MSIBA MKUBWA ARUSHA, MAMA NA MTOTO WALIOFARIKI WAKIWA KWEYE RAV 4 HISTORIA YAWALIZA WATU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 фев 2025

Комментарии • 136

  • @AgiripinaNisiphory
    @AgiripinaNisiphory Час назад +1

    Dah huu msiba ni pigo kubwa sana kwenye hiyo familia Mungu ampe hekima na uvumilivu huyo baba Yesu akawe mfariji wao

  • @LabaniAkyoo
    @LabaniAkyoo 2 часа назад +1

    Pole Baba ,poleni familia yote, Mungu awatie nguvu

  • @marykiango3618
    @marykiango3618 2 часа назад +2

    Poleni sana,Mungu akawe mfariji kwenu katika kipindi hiki cha Majonzi.

  • @judymasunzu7517
    @judymasunzu7517 2 часа назад +1

    Poleni Sana Family ya Mzee Ayo. Mungu Pelee akawe Faraja kwenu , awainue na kuwatia Nguvu.😭😭RIP Wapendwa wetu.

  • @zainabukimolo5827
    @zainabukimolo5827 2 часа назад +1

    Pole sana mbise mungu akutie nguvu na watoto

  • @valeriamtenga3384
    @valeriamtenga3384 Час назад +1

    Yesu tusaidie jicho la 3
    Tuone nn adui amepanga kwetu , na utuepushe na hila zake
    Nimetizama hii gari ndogo ama hakika sisi si kitu bila Yesu
    Poleni familia yote

  • @JaneMaro-b3q
    @JaneMaro-b3q Час назад

    Poleni sana Baba watoto wanafamilia ndugu na marafiki kifo hakina huruma kifo ni fumbo kwa mwanadamu۔Mungu tufundishe kujua mwisho wetu۔

  • @SalmaKhamis-r5v
    @SalmaKhamis-r5v Час назад +1

    Poleni sana, mungu awape subra❤

  • @RayMakini
    @RayMakini 30 минут назад

    Polen sn wanfamilia Mungu awatiiiee Nguvuuu

  • @sein.208
    @sein.208 2 часа назад +3

    Hakika sote ni wa Allah na kwake tutarejea kwa wakati tofauti..Allah awazidishie subra ktk kipindi hiki kigumu
    Pumzika kwa amani Mwalimu wetu kipenzi

  • @aminamollel3571
    @aminamollel3571 Час назад

    Ee Mungu tusaidie moyo unaumaaaa nimejikuta naloa machozi Mungu fariji familia hii

  • @bestforever-q2w
    @bestforever-q2w 2 часа назад +1

    Kiatu chenu kinabana sanaaa😢😢😢aiseeee polen MUNGU awatie nguvu katka kpindi hiki kigumu😭😭😭😭

  • @ProsperJustine-nr6id
    @ProsperJustine-nr6id 5 часов назад +3

    Poleni sana wapendwa, Mungu Awape Nguvu kipindi hiki kigumu Sisi sote Ni mavumbi na mavumbini tutarudi. Wapumzike Kwa amani! 😭

  • @BeaSHAYANAHunterson
    @BeaSHAYANAHunterson 3 часа назад +1

    oyyyyyyy 😢😢😢😢😢😢😮 hili limeniumiza sanaaa
    MUNGU fariji wafiwa
    wapokee marehemu
    Amina

  • @jacklinejantasanga4530
    @jacklinejantasanga4530 4 часа назад +5

    Watoto ndo watatulilia Kwa uchungu wa kwel tukifa tusitoe mimba wanawake

    • @LinnaJohn
      @LinnaJohn Час назад +1

      Kweri kbs jmn wamebaki watatu tu jmn

  • @catherinemuhagama7338
    @catherinemuhagama7338 2 часа назад

    Polen sana 😢😢aisee inatia huzun unamuandalia mtu kitu hafiki yy bali unafika mwil wake lol😔😔Mungu awatie nguvu pia atuepushe na ajali za barabaran na sisi tulioko mbal turejee salama nyumban Amina 🙏🏻🙏🏻

