Usiku huu:Lissu na Mbowe wageuka maadui "Wewe haunitishi,Mbowe amjibu Sina Hela za kubangaiza

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 дек 2024

Комментарии • 24

  • @alfredmichael7364
    @alfredmichael7364 6 часов назад +1

    Lissu

  • @EmmanuelJeremiah-r2s
    @EmmanuelJeremiah-r2s 6 часов назад +1

    Lisu ndio kila ktu

  • @YohanaSanga-t8d
    @YohanaSanga-t8d 7 часов назад +1

    Huyu mbowe katuchezea sana huyu

  • @MwakaHappy
    @MwakaHappy 5 часов назад

    Tundu lisu

  • @SilvaSendeu
    @SilvaSendeu 5 часов назад

    Wanahabari acheni uchonganishi. Mbona mnakuwa hivi?

  • @OS-pf6op
    @OS-pf6op 6 часов назад

    Ni wakati wa Lissu sasa, Mbowe hana jipya kwa miaka 20 sasa na asifanye chama kama kitega uchumi!

  • @FimbombayaKimbwi
    @FimbombayaKimbwi 5 часов назад

    Nasimama na Lissu kutoka Nkasi

  • @allysimu6856
    @allysimu6856 6 часов назад +1

    Uyu jamaa awezi kuwachia kiti

  • @mangashajunior242
    @mangashajunior242 7 часов назад

    Matumizi mabaya ya rasilimali za chama...haiwezekani chama chenye umri wa miaka 30 iwe huna pesa...ni ubadhirifu..

  • @mangashajunior242
    @mangashajunior242 7 часов назад

    NAMÙUNGA MKONO LISSU...

  • @MohammedMaulana-m2t
    @MohammedMaulana-m2t 6 часов назад

    Mbowe mnafiki anatuchezea akilizetu

  • @jamesbayo1910
    @jamesbayo1910 7 часов назад +1

    CHADEMA ZAMU SASA NI LISU ZAMU YA MBOWE. IMEPITA.UONGOZI. NI. ZAMU.

  • @SmithJacob-f2r
    @SmithJacob-f2r 6 часов назад

    Mbowe anakula hela za wadada wale walio bungeni

  • @halimamasai2234
    @halimamasai2234 6 часов назад

    Mbowe for life Chagua mbowe 💪💪💪

  • @lailafakhihaji
    @lailafakhihaji 5 часов назад

    Serikali siinatoa fungu fulani?

  • @MohammedMaulana-m2t
    @MohammedMaulana-m2t 6 часов назад

    Wameshalula ela awa

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 6 часов назад

    Lissu atawakimbia ubelijiji.

  • @NeemaUrasa-u4y
    @NeemaUrasa-u4y 5 часов назад

    Kura zitakomesha mabishano

  • @yussufhashim4472
    @yussufhashim4472 2 часа назад

    Lius hana shukurani amkuke alipo risasi Nani alimsimamia shukurani ya pindua.ni märker wewe nä dr saa.niwaizi

  • @TITOSAMSON-e7e
    @TITOSAMSON-e7e 6 часов назад

    Mbowe ashatusaliti kitambo, imagine TBC, CHANNEL 10 na ITV kurusha matangazo live ya press yake hii haihitaj hata elimu ya chekechea kuelewa!!!