Zitto Kabwe, Bashe 'WALIPUKA' Bungeni "Huo ni Uongo"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 янв 2019
  • Zitto Kabwe, Bashe 'WALIPUKA' Bungeni "Huo ni Uongo"
    Muswada wa mabadiliko madogo ya sheria ya vyama vya siasa umezidi kuibua gumzo Bungeni na kusababisha vuta nikuvute baina ya wabunge na mwanasheria Mkuu wa serikali.
    #BungeniDodoma
    Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram:
    globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho

Комментарии • 273

  • @wilonjahatua2067
    @wilonjahatua2067 5 лет назад +106

    Kama unamkubali hussen bashe na zitto kabwe acha majungu gonga Like yako hapa please

  • @abdulisinga1597
    @abdulisinga1597 5 лет назад +72

    Huyu mbunge bashe bunge la mbunge. Gonga like kama vip?

  • @florameza9529
    @florameza9529 5 лет назад +36

    Bashe nakukubali sana

  • @mohamedmillanzi9070
    @mohamedmillanzi9070 5 лет назад +20

    Mh.Bashe asante sana Mungu akupe afya njema.kwa kuwa hujasimama kwenye chama bali kwenye haki.

  • @daudimaembe3360
    @daudimaembe3360 5 лет назад +40

    Mimi Bashe mara nyingi huwa namkubali sana.Hana ujinga wa kuunga mkono tu,kwa kuwa yeye ni mwana ccm.

  • @karanjakamau57
    @karanjakamau57 5 лет назад +12

    MHE Upendo peneza you never ever disappoint , ndio nitakuunga mkono na kukupenda daima, barikiwe sana mhe upendo, mhe zitto, mhe bashe, mungu awape maisha marefu

  • @kamboarheritage461
    @kamboarheritage461 5 лет назад +25

    Democracy tulikupenda sana kwa maslahi ya mama yetu Tanzania.
    Kwaheri Democracy, kapumzike kwa amani.
    Pole sana Tanzania yangu.

  • @hosearwechungura5391
    @hosearwechungura5391 5 лет назад +20

    Bashe unastahili kuwa Rais miaka ijayo endelea kuwa hivyo usibadilike kaka!

  • @ngajangaja6640
    @ngajangaja6640 5 лет назад +7

    Hii inaitwa wataka ndiyo hivyo hutaki ndiyo hivyo kiukweli mungu anaona wanacho fanya chama chakijani zito na wakina mdee msikate tamaa pamoja na kurudishwa nyuma ipo siku tutafika2

  • @mosesmwaisela2455
    @mosesmwaisela2455 5 лет назад +17

    Kuna watu kazi kugonga meza tu. Na ndio. Kumbuken kiapo cheno huwa mnashika vitabu vya mungu. Dunian tunapita. tendeni haki na atawasaidia.

  • @davidwambura5915
    @davidwambura5915 5 лет назад +28

    Wabunge wa ccm wanatudharirisha Sana watanzania.

  • @allyrashidy8884
    @allyrashidy8884 5 лет назад +24

    Kumbe CAG alikua sahihi kabisa hakuna kitu kwenye bunge

  • @farahaniomari9839
    @farahaniomari9839 5 лет назад

    Huyu wazir ni kiburi Sana anifurahisha Sana nafsi yake bila kujali nafsi za wengine tukumbuke kila kitu kina mwisho tumuuombe mungu atupe muda wakutubu, hata muasisi wa bao la mkono nae anateseka kwa alichokitengeneza

  • @msabahamalonda2249
    @msabahamalonda2249 5 лет назад +6

    NA nnawaambieni CCM, mkitaka kupita kihalali bila kuchakachua kama kawaida yenu na mpate kura za Halali ata za Wapinzani bac Mpeni dhamana MH BASHE agombee urais TUTAMPA

  • @sungula100
    @sungula100 5 лет назад

    Duh, yaani kifungu kinapitishwa kingunguvu huku wengine bado wana hoja za kusema! Hatari sana huko mbele!

