Amina wa Toto y’a Baba wana y’a ISRAÉLII wa litenda Mawovu na ku mukoseya Mungu sasa sisi njo Kuwati yetu tu. lipa kisasi y’a ma Dhambi Zawo kizazi y’a Leo Batu ba na teseka Ju y’a LANA amen Shalom
Hakika Mungu ni mwema sana,,waweza ku share pia wimbo na jamaa,ndugu na rafiki zako ili nao wasikie Neno la Mungu na ikiwezekana waokoke .karibu sana Aict Igoma mwanza.
Mwanadamu anawezaje kujua kuwa Mungu kamwadhibu mtu fulani kwa dhambi zake? Huu ujumbe naomba kufafanuliwa , nisibaki kuenjoy organ za soul brothers tu bila kuelewa kinachoimbwa. Ujumbe huu unahusu nini hasa?
Fanya kugusa Like kama zote Kwa Kwaya ya AIC Muungano Kwayaaaa...
Hapa kenya 🇰🇪 tunabarikiwa sana hongereni kwa kazi safi
Amen,Barikiwa zaidi.
Amina wa Toto y’a Baba wana y’a ISRAÉLII wa litenda Mawovu na ku mukoseya Mungu sasa sisi njo Kuwati yetu tu. lipa kisasi y’a ma Dhambi Zawo kizazi y’a Leo Batu ba na teseka Ju y’a LANA amen Shalom
Barikiwa sana watumishi
Wimbo mtamu utupao matumaini kutoka kwa Mungu. Mbarikiwe.
Mabarikiwe kazi yenu nzuri
Mwasema kweli Kabisa we are here bcoz of God's grace
Mubarikiwe watu wa mwanza karibuni tanga jijini
Ni kwa neema tu...... Baraka tele Muungano kwaya.
Amen 🙏
Amen mungu awatie nguvu kumtumikia
Amen 🙏
Nyimbo zenu ni tamu sana... Mbarikiweni sana.
Amen 🙏, Ubarikiwe na Mungu pia.
God bless u so dearly 🙏🙏🙏 all the way from Kenya,,,,nabarikiwa na huu wimbo saana,,,, indeed ni neema.......
Amen.well come Tanzania @muunganochoir Aict igoma.
Kazi ni nzuri sanaa
Minée à yako baba Mungu Amen amen amen hallelujah Shalom
until 10 Nov, 2024 still watching
Nice,keep it up!
Nawapenda sana mnjuw kuimb😂 mpeni hai mwanangu bonge aliyetka niimbe kwenye kwa hii😂😂
Kweli ni neema mbalikiwe watu wa mungu
Kazi safi.. Mbarikiwe
Baba hongera baba kwa kaz nzur
Yaan wakitokaa changombe mnafata nyinyi Muungano kwaya fireeeeeeeeeeee
jamani nimewaelewa mko vzur saana mko jilani Sana kanisa lenu na ndugu zangu wakina idd juma wambieni waokoke tu jamani
Hakika Mungu ni mwema sana,,waweza ku share pia wimbo na jamaa,ndugu na rafiki zako ili nao wasikie Neno la Mungu na ikiwezekana waokoke .karibu sana Aict Igoma mwanza.
Mungu awabaliki sana
Work for the lord my type of songs I like
Amen 🙏. Glory be to God.
Barikiweni sana wapendwa
Mbarikiwe wapendwa
Jaman jamn wimbo mzuri sana nimeurudia zaidi ya mara ishirini mbarikiwe🙏🙏🙏
Amen kwakweli ni neema,mubarikiwe.
I really feel blessed by this song keep it up kikundi changu
Ameen 🙏 🙏 🙏 🙏
Kazi nzuri mbarikiwe
Nimeielewa sana Mubalikiwe waooooo
Well done
Amn ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Hongeren sana
commendable singing
Excelent
Ameen wtu mungu 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Nicee
UJUMBE WA WIMBO HUU UNANIBARIKI SANA
Wimbo mzuri
Rose mohando
Naomben jina la mwalim aliyetunga hizi nyimbo
Anaitwa mwl THOMAS
Nawakubal
😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘♥️🌹🇮🇱
Amen
Mwanadamu anawezaje kujua kuwa Mungu kamwadhibu mtu fulani kwa dhambi zake?
Huu ujumbe naomba kufafanuliwa , nisibaki kuenjoy organ za soul brothers tu bila kuelewa kinachoimbwa. Ujumbe huu unahusu nini hasa?
👍😘😘😘🙏🇮🇱🌹🇮🇱✝️❤️
Kuna jamaa wa CVC anaypiga zile tarubeta
Hapa ndipo Nyumbani Kwao Kule CVC ni ugenini Tu Kaka..
Fanya kugusa Like kama zote Kwa Kwaya ya AIC Muungano Kwayaaaa...
Amen