnokotha 7 месяцев назад

    wapewe mauwa yao🎉👏

  • @ApronalCharles
    @ApronalCharles 9 месяцев назад +2

    Mwenyew nikinunua baiskeri nawaharika

  • @fredyjeremia7074
    @fredyjeremia7074 9 месяцев назад +1

    Mosondo inavutia ukipiga saiz ya kati,,we dj wa wapi??

  • @andersonsamuel9214
    @andersonsamuel9214 8 месяцев назад

    apa wamezingua. beat haijaleta vibe kabisa. kuna kionjo tumekikosa kabisa

  • @maigekigendi6414
    @maigekigendi6414 9 месяцев назад +11

    Sasa hapo Kun miziki gani ama kweli maisha ni Bahati

    • @gracemassawe3670
      @gracemassawe3670 8 месяцев назад

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @KarimuYusuph
    @KarimuYusuph 9 месяцев назад +2

    ukibaitika kuwa kiongozi wakat huu wa bb tt uta enjoy sna

  • @yustersimon5104
    @yustersimon5104 9 месяцев назад +2

    Miso kaja juzi tu kashamwona mpaka waziri😊😊

  • @KarimujumaMkasa
    @KarimujumaMkasa 8 месяцев назад +2

    We misi misondo nakup dadaa

  • @ShedrackMakumba
    @ShedrackMakumba 9 месяцев назад +2

    DJ sijui anawaonea wivu madansa wake kaboa hatali wakati mwingine anatamanigi nae haingie Kati kucheza

  • @Kaida_Cut254
    @Kaida_Cut254 8 месяцев назад +7

    Utamu ni nguo zao chafu na hio ndio nguvu ya Africa

  • @ridermc7734
    @ridermc7734 7 месяцев назад

    Mungu akipanga kuwa inakuwa

  • @barakalema4358
    @barakalema4358 9 месяцев назад +2

    Sasa shirika la ndege linajiendesha kwa hasara halaf bado mnanunua ndege what a shame

  • @NdakiNdaki
    @NdakiNdaki 8 месяцев назад +1

    Wametisha sana

  • @DelightfulMacawBird-tl5hf
    @DelightfulMacawBird-tl5hf 9 месяцев назад +1

    Miso misondo izo nguo zao vip😂😂

  • @benjo_brighter
    @benjo_brighter 8 месяцев назад

    Ukijifanya upo serious na haya maisha, hutatoboa 😂😂😂

  • @omarylioma4333
    @omarylioma4333 8 месяцев назад

    Well done homeboys😁😁

  • @salimkatumbaku3384
    @salimkatumbaku3384 9 месяцев назад +2

    Dj anapika tu kwa faida yake, awa jamaa wasipo cheza kwa mpangilio watapotea mapema sana

  • @kanjiboe_tz
    @kanjiboe_tz 2 месяца назад

    DJ ALIEACHIWA ANAZINGUA KISENGE 😥😥😥😥

  • @hassansuleiman-ph3jg
    @hassansuleiman-ph3jg 9 месяцев назад +1

    Kula Chuma ikooo😂😂😂😂

  • @IddimkindiYahaya
    @IddimkindiYahaya 3 месяца назад

    Nakubar

  • @MoïseLaurent-m7e
    @MoïseLaurent-m7e 2 месяца назад

    Ndugu zangu wa Tanzanie muna penda musique sana nawapa pongezi

  • @Maas-d5d
    @Maas-d5d 8 месяцев назад +5

    nasikia matikiti matikiti ama nimesikia vobaya alafu bangi sio mchicha haki 😂😂😂😂😂😂