  • @generalmwegama3384
    @generalmwegama3384 5 лет назад

    We endelea soma tu, daaa km umesikia spika anatumia nguvu na uwing wa ccm gonga like

  • @yassinnabwera4273
    @yassinnabwera4273 5 лет назад +13

    Hivi kweli Job Ndungai kwa misimamo yake hii kama Spika,hili Bunge ni la hovyo na halina msaada wowote kwa Watanzania.

  • @hangimasunga5959
    @hangimasunga5959 5 лет назад +2

    All the best my brother Bashe, may God of the heaven bless you.

  • @silamwamlima2758
    @silamwamlima2758 5 лет назад +1

    Ukweli ukopalepale bashe na. Zito niwa nasiasa bora sanaaaa

  • @ricksonmrema8196
    @ricksonmrema8196 5 лет назад +1

    Bashe yupo sawa

  • @ceciliajimmy5652
    @ceciliajimmy5652 5 лет назад

    Bashe ni mpenda haki kama wapinzani hamuwaelewi tu, ndio maana Bashe alishatishiwa kuuawa utasema mm mchochezi. Tuondoe tofauti zetu za kivyama ili kila mtu aishi kwa amani na upendo.

  • @amarnshaija3769
    @amarnshaija3769 5 лет назад

    Bashe ni mbunge na hakuingia bungeni bahati mbaya

  • @abdimc5363
    @abdimc5363 5 лет назад

    Zitto is very smart, very understandable, very clear huyu jamaa hayupo kwenye mihemko ndio maana hoja zake huwa zina mashiko sana. Bravo to Zitto & Bashe

  • @joycekangero7897
    @joycekangero7897 5 лет назад +1

    Nawasikia tuu hapa wa ndiyo Mzee WABUNGE WA CCM BANA!

  • @ngajangaja6640
    @ngajangaja6640 5 лет назад +43

    Nyie tumieni wingi wenu ila ipo cku2 shilingi itageuka2

    • @alawibanda82
      @alawibanda82 5 лет назад

      et xema nimekuona huyu xpika jeur kwel daaah aixee maamuz ya kibab utake uxtak ndo lixha pita hilo

    • @bahatidan4751
      @bahatidan4751 5 лет назад

      True duu my Tanzania ...where is it heading mweeeee ...yaani wabunge wanalinda matumbo Yao not Tz people but one day they will learn the hard way

  • @adnanynkurumbi1638
    @adnanynkurumbi1638 5 лет назад

    Katika Mawaziri ambao huwa siwaelewi ni huyu Mama Jenister Mhagama,huwa namuona kama anafanyaga mambo ya Kusadikika.M/Mungu atulinde sisi Wanyonge wa nchi hii.

  • @francismuya1331
    @francismuya1331 5 лет назад

    Mungu atusaidie.

  • @florameza9529
    @florameza9529 5 лет назад +24

    Jenister nakuchukia nashangaa hujafukuzwa ulivyong'ang'ania kikokotoo kipya we upo

    • @foxstreet8458
      @foxstreet8458 5 лет назад

      Flora Meza uyu demu me namini anatombana na magufuli amini kaka

    • @florameza9529
      @florameza9529 5 лет назад

      @@foxstreet8458 huko ciko kaka

    • @braysonmtewele3725
      @braysonmtewele3725 5 лет назад

      Flora Meza chakula hiyo

    • @bennymochiwa4800
      @bennymochiwa4800 5 лет назад +2

      Huyu mama ni mnafiki mkubwa sana, tena ni bonge la zwazwa

    • @tintz3157
      @tintz3157 5 лет назад

      @@florameza9529
      Mwambie huyo au anataka ashikwe ili apate kiki nae ajulikane km yupo

  • @aminajuma6924
    @aminajuma6924 5 лет назад +4

    Yaani uyu mwagama namchukia sana

  • @youngsachafurniture5482
    @youngsachafurniture5482 5 лет назад +8

    najuta kuwa mtu wa hii nchi viongoz wanajifanya awajui kumbe wanaelewa munaboa sis ndo tumewafanya muwe hapo

  • @kanyatilawanafiki1694
    @kanyatilawanafiki1694 5 лет назад +10

    Haya mambo mnayoyafanya leo ni majuto kwa watoto na wajukuu wenu. Leo hamwezi kuelewa vizuri wakati ukifika mtaelewa tu.

