Mungu wa mbinguni akufikishe mbali joti , Ur the best comedian, we ni mbunifu sana , hauigizi Yan unafanya kitu kweli, Ila uyo Kaka kondakta nampendaga😂😂😂😂😂
Hivi tunakoelekea jirani yako ndugu yako anauliwa mbele yako unapiga kelele Na hujui unaempigiia nani maana mtu mpo abiria tele mnashindwa kumzibiti MTU anatoa hukumu ya kuibiwa hata km ni Yeye #MSIMU WA MACHUNGWA UMEKUJA VIBAYA😂😂😂😂
Sijapenda matumizi ya character yenye kanzu, huwezi kumvuta mtu ana kanzu hivo umpige vibao huo ni ujambazi uyo muuza machungwa anawakilisha jamii ya aina gani hata teja hawezi fanya ivo
From kenya with love..Nipewe likes
Alafu December naja Tanzania kwa mara ya kwanza hope ntaenjoy
Habib welcome to Tanzania
@@mkundeferuzi8186and I🎉🎉🎉a time to meet
Hii noma naombeni like
Hii ni comedy na mtu amefikisha 1m mwogope sana huyoo mtu congratulations 🎉big boss
Nimekutaime, salale. Wanaonunuwa like, leteni pesa basi.
Wa kwanza kutoka CONGO🇨🇩 nipeni likes zangu jamani😂😂
Upewe Maua yakoo
Unajua sana we kaka hamn wa kukufikia
Leo mimi ni wa kwanza kama unampenda joti shusha comments ya makopa kopa hapa🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲
Ila joti eti mtoto umempata dakika ya tisini Nini😂😂😂😂😂
Mungu wa mbinguni akufikishe mbali joti , Ur the best comedian, we ni mbunifu sana , hauigizi Yan unafanya kitu kweli, Ila uyo Kaka kondakta nampendaga😂😂😂😂😂
Nitafute nikupe namba zake, na uwe serious
Creativity kudadadekii , nishai is in the car 🔥🔥
One million subscribers tumpe mauwa yakeee joti tv💥💥💥💥💥💥🌍🌍🌍
Nawakbal sanaaa asee mmechaza na mind zetu
Leo naenda kununua ya Mia tano mpaka nimesikia harufu ya machungwa ndani ya shuka😂😂😂😂
Daah kweli Hapo Mkwajuni..au hii clip ya zamani jmn
Jamani Wawooooo nilimiss sana Kanyinyi nimefarijika kumuona yani Kanyinyi apewe maua yakee😅😅
Nakubali double impact,hahah hongera Kwa legend
😂😂😂😂😂😂😂 huu msimu umenijia vibaya, me nashangaa machungwa tuu yanakuja upande wangu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
mambo lilian
Joti kanyinyi anajua sanaa ani kama konda kweli sielewi kwanini humpi nafasi Kwa sasa ni msanii mzuri sanaa! Kwenye Team yakoo
KAKA JOTI HUTUTENDEI HAKI MASHABIKI ZAKO KANYINYI TWAMTAKAA
Hongera sana Joti for 1M subscriber s
Napenda sana ukiigza kama mtoto
Joti is number one comedian in Tanzania ❤️
Wee inaonekana ujamuona clam vevo ebu mfatilie😂😂
Clam is namba 1 tz
Dah naamin leo nimekuwa wa kwanza au wa pili joti wee piga kazi bro please like 👍 ndio muhim zaid
Msim wa machungwa mi nashangaa yanakuja tu upande wang hahahaaa jotiiiii
Subscribers 1 Million Hongera
Wapi like ❤❤ am watching from kenya🇰🇪
Zito Kawa na siku m'baya sana
👌👌wa kwanza Leo 😅😊
Tunaosubiriaga ijumaa kwa hamu tujuane hapa kwa like❤😂😂😂
😂😂😂😂hiyo style ya joti ya kumove anaslide katisha 😅😅😅
Nimecheka kifala sana asubui subui😂😂😂😂.