  • @JescaChami-nl7oj
    @JescaChami-nl7oj 5 часов назад +2

    Poleni ndugu,jamaa wote yesu awatie nguvu sana

  • @goodluckmoses2256
    @goodluckmoses2256 Час назад +2

    Maumivu mliyonayo Mungu mwenyewe ndio atawaponya poleni Sana wanangu nimelia Sana juu ya mama na ndugu yenu pamoja na huyo kijana mwingine,wapumzike Kwa amani

  • @happinessshilie4019
    @happinessshilie4019 6 часов назад +2

    Mwenyezi MUNGU awajalie pumuziko jema😢😢

  • @faithpius6401
    @faithpius6401 4 часа назад +2

    Poleni sana ..mungu awatie nguvu

  • @IdrisaTuppa
    @IdrisaTuppa 3 часа назад +1

    Shida Ya Kifo Hakizoeleki Kila Siku Ni Jambo Jipya.Poleni Sana.

  • @joselinejoseph9632
    @joselinejoseph9632 3 часа назад

    polen sn Mwenyez Mungu awatie nguvu 🙏

  • @FestoOlomi
    @FestoOlomi 2 часа назад

    Polen sana Mungu awatie nguvu katika kipindi hichi kigumu

  • @salomevestinamichael1458
    @salomevestinamichael1458 2 часа назад

    Eeeh Yesu mwema ifariji familia hii ktk wakati huu mugumu kwao kwa hakika maisha haya yanaumiza sana "YESU NJOO UTUOKOE,MAJONZI HAYA MPAKA LINI??

  • @lulusimon4528
    @lulusimon4528 2 часа назад

    Mungu awe faraja kwenu wapenzi. Hata katika hili awe tumaini lenu

  • @rizikishoo9084
    @rizikishoo9084 5 часов назад

    Poleni sana familia 😭😭😭.
    Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na wapendwa wenu mama na ndugu yenu.

  • @joycephinengomo6730
    @joycephinengomo6730 2 часа назад

    Poleni kwa msiba baba jikaze ...

  • @paulabelleghe451
    @paulabelleghe451 4 часа назад +5

    naangalia huku machozi yananimwagika .Mungu awalaze pema hakika sote tutarejea Amina

  • @luizabahati5198
    @luizabahati5198 2 часа назад

    This so so painful, Mungu pekee awape faraja na kuwaganga maumivu haya. what a sad ending

  • @BarreHotel
    @BarreHotel 30 минут назад

    😢😢😢Jamani kifo kifo utashiba lini

  • @junioremmanuel1695
    @junioremmanuel1695 4 часа назад

    Poleeeni sana Mwenyez Mungu akawe faraja ktk kipindi hiki kigumu

  • @NellyReani-z7n
    @NellyReani-z7n 4 часа назад +1

    😢😢poleni famili nzima inauma sana kitu unacho nunua na ndio icho kinacho kuchukuwa uwahi wako so sad kwakweli

  • @Fatma-rj7vs
    @Fatma-rj7vs 2 часа назад

    Polee sanaa

  • @nyabahailani3169
    @nyabahailani3169 6 часов назад +5

    Ajali zote za shetani jamani oooi lo mungu wangu tuhurumie tuepishe na hila za movu shetani baba yangu

  • @IkupaMwasiposya
    @IkupaMwasiposya 5 часов назад

    Poleni sana kwa familia 😭 mwenyezi mungu awe pamoja nanyi katika kipindi hiki kigumu kwenu🙏🙏

  • @MirriamDevis
    @MirriamDevis 18 минут назад

    Pole kwa familia

  • @nunuuali5316
    @nunuuali5316 5 часов назад +1

    Aiseee! Polen sana wana familia Mungu awape nguvu kwa kweli. 😢

  • @jameskimbeo2328
    @jameskimbeo2328 2 часа назад

    polen sana mungu akutien nguvu

  • @ZuwenaSalumu-e5i
    @ZuwenaSalumu-e5i 6 часов назад +3

    Inalilahi wainailayhi'rajicun...... Poleni sana familia.... Katika vitu vinanikeraga kwenye misiba ya wenzetu ni kutokujali hisia za wafiwa😢 Yaan mtu kafiliwa na mzazi wake tena mama na mdg wake Yaan familia watu wawili bado mnampa kazi ya kuongea mbele za watu tena sio kuongea tu Yaan kuwazungumzia wapendwa wake waliofariki...... So sad hivi nikweli kuwa kama ni lazima kiasi hicho kuwatambulisha watu hayo haiwezekani i kuandika na kuwapa watu wengine hata majirani wawasomee? Hebu badilikeni bn hii ina kuengezea machungu mfiwa

  • @ElizabethMwakalinga-s3y
    @ElizabethMwakalinga-s3y 4 часа назад +1

    May God grant the family the fortitude to bear the grief.