  • @felixmpozemenya491
    @felixmpozemenya491 5 лет назад

    Hongereni sana serikali na bunge kwa mabavu

  • @ricksonmrema8196
    @ricksonmrema8196 5 лет назад +1

    Hapa ndipo watanzania tujuwe cag akusema uwongo kuhusu bunge dhaifu akusema Angelina watu wanavyitaka kupitisha sheria mbovu kwa ubabe na kuwabana wabunge

  • @tatubwamkuu2002
    @tatubwamkuu2002 5 лет назад +1

    Bashe ninakuombea kheli zaidi. Allah akuongezee ukweli.

  • @lembesajackson9351
    @lembesajackson9351 5 лет назад +1

    Maoni na makubaliano ni vitu viwili tofauti mawaziri msitudanganye

  • @ley107
    @ley107 5 лет назад +10

    Kichefuchefu kweeli, noooma kweli

  • @meshacknyawale1581
    @meshacknyawale1581 5 лет назад

    Hivi watz mnajielewa kweli mkipewa nafasi ya uchaguzi mnachagua msiowapenda badaye mnaanza kulalamika,it was your uzembe jipangeni upya2020 .

  • @haki4244
    @haki4244 5 лет назад +1

    Maoni ya kamati ya bunge ni maoni ya wananchi na maoni ya serikali ni maoni ya watawala.

  • @yussufnyangoma5693
    @yussufnyangoma5693 5 лет назад +2

    SPIKA WA BUNGE NI OVYO KABISA NI MBOVU KUPINDUKIA UNATAMANI UMTUKANE WE WILL HOLD YOU RESPONSIBLE FOR WHAT EVER HAPPEN IN THE FUTURE IN THIS COUNTRY GHOSSH ,GOD HELP TANZANIA .

  • @abdalomari5912
    @abdalomari5912 5 лет назад +17

    kama wa bunge ccm waliweza kupitisha kikokotoo cha kuwa nyonya wafanyakazi wastafu wata shindwa vipi kupitisha sheliya ya kuwakandaniza wapinzani nchini Tanzania

  • @mussahamisi1191
    @mussahamisi1191 5 лет назад +3

    Huyu lukuvi Huenda akawa mchawi 😏😏😎

  • @annamushy2920
    @annamushy2920 5 лет назад +2

    Ndiyooooo kesho kutwa majuto

  • @josephatnyambeya876
    @josephatnyambeya876 5 лет назад +1

    Bunge hili khaaaaa....nisipoteze mda na MB zangu bure....

  • @chazylben7711
    @chazylben7711 5 лет назад

    Kwel hamna Bunge

  • @christophersaimon4398
    @christophersaimon4398 5 лет назад +4

    bunge la tz ni zaifu mkatae mkubali bunge ra ndio

  • @emmanuelaggrey8830
    @emmanuelaggrey8830 5 лет назад +1

    duuuh aiseee hii nchii hii wa bunge wa ccm ni tatizo

  • @hamisathman2782
    @hamisathman2782 5 лет назад +1

    hili kweli si bunge,ni genge la waliowengi kufanya uamuži

  • @iddkupaza1329
    @iddkupaza1329 5 лет назад +3

    Wabunge wa ccm hawasomi wao nikuunga mkono tu

  • @samsonkusupa6809
    @samsonkusupa6809 5 лет назад +3

    duuh kweli kazi ipo

  • @furahanowa3420
    @furahanowa3420 5 лет назад

    Yes

  • @meyou-zz8mj
    @meyou-zz8mj 5 лет назад +16

    Ivi ni lini watanzania tutajuwa kama hii nchi sio ya ccm wenzenu wanapigania maslahi binafsi sio ya taifa...is the shame

    • @jimmynassa3439
      @jimmynassa3439 5 лет назад +2

      Mpaka mama yako atowe uloda kwa watanzania hote

    • @monicastephano2848
      @monicastephano2848 5 лет назад

      spicka sio uchama sana mngu tumbo

    • @monicastephano2848
      @monicastephano2848 5 лет назад

      spika sio

    • @meyou-zz8mj
      @meyou-zz8mj 5 лет назад

      @@jimmynassa3439 behave your self fake ass...pussy bway the way you talk about your straight plonk

