Mara muingine NI Mimi hapa shimron from Kenya,,napenda hio song Sana,,, Kwanza hapo kwa (nikulipe Nini bwana nikulipe Nini bwana pokea utukufu) that lady sings genuinely from her heart,,she really empowers me the way she sings... Otherwise may God bless you as you go onn
GOD S Children Inc is bless to everyone and God 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 bless to everyone and God 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 bless to everyone and God 🙏🙏🙏🙏🙏 bless to everyone and God 🙏
@@ngarukiyeemmanuel4645 Mungu akubariki sana Ngurukiye E. Endelea kusikiliza nyimbo zetu na uwashirikishe na wengine waweze kupata baraka za Mungu kwa jus kiliza nyimbo zetu... 🙌🙌🙌
Nyimbo zenu ni bure tu kwani ni machukizo kwa Mungu ukisoma bibilia kwenye kitabu cha Amos 5:23 " Niondeleeni kelele nyimbo zenu; kwa maana sitaki kusikia sauti za vinanda vyenu" sasa hiyo nyimbo mnamwimbia nani?
Nyimbo nzuri lakini angalia vijana wanavyoharibu heshma wewe mbele ya baba Yako unacheza namna hio SI mnaongea na mungu mnampa shukrani Sasa kukatika kumetoka wapi tema SI Kwa heshma kanisa la shetani
Haleluya watumishi wa MUNGU hakika bwana ni mwema tu niseme nn bc sifa na utukifu ni kwake tu nawaombea MUNGU azidi kueapa kibari zaidi na zaidi ♥️♥️
Amen
Hongeleni watumishi kwa ujumbe mzuri lakini jitahidin Stepu zenu msiige za kidunia Yani tujitahid just tofaut na mungu awabarik sana
Mara muingine NI Mimi hapa shimron from Kenya,,napenda hio song Sana,,,
Kwanza hapo kwa (nikulipe Nini bwana nikulipe Nini bwana pokea utukufu) that lady sings genuinely from her heart,,she really empowers me the way she sings...
Otherwise may God bless you as you go onn
Amen servant of God,be blessed more.
Nawapenda mbarikiwe xana
Ahsante sana....karibu muungano choir@Igoma -mwanza.
kwa kweli mnabariki sana❤❤❤❤mungu awashidizie mema na nguvu mzidi kumutumikia🎉🎉 mlele
Amen.Barikiwa sana na karibu muungano choir Aict -Igoma.
@muunganochoiraictigomamwan2094 ni vile niko mbaki ningekusha tu
Hongera nawakubari sana
Kazi safi sana hivi karibuni tutawakaribisha nairobi barikiwa sana
Amen ,karibu sana richardnyaoma Muungano choir.
Ameeen utukufu kwa YESU wateule wa Mungu hongera wimbo huu umenibariki sana mbarikiwe sana ❤
Amen MaureenMalusha..Mungu aendelee kukubariki sana..karibu sana Muungano choir.
@@muunganochoiraictigomamwan2094 ahsante Sana...nayamani Sana nyimbo zingine magegeni yenu
Ingawa Kiswahili ninachokizungumza siyuko sahihi...natumia inaeleweka
Kazi nzuri Sana mungu awabariki
Hongereni kazi safi sana ndugu zetu
Amen.karibu sana Muungano choir.
What a wonderful song! God bless Muungano Choir AICT Igoma Mwanza abundantly!
Mbarikiwe zaidi amen 🙏
Wimbo bora kabisa kwangu namuona masasi na shida ni moja ya wimbo ambao unanibariki sana
Amen Mtumishi.karibu sana Muungano choir @Aict Igoma igoma.
Hongereni ndugu zetu kazi nzuri sana
Nyimbo hii nahisi nabarikiwa sana....mimi naitwa shimron kutoka kenya...natamani sana kugmhushuria ibada zenu sana
kazi nzuriiiii
Naomba kila mmoja atoe ushuhuda wa wawokovu wake sio mnakata mauno ti
Nimependa .mko vzl
Kazi!!!nzur
Wapendwa mungu awatangulie mnaimba vizuri mnoooooo❤❤❤
Amen.karibu sana.
@@muunganochoiraictigomamwan2094🎉❤❤
Amen mtushi.karibu sana.
I can't stop listening to such a beautiful songs
Mbarikiwe sana
Kwanza yule mdada anayesolo part ya mwisho...ananibamba sana
Marko 11:24
Kz
Nzur
Mungu
Awtie
Ngiv
Amee
Anapenda Sana huyo wimbo❤
Amen.
Mungu azidi kuwabaliki
Amen.karibu sana.