  • @teddyadatus1740
    @teddyadatus1740 5 часов назад

    Poleni sana ķwa familia yote M/Mungu awatie nguvu.

  • @amedeusfredrick1614
    @amedeusfredrick1614 Час назад

    Hakuna kitu kinauma kama kumuona mwanaume akilia tena mtu mzima!

  • @mankamanka7415
    @mankamanka7415 Час назад

    Pole sn

  • @olaripsabaya-kr1tu
    @olaripsabaya-kr1tu 4 часа назад +1

    Poleeni sana uko Mungu atawapigania

  • @MauriceHaseen
    @MauriceHaseen 5 часов назад +1

    Poleni sana ndg zangu.

  • @kelvinmasungakilunguja7539
    @kelvinmasungakilunguja7539 6 часов назад

    Pole sana sana YESU awe mfarij wenu katika kipind hiki kigumu mnachopitia

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 3 часа назад

    Poleni sana Mungu awatie nguvu katika kipindi Kigumu mnachopitia.

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 4 часа назад +1

    So sad, RIP MOM.AND SON IT'S AWFULLY SAD.

  • @ElizabethMwakalinga-s3y
    @ElizabethMwakalinga-s3y 4 часа назад +1

    RIP Mum and Son. May your souls rest in eternal peace.

  • @CELINAMUSHUMBUSI
    @CELINAMUSHUMBUSI 5 часов назад

    Poleni sana wanafamilia,Mungu awe faraja yenu.

  • @SinangoaJarufu
    @SinangoaJarufu 6 часов назад +2

    Innalillah wainnaillah rajoon 😢😢

  • @lisawilliam2491
    @lisawilliam2491 5 часов назад +1

    dah mungu awape subra familia jaman!

  • @SaumuSaidi-z2v
    @SaumuSaidi-z2v 3 часа назад

    Yesu awafariji.pumziko la milele uwape.ee bwana ma mwanga wa milele uwaangazie

  • @SharonJovin-k5q
    @SharonJovin-k5q 3 часа назад

    Daaah mungu akawe faraja katika familia 😭😭😭

  • @AngelMartin-f1c
    @AngelMartin-f1c 3 часа назад

    Poleni sana wanafamly mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu😭😭

  • @pulikisia7963
    @pulikisia7963 4 часа назад

    Mungu awatie nguvu,tunawaombea.🙏🏿

  • @rosemsafiri7568
    @rosemsafiri7568 5 часов назад

    Poleni sana.mungu ni mwema kila siku

  • @FatumaMsuya-j5u
    @FatumaMsuya-j5u 5 часов назад

    Uwiiiiii poleni mungu atawapa faraja😢😢😢😢😢😢

  • @ArijunKiwango
    @ArijunKiwango 6 часов назад +1

    Poleni sana jaman mungu hawatie nguv

  • @CatherineMwaluka-s8l
    @CatherineMwaluka-s8l 4 часа назад

    Mungu awape uvumilivu,polen

  • @ikundamallya6866
    @ikundamallya6866 3 часа назад

    Mungu awapooze mioyo yao...

  • @HadjaSaidi
    @HadjaSaidi 5 часов назад

    Poleni Sanaa na mung awalaze mahali pema peponii

  • @happymbise-g5b
    @happymbise-g5b 2 часа назад

    Jamn poleni San hii ajali niliishihudia aitak ata kukumbuka

  • @uswegemwakalobo6220
    @uswegemwakalobo6220 3 часа назад

    Mungu awatie nguvu familia na kanisa.

  • @DianaSimba-g1q
    @DianaSimba-g1q 4 часа назад

    Poleni mungu awatie nguvu

  • @dork8749
    @dork8749 3 часа назад

    Mungu awatie nguvu jamani inauma mnooo😢😢😢

  • @Judeajustine
    @Judeajustine 3 часа назад

    Polen ndg zetu

  • @EliasMollel-f6y
    @EliasMollel-f6y 3 часа назад

    Mungu awatie nguvu wanafamilia.