    • @bahatidan4751
      @bahatidan4751 5 лет назад +1

      It's the shame CCM hawako for wananchi

  • @dickmagafu7397
    @dickmagafu7397 4 года назад

    Bunge dhaifu sana

  • @fanuelsamwel4596
    @fanuelsamwel4596 4 года назад

    Wapinzani pambaneni am sure one day mtafanikiwa,,,

  • @mussahamisi1191
    @mussahamisi1191 5 лет назад +2

    Kazi kuitikia ndiooo nyoko nyieee 😏😎

  • @bahatisadikiwambura8547
    @bahatisadikiwambura8547 5 лет назад +10

    hivi nikiwatukana hawa wa ccm na huyu A G, naweza kujitetea kuwa ilikuwa typing error? sija muhusisha Bashe.

  • @jensennashon6147
    @jensennashon6147 5 лет назад +2

    ndioooooo ndio jadi

  • @josephmasenga7718
    @josephmasenga7718 5 лет назад

    Bashe n mbunge kweli

  • @mwambirekwamboka9525
    @mwambirekwamboka9525 5 лет назад +8

    So painful 😥 wallah just a guy controlling the parliament...look my view consider the side effect too ....Ccm Mungu Anawaona

  • @pinielloilole4340
    @pinielloilole4340 5 лет назад +9

    Kweli ubabe upo, ila ukweli wa haya yote tusubiri tutaona

  • @mukonoboaz1826
    @mukonoboaz1826 5 лет назад

    uwanja wa Tundu huu,duuuuuhhhhhhh,

  • @jplanbaharia9703
    @jplanbaharia9703 5 лет назад +3

    Hilo ni bunge la ndio
    Ata kama kinawaumiza atawenyewe

  • @namelessnameless4868
    @namelessnameless4868 5 лет назад

    Daaaah aisee TANZANIA nchi yangu😢😢😢😢

  • @gastordominic410
    @gastordominic410 5 лет назад +3

    Huyu mwanamama anamaliza bando langu

  • @willsonezekiel2547
    @willsonezekiel2547 5 лет назад

    Mungu tusaidie bunge lijalo lisiwe la ccm peke yao maana cjui itakuaje

  • @emanuelwilbrod8720
    @emanuelwilbrod8720 5 лет назад

    bashe wew kiboko ,na zito kabwe

  • @mawenyaafulgance5786
    @mawenyaafulgance5786 5 лет назад +2

    pitisha tu achana nao sauti ya spika kweli nchi yetu inamalizwa

  • @norishmusukana7310
    @norishmusukana7310 5 лет назад +2

    Wananchi wenzangu wapinzani wawe wafaa au hawafai mi naona ni Bora tuwachague kwa wingi wakapambane kwa wingi wa idadi na huyo wazir muhagama zaidi ya uzr wa sura sijahi skia Cha maana kutoka kwake

  • @josephatnyambeya876
    @josephatnyambeya876 5 лет назад +1

    Huyu Mchengelwa duuuuh hahahaha ......Rufiji mnayo kazi...

  • @festonjeleka5919
    @festonjeleka5919 5 лет назад

    mama yetu unatuuza hujui tuu

  • @andrewsailen7628
    @andrewsailen7628 5 лет назад +1

    Yaaan mnapitishaa mambo kama mnataka sijui kukimbilia wapii mkiitwa dhaifu mnakataa

  • @thedriver.michael.3975
    @thedriver.michael.3975 5 лет назад

    Serikali imekuwa kiburi". Mwisho wa kunukuu

  • @andrewsailen7628
    @andrewsailen7628 5 лет назад +1

    i like Mdee how is acting mengine hapo yanasinzia tu

  • @Watema23
    @Watema23 5 лет назад

    Ninadra sana inchi zetu za Afrika wa bunge pande zote kusimamia haki- Mfano hapa marekani hailishi tunatuko chama moja wanapigana kutokana na mswaada na oja zao na zaidi sana kupigania masalia yao Jimbo ao mkoa wanapotoka.

