Hii nimeipenda sana, yaani kuna watu huwa viwaki sana kwenye biashara, yeye anaweka cha juu lakin akishushwa anataka akulalie...ni kumpa makonde tu, pumbavuuu..safi sana Joti 🤣🤣🤣
🤣 🤣 Wacha tamaa boss ungempa 25k zake ungepata hasara gani na ungekuwa na nyingi kumliko bila jasho bila mradi🤣🤣Yani tunaita bonus kwa betting.. Joti unaua😂
Msanii wa comedy Tanzania anayecheza kwa stairi Kama hii ni joti mbunifu Sana huyu mwamba hongera Sana joti
Superb my friend 👋🏻💖👋🏻💖👋🏻
Joti hata huyo kaka wa MITUMBA good na good tena pamoja na kaka wa siku zote huyo safi sana.Mnatufuraisha sana❤❤❤❤👍👍👍👍👍🙏🙏
Nimefurahi kumuona MADAM COLETHA ❤😊😍🤸
❤
Ndio nlikuwa najiuliza ni yeye au wamefanana tu
Kwa kweli tumefurahi
Merry wetu wa jua kali
A s
,
Noma sana hahaha 😂 Joti zaidi ya mchekeshaji ❤🤩💥💥💥💥 Karibuni Sana Zanzibar 🏝️🌊🐢🐒😊
Jot leo uko na mkongwe Corota very good na good tena.👍👍❤❤
Nimewahi Leo naomben like na comment my best comedian
Kosa uombe hela unaomba like😂😂😂😂 Bwege wewe, pumbavu zako 😅
Dahh pole johh🤡
@@k.o.n.g8925 email uyhghuf ❤🎉
@@peterpaul677 wtf email what. You want to send me money 🤣🤣🤣
@@k.o.n.g8925 mchane uyo k sana anazingua like za nini sasa
🤣🤣🤣🤣🤣 Jotiii ety eeeeh Mungu wa yehova nashukuru nilikuwa naona wanazika😂😂😂 Nakubali Sana 👏🏼👏🏼
Coletha Raymond huwa namkubali sana huyu dada
❤
Nishai kiboko kali sana,kazi nzuri sana
Long life jotii uchekeshe hadi wajukuuuuu😂😂😂😂❤❤
Jotti mtu wa kubadilika 🤣🤣hadi coletha ndani unabayaa comedy pambee like 10 kwa JOTTY🥰🥰
🎉
@@coletharaymond5597 ❤❤❤Coletha msanii wangu pendwa mda wote🔥🔥
Nakubali ✌️ Joti upo sawa respect kabisa🔥🔥🔥🔥🔥
Hii nimeipenda sana, yaani kuna watu huwa viwaki sana kwenye biashara, yeye anaweka cha juu lakin akishushwa anataka akulalie...ni kumpa makonde tu, pumbavuuu..safi sana Joti 🤣🤣🤣
Aliyesema Kuna haja gani ya kunilipa Mimi mshahara 🙌🙌😆😆😆💪
Tama zimekuponza boss wangu ungempa 50k tu ukubaki na 100k ungekosa nani kama sio kumpa nguvu zaidi mwezio
nawapenda na team yako you are the best
Nakukubari nishai kutu unachofanya ni uwalisia watu wabongo🙏🙏🤣🤣🙋♂️🙋♂️🇹🇿🇹🇿🇬🇷🇬🇷
Wakwanza,naombeni japo likes 10 tuu
Kwakweli watu mna wahi mnoo duuu mmeweka Alam Nini? Haaaaa 😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣
Umapataaaaa❤❤❤❤
Zitakusaidia nini
pp
Upeleke wapi
Wa kenya bwana eti wanasema joti ni wao,....
Joti anaweza sana 😂😂😂😂😂😂😂 like kama unamkubali
Middleman katika Biashara huwa ni tapeli!!
Lak na 50 na bado unampa mwenye Mali hela Pungufu 😂😂😂 TAMAA KWELI
Zito mwanangu mwenyewe 😂😂😂zito tajiri😂😂😂
Zito mwenyewe, zito mwanangu wa Damu 😂😂😂😂
Alafu unajua we tajiri😂
@@antipascann2797 hahaha 🤣🤩🤩💯🔥
Tamaa mbaya😂😂😂😂joti we ndo una tamaa,unapunguzaje bei ya mtu wakati wewe umepata kikubwa zaidi..
Unazingua bro😂😂😂😂😂
Hizi ndo nzuri zile za kuigiza kama sister achana nazo
Kweli Tamaa mbaya mhh joti pole sn kipigo juu n pesa umekosa
Afadhar hata leo nimewah kdogo nipen bas hata like 100 kwa jot
Much appreciate bro,nakuelewa.