  • @Zuwenamchuzi
    @Zuwenamchuzi 4 часа назад

    Viatu vyenu siwezi kuvivaa punzika Kwa Nani mama na vijana wetu wawili😢

  • @IsaackKileo
    @IsaackKileo 3 часа назад

    mambo mengine,mshirikisheni mungu sio walimwengu,

  • @EsterJaphet-p4m
    @EsterJaphet-p4m 2 часа назад

    Pole sana

  • @lucykiwelu4451
    @lucykiwelu4451 4 часа назад

    Poleni Sana watu wa Mungu

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 6 часов назад

    Poleni sana jamani.Mungu awatulize uchungu wenu.😢

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 6 часов назад

    Poleni Sana wapenzi MUNGU awatangulie

  • @EsterFerdinand
    @EsterFerdinand 3 часа назад

    Mungu akawe mfariji kwenu

  • @DativaAlexander-b8e
    @DativaAlexander-b8e Час назад

    Ivi jaman muda na nguvu za kujipamba kwenye msiba wanatoaga wapi wafiwa

  • @jacklinepaul3294
    @jacklinepaul3294 4 часа назад

    🙏🙏🙏🙏 so sad RIP

  • @BensonGodfrey-y4f
    @BensonGodfrey-y4f 4 часа назад

    Poleni san 😭😭😭😭😭

  • @VictoriaFrancis-w1y
    @VictoriaFrancis-w1y 6 часов назад

    Pole sana Mungu awafariji sana

  • @napendahuruma3320
    @napendahuruma3320 6 часов назад

    😢😢😢 poleni sanaa jamani inauma acha kabisa💔

  • @BeatriceKweka-r4o
    @BeatriceKweka-r4o 5 часов назад

    😢 Poleni sana familia

  • @markmushi8940
    @markmushi8940 6 часов назад

    Poleni sana wafiwa marehemu wapumzike kwa amani

  • @ElishaSolomoni-kc4zk
    @ElishaSolomoni-kc4zk 4 часа назад

    HILI LIMENIUMIZA SANA HILI LIMENIUMIZA SANA AWAMU HII NIMEUMIA XNA😭😭😭😭

  • @hamidangitu227
    @hamidangitu227 5 часов назад

    Poleni sana jamani 😢😢😢😢

  • @AmianaMavura
    @AmianaMavura 3 часа назад

    Poleni mmno

  • @StephanoCharles-d3v
    @StephanoCharles-d3v 5 часов назад

    Polen sana ndg zangu

  • @EasterPaul-zj5mt
    @EasterPaul-zj5mt 3 часа назад

    Mungu awe faraja pekee kwenu

  • @QueenGlory-f8e
    @QueenGlory-f8e 6 часов назад

    Pol sna jmn ndugu zangu Mungu awatie nguvu😢😢😢

  • @LilianMwanji
    @LilianMwanji 6 часов назад +1

    Mama yetu na mdogo wetu wapumzike kwa AMaN

  • @hasinaidrissa5447
    @hasinaidrissa5447 3 часа назад

    Polen sana

  • @careemdulla1629
    @careemdulla1629 5 часов назад

    Inauma sana poleni sana family yote kwa msiba mkubwa

  • @anifamickidard4555
    @anifamickidard4555 4 часа назад

    Polen sana 😢😢😢

  • @Mathe-c4h
    @Mathe-c4h 3 часа назад

    Jamani poleni hao walivyovaa nikajua harusi

  • @FatumaMwage
    @FatumaMwage 4 часа назад

    polen san😢😢😢😢😢

  • @jamilamwarabu3890
    @jamilamwarabu3890 4 часа назад

    Mpka nimeskia uchungu😢😢😢😢

  • @suzananjeleka2598
    @suzananjeleka2598 5 часов назад

    Machozi yamenitoka,,, polleni wanafamilia😭😭😭

  • @SaraphinaPaul-t1j
    @SaraphinaPaul-t1j 5 часов назад

    So sad 😞 jmny Mungu awape nguvu

  • @SakinaValy
    @SakinaValy 5 часов назад

    Pole baba wa familia

  • @CatherineKantambi
    @CatherineKantambi 4 часа назад

    Dah😢😢😢

  • @mariasafari1004
    @mariasafari1004 4 часа назад

    😢😢😢😢dahhh jmn