Wow! Good work
Kazi safiii mungu hawabariki
Wimbo unaujumbe mnzuri sanaa nikikumbuka Mapito yangu YESU acha nimsifu tyuu kwa kweli
I like the song. Keep it up
Continue with that spiritual
The expectant lady, God bless you
Nawambarikiwe wanao sifu jina lake ameni
Mungu awabariki Sanaa kwa kazi nzurii Yani huu wimbo sichoki kuuaikiliza una ujumbe mzuriii
Nothing to pay God, just give Him our hearts to control... what a lovely song 💞💞💞.....God bless you all.
Amen.
Wimbo huu unabariki sana.💗💗💗
Mungu awe nasi sote
Reuben karantei1.Kenya-Lamu.kazi safi.nawapenda sana.kazi ya Mungu tidings mbele
Nice 👍.Glory be to God 🙏 Mr Reuben.wellcome Muungano choir Aict Igoma-Mwanza.
Mungu awabariki 🎉
Naitwa imani Jackson lugisho kazinzur
Hongereni watu wa.Mungu""
Amen.karibu sana mtumishi.
eyo neno niukweli waaa good job even I feel like I'm near by God
May God bless this choir, mko na nyimbo tamu sana
Amen. Please,you may share with your friends these songs but also don't forget to subscribe.
I must share
Saf sana nimebalikiwa sana na wimbo wenu
Naipenda sana hii song🙏 mungu awalinde
Kazi nzuri sana
sina bwana saf sana pauro enok hao saf
Amina chezeeni kwa kumtukuza Bwana
Hallelujah may Almighty God Bless you mightily
I like it
Mungu awabak mzidi kuitenda kaz ya bwana
Only singing shall remain forever even after rapture.
Hogereni mko vzur
Pongezi kwa wimbo poa
Kazi mzuri sana
Mubarikiwe sanaaaa ❤❤❤🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu awainue zaidi watumishiii
Ongereni mnaimba vizur sana
BEFORE I sleep I HAVE TO LISTEN to these hymns inspired by GOD
This is my favorite song
A blessing song. 🙏
Amen MUNGU awabariki sana kwa kz nzr
Amina kubwa
Amen
I love it so much touching ❤️ song
Good song👍
Kwaya zote za AIC wanakwaya wazuri,
Wimbo wenye ujumbe wa nguvu
Amen.Barikiwa Sana wapendwa.
Amen 🙏. Ubarikiwe pia kwa kufuatilia nyimbo zetu.
Still 🔥 🔥 awesome song
M renmen chan an anpil. Nou chante byen .Bondie beni nou.menm le m pa tande anyen nan sa kap dia.men m realize ke se yon bel chan.
Awesome 💯
This is wonderful
Just awesome! Praise be to God for your angelic singing.
Sauti zimedamshi dada muanzishaji wa kwanza huyo amenikosha kweli kweli ujumbe murua kwa sauti nyororo nyumba na gari vyote ni vyake bwana
Amen
I love the choir uko na mafunzo .
Love your songs, they are a blessing.
Am blessed too
Kazi Nzuri, Mungu awabariki
GOD S Children Inc is bless to everyone and God 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 bless to everyone and God 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 bless to everyone and God 🙏🙏🙏🙏🙏 bless to everyone and God 🙏
Wimbo yangu kila siku
Interesting 🎉
Wow ata Kenya twasikiza
Mungu awabariki sana wakenya kwa kusikiliza nyimbo zetu.Let you share with friends and subscribe.
Ata na mimi nipo Norway.Napenda ihi wimbo. Nikulipe nini Bwana kwamatendo uliyo nitendeya. Nakupa Bwana (Roho yangu utawale) AMEN 🙏
@@ngarukiyeemmanuel4645 Mungu akubariki sana Ngurukiye E. Endelea kusikiliza nyimbo zetu na uwashirikishe na wengine waweze kupata baraka za Mungu kwa jus kiliza nyimbo zetu... 🙌🙌🙌
@@muunganochoiraictigomamwan2094 Mungu abariki.hata tanzaniya nzima.
Amen happy you 🙏🙏🙏🙏🙏
Mwiambo wa maana sana
MUNGU AWABARIKI
Very touching song, may God bless this choir.
Wonderful blessed songs
Safiiii yaaan kiwango
Ameen Mungu awabariki
Kazi nzuri hongereni sana
Nyimbo zenu ni bure tu kwani ni machukizo kwa Mungu ukisoma bibilia kwenye kitabu cha Amos 5:23 " Niondeleeni kelele nyimbo zenu; kwa maana sitaki kusikia sauti za vinanda vyenu" sasa hiyo nyimbo mnamwimbia nani?
Good work
😅😅😅❤
Good job
Amina
Nimeupenda sana huu wimbo
🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝
Solo bd sana aiseee
Lov you guys
Nyimbo nzuri lakini angalia vijana wanavyoharibu heshma wewe mbele ya baba Yako unacheza namna hio SI mnaongea na mungu mnampa shukrani Sasa kukatika kumetoka wapi tema SI Kwa heshma kanisa la shetani
Congratulations 👏
Nice song
safi sana
Amin
I can see my girl there
LInda musica.