Madalali hawana huruma laki na 50 anampa 20k🤣🤣🤣🤣🤣
Ila nishai laki na nusu umpe mwenzio 20 sio powa😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣 Mungu akupe maisha maref joti tuzid kuenjoy
East Africa yote JOTI is number one comedian ❤️🇨🇩
NAKANSIME UTAMWACHA WAPI AU MC JESE
Kenar crazy unamuachia wapi,otis unamuachia wap
Anacho kufanya joti n tafauti na kina Jessy hao wanafanya stand up comedy
Kazi nzury joti
Joti akili mingi😂😂😂😂😂😂👏👏
Zito mwanangu mwenyewe🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Zito mwanang mwenyw 😂😂😂😂
Jotiiiiiiii!!!!!! Safi👍🏾👍🏾
Middle men wapo wengi sana karume kitu cha elf 10 utauziwa elf 25 kama hutakuwa mjanja 😃😃😃😃
Umekula 😂😂😂😂
🤣🤣🤣 kila mtu anasrma wa kwanza!! Hata mimi nilidhani wa kwanza
Hapo kwa bodyguard hataki maelezo nimependa😂
0
Hhhhhhhhhh
Joti ni noma sana wengine watasubir Sana
Zito mwanangu mwenyewe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Joti ni mkali wa hizi kazi😂😂
Sema wafrika sijui tunamatatizo gani , sasa mimi naleta mteja wangu kwa bei ambayo tumeelewana kwanini unipangie bei hahaha
Tamaa kubwa Nishaiii si umpe hata hamsini tu
aaaaaah hhhhhh aaisee atari sana hhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Daaah Coletha, nilikua namuelewa kishenzi hyu dada enzi hizo za kaole.
Alafu hii ndo tabia ya madalali yani hawana hata utu wao wanajali upande waotu asa hapa yeye angempa 50000 yeye akachukua hiyo laki ingekua ni bomba
Leo tuna colleta Raymond 😂😂😂😂 uwache tamaa bwa ww😅😅
❤
Ila nguo za mitumba ni zuri sana😂😂🤣🤣🙌🏿jmn
😂😂😂😂😂Nishai umekosa vyote Eti hamna gani hapo ganji ya baba ako😂😂😂😂😂😂
Daah! team ya joti inajua sana, Bodygrd anajua sana huyu jamaa. Kwaujumla team nzima iko vizuri hatari.🤣
Wewe ni ule msee. 😂😂😂 from kenya ❤❤❤
Wazee wa ganji😃😃😃🤣🤣🤣
Wa kwanza kutoka Congo/Goma n'a ombeni like zangu kama unaikumbali kazi ya nishai
Waombe M23
Zito mtu mzito kaharibu mchongo😂😂😂😅
Baba unatisha umekuja vibaya😂❤🎉
😂ee..kweli amna ganji😂big up..ayooo nishai
🙌🙌weka mbal na watot
Dalali pumbavu sana 🤣 Sasa KULIKO kukosa zote cbora umtie hata 30 tuuu
Madame coretha LOVE YOU SO MUCH ❤❤❤❤
Mi ni mbwa🤣🤣🤣🤣madam be blessed nishai maana najichekea tu kazini
Never disappoint jotiiii 😂
hapana wee jamaan unajua sanaa
Wakwanza Leo 😂😂😂
Mtihani kweli yaani buku 5 inamkosesha mtu zaidi ya laki 😅😅😅 wehu huu
Ganji ya baba yako😂😂🔥
Coleta amekuwa mafutaaaa😂😂
Hahahahahahahaha, Kweli hamna ganji😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Daaah nimecheka aisee
Natoa kaka😂😂😂😂
Jot ujawah kukosea yaaan mama ako angekuzaa tumbo lingemsumbua sana
Shida yk jot ujuaji elfu tano imekuponza ss
🤣 🤣 Wacha tamaa boss ungempa 25k zake ungepata hasara gani na ungekuwa na nyingi kumliko bila jasho bila mradi🤣🤣Yani tunaita bonus kwa betting.. Joti unaua😂
Mimi tangu inaanza nilijua Zito ndio atazingua kumbe joti ndio kazingua/kaleta tamaa.
Hahaha tena kiungwana angempa tu 50k
Dah joti Kwa Hili umetisha sn mzee
Joti kama Joti hahahaha mi cpendagi akiigiza kama mwanamke aisee hivi ndio napenda...
Safi xana kaka from 🇰🇪
Hahahaha 😂😂😂 umetisha mno
Huyu ni Me Kabisa Nishai ila me Sikukutanishi na Tajiri Kbsaaa Biashara na maliza Mwenyewe
Namupenda body Gard💪🏾💪🏾💪🏾😂🤣
🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂Kwambia mademu wak natka nguo zangu 🤣🤣🤣😂🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂😂Joti mwehuuuuuuuu
Kweli tamaaa mbaya 😅😅😅😅😅😅
Tamaa imekupoza et🤣🤣🤣
Imetisha jotiii😊
Mery wajua kali kanikosha Tim juakali tujuane ata like 20 tu
😂😂😂😂 acha tamaa mbwa wewe😂😂😂😂, ganji ya babako😂😂😂😂😂
Joti umebaki ww ty..big up xn
Talented boy 🔥🔥🔥
Nishai Unatamaa nguo siyo zako😂😂😂😂😂😂
Joti tamaa imekuponza mzee baba
Jotti haja wai kutu angusha 💪✊🔥
😂 kazi nzuri
Noma sana 😁😁😁🔥
Like Kwa Prof joti😂😂😂😂
Winga unaingia kitengo na mlengaji tena😂😂😂
Mambo mengine achana nayo 😃😃
Wewe una tamaa,wewe ndiyo unatamaa.😅🤣😂maisha haya