Maandamano ya kumpinga mbowe CHADEMA kumwondoa madarakani maelfu wajitokeza kumpinga asichukue fomu

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 дек 2024

Комментарии • 24

  • @mangashajunior242
    @mangashajunior242 4 дня назад +2

    Mbowe must go anachelewesha mabadiliko....

  • @EmanuelJohn-o3d
    @EmanuelJohn-o3d 4 дня назад +1

    na mbowe ukirudi kwa nguvu utabaki na chadema Yako mwenyenyw

  • @angelsulle7177
    @angelsulle7177 3 дня назад

    Mbowe aibuuuuu!!!!! Ondokaaaa kumbuka umesaliti wengi Bado unasagika Kwa ndani kuacha uenyeketi badilika Mbowe acha Umangiiiii

  • @mangashajunior242
    @mangashajunior242 4 дня назад +2

    Kutoka mtetezi wa demokrasia hadi kubaka demokrasia ya ndani...hatutaki aibu...

  • @laninjeje8290
    @laninjeje8290 4 дня назад +3

    Alisema masaa 48 siyo masaa 42 mkundu wewe, acha kuzusha mambo na kuleta taharuki😂😂

  • @BARAKAKinana-n4y
    @BARAKAKinana-n4y 4 дня назад +2

    mbowe atoke jamani mwasheni Mzee apumzike jamani

  • @chalokalunde9429
    @chalokalunde9429 4 дня назад +1

    Nanyie msifanye kama vita khaaa

  • @matanokitwana3249
    @matanokitwana3249 4 дня назад +2

    Chama gani hicho ambacho mwenyekiti hatoki hadi kwa maandamano ya Halaiki

  • @mangashajunior242
    @mangashajunior242 4 дня назад +2

    Mbowe kaka yangu utadanganywa na chawa wako plus viroboto na kunguni mwisho itakuwa ni aibu tupu...usiharibu historia yako....

  • @EmmanuelMlowe-u1v
    @EmmanuelMlowe-u1v 4 дня назад

    Shida iko wapi?

  • @aminattai2676
    @aminattai2676 4 дня назад

    Mchezo wa kuigiza wa mbowe uo,mambo yamekuwa magumu kwake ndio ananunua vijana kuonesha kuwa bado anahitajika,mbowe chama inatakiwa kiwe cha kitaifa sio cha wachaga,achia madaraka,unaona lisu anamuelewa mbowe kiasi mpaka anavaa bullet proof 🧾 kwa kumuogopa muuwaji muhuni mbowe,na hakuna watu ambao wanatishia maisha zaidi ya mbowe anashindwa kumuongelea mbowe moja kwa moja ndio anasema kuna watu wanamtishia maisha,ukitaka kufa chezea nafasi ya mbowe utajua hujui

  • @hamadhamud-n4j
    @hamadhamud-n4j 3 дня назад

    Vipi useme mboe.je lipumba? Vipi hapo.

  • @EmanuelJohn-o3d
    @EmanuelJohn-o3d 4 дня назад

    tutaandamana ni wp mbowe punzk tumesha choka chama kimethoofk sana uku chin

  • @EmanuelJohn-o3d
    @EmanuelJohn-o3d 4 дня назад

    chama kimesha oza uku chin mwachien lisu

  • @YussufPandu-es7ou
    @YussufPandu-es7ou 4 дня назад

    Nina wasiwasi ndani ya chadema kuna watu wametumwa kukivuruga chama,ma chawa wa ccm wameingia ni lazima wanachedema mutahadhari,

  • @KbHazina-u4r
    @KbHazina-u4r 4 дня назад

    We ni mshamba wa video

  • @HafidhMaalim
    @HafidhMaalim 4 дня назад

    MBOWE BADO ANA UWEZO MKUBWA SANA KULIKO TUNDU LISU NA KAMA ATAPUMZIKA BASI CHADEMA ITAKUFA LISU BADO NI MTU WA JAZBA

  • @SPRF_Tele_Health_Studio
    @SPRF_Tele_Health_Studio 4 дня назад

    chombo hiki kibaraka

  • @GabrielyMathias-e1b
    @GabrielyMathias-e1b 4 дня назад

    Mboe apumzike

  • @HafidhMaalim
    @HafidhMaalim 4 дня назад

    HABARI YENU INAPINGANA NA KICHWA CHA HABARI YENU

  • @aminattai2676
    @aminattai2676 4 дня назад

    Yupo kijana amesilimu kuingia CCM alikua katika body gud wake uyo mbowe aliwahi kusema walikuwa wakitumwa wakauwe au kufanya fujo,na silaa aliwahi kuzungumzia kizungumkuti cha mambo ya kutekana ambayo yapo chamani chadema

  • @LupakisyoKandonga
    @LupakisyoKandonga 4 дня назад

    Kama mbowe anatosha basi ccm nayo inatosha

  • @HafidhMaalim
    @HafidhMaalim 4 дня назад

    MBOWE BADO ANA UWEZO MKUBWA SANA KULIKO TUNDU LISU NA KAMA ATAPUMZIKA BASI CHADEMA ITAKUFA LISU BADO NI MTU WA JAZBA