Napenda sana hayo mazingira jamani sokoni nikiwa naona miti hiyo yani nafurahi 😊
Wew niatali sana jot
Respect my brother 😂😂😂😂❤❤❤
Wewe combi hatariiii😃😃😃😃
Siku Yangu imeisha hvyooo Sina stress kabca 😆😂🤣
Naona wanaenda naye gesti! hehehehe
Nashangaa machungwa yanakuja upande wangu.....🤣🤣🤣
😊😊😊😊😊twende nae ghetto
Hiii ni kali bt mmedisclose secret ya wanaume cjapenda 😢😅😅
Mwamba huyo hapo Sasa. Hajawahi kufelii yani😂😂
Cbhh
JOTI NI MBUNIFU SANA
Hivi tunakoelekea jirani yako ndugu yako anauliwa mbele yako unapiga kelele
Na hujui unaempigiia nani maana mtu mpo abiria tele mnashindwa kumzibiti MTU anatoa hukumu ya kuibiwa hata km ni Yeye #MSIMU WA MACHUNGWA UMEKUJA VIBAYA😂😂😂😂
Umm, muaenda level juu nigine
JOTI HUYU KANYINYI ULIMPELEKA WAPI MWANA ANAWEZA SANA KUCHEZA UHALISIA KAUA SANA😄😄 KONDA
Huyo mwizi nendeni nae tu ghetto mkamalizane nae🤣🤣🤣
Toba yariii hii ni hatariii😂😂😂😂😂
Kanyinyi unapotea sana, wapi mwamba
Ani sielewi kwanini joti hampi nafasi wakati ndo msanii anaweza sana kwenye Team yakee
Uy jamaa ASA ni creative kwel
😂😂😂😂😂😂😂ila joti😂😂😂kwani chungwa sh.ngapi😂😂😂
😅😅😅mpuuzi huy
you always make me happy,and forget my trouble thank for that❤❤❤
Joti WA wote...,,,wap like zake🎻
Nishai na andunje leo pamoja😂
Wa kwanza leo jaman like basi
Joti sungetulia zako chini tu jumba mbovu lilikuwa limesha angukia mtu mwengine
Nilimmic kanyinyi
Ani kainogesha sanaa leo
Tuweke za hami j kila siku andunje na kiboga
Msimu wa machungwa niatar 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Good one....
Watu sijuw mnalala umu jmn kaah😂😂😂😂
Msimu wabalaa huo😆😆😆😆🏃
Huyu konda na muuza machungwa mbna wanafanana Sana au ni ndgu nini
Mipia huwa nawafananisha sana
Watakua ndgu
Jot is the best kwangu
Dah...Sina hata 50 - TZS 😅
#Blessed #Lucas #Tanzania
Hiii imeeendaaa
Uko vizuri sana kaka,big love from Dubai.
Msimu wa machungwa umemponza abiria
Nimechelewa kdg
Never disappoint jotiiii 😂😅🎉
Anajua
😂😂King joti 🤣🤣🤣🤣🤣
Wa kwanza naomba like zang
Tunamtaka hami j
Sawa ni kichekesho Ila kina fanya promotion ya watu kulawitiwa sio poa
Haha first to view this from USA jm
Joti ww jaman 😂😂😂
Hkweri msimu wamachungwa
Andunje 😂😂😂😂
daaah ila Nishai😂😂😂
mnaomkubali Joti gonga like
Joti bhanaa daaaah
Wa kwanza leo mnipe like zangu
Hatima jot kafikisha subscribers 1m
Mhuvile hilo ni jina la Afrika kusini
Msimu wa machungwa🤣🤣🤣
Joti njoo actie uku boko
Wat hamlali aseeeh😂😂😂😂😂
😂😂😂andunje
😂😂😂😂😂Joti bhana
Nnimewahi kidogo na mie
Mapeeema jmni like ata tano tu
Leo nimewai
kama umepaona kwa wajeda maji chumvi gonga like😀😀
Usitaz 🎉
Nipeni like zangu,wa kwanz leo😂
Hahaha uwiiiii
Noma sana 😂😂😂
Sijapenda matumizi ya character yenye kanzu, huwezi kumvuta mtu ana kanzu hivo umpige vibao huo ni ujambazi uyo muuza machungwa anawakilisha jamii ya aina gani hata teja hawezi fanya ivo
Ila naww kanzu nivazi Kama mavazi mengine
@@lusajoabel5496 ndo mnavyo setiwa kuamini hadi mnaanza kuona msikiti ni jengo kama majengo mengine
Ndo akili yako imewaza ikaishia hapo? Ndo ulichokiona hicho!! Coconut head kabisa
Haya wale tunaosubili kuangalia jumamosi tujuane
Kwani watu wanaraukaje mm nikiwa nawatch ikiwa na 4 second huku nikicomment mwengine kaanza kucoment ikiwa na 0sec hahaha...
Joti😅😅😅😅😅😅