  • @gastordominic410
    @gastordominic410 5 лет назад +2

    Huwa napenda bunge ktk kutunga sheria the parliament is so hot

  • @lillianlucas5337
    @lillianlucas5337 5 лет назад

    Ccm bwana kila kitu ndiooooo

  • @mamabruno6308
    @mamabruno6308 5 лет назад

    basheeeeeeeeee

  • @youngsachafurniture5482
    @youngsachafurniture5482 5 лет назад

    wanaboa sana nyinyi

  • @farihiayusuph6405
    @farihiayusuph6405 5 лет назад +1

    majitu yapo kwaajili ya matumbo yaooo

  • @patricknyiti5303
    @patricknyiti5303 5 лет назад

    Hili Bunge likiendelea kung'ang'ania Uchama badala ya hoja basi hatutafika popote

  • @wilfredmoshi6507
    @wilfredmoshi6507 5 лет назад +9

    wengi wanaosema ndio utakuta hata hiyo report hawajaisoma.

  • @mbowethaddeus8851
    @mbowethaddeus8851 5 лет назад

    AG my God!!

  • @paullutonja5904
    @paullutonja5904 5 лет назад +1

    "we endelea taja tu"

  • @bakarimatamba5521
    @bakarimatamba5521 5 лет назад +4

    Hawa ccm sijuwi vipi? Mbona mnatuludisha nyuma wananchi.kaeni huko uko Bungeni msije majimboni.tutawazomea.mnatuwangusha..

  • @remmynyandwi2117
    @remmynyandwi2117 5 лет назад

    Huyo AG,anabahati,angekuwepo leo shilingi ingesimamaa

  • @MichaelCharlesBishubo
    @MichaelCharlesBishubo 4 года назад

    Inashangaza!

  • @onesfos87
    @onesfos87 5 лет назад

    C A G, C A G, C A G oyeeeee
    Mikono juuuu mwendo wa Matrkda mikono juuuuu

  • @mossesmasanja8082
    @mossesmasanja8082 5 лет назад +2

    Kwa heli demcras tz

  • @geofreyadogo3448
    @geofreyadogo3448 5 лет назад +4

    Kweli spika anaburuza bunge ebu angalia anavo mforce mwenyekiti eti ww tajatu

  • @pascalmwendakaz7178
    @pascalmwendakaz7178 5 лет назад +1

    Ubabe huu jamn tutafika kweli...... Hahaahaaaaa kweli Tz ya magufuriii

  • @florameza9529
    @florameza9529 5 лет назад +10

    Ciyo wanadai mbona bashe kaeleza jamani leo mna vyeo kesho hamna munayopitisha ciyo yenu

  • @clevalupakisyo7460
    @clevalupakisyo7460 5 лет назад

    ila Daaaah...haya bna ndo ivo tena

  • @mussabuma9592
    @mussabuma9592 5 лет назад

    Ndugai

  • @johnwenceslausmmbaga3917
    @johnwenceslausmmbaga3917 4 года назад

    Uwiiiii

  • @francmnzava7513
    @francmnzava7513 5 лет назад

    Dawa yenu mnatunga masheria yenu mkizingua nikuweka ndani wote

  • @mwidausaid5701
    @mwidausaid5701 5 лет назад +6

    Hichi kinachoendelea Kwa wabunge wa ccm ni kichefchef lakini sisi tunaowachagua ndo wajinga

  • @omariabdalatube1313
    @omariabdalatube1313 5 лет назад

    Yan hili bunge kila kitu ndiooo, Hii hatari sanaa uko baadae

  • @jumakubobela7474
    @jumakubobela7474 5 лет назад +1

    Kwaheri Democracy, kwaheri Uhuru wa kuongea.

  • @farihiayusuph6405
    @farihiayusuph6405 5 лет назад +1

    mabunge ya afrika ni ya kishetani zitto waache rudi nyumbani ipo siku parapanda italia

  • @georgemelliyo1791
    @georgemelliyo1791 5 лет назад

    Ila huyu Ndugai historia itamkumbuka

  • @blessedmoses4243
    @blessedmoses4243 5 лет назад

    Yaani ndio ndio ndio kila kitu hii nchi balaa