Goma DRC: M23 wasitisha vita

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 фев 2025

Комментарии • 20

  • @FastpayMauzo
    @FastpayMauzo 2 часа назад +7

    HAWA jamaa Nmekua nawaskiskiliza sana.. naona hawana shida na Raia

    • @AhmeddyLameck
      @AhmeddyLameck Час назад

      Unasema tu hujui hvyo vita wanavyoanzisha vinaleta vifo na majeruh na asala kias gn

    • @t.kolwali1807
      @t.kolwali1807 Час назад

      Banyamulenge watambuliwe kama raia wa Kongo

  • @linahtairo1859
    @linahtairo1859 2 часа назад +4

    Serikali y congo iache uzembe isajili vijana wapate mafunzo kamili ya jeshi kuongeza kikosi na wawajali wanajeshi wao wapandishe mishahara kuleta morali kweny kazi

  • @mohamedkashindi7689
    @mohamedkashindi7689 41 минуту назад

    Waongo hao izo ni mbinu tu za

  • @AhmeddyLameck
    @AhmeddyLameck Час назад

    Hao m23 wakion wamezidiwa hujifny wanaomb suluh ya aman haitakiw kuskilizwa wapigwe tuu

  • @chandabai366
    @chandabai366 2 часа назад +1

    Hali isipobadilika m23 itateka nchi nzma ya congo

    • @SamirBSam
      @SamirBSam 2 часа назад

      awana uwezo wanachezea mpakani ili pakinuka wajikatae mpaka rwanda n'a Ouganda

  • @kankirihofrank
    @kankirihofrank 2 часа назад +1

    Nani kakwambia wana sapotiwa na Rwanda ,fanya utafiti kuriko kuongeya waliyo kuandikiya

    • @AhmeddyLameck
      @AhmeddyLameck Час назад

      Kwan kuna siri gan hpo wkt hilo lik waz huon baada South Africa kutak kuwapiga rwanda m23 wameanz kurud nyuma ?

  • @storytownTv
    @storytownTv Час назад

    Inaonekana mmepewa Sharti na wazungu kwamba kila mkitaja m23 lazima mseme wanaosapotiwa na Rwanda wasenge nyie, kwa taarifa yenu sikuiz habar za ukwel tunazipata mitandaon bila kusikiliza izi zenu zakutengeneza kuwalinda mabeberu na kuwapaka ubaya ndugu zetu wenyew waafrica, M23 n mashujaa wanaotaka uhuru wa nnchi yao kutoka kwenye utumwa wakibepari..

    • @AhmeddyLameck
      @AhmeddyLameck Час назад

      Sas m23 c kikund cha raia wa rwanda wanaosaportiwa na kagame unachokataa ni kip mpumbav ww

  • @OnesmoEphrata
    @OnesmoEphrata 2 часа назад

    Waku piga hao JAMAA pia yaweza kuwa wame ambiwa watulie na kiongozi wao huyo raisi mwembamba mrefu nchi flani hapo jirani kimtindo

  • @OmaryHamis-y6n
    @OmaryHamis-y6n 2 часа назад

    Wamewaogopa maji maji,majimaji walikua wanasikilizia wamesikia majimaji wanaingia Kazini

  • @emazacharia4455
    @emazacharia4455 2 часа назад

    Yaan yoote hayoo wakulaumiwa n wazungu maana ndio chanzo wa hayoo yoote

  • @fidelialucassamkhumbi2476
    @fidelialucassamkhumbi2476 3 часа назад

    Lazima waondolewe

  • @RashidBozi
    @RashidBozi 3 часа назад

    Sio wamesitisha Hawa wamekimbia mana tulikuwa tunasubir tuzike tu tuingizane mzgon awajajua tz vurugu zetu jeshi la chini wasubiri kiama tuu

  • @MohamedallyBotto
    @MohamedallyBotto 3 часа назад

    Hao wanazuga tu ili selekali wajisahau wavamie tena

  • @shabanisango6377
    @shabanisango6377 2 часа назад +1

    Pumbavu mbona serekali ya congo ikizibiti eneo fulani mbona amutowi taharifa yeyote ivi minova iko mikononi mwa FARDC

  • @allysimu6856
    @allysimu6856 2 часа назад +1

    Siokusitisha tu wanatakiwa wakamatwe waukumiwe kunyongwa kwani ni magaidi kama magaidi wengine tu duniani